Tundu Lissu Acharuka Sakata la Wagombea wa Upinzani Kuenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 158

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +3

    Mkakubali.kupigwa maneno ya maslahi binafsi mkaacha hoja muhimu za kitaifa.
    Mkumbuke kuna Mungu. Watu wanamwomba mungu sana na hayo ni majibu ya maombi yao. Yanayofanyika nyuma ya pazia yanafichuka. Kumbe hasira zote hizi ni matokeo ya kupingwa chini. Mmegundua hakuna kupewa uteuzi wa ubunge wala uwazuri. Poleni sana. Mungu hakupendezwa na hizo janja zenu za kujinufaisha binafsi kwa kutumia migongo ya watu wa Mungu. Jitafakarini sana.

  • @zawadichisunga6107
    @zawadichisunga6107 14 วันที่ผ่านมา +10

    Mnatuambia tuombee uchaguzi je ipo sababu ya kuombea? Mm navona wasimamizi wa uchaguzi hawataki upinzani basi hakuna haja ya uchaguzi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 14 วันที่ผ่านมา +3

      Siyo wasimamizi. Ni mfumo mzima😢😢😢

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa 14 วันที่ผ่านมา +10

    Huu ni ushetani kabisa hakuna tena hofu ya Mungu halafu washenzi hawa waendelee kuitawala nchi hii tumekwisha.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +2

    Umenza vizuri sana kuelimisha lakini unimalizie vibaya kwa kutoa siri ya kwanini mliamua kukaa kimya. Mngeshughulikia haya mapema tusingekuwa tunazungumzia hayo saa hizi. Mngeyamaliza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi.

  • @lwelenjalferdinand671
    @lwelenjalferdinand671 14 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu ni Mwema. Tuendelee kumweleza maana anasikia.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 14 วันที่ผ่านมา

      Indeed. Let's pray unceasingly because God listens

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 13 วันที่ผ่านมา +1

    Waoo walishaziba Masikio wala hawaelewi na wataendelea na Uchaguzi bila kujali haya Malalamiko.
    Wanaipenda Dunia na Wanaiacha bure...

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana Samia kwa kuwalaghai sababu walitaka kuwasaliti wananchi wanaowaamini. Bora wamejichanganya wenyewe

    • @palisa-m2k
      @palisa-m2k 13 วันที่ผ่านมา

      Mjinga tu ww

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@palisa-m2k wewe mjanja? Fanya analysis tumia kichwa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kama mliyajua hayo makosa ya 2019 hayajarekebishwa kwanini mkakubali kuingia kwanye uchaguzi? Mnatusumbua bure na kutuvunja nguvu.
    Acheni michezo hiyo viongozi wa upinzani mnatuvuruga.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hiyo mliingia kwenye uchaguzi mkijua hakuna uhalali? Mkijua kabisa kuwa mtashindwa?
    Kumbe ilikuwa kwa faida zenu binafsi za kupewa vyeo. Asante mungu nia yenu haikuwezekana

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wanaengua wapinzani kwa sababu wanajua wapinzani hawana hoja za maana. Viongozi wao Wakipata nusu mkate wanakuwa tayari kuwauza wanachama wao. Nyie nanjaa zenu ndio mnawapa kikiuri hao.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Umesema "Tukaacha kuzungumza hoja za msingi" kwaahadi za nusu mkate....why Lissu why?

  • @Longinojohanes
    @Longinojohanes 14 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani viongozi wetu huku mwanza watu wamekatwa ote majina yao mwanza kisesa kata ya bujora sasa tunawaomba viongozi wetu lisu na mbowe wapibgieni kabisa ccm walundishe majina ya wangombea jamani nini hiki sasa tunawaomba mje mbowe kata ya bujora kisesa mwanza tunaonewa san huku

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x 13 วันที่ผ่านมา +1

      Wanasema eti wamekosea.najiuliza ni wao tu ndio wanaokosea.Ccm wao hawakosei?hii dhambi itawatafuna.Mungu yupo

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante mungu na nyie mumechuuzwa hamkupewa vyeo juu kwa juu. Mlitaka kutuchuuza wananchi sasa yamewarudia. Mlifumbia macho mambo ya msingi kwa ahadi fake sasa yamewarudi na nyie. Dhambi mliyotenda amewaumbua vibaya na bado.
    Dhamira yenu haikuwa safi ndiyo maana saa hizi tunahangsika na mambo ambayo mlipaswa kuyamaliza bado mapema kabla ya uchaguzi. Mnatuvuruga tu aliko zetu

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 14 วันที่ผ่านมา +3

    Ccm hawawezi kushinda hata kata moja kwa haki hawakubaliki tena wamebaki tu na ujinga wa kupita bila kupingwa

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 14 วันที่ผ่านมา +6

    Hata hivyo mlijitahidi sana kwenda maandamano, Mahakamani na kulaani haya Marengo ila CCM wanalitumia Bunge mahakama na polisi!

