Achen upuuzi wakukejeli watu, shekh ameshakufa tumuombeeni dua na kujimbea sisi pia tuwe na mwisho mwema badala ya kutengeneza upuuzi hakuna anaefurahia kifo cha shekh
@@rushu1232 Sijasema hivyo 😂😂😂 Hukumu ya jannah na nar tuachie Allah. Nilisema tu hapo amekhalifu sunnah, angenyoa masharubu na kuacha ndevu badala yake
@mohagurey2214 watu watahesabiwa kwa mema yao nawataadhibiwa kwa mabaya yao hisabu itaanza kwa fardhi ya swala saumu hapo ukiteleza ndio utaumia sunnah itakufaidisha kwenye mapungufu ya fardhi ndio tukausiwa tushikamane na sunnah na mambo ya kheri na sunnah sio ndevu tu.
Jamani mnahadaika na mistari ya mashairi, fahamuni alichokiuliza ya kwamba ndani ya maulid kuna kipi asichokiridhia mtume (SAW) sasa na nauliza hivi Je ndani ya pombe kuna kipi asichokiridhia mtume(SAW,) papai, sukari na maji vyote ni hali je pombe ni halali? Tumia akili tafajari zaidi
Acha unafiki wewe babdeo unatangaza kua lazima wafurahi sababu ni hii mbona zile alizokua anamtusi kishki hamueki au sababu zinamchafua? Kwanza wewe babdeo Allah akusamehe akutoe kwenye upotofu maana fitna unayofanya ni kubwa mno
huku kwenye usufi yani ukiweza kuvuruga vuruga kiarabu tu basi wewe ni bonge la sheikh, babdeo unaandika kabisa kwa hoja hizi na mtu hajanukuu aya wala hadith, na kuendelea kuweka huu uvundo wake lau mngejua basi mngeacha kwa sababu mnazidi kueneza uzushi wake
Elimu inapimwa na mwenye elimu,,Huwez kukimbia Elimu kisha ukaweza kumpima mwenye elimu..Enyi ndugu zangu tuchunge sana tunapowakweza baadhi na kuwaporomosha baadhi katika jambo la elimu...Kama ni uwanja wa elimu waachiwe wenye elimu na sisi wajinga tujitahid kusoma ili tuweze kupata mizani...
Wahabi walikua wanapigwa jeki spana za kutosha sasa wataacha kufurah halaf sisi wanachuon wapo wamenyamaza tu subirie uone mh,mufti wetu anapandisha chombo kingine hewan spana zitaendelea tu allah amraham Shekh letu na ampe pepo na hatutochoka kumuenz kwa kumsikiliza
mtume aliamrisha tufuge ndevu na tukate sharubu yeye kakata ndevu na kufuga sharubu hiyo ni alama tosha ya kiburi na kuzusha mambo yasiyo kuwepo katika dini
Mbora katika sisi ni yule MchaMUNGU ONLY THAT .Hakuna kumeandikwa. Mbora katika ninyi ni msomi.hizi issue za usomi mnatuchanganya ndio tunaanza kuitana wahabi,wasuni,washafii,wanswari mm sioni ni Muhimu haya majina.twende na Quran kwanzia SURAT AL FATIHA MPAKA NNASI SURA 114 Tumezitikeleza vipi? Je ni Aya zote ndani ya Quran tunazitekeleza? Msingi wetu ni hii Quran ,mambo ya bidaa au siyo bidaa nikupotezeana muda tu.au kuitana wahabi,wasuni, washafii, wanswari ni kupoteza muda tu,NI KUZUNGUKA MBUYU na kuacha AGENDA KUU ambayo ALLAH kaisema ndani ya Quran.SISI TUSALI,TUHIJI,TUFUNGE RAMADHANI,TUTOE ZAKAH NA SADAKAA, TUSUBIRI KIFO .Sioni kama tunafanya zaidi ya hayo Sasa malumbano ya nini?
