Hukmu ya Picha katika Uislamu - Sheikh Said Omar Ashiraziy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @locc2dabrain767
    @locc2dabrain767 5 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allaah taala al habib maneni ya ukweli ma sha Allaah taala shuqran 💚💚💚

  • @maawymuhammad6779
    @maawymuhammad6779 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa allah sheikh umezungumza ukweli kabisa.

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana habeeb zidi kutupa faida

  • @abulhuseinalzinjibary
    @abulhuseinalzinjibary 9 หลายเดือนก่อน

    Dah huu mtihan 😢😢😢

  • @santaslum5427
    @santaslum5427 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan habeeb

  • @LikokoSalum
    @LikokoSalum ปีที่แล้ว

    Wewe kweli Bado kasome

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 3 ปีที่แล้ว +1

    Uchache wa elim ndo tatizo la wengi kama huyu au ufahamu fivyu au kibri ndo kinamfanya aingee hivi. Allah atuongoze

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe nizuzu mkubwa allah atakulipa kwa maneno yako. Kasome mwanzo. Ujuwe unachozungumza

    • @shauqyknyshauqy2170
      @shauqyknyshauqy2170 4 ปีที่แล้ว

      Towa yako

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 ปีที่แล้ว

      Maa shaa ALLAH ww ni shekh mkubwa na elimu imebobea kichwani mwko maa shaa ALLAH bahati mbaya ni elimu ya matusi tu sijui ni madrasa gani unasomesha au unasoma maana uko vzur sana kwnye matusi

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 3 ปีที่แล้ว

    Ashirazi nakuhusia kusoma watu wa sawasawa

  • @AbdallaAbdalla-ib9hv
    @AbdallaAbdalla-ib9hv ปีที่แล้ว +1

    Yaani 🤔, hii channel ni ya kikhurafi lakini cooments nyingi za watu ahlul sunah, hii huuonesha wazi huyu sheikh saidi hana elmu

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ni dalili ya kiama mpka majahil na wasanii wamekaa wanaongelea dini rudi ukasome ujinga utakuuwa

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 3 ปีที่แล้ว +1

    Malaika wa Rahma ndio wanaokusudiwa Kwa Hadith Hta ukieka picture ya Sharif wako hawaingii2 hawaingii 2.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +6

    Kusema ukweli picha aina yeyote haifai.Hizo za passport zipo ndani ya passport na dharura.Haifai kubandika picha za watu wema katika nyumba.

    • @zamdinikilala5454
      @zamdinikilala5454 ปีที่แล้ว

      Hiyo dharura kaiweka nani 😂yaan mtume swala llahu alayhi wasalama aseme haramu kisha wewe useme inafaa kwa dharura!

    • @zamdinikilala5454
      @zamdinikilala5454 ปีที่แล้ว

      Ko tubandike picha wa watu wabaya

  • @abdulhalim5950
    @abdulhalim5950 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mpumbavu

  • @kiddrc353
    @kiddrc353 ปีที่แล้ว

    Tunaomba nyinyi woote wenye elimu mpige cm namba zipo tuwaunganishe ili mfanye mjadala wa wazi ili tuone kati yenu n yke nani mwenye elimu nani anasema ukweli nani mtupu.....humu mitandaoni hawasikii wala hawaoni kijana yupo busy kumnad mtume😂😂😂😂😂😂....kwa hiyo karibuni sana kiti kipo wazi

  • @bagalucha
    @bagalucha 2 หลายเดือนก่อน

    Malaika waandikishaji wanaoandika matendo ya mwana wa Adamu wanaingia kwenye nyumba ambazo ndani yake mna picha. Malaika ambao hawaingii kwenye nyumba ambayo ndani yake kuna picha ni malaika wa rehema. • Picha zinazozuia malaika kuingia ndani ya nyumba ni picha za viumbe hai, mbali na picha zinazoshughulikiwa kwa njia isiyo na heshima. • Haijuzu kuswali mahali penye picha isipokuwa Muislamu amelazimishwa kuswali mahali hapo na hawezi kuiondoa sura hiyo.

  • @mafaza.tv.tz255
    @mafaza.tv.tz255 2 ปีที่แล้ว

    Dini haiendi kwa akili zetu, inaenda kwa hoja za Qur an na hadithi kwa uwelewa wa maswahaba na waliowafata kwa wema.... Usipotoshe

  • @RukiaHamadana
    @RukiaHamadana ปีที่แล้ว

    Acha kufanya dhihaka na dini katika uislamu Kuna mlango wa dharura!picha ya paspot na I'd na I'd ya kazi haviingii katika haramu sababu ni lazima kulingana na Sheria ya nchi!
    So nakuuliza kutoa mimba ni haramu au la?
    Ikiwa amebakwa mwanamke akatiwa mimba kuitoa ipi hukmu yake??
    Na ikiwa mke ana mimba na ikawa ile mimba yaweza sababisha yy kufa ipi hukmu yake??

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص ปีที่แล้ว

    Hii darasa ni kumjibu mtume swalla llahu aleihi wasallam, leo afanyiwa radd mtume Mohammad swalla llahu aleihi wasallam!!! Maana ni hadithi zaambiwa haziingii akilini!!!
    Kijana zingatia makini unachokisema!!!