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 14 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa kisheria hii imekaaje kuhusu yanayoendelea 😢😢😢

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา

      @@adelinelyaruu3036 ni wananchi tu wenye uwezo wa kusema basi yatosha bila kuharibu chochote wala kufanya fujo kukataa kwa amani kwa hili siyo vyama tena kwani vyama vinakutana na nguvu ya walinda sheria ambao wamekuwa wavunja sheria mahakama siyo wananchi tena bali ulinzi wa serikali bunge ndiyo hata usiseme siyo mwakilishi tena wa wananchi amebaki Mpina pekee ataweza?? Polisi ndiyo kabisa wakisikia CDM wanapanga maandamano tena ya amani wao wanaandamana kwa silaha kwa shari Wamasai wa Ngorongoro ni mfano mzuri ingawa hawakufanyiwa fujo si kwa sababu watawala walipenda bali unyeti wa eneo linalotembelewa na dunia nzima vinginevyo wangekiona cha mtema kuni mwenye sikio na asikie Roho wa Mungu akiliimbia taifa letu
      Mungu turehenu
      Mungu tutetee
      Mungu tupe hofu yako
      Mungu usihukumu taifa letu kwa dhambi ya mtu mmoja bali tunakuomba ushughulike na wale wanaotenda maovu wawe CCM au wapinzani na hata viongozi wa dini wanaopokea rushwa na kushindwa kukemea maovu
      Tuhurumie na ughairi hasira kwa watu wako kwani umesema haki huinua taifa na sasa haki tumeifisha tunasubiri aibu ya kuangamia lakini wewe ni mwenye huruma umesema akiwepo mmoja tu mwenye haki hutaangamiza naamini huko serikalini bungeni mahakamani na polisi na viongozi wa dini yupo mmoja tu mwenye haki mbele zako watumie hawa ee Mungu kuinusuru tunu ya taifa letu
      Mwenye haki aseme AMEN

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา +1

      Mwenye kupenda dhuluma anaruhusiwa pia kusema hapana na kupinga yanayolitakia taifa letu amani ya kweli kwani Watanzania siwashangai kwa kuwa tumelishwa matango pori tuna macho hayaoni tuna masikio hayasikii tunasifu wanadamu kuliko Mungu kama si huruma ya Mungu tungeangamia siku nyingi

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

      Pia wanawatumia wapinzani wanaojali maslahi binafsi kwa kuwaahidi vyeo na nusu mkate. Nao pia ni wasaliti. Wanatumika kuangamiza vyama vya upinzani na kuharibu uchaguzi.
      Leo ndiyo tumeyajua

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 10 วันที่ผ่านมา

      Yes wanatumia hivyo vyombo ulivyotaja lakini pia wanawatumia viongozi dhaifu wa upinzani kwa ahadi za nusu mkate ili kutimiza malengo yao. Nao wanadanganyika wanawageuka wafuasi wao. Kazi iko tena kubwa sana

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe mliacha kuzungumza kwa nguvu kuhusu mambo ya katiba mpya, mfumo wa demokrasia, mfumo wa mzuri uchaguzi mkijua kabisa tunaelekea kwenye uchaguzi....hamkuona kama mnawasaliti wananchi wenu wanaowaamini.na.kuwafuata nyuma? Hamkuona umuhimu wa kuwasemea? Sasa kama huo siyo usaliti ni nini? Mmewakosea sana wananchi wa taifa hili waliowaaaminj na kuwategemea kumbe mnajipigania matumbo yenu wenyewe? What a shame!!
    Ukweli huu unaumiza sana. Tena kwa kunywa chako mwenyewe siyo kusingiziwa na mtu. So painful

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanini mliacha kutetea maslahi ya taifa kwa ahadi za kupewa madaraka ya bure? Mmetuangusha vibaya sana. Hamuaminiki tena

  • @RobertSanga-l8e
    @RobertSanga-l8e 13 วันที่ผ่านมา +1

    CCM haiwez shindana nachadema kwahaki

  • @ChugaYechu
    @ChugaYechu 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna mapinduzi ya amani tena

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukweli ka maelezo haya nitashagaa kama huu uchaguzi utafanyika, maana hii si HAKI!!

