MWL C MWAKASEGE: FAIDA ZA KUJAZWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU MWANZONI MWA KIPINDI CHAKO KIPYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 93

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe maisha marefu nilikuwa naomba ila nilikuwa natumia nguvu ila umenifundisha kuomba yani kwa Yesu raha sana ukiamini Mungu anatenda

  • @abonikesalome301
    @abonikesalome301 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe baba

  • @mhongoleadriano3695
    @mhongoleadriano3695 2 ปีที่แล้ว +25

    Bwana yesu asifiwe wapendwa katika bwana Mimi nitoe ushuhuda juu ya hiii video nilikuwa nachukia mchungaji akianza kusema sijui shagalagalangali kiki nikiwa naongea na dada yangu kijijini kwetu Iringa alipa Somo kidogo kuhusu kunena Kwa lugha nakunieleza kuwa kunena Kwa lugha ni wewe na Mungu wako nikamuelewa lakini nikawa naona kama watu wananiigizia Leo kupitia muongozo wa huyu mama nikajisemea semina ya wanawake lakini na Mimi nataka kupokea hizo nguvu za rohoo mtakatifu nikaanza nikafuatisha Sala ya Toba na baadae Yale maneno ya kumpokea roho mtakatifu kilicho ni kuta nikuongea lugha isiyo eleweka ambayo mwanzo nilidhani watu wanaigiza

  • @tuchannyitike
    @tuchannyitike 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Mwl Mwakasege 🙏🏾 🇺🇸 🇹🇿

  • @rita9679
    @rita9679 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikwa san mwalimu mungu akupe neema ya kuendelea mbele barikiwa sana mungu akubaliki saaan🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee mungu wangu naomba nijaze na mm roho wako mtakatifu anitumie

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki sana mwalim Christopher mwakasege na mama

  • @betreaceparali9725
    @betreaceparali9725 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa Sana na semina ya mtumishi.mungu akubariki.niombee nijazwe roho mtakatifu

  • @adelacasmiry9134
    @adelacasmiry9134 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwaminifu kabisaa

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe na MUNGU BABA

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว +1

    Nuru ya mungu ikuongoze mtumishi !!?

  • @upendomassawe3533
    @upendomassawe3533 2 ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru Mungu kwa kunipa NAFASI hii ya kusikiliza neno lako.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +6

    Somo limekuja wakati sahihi!
    Mungu nisaidie,nijaze nguvu nahitaji kuomba,kutakaswa,kutengwa ktk jina la Yesu

    • @neemaasheri4204
      @neemaasheri4204 2 ปีที่แล้ว

      Ee mwenyezi Mungu nitie nijazwe nguvu ya roho mtakatifu Kama siku ya pendekoste maana Kila siku narudishwa nyuma

  • @albertlwesya8361
    @albertlwesya8361 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen Baba Mwalimu, Mungu atusimamie katika vipindi vyote na Damu ya Yesu itawale nabarikiwa na somo.

  • @yasintanyakisho1394
    @yasintanyakisho1394 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukupa nguvu na afya ili uzidi kumtmikia Mungu mim nabarikiwa na mafundisho Yako mtumishi

  • @restorationpentecostalchur7028
    @restorationpentecostalchur7028 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Baba yangu kwa maarifa ya kimbingu yanayo nifanya Imara kila siku.

  • @furbenj7405
    @furbenj7405 2 ปีที่แล้ว +2

    Haleluya I like the powerful of holly sprit thanks my Father I received

  • @edakiputa1108
    @edakiputa1108 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi,Mungu wa mbinguni akutunze na familia yako.

    • @carolinejisandu959
      @carolinejisandu959 2 ปีที่แล้ว

      Aminaaa Aminaaa BABA TUNAOMBA NGUVU ZA MAOMBI ZA KUDUMU KWETU,UBARIKIWE SAANA BABA MWL WETU!

  • @hyasintamlay7547
    @hyasintamlay7547 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimeuona mkono wa bwan kwa maombi na mafundisho haya. Mbarikiwe san watumishi Mungu azid kuwainua kwa viwango vya juu

  • @eliatoshamrosso5484
    @eliatoshamrosso5484 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi Mwalimu

  • @joycenuhu1566
    @joycenuhu1566 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa sana na somo hili, Mungu naomba unisaidie

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akubariki saana Baba kwa kusema kweli ya MUNGU.

  • @yuajamlimwa1793
    @yuajamlimwa1793 2 ปีที่แล้ว +1

    Silaha yangu daima ni Yesu Kristo, na nguvu zake zinazotenda kazi ndani yangu, AMEN

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 ปีที่แล้ว +1

    HALELUYA

  • @nestoryaugustine7754
    @nestoryaugustine7754 2 ปีที่แล้ว +1

    AMINA

  • @elishannko6065
    @elishannko6065 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki baba kazi hii ikumbukwe milele

  • @bernadethashiduki6936
    @bernadethashiduki6936 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze mwl na mama

  • @alleoo273
    @alleoo273 2 ปีที่แล้ว +1

    E Mungu baba nifundishe kuomba na kulitambua neno lako

  • @gloirebyamunguministry2421
    @gloirebyamunguministry2421 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mwenye rehema zote atu saidiye

  • @teddyallimustapha9611
    @teddyallimustapha9611 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni fimbo yngu ya uzima Wangu

  • @official_minister_suleiman6856
    @official_minister_suleiman6856 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaani unaongea vizuri kabisa Mwl,shida nyingine ipo kwa waimbaji na wapiga vyoombo huwa hawapendi kusikiliza mahubiri/mafundisho....hii ni shida nayo

  • @macrinamsigwa8781
    @macrinamsigwa8781 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi wa mungu🙏☝️

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa!
    Kuomba jamani sio mchezo! Adui hataki anapambana ila tutashinda tu!!
    Mungu naomba hayo mafuta tu,unitenge na chochote kikuziacho!