  • @RukiaHamadana
    @RukiaHamadana ปีที่แล้ว

    Kuna mambo ambayo ni haramu lakini kuna dharura za kisheria ya dini zikikupata ukifanya hutopata madhambi kaupitie mlango wa dharura katika dini uelewe!ww waongea kidhihaka paka malaika pia wawafanyia stizai

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa yupo kiushindani sana anaongea kwa jazba hana uadilifu ktk mambo ya dini
    Haifai kumsikiliza na watu ambao hawajasoma

  • @mafaza.tv.tz255
    @mafaza.tv.tz255 2 ปีที่แล้ว

    Kuna mlango mzima wa uharamu wa taswiir, yan picha.... Ushahidi wa hadithi za mtume... Sasa labda umkane yeye alosema kuwa hakutumia logic kukataza picha

  • @IddiNkupe-no8lh
    @IddiNkupe-no8lh ปีที่แล้ว

    Shekh kumbe ni mtupu hivyo hakuna hadithi sahih yoyote yenye kusema malakul mauti anaitwa Israel huo ni mlango mpana wa kuamin malaika majina yao na kazi zao ila hakuna pahala penye kusema malakul maut anaitwa Israel hakuna wacha urongo na nikushauri tu usifanye munaqasha na UST bacho utaumbuka wew ndyo hamna kitu kabisaaa

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 3 ปีที่แล้ว

    Kasomeni Ninyi Mbona Madrasa ni nyingi tuuuu

  • @abdirahmanshawkani
    @abdirahmanshawkani ปีที่แล้ว

    Wale wenye ilmu ndio Wataona hapa ni ujinga unaongelelewa lakini wajinga Wataona NI kitu cha maana

  • @AliShee-mb2gh
    @AliShee-mb2gh ปีที่แล้ว

    Izrail ni malaika gani?hawa ndo wale دعا ة إلى أبواب جهنم من أجابهم قذفوا فيها

  • @abuyusuf-it5rm
    @abuyusuf-it5rm ปีที่แล้ว

    Subhanallh ww wata kujaza watu falsafa zako mbili hzo kitablisho na zengineo zimekubalika kw dharura lkn hio hadhithi wacha kuitafsiri kw hawaa zako

    • @zamdinikilala5454
      @zamdinikilala5454 ปีที่แล้ว

      Kasema nani picha inafaa kwa dharura wakati mtume swala llahu alayhi wasalama kakataza!

    • @ibrahimjumbe8121
      @ibrahimjumbe8121 ปีที่แล้ว

      Zimekubaliwa kwa dharura na nani ???

    • @ibrahimjumbe8121
      @ibrahimjumbe8121 ปีที่แล้ว

      Zimekubaliwa kwa dharura na nani ???

  • @AbuuFawzaani-zn6hh
    @AbuuFawzaani-zn6hh ปีที่แล้ว

    Hakuna malaika aitwaye izlail pia usizunguze dini kwa hawaa zako

  • @elsoudymohammed3512
    @elsoudymohammed3512 2 ปีที่แล้ว

    Falsafa imekuangamiza.. إستهزاء بالدين

  • @9119-r4t
    @9119-r4t ปีที่แล้ว

    Mwanzo nani amesema aitwa izrail.kweli wewe zuzu kabisa hata wenyekukusikiza wewe pia majahil. Toa dalili kwa hadith uzizungumze kwa maoni zako

  • @khalifaburhanikyabitara8299
    @khalifaburhanikyabitara8299 3 ปีที่แล้ว +1

    We jaaahil kweli malika izaraail umemtoa wapi

  • @abuasya2595
    @abuasya2595 ปีที่แล้ว

    Naomba Al'akh Said utizame video hii ndio ujue kuwa mas'ala ya picha kuna tafauti katika hukmu take.
    m.th-cam.com/video/OU8vzqGbYzc/w-d-xo.html

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 5 ปีที่แล้ว +1

    Nani alisema wewe ni sheikh nawewe nimwimbaji.sauti walegeza kama mwanamke.kasome ujuwe unachosema zuzu

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 ปีที่แล้ว +1

      Mbona unatukana? Ndio shekhe wakp alivyokufundisha hvo,? Au mtume alilingania Dini kwa maneno ya kebehi na kuwatukana watu

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 5 ปีที่แล้ว

      Anapoteza watu malaika anautowa roho hata club kwa disco vipi azungumza ujinga

    • @OmarShure-ko8uv
      @OmarShure-ko8uv ปีที่แล้ว

      Msanii unaongelia dini sbhanallah

    • @OmarShure-ko8uv
      @OmarShure-ko8uv ปีที่แล้ว

      Alafu kuna malaika akiitwa izraili😃 umepata wapi hiyo jina, am unakusudia malak- lmaut

    • @kiddrc353
      @kiddrc353 ปีที่แล้ว

      Kiti kipo wazi nyie woote wenye elimu namba za cm zipo pigeni tutawaunganisha ufanyike mjadala wa kielimu tuone kati yenu na yake nani mtupu ...😂😂😂

  • @bagalucha
    @bagalucha 2 หลายเดือนก่อน

    Malaika waandikishaji wanaoandika matendo ya mwana wa Adamu wanaingia kwenye nyumba ambazo ndani yake mna picha. Malaika ambao hawaingii kwenye nyumba ambayo ndani yake kuna picha ni malaika wa rehema. • Picha zinazozuia malaika kuingia ndani ya nyumba ni picha za viumbe hai, mbali na picha zinazoshughulikiwa kwa njia isiyo na heshima. • Haijuzu kuswali mahali penye picha isipokuwa Muislamu amelazimishwa kuswali mahali hapo na hawezi kuiondoa sura hiyo.