TANESCO TARIFFS ! (Makundi ya Watumiaji Umeme)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2021
- .#umeme#tanesco#ewura
Geared Consult Tv imepata nafasi ya kuongea na Meneja Masoko wa Tanesco kupata ufafanuzi kuhusu makundi ya Watumiaji wa umeme na Bei tofauti kulingana na kundi husika, kwa kuanzia tumeanza na D1 na T1. Tukiamini kila mtu ni Mdau wa Umeme na angependa kujua.
Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme.
.
Kwa Mawasiliano:
LINE 1: +255 785 911 260
LINE 2: +255 655 290 333
.
Tufuate mitandaoni:
INSTAGRAM: / gearedconsulttv
FACEBOOK: Geared Consult TV
WEBSITE: geared-consult.co.tz
#Umeme #GearedConsultTV
WELL DONE
Good content...
Thanks
That's my dear brother
👏
Wezi tu Hawa
Binafsi nimeelewa kuhusu D1 na T1 hakuna utata kuhusu Hilo
Nimemuelewa sana Afsa
Asante...Nimeisikiliza maelezo kuhusu (makundi ya ununuzi wa umeme yaani -TARIFFS- )...KWANINI MMEWEKA -TARIFFS- HALI YA KUWA NATUMIA (LUKU) NDIO KIPIMO CHANGU CHA MATUMIZI...naomba ufafanuzi, LUKU...LIPA UMEME KADIRI UNAVYOTUMIA...SASA -TARRIFS- ZA NINI....!!!???.
Nimekuelewa vizuri. Mimi ninahitaji tuwasiliane, hivyo naomba namba yoko.
Umeme wa three phases vijijini umbali usiozidi umbali wa mita 20 ni Tsh ngapi Tafadhali
Three phase vijijini umbali wa mita 20 ni Tsh ngapi
mbona sasa mnatoza shiling elfu 30 ili mbadilishe tarriff?
Mimi nauliza...(TARRIFS) ZA NINI WAKATI LUKU METER IMEFUNGWA HAPO...?
Sasa hivi Kuna makato ya sh Elfu Moja.Mimi matumizi yangu hayazidi unit 75 Je,nilipe sh 9 au 10?.
Mimi natumia pungufu ya unit 70 nimeomba kupewa ķundi D1 hamtaki kwa kuwa niko Dar kwa nini?
Na akinunua pungufu kwa msimrudishe bila kumsumbua kuandika barua
Mimi nime elewa isipokuwa nauliza mteja wa baada ya miezi mitatu anaweza kuandika barua kwa njia ya mtandao ili kuwa D1?
Punguzen hzo tarrif kundi la pili jaman muongeze yawe matatu ili la pili lpunguzwe gharama dahhh km tuna viwanda wakat n wapangaj
Asanta Sana binafsi Niko nashida ya kupata unit chache wakati matumiz yangu ni madogo napata unit 2.5 kwa 1000 je nawezaje kusaidiwa
Mie kwenye bei ya umeme sina sana shida japo wapo wateja wamehamishwa matumizi wakati hawajawahi kutumia unit 70 na wapo kijijini lakini shida yangu ipo kwenye tozo za nyumba ambazo sserikali imeamua kuwachonganisha na watanzania maskini waishio vijijini pango sh 18000 kwa mwaka ni kiwango kikubwa sana mtu ananyumba chumba na sebule anataa tatu jamani ati tu ana umeme sh 18000
Tunaomba kujua kwann mita za umeme Zina tofauti kuna elfu Moja wanapata unit 8 zingine elfu Moja tuna pata unit 2.8 Tatizo nn jamani mtupe elimu wakuu tatizo nn
Kwa zaidi ya miaka miwili sijawahi kuzidi unit 75 kwa mwezi nikija TANESCO msisumbue
Nilikuwa kwenye taarifu o nikatolewa bila Mimi kuzidisha hata unit 75. Na Niko kijijini..nilienda mpaka tanesco kuuliza nikajibiwa kaka we habari yako imeshaisha..mtatolewa mmojammoja mpaka mtaisha was taarifu 0..watabaki wa umeme wa rea tu..
Mbn sisi huku musoma umeme warea nibei gari sama mfano elf5000 unapewa unit12 ukienda tanesco wanakwambia iyouduma yakutolewa katika matumizi makubwa haipo duuuh wemzee kuwa mkweli mungu anakuona
Nyie tanesco mmejawa rushwa mimi toka mwezi wa kwanza nime OMBA umeme savea
Mbaka leo hajaja mbaka nimlipe pesa za MAFUTA
Namba yenu ni ipi
Mimi nauliza...,Hivi Meter ya LUKU Inafanya nini...? Mteja umuwekee (tarrifs)...? LIPA UMEME KADRI UNAVYOTUMIA...SASA (TARRIFS) INAWEKWAJE HAPO...? ACHENI KUTUUMIZA.
Huu ni uongo mkubwa, kama ni hivyo mbona maelezo ni kinyume na wanavyofanya Tanesco gharama zipo juu sana
compressor ya friji haiwaki mda wote kwaio hio input power izidishe kwa 8 sio 24 madam injinia,lkn hongera,