  • @hildegaldacolman6848
    @hildegaldacolman6848 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen
    Karibuni Morogoro 🙏

  • @estherjustine1973
    @estherjustine1973 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukuwekea ulinzi Baba, Mungu anakutumia sawasawa na kusudi lake

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +4

    Paul mwangosi hakuwepo jmn!uzuri baba anajua kuimba lkn!
    Asipokuwepo unajua tu,ye ndo anamjua baba ake kwakweli

  • @emanuelsalali5557
    @emanuelsalali5557 2 ปีที่แล้ว

    Asantee rohomtatifu kwaujumbe mzuri YESU mtie nguvu mwalimu c.makasege

    • @taabujudith7254
      @taabujudith7254 2 ปีที่แล้ว

      Nabarikiwa sana na somo hili mtumishi

  • @teddyallimustapha9611
    @teddyallimustapha9611 2 ปีที่แล้ว +1

    Aimen

  • @selinambele8306
    @selinambele8306 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana na mafundisho haya

  • @mankastambuli1044
    @mankastambuli1044 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Yesu

  • @ngolopenzen771
    @ngolopenzen771 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana

  • @enithaelias8558
    @enithaelias8558 2 ปีที่แล้ว +5

    Ur preachings ar so realistic en touches inside manifest outside...be blessed man of God...

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameni Ameni

  • @wendyaaron9696
    @wendyaaron9696 2 ปีที่แล้ว +2

    Blessings

  • @yohanaasajene3520
    @yohanaasajene3520 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen 🙏

  • @vailethsiwandilo5748
    @vailethsiwandilo5748 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu 😭😭

  • @emmanuelmakomango6577
    @emmanuelmakomango6577 2 ปีที่แล้ว

    Amen dady

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

    Amen babaangu

  • @faridasilwani8040
    @faridasilwani8040 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni

  • @anamariayuba5457
    @anamariayuba5457 2 ปีที่แล้ว +1

    AMINA BABA, kweli kuna usemi unasema mbinduni wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa sababu wanawake tumekataa kuachilia vitu vya kidunia naona hapo akina mama wamesuka nywele bandia wamejipodoa sana lakini wa baba wetu ni mashati yao na suruali zao zianatosha MUNGU TUOKOE AKINA MAMA .

  • @amiwitu1445
    @amiwitu1445 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @rizikisospeter1686
    @rizikisospeter1686 2 ปีที่แล้ว

    Ameen Baba

  • @charlesmwidete3681
    @charlesmwidete3681 2 ปีที่แล้ว

    Hapo umenifungua

  • @danielantipas9309
    @danielantipas9309 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @jacquelinesamson
    @jacquelinesamson 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @wendyaaron9696
    @wendyaaron9696 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @teddyallimustapha9611
    @teddyallimustapha9611 2 ปีที่แล้ว

    Navunja roho y mauti Kwa mume Wangu teophili Emanuel senga'na

  • @robertbugali6327
    @robertbugali6327 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu alie hai 🙏🙏🙏

  • @kristopapaapaulo811
    @kristopapaapaulo811 2 ปีที่แล้ว

    Fire

  • @hildawagner5825
    @hildawagner5825 2 ปีที่แล้ว

    AMEEN

  • @kennytwinzi9032
    @kennytwinzi9032 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏👏👏

  • @upendogadson8415
    @upendogadson8415 2 ปีที่แล้ว

    You

  • @noebagundaministries8966
    @noebagundaministries8966 2 ปีที่แล้ว

    C'est en directe ou rediffusion ???

    • @yuajamlimwa1793
      @yuajamlimwa1793 2 ปีที่แล้ว

      Oooh voilà D'après moi, c'est en directe.

  • @akwilinangussa168
    @akwilinangussa168 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaa

  • @JOVINSTORY1984
    @JOVINSTORY1984 2 ปีที่แล้ว

    Sauw

  • @judygathoni5861
    @judygathoni5861 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kube hata tz mko kama Kenya pia wao wapiga viobo wakisha maliza kuzicheza izo wanajipa shuguli nikama wanatushidikiza kuja kanisa

    • @glorylekey4550
      @glorylekey4550 2 ปีที่แล้ว

      Wapo hivyo,hata mchungaji akiwa anaongoza maombi wanakaa kimya

  • @SengaLukomya
    @SengaLukomya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @happinessmwombeki
    @happinessmwombeki 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu

  • @happysumbya9068
    @happysumbya9068 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @dismasshirima682
    @dismasshirima682 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @suphiapatson3541
    @suphiapatson3541 2 ปีที่แล้ว

    Ameni Ameni

  • @tumainimushi620
    @tumainimushi620 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @agripapiason5774
    @agripapiason5774 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu

  • @nellymsigwa6997
    @nellymsigwa6997 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @abelzulu7604
    @abelzulu7604 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @johnsendeyo4558
    @johnsendeyo4558 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @raymondroyer5545
    @raymondroyer5545 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

  • @kikongajoel5172
    @kikongajoel5172 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @irenshayo614
    @irenshayo614 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @harunkabuje1345
    @harunkabuje1345 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @doreenemmanuel9800
    @doreenemmanuel9800 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @happyboniface-mu1eu
    @happyboniface-mu1eu ปีที่แล้ว +1

    Amen