Kaz yao ujinga na mikelele mitandaoni hawana adab wala heshima nimijitu miharibifu tu ikikaa mijitu hii jamii yyte itaharibu naongea hiv kwasb siwapend wala sitowapenda
Nyie ndugu zangu mnaojiita ansaar mnashida kubwa nyie wajuaji wa kila kitu kwa mtazamo wenu na mmedungwa ndani ya box na ma Sheikh zenu mnaamini wanayo waambia kuliko yaliyo andikwa na masheikh zenu mfano mdogo tu mlango wa adabu hawawezi kuwasomesha kwa sababu walimu wenu katika mihadhara mingi wanatukana hapo adabu mtaitoa wapi kwa kuwa mnajua katika haki za mayyit au marehemu je anatakiwa kusemwa vibaya? Au hata hilo hamjafundishwa? Acheni kujifanya mnajua kila kitu ma imaam wenye ilmu walitofautiana kimtazamo walikaa pamoja na kuheshimiana nyie maamuma wenzangu mnazua na kuzusha mengi na kujiona mna ilmu sheikh alitoa vitabu na kuvisoma nadhani na nyie toeni vitabu hadharani acheni ukhabiith washenzi wakubwa mnaongoza kuoa na kuacha na kutelekeza familia huo ndiyo uislam wa wapi washenz I wakubwa nyie mnaongoza kutengeneza farqi kwa kujifanya wasomi na to go mbaya mkaja na mwezi wa kimataifa kitu ambacho hakiwezekani kisayansi wala kidini mnazua na kushikilia eti hadithi ya quraib
Huyu mzee alikuwa na shida sana kuzunguka kwote huku akitetea azushi akasahua kuwa kitendo chenyewe cha kusherehekea mazazi ya mtume kinaingia ktk katazo la hadithi ya mama aisha kuwa من عمل عملا ليس عليه أمرنا فهو رد
Mbona hua mnakuja huku tuelimisheni kupitia vipindi na Tv kama huyu Sheikh na sio kupitia kuandika meseji .....upuuuzi huu ndio usio takiwa , una hoja toka hadharani fundisha.
be fair, alijibiwa na akaulizwa maswali ambayo hadi amefariki hakujibu. wacha ushabiki, tofauti zipo ila watu waheshimiane. yule salafi alikosea na kaomba msamaha basi yameisha usiyakuze
@shamsisaady4029 Soma dini acha kufuata upepo. Mtume swanlallahu alayh wasanlam ametuamrisha waislamu tuweke ndevu na tupunguze masharubu ili tusijifananishe na makafiri wa kiyahudi na manaswara, hawa kazi yao ni kukwangua ndevu na kuweka misharubu. Naona watu wa bidaa na matamanio wanafanya kinyume na maamrisho. Kunyoa ndevu na kubakiza masharubu kama akina Carl peters
Mungu ampe jannah tu firdaus❤
Abuu nilikuwa nampenda sana shekh kwaajl ya allaah nimwamba miongon mwa miamba
allahummaghfir lahu warhamuhu waskin huu fil janah
ALLAH, akurehem sheikh wang
Mungu amhifadhi pepon
MaashaAllah La Quwwata illa billah, Allahumma Irham sheikh wa ghafara lah
غفر الله لك شيخنا
Allahu Akbar!!!
MashaAllah!
elmu imelala Allah ampe kauli thabbit sheikh letu
Allah amlipe kheri....n amrehemu
Allah akurahamu yaa Sheikh
ALLAH amsamee...alikua ktk kufundisha batili
Mashallh
Mungu amrehemu sheikh wetu
Hapo sheikh muhammad ameongea ilmu
babudeo we inaonyesha hujakaa darasani hata kidogo
Mashallah
إنا للّة وإنا إلية راجعون
إنا لله و إنا إليه راجعون
Allah amrehemu
Hizo Beti si mchezo ni Arehemiwe yeye pamoja na Sheikh wake Muhammad Ayoub
Weeeeeee hrt
Allah ampe kauli thabit
ALLAAH AKURAHAMU
Mungu Amsamehe makosa yake yote na Amweke Peponi
na wewe babudeo mtu wa mwanzo kueneza uzushi Tanzania mche allah
msionyeshe hiz video za shekh akiwa amenyoa ndevu na kuacha mustach ni kumtangaza vibaya maiti wetu tupo tunaoumia
Sikiliza ilmu, ndevu ni mzigo tu
@@JamalAbdallah-t1yUnakufuru ndevu si mzigo, labda uwe kafir
@JamalAbdallah-t1y na unaweza kusema hivyo kwenye kiwanja cha hesabu yaumul qiyama! Kwamba mtume kaagiza tuache mzigo tupunguze mustach?
