ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Si mzitoe kopi mjaze muwape kama mfano ili wasikoseeAu wajanze wakielekezwa na anayejuaMuweke mtu anayejua kila kata awasaidie
Kweli.wawewakamavu.mtu
Kweli 👍ila bado najiulizaga ina maana wa ccm wao huwa ni majiniaz 😛😛hawakoseagi au ndio janja janza zinapitaga
Lisu.hapo.mchezo.mzuriSana.mafundisho
Mawazo yangu ni kwamba zitolewe photocopy kwa wagombea wafanye kama mtihani harafu wasaishwe kama wamepatia.
Walisema hakuna chama kinaitwa chadema
Safari hii hawatasema tumejaza vbaya tena
Matawi,bila Ofisi
Apige picha hiyo fomu wakati ishatiwa Saini pamoja na muhuri
Chadema ndo hawajui,kusoma na kuandika
Na bado mtakosea kujaza tu
Huku Nanyumbu hakuna matawi
Kwa nini wakati mtu anajaza fomu asisaidiwe na huyo mtoa fomu au aondoke nayo akasaidiwe na mwingine?
Kamanda Lisu wapige picha baada ya kukamilika
Si mzitoe kopi mjaze muwape kama mfano ili wasikosee
Au wajanze wakielekezwa na anayejua
Muweke mtu anayejua kila kata awasaidie
Kweli.wawewakamavu.mtu
Kweli 👍ila bado najiulizaga ina maana wa ccm wao huwa ni majiniaz 😛😛hawakoseagi au ndio janja janza zinapitaga
Lisu.hapo.mchezo.mzuri
Sana.mafundisho
Mawazo yangu ni kwamba zitolewe photocopy kwa wagombea wafanye kama mtihani harafu wasaishwe kama wamepatia.
Walisema hakuna chama kinaitwa chadema
Safari hii hawatasema tumejaza vbaya tena
Matawi,bila Ofisi
Apige picha hiyo fomu wakati ishatiwa Saini pamoja na muhuri
Chadema ndo hawajui,kusoma na kuandika
Na bado mtakosea kujaza tu
Huku Nanyumbu hakuna matawi
Kwa nini wakati mtu anajaza fomu asisaidiwe na huyo mtoa
fomu au aondoke nayo akasaidiwe na mwingine?
Kamanda Lisu wapige picha baada ya kukamilika