  • @PatrickNyaonge-h3r
    @PatrickNyaonge-h3r 12 วันที่ผ่านมา

    Ila wanaofanya unyama huu watambue c.c.m ilianza na itaisha na unyama huu watabeba garama yake siku moja
    Mungu ni wa wote. Yeremia 9:23

  • @WilliamKyando-u3z
    @WilliamKyando-u3z 14 วันที่ผ่านมา +4

    Sasa tuna chagua nn

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu anaona yote yanayofanyika gizani. Anaona hila zote. Namungu bado anatupenda sana. Angalia wakati umefika wa kuyaanika ya gizani hadharani. Kumbe ukimya nautulivu wenu wa kuacha kupigania mambo ya msingi kwa wananchi wenu kama katiba na mfumo mzuri wa uchaguzi ulisababishwa na maridhiano ya kuahidiwa vyeo kama ubunge na uwaziri nk.
    Siri zinafichuka sasa.
    Mungu hatawaacha muendelee mtumie watu wake kwa manufaa binafsi. Safisheni nafsi zenu mtende yaliyo haki na kweli yanayompebdeza Mungu, hapo mtashinda bila kutumia nguvu kubwa.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani hamkujua hayo hatatokea? Kwanini hamkujihadhari? Sasa mnatulilia sisi tufanyeje? Mnatuchanganya akili tu. Na sisi tunachoka. Mngejiyoa kwenye uchaguzi. Au kwa sababu nyie wachache mliahidiwa vyeo vikubwa? Msitukoroge bwana

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 วันที่ผ่านมา

    Hayo maneno ya mwisho ndio ya kusimamia tu.

  • @HamimMbango
    @HamimMbango 14 วันที่ผ่านมา +3

    Watendaji watume ya uchaguzi tumiani busara nnchi mutaipeleka kwenye matatizo iyo saiz kwa kutetea maslai ya mafisadi nanyi mukinufaika kwa maslai machache sana

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

      Wabaya zaidi ni hao hao viongozi wetu wa upinzani wanaotuuza wananchi kwa ahadi za nusu mkate. Wao ndio waliosababisha yote haya. Wangesimama imara kwa maslahi ya taifa Leo hii tusingekuwa na haya maugomvi...wangeyamaliza mapema sana kama wangetaka. Wao ndio wametuuza kwa bei ya nusu mkate.

  • @matrida-w3o
    @matrida-w3o 13 วันที่ผ่านมา

    heeee makubwa mungu tusaidie tinateseka sisi wahali zachini

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hii hatari sasa

  • @JAFARILilenga
    @JAFARILilenga 13 วันที่ผ่านมา

    Ni kwer kaka

  • @ibrahimbaila7764
    @ibrahimbaila7764 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi kama watu hawataki changamoto kwann mnaitisha uchaguzi? Kama watu hawataki wapinzani wawepo kwanini uchaguzi huwepo? Kwann tuwe nauchaguzi wakati watu wanataka wawe wenyewe .

  • @JOHNLUCAS-i2n
    @JOHNLUCAS-i2n 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekukumbali sana hapo

  • @JamadaHabibu
    @JamadaHabibu 11 วันที่ผ่านมา

    WEW UNA UWEZO SANA ILA TATIZO LAKO NI KUSHABIKIA USHOGA!
    CKU UKIKANUSHA HILO KUWA HUSHABIKII USHOGA NITAKUUNGA MKONO KWANI CCM C WATAKI

  • @maase2023
    @maase2023 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmhhhhh ovyooooooo huyu! Kila mwaka anaibiwa yy tu mmmmhhhhh

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ajabu. Kwanini asizuie kuibiwa?
      Amepokea ahadi feki za vyeo aladanganyika sasa anamlilia nani?

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 12 วันที่ผ่านมา

    Mchinjita alisema sana hilo ACT WENZENU WALIFUNGIWA KESI MAHAKAMANI na umelikiri hilo wenzenu mulitakiwa muwaunge mkono tangu mwanzo.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา

    Aliyeuza chenji kauza CHENI bandia na aliyenunua cheni katoa pesa bandia. Mungu amewaumbua sababu mlitaka kujinufaisha wenyewe nyuma ya mgongo wa wananchi.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanzo wa speach ulikuwa mzuri unafafanua japo kilikuwa na maswali mengi kwamba kwanini mliamua kushiriki.
    Mwishoni imeeleweka kwanini mliamua kwa makusudi kufumbiia macho mapungufu hayo. Ilikuwa kwa faida zenu binafsi bahati mbaya mambo yameenda vibaya mnatoa siri hadharani. Mungu mkubwa. Na bado mtasrma siri zote watu watajua mbivu na mbichi ni zipi. Watu wana akili zao.

