FAHAMU GHARAMA RAFIKI ZA UUNGANISHWAJI WA HUDUMA YA UMEME KUTOKA TANESCO KWENDA KWA MTEJA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @charlesshija7371
    @charlesshija7371 8 หลายเดือนก่อน

    Hilo shirika halijawahi kupata hasara kaka, zaid ya faida maana tunakatwa tukinunua umeme wanaita REA

  • @MuelaSaidi-kv8hl
    @MuelaSaidi-kv8hl ปีที่แล้ว

    Sasa ivyo munawakandalasi wenu uko tanesco sisi tunaofanya wiring mtaani na tuna vyeti vya veta atuna ajira mutatuua

  • @paulo191
    @paulo191 ปีที่แล้ว

    Mimi nimteja nimefunga wayalingi nanimelipia alafu wanasema hawazi kuniwekea umeme nasaidiwaje?

  • @emanuelthomas292
    @emanuelthomas292 2 ปีที่แล้ว

    hapo mmetumaliza kwa nin mim nimeambiwa nikaripe laki 3 na 20 ila jiran yang amelipia el

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 2 ปีที่แล้ว

    Mmeferi mteja anaweza kufungiwa umeme hata kwa elufu kumi je? Kila anaponunua umeme anakatwa elufu mmoja kila mwezi anapo nunua umeme mnakataa Deni mpaka liishe