Hayuko sawa, basi tu tumeshazoea Allah atusamehe... Ila ni vizuri kubainisha haki iko wapi watu wachague kuliko kuwazonga zonga ili kuwafurahisha ukabeba dhima kwa Allah
mh Sheh saw lakini dini haiendi kwa maneno ya mtu hitilafu za wanazuoni saw lakini wenyew maulamaa hao hao wamesema maneno yang yakienda kinyume na hadithi sahihi 17 na kauli za wanazuoni wafwata hadithi au kauli za watu hawakosei Kwani
Kuna hadith ya Mtume(swallallah aleyh wassallam) inasema"Halali ipo wazi na haramu ipo wazi, na baina ya hayo kuna mambo yenye kutatiza" Hivyo upigaji picha ni miongoni mwa mambo yenye utata, hivyo ni vizuri kujiepusha nayo mana utakuwa unazama katika baatil.
Ujue mimi nashangaa jambo moja shekhe anasema picha Kharamu lakini yeye wakati anasema hayo yupo katika media ambayo inampiga picha na kumrusha live je hili hamjaliona mashekhe kama mnafanya jambo la Kharamu
Masha Allah ustadhi
Ma Sha Allah👏👏shukran Kwa kutujuza
Maasha llah
Masha Allah
Uko sahihi sheikh
Jazakumu Allahu kheir
Ahsantum kwa nasaha na ufafanuzi huu
Aaaaaah sheikh Sada ukisha halalisha pic inakujaje malaika hawaingiii nyumba iliomo pic ?
Maaa Shaa Allah!
Mashallah
Aamin
wanachuoni gani Waliikhitlafiana juu ya picha.???Halafu hiyo hadith umeifasir vibaya kabisaaa.
Twayeeb kisha kimtazamo uko sawa ila kuna watu kukuelewa hawatakuelewa mpaka kiama
Hayuko sawa, basi tu tumeshazoea Allah atusamehe... Ila ni vizuri kubainisha haki iko wapi watu wachague kuliko kuwazonga zonga ili kuwafurahisha ukabeba dhima kwa Allah
Lakini sheikh wapo watu wanavipaji vya kichora unachorwa kama ulivo yaani kama unavopiga simu inavotoka kwenye camera
Suala ya picha halina ikhtilafu.... Mtume amekataza... Hakuna hadithi hata moja iloruhusu... Sema basi tu tumeshaingiwa na mazoea bas
Umechemka sheakh
Hisbi ni hisbi wattage picha na huna elmu. Shorizako utaona kiyama
Kama picha x haram mbna ukisoma ruqya munaondoa mahal unaposoma????? Usiondoe bas uone kama Malaika wataingia Muhimu elimu
unataka kuongea nn
swadakta
mh Sheh saw lakini dini haiendi kwa maneno ya mtu hitilafu za wanazuoni saw lakini wenyew maulamaa hao hao wamesema maneno yang yakienda kinyume na hadithi sahihi 17 na kauli za wanazuoni wafwata hadithi au kauli za watu hawakosei Kwani
Ko shekhe picha za kuchora ndio haramu
Kuna dharura ktk dini lakin picha haram
Kuna hadith ya Mtume(swallallah aleyh wassallam) inasema"Halali ipo wazi na haramu ipo wazi, na baina ya hayo kuna mambo yenye kutatiza"
Hivyo upigaji picha ni miongoni mwa mambo yenye utata, hivyo ni vizuri kujiepusha nayo mana utakuwa unazama katika baatil.
Kwa hadithi hiyo maimamu /ulamaa hawana nafasi katika kutoa fatwa au umekosha mafhuum?
@@albayaanmschool8451
Kwani hakuna wanazuoni waliotoa fatwa zao kuhusu hukmu ya kupiga picha?
Huyo shekh ana toa dalili kwa maslahi ya nafsi yake..na wala sio kwa dini..akwendree huko