  • @MUHAJIMTONOYA
    @MUHAJIMTONOYA 13 วันที่ผ่านมา

    Lakini zile fomu zilijazwa kwa umakini?

  • @PatrickNyaonge-h3r
    @PatrickNyaonge-h3r 12 วันที่ผ่านมา

    Hi inadhibitisha kuwa nchi za kiafrika hususan Tanzania hazikupokea mfumo huu kwa dhati tulizoea utemi basi ni aibu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Afadhali Magufuli alikuwa na nia njema na nchi yetu kutokana na uchapakazi wake na alikuwa na malengo ya kuinua taifa hili kiuchumi na kila mtu mwema alikumbali.
    Tuseme ukweli kazi za Magu xilimgusa kila raia na zilidhihirika zenyewe kwa vitendo. Ukuaji wa uchumi, miundombinu ya barabara imara, huduma bora maofisini, mahospitalini nk. Wanyonge waliweza kupata haki zao na ule usemi wa "unanijua mimi nani" ulitoweka kabisa. Ufisadi ulipungua sana na nidhamu ilionekana. Hiyo pekee ilisababisha watu kumkubali sana yeye na wateule wake bila kulazimishwa au kuhongwa.
    Hilo halipingiki wala haliwezi kufutwa kwenye akili zetu kirahisi.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 12 วันที่ผ่านมา

      @@marieconnect6389 nakubaliana na wewe kuwa kuna kazi zinazoonekana lakini mahali tunapokwama wanadamu wote ni kujua nini maana ya mafanikio na furaha ya kweli maendeleo vitu hayaleti furaha wala amani kama hakuna upendo wa kweli kuna familia na ndoa zenye utajiri lakini maogomvi hayaishi hakuna kitu kibaya na akichukiacho Mungu kama dhuluma kunyima haki kutoa uhai wa mtu kumwaga damu ya mtu mmoja tu ndiyo maana Kaini alikuwa na mali alipomuua Habili Mungu alimwadhibu wote walikuwa na mali lakini kukosa upendo kuliwaletea vifo wote aliyevunja upendo na aliyevunjiwa upendo
      Kama JPM angetuachia katiba mpya na alikuwa na huo uwezo nchi ingepaa sana na hiyo legacy isingefutika lakini angalia sasa alilinda rasilimali lakini hakuweka katiba ya kuzuia yeyote awe Rais au mwananchi kushtakiwa je bandari si rasilimali misitu nk je ile sheria isiyo na katiba imara imeweza kuzuia kuzitoa kwa wageni
      Watanzania tuingie ndani kwenye mambo ya nchi yetu tuwe na sera ya kitaifa siyo sera ya kila Rais na slogan zake akiondoka tunaanza moja

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mkadanganyika kwa ahadi za vyeo mkakubali mkaacha hoja za,msingi kama kupigania katiba mpya na mfumo bora wa uchaguzi. Mmeingizwa mkenge sasa mnalalamika nini? Hizi siasa ndiyo maana zinatushinda hatujui tumwamini nani sasa.
    Maridhiamo kumbe yalikuwa ya maslahi binafsi? Sasa mnaweka mambo hadharani.
    Tuwasaidiaje? Mnatuchanganya tu kwa kweli.

  • @MUHAJIMTONOYA
    @MUHAJIMTONOYA 13 วันที่ผ่านมา

    Huyo lisu ajajiandikisha, kumbe wao wanawategemea wapigiwe kura na Wana CCM

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

    Siri imefichuka sasa. Hicho kipande cha mwisho kimenishtua sana. Kumbe ilikuwa ahadi za chinichini za kupewa vyeo vikubwa kisirisiri? kuteuliwa ubunge, uwaziri nk? Watu tungejuaje hayo? Maana hayakuwejwa hadharani. Asante mungu.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 12 วันที่ผ่านมา

