JINSI YA KUOMBA UMEME TANESCO Part; 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Sasi ivi imekua rahisi kuomba kuwekewa umeme Tanesco bila kupoteza gharama za kwenda office zao hivyo sas ivi kila kitu kina fanyika online kitu cha msingi uwe na simu ya kiganjani pia na kufuatilia hii video kwa ukaribu sana utajua namna ya kufanya maombi ya umeme Tanesco.

ความคิดเห็น • 9

  • @BashiruChako
    @BashiruChako 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzur mkuu endelea kutupa vitu

  • @MaulidiAthumani
    @MaulidiAthumani 10 วันที่ผ่านมา +1

    dah kwann kiswahil hakitumik jamn

    • @willemdachi
      @willemdachi  10 วันที่ผ่านมา

      @@MaulidiAthumani tutalifanyia kazi

  • @saidjumanne1201
    @saidjumanne1201 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you for sharing with us this valuable information,

    • @willemdachi
      @willemdachi  3 หลายเดือนก่อน

      Shukuran sana kwa kunitia moyo🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @SikudhaniSefu
    @SikudhaniSefu หลายเดือนก่อน +1

    Thanks bro

    • @willemdachi
      @willemdachi  หลายเดือนก่อน

      @@SikudhaniSefu same to me 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @MKANYIA
    @MKANYIA 5 วันที่ผ่านมา +1

    Je, mtu anatakiwa awe na sifa gani ili awe mkandarasi wa umeme aliyesajiliwa na tanesco?
    Je, ikiwa mtu mwenyewe (yaani mwenye nyumba) ambaye shughuli za ukandarasi wa umeme anaziweza, ikiwa ni pamoja na kuchora michoro ya umeme ila hajasajiliwa na tanesco; je anaweza kujaza kipengele cha mkandarasi yeye mwenyewe na tanesco wakazikubali taarifa zake?

    • @willemdachi
      @willemdachi  5 วันที่ผ่านมา

      @@MKANYIA sifa ya kua mkandarasi anae tambulika na tanesco ni lazima uwe na lesen ya ewura then una peleka kweny ofisi yeyote ya tanesco wana kuingiza kweny system. Pia huruhusiw kufanya taratibu zozote za ukandarasi za kumjazia mteja taarifa zake za wiring kama hutambulik na tanesco, kwa sabab system itakukataa mana taarifa zina jazwa kweny mfumo wao ambao ili uwez kujaza taarifa lazima uwe na lesen namba na password wanayo kupa baada baada ya kukutambua kama mkandasi wao Asante🙏🏻