Nasheed: WAACHE WACHEKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Msomaji: ALWAN K.
    studio: NEW STAR RECORDS
    Nasheed hii inaonyesha ni kwa kiasi gani watoto mayatima wanavyodhalilika katika baadhi ya familia.
    WAACHE WACHEKE ni jina ambalo tumeona linasadifu kwa nasheed hii kwa vile mateso ambayo watoto hao wamekuwa wakiyapata hutokezea baadhi ya watu nao kuyafurahia badala ya kupeana waadhi na wenzao kutofanya hivyo.
    Aidha tunatakiwa tujue kuwa maisha ni mzunguko leo wewe kesho ni mwenzio, unayemdharau leo huenda kesho akawa ndio msaada kwako. Itazame nasheed hii WAACHE WACHEKE bila shaka utajifunza mengi

ความคิดเห็น • 301

  • @farhatelqalb9831
    @farhatelqalb9831 3 ปีที่แล้ว +22

    Maa shàa Allah kiukweli maneno yanalenga Maisha tulonayo na yamenigusa moyoni kwa kweli
    Anaethibiti hili gonga like tuwe sambamba

  • @meerakhan963
    @meerakhan963 3 ปีที่แล้ว +29

    Mashallah ana sauti nzuri na maneno mazuri.hao wanaocheka ingependeza watoto wenzie ndio wamcheke sio watu wazima..ni maoni yangu tu

    • @abdullmohdy5278
      @abdullmohdy5278 2 ปีที่แล้ว +1

      Exatly, kwani kutmia watot na wakubwa inakuwa not sensitive

    • @abdulmajidhussain697
      @abdulmajidhussain697 ปีที่แล้ว

      Mashaallah l'm touched with this qaswda saut nd inanmaliz hay manen yak sas nd kabix🙏😪😪

    • @jumatano242
      @jumatano242 ปีที่แล้ว

      Lengo kufikisha ujumbe watoto tungeona kawaida ila wakubwa ndotunapata hisia nyengine na kupata ujumbe

  • @hadiambwana5106
    @hadiambwana5106 4 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah new satr record mnafanya vzr tu hamna mbya

  • @shamakhhamad2768
    @shamakhhamad2768 4 ปีที่แล้ว +81

    Masha Allah gonga like hap km unaukubali ujumbe huu

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 4 ปีที่แล้ว +24

    Mashallah New star naomba muendeleze kipaji cha huyu mtoto

  • @alikinura3910
    @alikinura3910 4 ปีที่แล้ว +17

    Mashaallah naipenda yaniliwaza sana hongra mdgo wang

  • @waleedbashir652
    @waleedbashir652 3 ปีที่แล้ว +15

    MashaAllah, Allah awajaze kheri, naamini kipaji cha kijana kinaweza kuzwa zaidi ya hapo Allah awalinde na hasad Ameen 🙏🙏

  • @khatibumbarouk9157
    @khatibumbarouk9157 4 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah mdogo wangu Allah akuzidishie ujuzi n'a sauti na pia akuepushie mahacd ushike uzi huohuo

  • @ibrahimussi1544
    @ibrahimussi1544 4 ปีที่แล้ว +10

    kazi nzuri maa shaa Allah production imetulia

  • @Allybdurahmanally8
    @Allybdurahmanally8 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah ujumbe umefika Allah Akubariki

  • @abdisamirza
    @abdisamirza 3 ปีที่แล้ว +14

    MashaAllah... Nasheed iko juu sana... Vijana Kama Hawa vipaji vyao viendelezwe 💯

  • @kulthummzee1466
    @kulthummzee1466 4 ปีที่แล้ว +10

    Naipenda sana mashallah na inahuzunisha

  • @AishaJofRy
    @AishaJofRy หลายเดือนก่อน

    Kwakweli machozi ya menitoka 🥺 Allah akufanyie wepesi katika mafundixho yako uko vizuli sana🎉❤🤲📿 1:52

  • @AminaAbdallah-op4cq
    @AminaAbdallah-op4cq 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ mashaallah Allah azidishe kipaji chako

  • @hudhaimaissa8144
    @hudhaimaissa8144 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah Allah amlinde awe mtoto mwema ...na kipaj chake ...amiin

  • @yahyamakamo5144
    @yahyamakamo5144 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni munsheed mzuri

  • @omarsaid8715
    @omarsaid8715 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah very nice song and infact it educative song .