Yan umeona ndevu... Hiyo elimu faaaida kubwa huitaki wahabi mkubwa wewe
Hivi unajuwa kwamba mtu anaweza kukufuru kwa kuzarau sunna@@JamalAbdallah-t1y
Achen upuuzi wakukejeli watu, shekh ameshakufa tumuombeeni dua na kujimbea sisi pia tuwe na mwisho mwema badala ya kutengeneza upuuzi hakuna anaefurahia kifo cha shekh
Mtume hakunyoa ndevu
Alikua Hana ndevu huyo
Wewe babudeo kumbe kumbe ni kilaza mnooo,kichwa gani hiko cha habari,mapenzi yasikufanye kuandika upuuzi
Khabithi ww acha kutetea bidaa Allah akusamehe huko uliko
Mwendawazimu ww😂
astaghfirullah, unaumwa ubongo akhy?
Acha jeuri kama una elimu mbona hukufanya naye nikash pamoja naye alipokuwa hai
Hoja zote hizo zimeshajibiwa
Hakuna mhabi anaeweza kujibu huzi spana na kama kajibu kweli leta hapa😂😂
Uyo mwehu anaejifanya kuongelea ndevu ata hukmu yak ukimuuliza hajui chcht
Alishindwa kujibu hoja za sheikh Qasim mafuta, pia maswali yap
Na alikua anapiga spana za kielimu ni haki yao wafurahi kweli hizo kenge za kiyahudi
Nyie mkiambiwa ukwel mnasema hawana adabu
Haya bhana we tukana mpaka umalize matusi yote ya duniani ila faham ipo siku tutaulizwa kwa haya.
ila marehem katika hukum zote alizotaja hakusema maulid yanaangukia wapi
Ww mjinga izo sharubu kwa kua ww huna ndevu ziwe mby nzri in sunnah
Masharubu kama mwanajeshi, ndevu clean kama askari kurutu
Wewe mohaa masaala ni ya bidaa sio ya ndevu hakuna hoja hapo sasa asioweka ndevu haingii peponi wacha dharau.
Ongea elimu acha jazba😂
@@rushu1232 Sijasema hivyo 😂😂😂 Hukumu ya jannah na nar tuachie Allah. Nilisema tu hapo amekhalifu sunnah, angenyoa masharubu na kuacha ndevu badala yake
@mohagurey2214 watu watahesabiwa kwa mema yao nawataadhibiwa kwa mabaya yao hisabu itaanza kwa fardhi ya swala saumu hapo ukiteleza ndio utaumia sunnah itakufaidisha kwenye mapungufu ya fardhi ndio tukausiwa tushikamane na sunnah na mambo ya kheri na sunnah sio ndevu tu.
Chuki zitakuua
Sio Bidhaa
shwkhe allah amrehemu, lkn mtu kma hakuona umuhimu wandevu akiwa hai basi hakuona tu na mtu anapost anachotaka maadamu ilikwepe b4
Jamani mnahadaika na mistari ya mashairi, fahamuni alichokiuliza ya kwamba ndani ya maulid kuna kipi asichokiridhia mtume (SAW) sasa na nauliza hivi Je ndani ya pombe kuna kipi asichokiridhia mtume(SAW,) papai, sukari na maji vyote ni hali je pombe ni halali? Tumia akili tafajari zaidi
Acha unafiki wewe babdeo unatangaza kua lazima wafurahi sababu ni hii mbona zile alizokua anamtusi kishki hamueki au sababu zinamchafua? Kwanza wewe babdeo Allah akusamehe akutoe kwenye upotofu maana fitna unayofanya ni kubwa mno
Hii nizaidi ya shule
Punguza sharubu wacha ndevu tutofautiane na majasusi
Kwa maelezo hayo lzm umchukie maana ata km unaubongo wa samaki unaelewa
Kichwa cha habari au muhtasari,,au taarifa ilivyoandikwa,,inaonyesha kuna chuki binafsi baina ya mtu na mtu..
huku kwenye usufi yani ukiweza kuvuruga vuruga kiarabu tu basi wewe ni bonge la sheikh, babdeo unaandika kabisa kwa hoja hizi na mtu hajanukuu aya wala hadith, na kuendelea kuweka huu uvundo wake lau mngejua basi mngeacha kwa sababu mnazidi kueneza uzushi wake
اللهم اغفر ذنوبه فإنه لم يكن عالما بالأحكام الشرعية
Wewe ambae unajua tutajie ahkam za sheria zimegawanywa kivipi.
