Nakukaribisha Kutazama Video Yangu Mpya th-cam.com/video/Ebqk74cuyK8/w-d-xo.htmlsi=vgFmE4sGS4PN5AVK ARTIST - FUMAU MSHAIRI SHAIRI-NAUMWA SHOT BY @HANS_ABDLAHAH DIRECTOR @BRAIN_UJAZO ASSISTANT DIRECTOR @DOLPHIN_MSHISHI
Huyu serikali wanatakiwa kumpa ulinzi watu wasije wakamdhuru,ni talent muhimu sana kwa taifa hasa ktk ishu ya kukuza kiswahili...jamaa ni hatar na ana super intelligence and very high thinking and creative
Kweli beti zimefika,na zangu naongezea, Niwaondoe mashaka, fumau yupo Sawia, Si kua limemfika,janga la kuendelea, Ni mchezo wa filamu,sanaa yake kukuza. Kayasema kwa undani, mahaba yalomsibu, kafikiri akilini,si kwa kusoma kitabu, Kasema yamaishani,yalosemwaga na babu, Ni mchezo wa filamu, sanaa yake kukuza.
Nakukaribisha Kutazama Video Yangu Mpya
th-cam.com/video/Ebqk74cuyK8/w-d-xo.htmlsi=vgFmE4sGS4PN5AVK
ARTIST - FUMAU MSHAIRI
SHAIRI-NAUMWA
SHOT BY @HANS_ABDLAHAH
DIRECTOR @BRAIN_UJAZO
ASSISTANT DIRECTOR @DOLPHIN_MSHISHI
hongera sn kaka angu hila umenistua san duuh utswauwawat na presh jpo up kazin
una ujeuli ww jmn
Hongera brother from kenya
🇹🇿🤲👏🤝👏🤲🇹🇿
Inshallah
Huyu serikali wanatakiwa kumpa ulinzi watu wasije wakamdhuru,ni talent muhimu sana kwa taifa hasa ktk ishu ya kukuza kiswahili...jamaa ni hatar na ana super intelligence and very high thinking and creative
Kwakweli yanga kila kona tunanga'ra🎉
Famau unaupiga mwingi bro ongera zako ❤❤ Nkupnda tu bure kutoka 🇰🇪🇰🇪
Haya ndio mapinduzi ya sanaa iliyodharaulika na kuona imepitwa wakati. Hongera kwa kutupa burudani sisi wapenzi wa tenzi na mashairi.
hakika
wewe ni wetu lazima tukusapot
Mashaa Allah, ,wananchi tumpe sapot kijana wetu❤❤❤
Wananchi Kila Kona tunaupiga mwingi .wapite mbali
😢😢😢Mungu Azidishe juhud zako sie weng Weeh Ndo rol model we2 Kaka
We famauuu ww
Yang oyeeee wew ndie ❤
Kazi murua ♥️♥️♥️♥️
Pambana ata nimeipenda stahili hii
Nmkufatampka hukuuuuuuu
Imenichm hatr kaka wajua😢
Umeua mwamba
Mashallah ila nilishituka sana uko vizuri kaka
Safi sana wajina
Hongera sana nilishtuka nilidhani unaumwa kweli nakupenda kwa kazi yako hii noma bro
Amenifanya nirudie tena fani yangu ya utunzi wa tenzi na mashairi
Please keep doing 🙏
Kazi nzuri
kipaji kikubwa sana hiki hongera sana
ama hakika hiki chuma babab
Umewezaa maashaallah
Mwananchi una hatariii
Nice fanya akue kweli uyo mke😂❤
Sky is free for us to fly
Ubufu wa sanaa huu
Kongolee sanaaaa Allah akupe afya njema, azidi kukupa misamita ya vina zaidiiiii
Huyo bibie mashaallah
Wasanii bhn,watu tunakupa pole kumbe ni shairi😅😅 unyama sana kaka💥💥💥💥
Mapenzi Hujayajua,Mapenzi Yatakuua
Kwa Jina lake Muumba,
Shairi Nalifungua.
Sihitaji Kuyaremba,
Wengi wasije Ungua.
Mahaba Ukiyabumba,
Afya Itakupungua.
Mapenzi Hujayajua,
Mapenzi Yatakuua.
Ugonjwa Umetangaza,
Famau Hujashikika.
Sifaze Umesambaza,
Kumridhi Muhibaka.
Twahofia Kutuliza,
Pindi Atapo Geuka.
Mapenzi Hujayajua,
Mapenzi Yatakuua.