  • @faresidarous9255
    @faresidarous9255 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah mkopoa sana watu wawingwi mnajitahidi...mashallah

  • @saidalii9073
    @saidalii9073 4 ปีที่แล้ว +5

    Maashaa AllAh hakika Shukran sana ndugu zetu

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 4 ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa Allah yaani nasheed inabembeleza 😢🥺

  • @mohdsuleiman2628
    @mohdsuleiman2628 4 ปีที่แล้ว +11

    Amazing 💕💕nice one 👍

  • @MpiganajiFundi
    @MpiganajiFundi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atakulipeni kheriii

  • @JokhaSalimKhalifa-ly4xv
    @JokhaSalimKhalifa-ly4xv ปีที่แล้ว

    Alwan k jaman huyu mtoto ni 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wa kuwakiya mbali mashallah Allah akuzidishie kipaji chako

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nice nasheed Allah akuepushie na husda

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana bi Dada mwenyezi mungu atakulinda mungu ni mwema

  • @fundiabuu8957
    @fundiabuu8957 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali kazi umeongea mmb amboy yapo ktk dunia

  • @asmaakhalifa86
    @asmaakhalifa86 ปีที่แล้ว

    Mashalah jmani mungu awalinde na hasad

  • @omarmusa001
    @omarmusa001 3 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe mzuri sana mashaallah

  • @shamilamo9159
    @shamilamo9159 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah uko vizuri mungu azidi kukuongoza nahicho kipaji tupe muendelezo

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 4 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri sana mashallah

  • @ayeshal4395
    @ayeshal4395 4 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah bro uko juu

  • @uthmanalmafazy1071
    @uthmanalmafazy1071 4 ปีที่แล้ว +6

    mashallah umejitahidi sana

  • @saummohdsinany3690
    @saummohdsinany3690 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Allah Allah atubarik lnshaallah

  • @salkhamohammed8124
    @salkhamohammed8124 4 ปีที่แล้ว +3

    MaashaAllah ujumbe mzuri

  • @marywangari7488
    @marywangari7488 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah am touched with this Qaswida 💖💥💟😢💚

  • @mbaroukjm3903
    @mbaroukjm3903 4 ปีที่แล้ว +8

    Qefule wee hhhh duh mbavu zangu

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallahu mtt mzur Mungu akipe klalaher 💕

  • @brotherhamedofficial
    @brotherhamedofficial 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nice work kazi nzuri sana imebeba ujume mzito wenye manufaa #waachewacheke nasheed nzuri hongera

  • @user-vb4xp8eg5w
    @user-vb4xp8eg5w ปีที่แล้ว

    Mashaallah ❤ kweli kila kitu kina mwisho, subra ndio kitu muhimu cha pekee

  • @abdallahamad4234
    @abdallahamad4234 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri nimependa kuwaona watu wa nyumba WINGWI KWANZA

  • @AsyaKombo-qi6yn
    @AsyaKombo-qi6yn 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah kijana alwan k

  • @allymahamudu9492
    @allymahamudu9492 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazauqm khailla mashallah

  • @abdullwahidsalim1332
    @abdullwahidsalim1332 3 ปีที่แล้ว +13

    Mashaallah little talented boy may Allah give u more strength abuy

  • @alkhanmakame332
    @alkhanmakame332 3 ปีที่แล้ว

    Kweli waliocheka wangeekwa watoto ingemantik okay c mbaya

  • @user-qn6qh6ce7f
    @user-qn6qh6ce7f 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah this qaswida is very touching in my ❤️ 😭😭

  • @user-by2lg6vm1r
    @user-by2lg6vm1r 11 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah allah akuzidishie

  • @hemedseif2220
    @hemedseif2220 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Mungu akubarek 💞

  • @mwanaidsaid
    @mwanaidsaid ปีที่แล้ว

    Allah akulipe heri imenigusa sana

  • @ArafaSaidi-zn8rz
    @ArafaSaidi-zn8rz 7 หลายเดือนก่อน

    mashallah I don't get tired of watching because it has touched my heart😢😢😢

  • @maidamzee6268
    @maidamzee6268 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah😍good job perfect 👏na mkubali sn huyu dogo mungu amzidishie kipaj chake

  • @razianamgumi3948
    @razianamgumi3948 3 ปีที่แล้ว +1

    Qasdar nzr Sanaa🙏🙏🙏

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Tabaraka Allah Allah awazidishie na kipaji chenu

  • @sheikhabdulrahim7740
    @sheikhabdulrahim7740 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah masha Allah masha Allah is beautiful qaswida Allah watoto yake is mungu is cry and felling yeah your friend sister and brother and qaswida 😊😊

  • @naymashasareva7863
    @naymashasareva7863 3 ปีที่แล้ว

    Mashaaaaalllaaaaah ujumbeeee mzitooo umetufikia hakika

  • @najmameju4871
    @najmameju4871 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah akuzdishie

  • @zuhrarajab3807
    @zuhrarajab3807 4 ปีที่แล้ว +5

    mashaallah good performance

  • @fatmamwenye1674
    @fatmamwenye1674 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallh munga akuendele nakipaji inshaallh

  • @elijahweswa8233
    @elijahweswa8233 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mashaalaah

  • @fatmachanzi9966
    @fatmachanzi9966 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimepend hii nasheed maan inatufunz sann

