Mungu Baba unirehemu mimi ni mwenye dhambi unisaidie kusimama sawasawa na Roho Mtakatifu unisaidie kuombea nchi na uzao. Mama Diana Mwakasege ubarikiwe kwa kutuongoza umekuwa baraka sana kwangu najifunza umekuwa mama wa mfano kwangu. Mungu akupe neema nguvu zako zisipungue na macho yako yasipofuke kama Musa. KUMBUKUMBU LA TORATI 34. Amina.

Long awaited, blessings Mana team
Mungu azidi kuachilia maono mapya ndani yako Baba
najuingamanisha na madhabahu ya hii yesu nitangulieee
Najiungamanisha na madhabahu hii kwa jina la Yes5u kristo namuomba mungu nifunguliwe kwa jina la Yesu kristo.
Mungu nisaidie nikutumikie kwa karama uliyonipa.NIWEZESHE JEHOVA.
Amina mama Mungu atusaidie tukayaishi haya maneno unayotufundishi barikiwa sana kwa kutulisha neno bwana
Najiungamanisha na madhabahu hii we mwenyezi mungu nisaidie
Asanteni mana ministry!! Mungu awabariki.
Asante bwana ,Asante yesu.
Yesu wee mzuri sanaa
Amen Mama, najifungamanisha na hiyo nguvu na upako ulionao, tuko pamoja.
Ameen Amen Mungu awabariki sana wateule wake.
Najiungamanisha na madhabahu yako bwana wangu kupitia mtumishi wako Diana anda Christopher mwakasege
Amen asante kwa somo mwalimu
Amen Amen Amen!!!!
Emen sana mama Mungu akubariki
Hallelujah
Unajua nini mama ,Mimi napenda kutumika mbele za Mungu kama wew, Mungu na azidi kuwatumia.
Najiunganisha mimi na familia yangu kwa jina la yes
Ameeen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Haleluhya haleluhya
amen
Ameen
Amen amen
Amen Ame
AMEN🙌🙌🙏🙏
Usitupite wamama tuliokombali Mungu.
💪💪💪💪
Ameni
🙏
Hallelujah!!
Leo ulikuwa wapi jamani baba mbona sijaona live
Emen
Hallelujah
Amen
Amen