Ww ndio عالم 😂 mbona hukumtafuta alivyokuwa hai ni waz kuwa ni mwamba sheikh Muhammad Idd ni chuki mlizokuwa nazo tu
Elimu inapimwa na mwenye elimu,,Huwez kukimbia Elimu kisha ukaweza kumpima mwenye elimu..Enyi ndugu zangu tuchunge sana tunapowakweza baadhi na kuwaporomosha baadhi katika jambo la elimu...Kama ni uwanja wa elimu waachiwe wenye elimu na sisi wajinga tujitahid kusoma ili tuweze kupata mizani...
Acha kikuza jambo uliyepost aliyeropoka keshakiri hayo engine yann Tena .hii ni dini sio Simba na yanga.
Elimu iko mbali na watu wa bida'a kuifupi huyo sheiks wenu hakua na elimu
Umelaanika ww mpumbavu kbs mtu kashakufa nn kumsengeja acha ujinga
Aliyeanzisha ameomba radhi kama yeye aliyoyasema awali ni kweli vipi tena akili zenu zinaingia na kutoka nyie mnaojifanya watakatifu sana
Wakati mwingine ni Ujinga kabisaa kuendeleza Bifu lisilo na Maana
Wahabi walikua wanapigwa jeki spana za kutosha sasa wataacha kufurah halaf sisi wanachuon wapo wamenyamaza tu subirie uone mh,mufti wetu anapandisha chombo kingine hewan spana zitaendelea tu allah amraham Shekh letu na ampe pepo na hatutochoka kumuenz kwa kumsikiliza
mtume aliamrisha tufuge ndevu na tukate sharubu yeye kakata ndevu na kufuga sharubu hiyo ni alama tosha ya kiburi na kuzusha mambo yasiyo kuwepo katika dini
Nyie mawahabi mumejawa na ujinga siku zote hamna hata chembe ya elimu
Mbora katika sisi ni yule MchaMUNGU ONLY THAT .Hakuna kumeandikwa. Mbora katika ninyi ni msomi.hizi issue za usomi mnatuchanganya ndio tunaanza kuitana wahabi,wasuni,washafii,wanswari mm sioni ni Muhimu haya majina.twende na Quran kwanzia SURAT AL FATIHA MPAKA NNASI SURA 114 Tumezitikeleza vipi? Je ni Aya zote ndani ya Quran tunazitekeleza? Msingi wetu ni hii Quran ,mambo ya bidaa au siyo bidaa nikupotezeana muda tu.au kuitana wahabi,wasuni, washafii, wanswari ni kupoteza muda tu,NI KUZUNGUKA MBUYU na kuacha AGENDA KUU ambayo ALLAH kaisema ndani ya Quran.SISI TUSALI,TUHIJI,TUFUNGE RAMADHANI,TUTOE ZAKAH NA SADAKAA, TUSUBIRI KIFO .Sioni kama tunafanya zaidi ya hayo Sasa malumbano ya nini?