Dunia Ina Mifano,
Fanani Jitahadhari.
Punguza zako Nong'ono,
Utamu huwa Shubiri.
Kaulize Tangamano,
Kwa Mzee Madawiri.
Mapenzi Hujayajua,
Mapenzi Yatakuua.
Fitina Umeijenga,
Jicho huna peke Yako.
Wakware watamlenga,
Wapite na jiko lako.
Ukisha uzue ngenga,
Wamekulia Vya kwako.
Mapenzi Hujayajua,
Mapenzi Yatakuua.
Nakusihi zindukana,
Mapema Hujachelewa.
Wapenzi hufarakana,
Hubani hawapo sawa.
Wanajuta Kujuana,
Penzi Limeota Mbawa.
Mapenzi Hujayajua,
Mapenzi Yatakuua
Hizi Beti zimetosha,
Hadhari Kuifikisha.
Chunga Lisije Kuisha,
Fedheha ukajivisha.
Twawatakia Maisha,
Ya Furaha na Bashasha.
Mapenzi Hujayajua,
Mapenzi Yatakuua.
Amani Salum Seif
Dsm
0713717343
Kweli beti zimefika,na zangu naongezea,
Niwaondoe mashaka, fumau yupo Sawia,
Si kua limemfika,janga la kuendelea,
Ni mchezo wa filamu,sanaa yake kukuza.
Kayasema kwa undani, mahaba yalomsibu,
kafikiri akilini,si kwa kusoma kitabu,
Kasema yamaishani,yalosemwaga na babu,
Ni mchezo wa filamu, sanaa yake kukuza.
Noma sana 🔥🙌💐
God bless
Mpenzi wa utunzi huu,natokea pwani ya Kenya
❤❤❤ nimependa jmn kz nzur broo Mungu akufanyie wepesi katika kz zako
Mashaallah mashaallah mashaallah 😍🔥
Uko poa sana
Kibamba family kaka unajua Allah akuongozee
Walumbi tumeibeba hii kaka🎉
Mashaalah ya salam ya salam
Asante na karibia
Wannchiiiiiiiiiiii
ILA HUYO MTT NI MZUIRI HEBU FUMAU FANYA KWELI AWE NDIO MAMA YETU HUYO
Ongera sana kwa kipaji na sanaa nzuri
Mwamba 🎉
Tuachanee na Shari tuzungumziee Huyu video queen 👸 kwanzaaa oyaaaaaaaa weeeee
😂😂😂😂
Keep it up brother 💪
Nimelikubar
Kweli ww jini Mahabaaaa😊
Safi
namkubali sana juhudi nakipaji chako natamani siku napanda uringoni wewe uwe hamasa yangu mpinzani aogope
Duh ni kweli, kila kitu kinaweza kukutoa ukisimamia ubunifu na kuchapa kazi. Mdogo mdogo jamaa anasonga mbele na Mashairi. Hongera sana
Mashaallah
Kazi nzurii broh,, Tena na-turn on notification ili niwage wa kwanza kuckia vitu hvi hadhiiiim
❤umeua rafiki yangu
@fumau mashairi maa sha allah
Pole sana kaka😂
😢noma aiseeee fumau
Kaz nzr
Hongera kaka fumau. Napenda ughani wako kwa mno
Kongole our mentor
Good job
Mashallah ❤❤
Kali sana
Atokei noma sana
Umekaha vizur kwakwel
Mashallha ❤❤❤❤❤❤
Bravo. Umeweza sana hii Mr Fumau mshair
Doooooh Fumau
Daaaah umenishitua mbrooo kumbe mapenziii hongera
Nzur
Kali
Fundi
Big up Broo ila umetushtuwa the Mwalimu Nyerere
❤❤❤❤
❤❤❤
Dah kajimbo kazur hadi unakarudia rudi kila mda
Doctor wa mashahiri
❤❤❤❤❤❤
Mashallah ila umejua kunishtua🎉
Big up 🎉🎉🎉🎉
Mashaallah al akhy
Waooooo
Hongera😂napendaa sana tenzii
Just like that ndo umepata new follower. I like it bro
nemeielewa kinomanoma fumau🔥🔥🔥
Saw kijana
Mgonjwa kapona
mpaka nasinzia
nakubali kk kazi nzuri🎉
Umeuwaa❤❤❤❤
Naumwaaaa😂😂😂
unaweza fumau✌️💛
Duh fumau umeuwa Kaka
MashaAllah ❤️❤️
Maasha Allh
Maa shaa Allah
🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉
Mashallah❤❤
Mashallah