  • @ramadhaniselemani5257
    @ramadhaniselemani5257 ปีที่แล้ว

    Mashaallah anasauti ALLWAH amjalie kipaji chake

  • @hawaamohammed8743
    @hawaamohammed8743 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ajab sauti nzri and it's so touching can't stop crying wlhi,😥💔😭😭😭

  • @mwachidzopoposalimpopo8890
    @mwachidzopoposalimpopo8890 3 ปีที่แล้ว +1

    Jakaza allaheri

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mdogoangu

  • @johnstonenzau4900
    @johnstonenzau4900 3 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah inapendeza sana

  • @RayuuAlly-xc4dk
    @RayuuAlly-xc4dk ปีที่แล้ว

    Mashaallah inasikitisha

  • @fatmaali2475
    @fatmaali2475 4 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah .

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah dogo ukojuuu

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 ปีที่แล้ว

    Daaa inahuzunisha Hadi machozi

  • @odethaezekia2624
    @odethaezekia2624 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr sanaaaàaaa

  • @alijumakhamis9142
    @alijumakhamis9142 4 ปีที่แล้ว +3

    Well done nice one

  • @bindaud6583
    @bindaud6583 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah hii nasheed ni 🔥🔥🔥

  • @shukuraniyahya9315
    @shukuraniyahya9315 3 ปีที่แล้ว +1

    Maaashaaallh

  • @IsmilBoyy-qv8bf
    @IsmilBoyy-qv8bf 7 หลายเดือนก่อน

    Mashllh inasikitisha San😢😢😢😢😢

  • @aishamohamedrashid4091
    @aishamohamedrashid4091 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah up vzr huu ujumbe

  • @mouzzaall-mully2505
    @mouzzaall-mully2505 3 ปีที่แล้ว

    Inapendezaa sn ...mashaallah Allah awafikishe mnapohitaji

  • @sherrybuda9248
    @sherrybuda9248 3 ปีที่แล้ว +2

    Maasha Allah

  • @abufatmah9055
    @abufatmah9055 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH.
    ALLAH AKUZIDISHIE
    INSHAALLAH 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @allymahamudu9492
    @allymahamudu9492 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashid inakiwango bora

  • @AshaMohammed-cg6ln
    @AshaMohammed-cg6ln 2 หลายเดือนก่อน

    Naipenda. Nashid❤

  • @britishadam1896
    @britishadam1896 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur

  • @aminaabdallah198
    @aminaabdallah198 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Nouri sana

  • @mukramdawda9898
    @mukramdawda9898 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 ปีที่แล้ว

    Dogo unasati nzuri mashallah nice sms

  • @musocredit1044
    @musocredit1044 4 ปีที่แล้ว

    #Africa nzima akh #sema hamujaandika jina lake #Nasheedzetu

  • @zaitunimuhammad8546
    @zaitunimuhammad8546 3 ปีที่แล้ว

    Maxhll allh a2ongze

  • @radiologyschool8515
    @radiologyschool8515 3 ปีที่แล้ว +1

    Manshaalah good

  • @kipagomedia6857
    @kipagomedia6857 4 ปีที่แล้ว +2

    Mdogo wake brother nassir uyo

    • @fatmaaly3056
      @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว

      Kwani pemba hakuna watu weupe au munaona hatuwez

    • @kipagomedia6857
      @kipagomedia6857 4 ปีที่แล้ว

      @@fatmaaly3056 na mm pia mpemba mbona dad yangu

    • @ayeshal4395
      @ayeshal4395 4 ปีที่แล้ว

      Maashallah

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 4 ปีที่แล้ว +2

    Mambo pb yapo sawa sana asaiv

  • @khadijadazro1408
    @khadijadazro1408 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah, mungu amzidishie

  • @rihanikombo6471
    @rihanikombo6471 4 ปีที่แล้ว

    Muungwana nakubali

  • @issarashid4296
    @issarashid4296 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah

  • @hashirsaid9225
    @hashirsaid9225 ปีที่แล้ว

    Mashalla may allah bless him

  • @yunuskhamis3281
    @yunuskhamis3281 4 ปีที่แล้ว +4

    Last scene smash my heart vpande vipande

  • @hawanjunde1331
    @hawanjunde1331 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah Maashallah

  • @dullatawakal1492
    @dullatawakal1492 3 ปีที่แล้ว

    Adooooh Khatar

  • @saudaselemani9969
    @saudaselemani9969 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nzr

  • @ifadatifa0077
    @ifadatifa0077 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli hakunaaa dhiki wadhiki baada yadhiki faraja

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 3 ปีที่แล้ว

    Brother Nasir jr
    Wa TANZANIA
    INSHAALLAH

  • @estherbageni
    @estherbageni ปีที่แล้ว

    Mbaka natowa machozi 😭😭😭

  • @user-ii7vg5bv7c
    @user-ii7vg5bv7c 9 หลายเดือนก่อน

    I agree more much for this notification