Kaz yao ujinga na mikelele mitandaoni hawana adab wala heshima nimijitu miharibifu tu ikikaa mijitu hii jamii yyte itaharibu naongea hiv kwasb siwapend wala sitowapenda
Nyie ndugu zangu mnaojiita ansaar mnashida kubwa nyie wajuaji wa kila kitu kwa mtazamo wenu na mmedungwa ndani ya box na ma Sheikh zenu mnaamini wanayo waambia kuliko yaliyo andikwa na masheikh zenu mfano mdogo tu mlango wa adabu hawawezi kuwasomesha kwa sababu walimu wenu katika mihadhara mingi wanatukana hapo adabu mtaitoa wapi kwa kuwa mnajua katika haki za mayyit au marehemu je anatakiwa kusemwa vibaya? Au hata hilo hamjafundishwa? Acheni kujifanya mnajua kila kitu ma imaam wenye ilmu walitofautiana kimtazamo walikaa pamoja na kuheshimiana nyie maamuma wenzangu mnazua na kuzusha mengi na kujiona mna ilmu sheikh alitoa vitabu na kuvisoma nadhani na nyie toeni vitabu hadharani acheni ukhabiith washenzi wakubwa mnaongoza kuoa na kuacha na kutelekeza familia huo ndiyo uislam wa wapi washenz I wakubwa nyie mnaongoza kutengeneza farqi kwa kujifanya wasomi na to go mbaya mkaja na mwezi wa kimataifa kitu ambacho hakiwezekani kisayansi wala kidini mnazua na kushikilia eti hadithi ya quraib
Hapo anaongea pumba tu bidaa ni upotevu unaopelekea motoni
Huyu mzee alikuwa na shida sana kuzunguka kwote huku akitetea azushi akasahua kuwa kitendo chenyewe cha kusherehekea mazazi ya mtume kinaingia ktk katazo la hadithi ya mama aisha kuwa من عمل عملا ليس عليه أمرنا فهو رد
Mbona hua mnakuja huku tuelimisheni kupitia vipindi na Tv kama huyu Sheikh na sio kupitia kuandika meseji .....upuuuzi huu ndio usio takiwa , una hoja toka hadharani fundisha.
Soma san kak
Ufahamu wako ni mdogo sana
@@Chemba67swadakta
Shida unayo ww ya chuki na hasadi, pamoja na shid ya uzuzu😂😂😂😂
be fair, alijibiwa na akaulizwa maswali ambayo hadi amefariki hakujibu. wacha ushabiki, tofauti zipo ila watu waheshimiane. yule salafi alikosea na kaomba msamaha basi yameisha usiyakuze
Heee mnadhani yamekwisha kiraic hivvyooo,, aliekwambia yameisha Nan?
@@alhabibymasoud3445Kwahyo wew upo kiushabiki kabisa sio kwamba mtu akikosea akitarajaa na kuomba radhi tena hadharan hasamehewi au sio
Hamna kitu hapa, marehemu kaenda na masharubu kanyoa ndevu, Allah amsamehe
Unaijua vizuri dini yako? au n wewe wafuata mkumbo tu?🤔
@shamsisaady4029 Soma dini acha kufuata upepo. Mtume swanlallahu alayh wasanlam ametuamrisha waislamu tuweke ndevu na tupunguze masharubu ili tusijifananishe na makafiri wa kiyahudi na manaswara, hawa kazi yao ni kukwangua ndevu na kuweka misharubu. Naona watu wa bidaa na matamanio wanafanya kinyume na maamrisho. Kunyoa ndevu na kubakiza masharubu kama akina Carl peters
😂😂😂
@@iddihamisiharuna8261huyo shekhe hanaga ndevu embu acheni kumhukumu wewe mwenyewe unasubiri hukumu alafu mnaanza kuhukumu mtu kumbukeni malaya kaingia peponi kwasababu ya kumpa mbwa maji tu wewe endelea kubeza videvu vya wenzio tu
Wee ni mjinga na nikichaa unalopoka hovyo TU huna unachokijua
Huyu jamaa alikuwa anaropoka tu hana aya wa hadithi kwa hivyo anavyovitetea. Maskini alikuwa hajui kama uislamu Qaala Allah, Qaala Rrasuul
Acha donge na husda
Duuuuuuuuuhhhh khatariiiii
Wajinga ndiyo watamfuata
We sufi wakati hajafariki mbona hukuwa unaweka mawaidha yake muimba taarabu eti kasida
Ndio anaweka sasa hiv unasemaje?
Acha UISLAMU wa CHUKI, na MATUSI
utakuingiza motoni
Hivi ni kwanini Salafi wengi wana roho mbaya sana,ni Akida au wamejikuta tu wana roho mbaya?
Fatma muogope allah
@@walidmgonja3644 hao ndio wale mtume alowasema, watakua wanasoma quran haiwavuki kwenye mitulinga ya SHINGO