      @@marieconnect6389 usishtuke bali tafakari maridhiano ni mapana hata kushirikiana kuongoza au kutawala ni kitu kizuri kama kitaondoa uhasama na kuleta maendeleo hata nchi kubwa za Magharibi ambazo ndiyo tumeiga demokrasi kuna wakati wanaunda serikali ya pamoja uingereza ilishafanya hivyo mara nyingi America haina mipaka ya kuwatumia wanachama wao tu katika kuleta ufanizi kwenye vikao vya senate hawaungi hoja zitolewazo na chama chao ikiwa kinakiuka maslahi ya nchi unakumbuka democrat na republican waliungana kumtoa Nixon madarakani kwa kashfa ya Watergate au swala la umalaya ofisini la Clinton huo ndiyo uzalendo vyama vingi siyo uhasama bali kuijenga nchi sioni shida mimi Rais Samia akamtumia yeyote Manzania kwa ajili ya kuleta tija kwani nchi ni yetu sote na tu Watanzania vyama vitakoma lakini utanzania ni udugu wa milele

  • @maase2023
    @maase2023 12 วันที่ผ่านมา

    Hawa washazidiana maarifa huko chadema juu ya mgao sasa vurugu wanalo kisha eti tuwape kura hawa si mtihani utakuwa

  • @PatrickNyaonge-h3r
    @PatrickNyaonge-h3r 12 วันที่ผ่านมา

    Wapi watu walionyuma yenu kwa dhati lakn kinachonishangaza sisi watanzania mnaotupigania hauoni faida yenu baya zaidi watu hawaoni faida ya upinzani na wanafurahia udikteta was c.c.m wakati mnahatarisha maisha yenu kwa ajili ya wengi, bas mtuache tu tuteseke

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

    HII HABARI YA MARIDHISNO BANDIA yaliyofanyika NYUMA YA PAZIA kwa ahadi BANDIA za vyeo, INAFANANA sana NA habari ya
    ALIYEUZA CHENI KAUZA CHENI BANDIA NA ALIYETOA PESA KATOA PESA BANDIA.
    NGOMA DROO.
    Mlitaka kupumbaza wananchi sasa mmepumbazika nyie....poleni sana

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา +4

    Magufuli ameacha legacy mbaya sana

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

      Sio kweli.
      Kama hawa viongozi wa sasa hawawezi kutelekeza makubaliano yao wenyewe hayo ni makosa yao siyo ya Magufuli. Wakichemka msitafute wa kumtupia lawama wakati nyie mpo hai na yeye hayupo hai, wanashindwa nini? Hayo ni madhaifu yao wao siyo ya Magu.
      Kurekebisha makosa kama yaliwahi kuwepo ni wajibu wa waliobaki hai siyo marehemu.
      Leave mugu alone

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา +1

      Not true. You don't know him and his work. Ameacha record ambayo itakuwa ngumu sana kuvunja iwe ccm au hata chadema. Ni ngumu. Hawataweza kufukia record ya utendaji wake. Hilo halipingiki

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 12 วันที่ผ่านมา

      @@marieconnect6389 I mean hii ya uchaguzi wa uchaguzi maendeleo ya vitu ni temporary lakini kuishi kwa upendo ni tunda la amani ingekuwa maendeleo vitu ni muhimu tusingeshuhudia majengo mazuri na mindombinu ikiharibiwa Ukraine na middle east

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 12 วันที่ผ่านมา

      Uchafuzi wa uchaguzi

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 12 วันที่ผ่านมา

      Kuuana na kutekana ni dhambi mimi natazama kwa jinsi ya rohoni ikiwa ni uhusiano wetu na Mungu kuwa usiyotaka kutendewa usimtendee mwenzako kuengua wapinzani ilianzishwa na JPM tena kwa wazi ndiyo maana hata SSH ameliona hilo na ameshtuka kuwa haimpendezi Mungu na ameagiza Tamisemi isiwaengue wapinzani

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 14 วันที่ผ่านมา +3

    Swali kwa wadau,kati ya ccm na chadema chama kipi kimepoteza dira na mvutonkwa wananchi?

    • @mballaJR25
      @mballaJR25 14 วันที่ผ่านมา

      Mvuto ni nini kwani?

    • @PaulMsema
      @PaulMsema 14 วันที่ผ่านมา

      @mballaJR25 mvuto ni ushawishi

    • @PaulMsema
      @PaulMsema 14 วันที่ผ่านมา +1

      Mr mballa umenielewa mvuto ni ushawishi kwa tafasiri fupi

    • @mballaJR25
      @mballaJR25 14 วันที่ผ่านมา

      @@PaulMsema ccm haina ushawishi kwa sasa mana ushawishi asilia haufosiwi

    • @PaulMsema
      @PaulMsema 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@mballaJR25 unaweza kuwa sahihi sana maana Ccm haiwaamini tena wananchi kwenye sanduku la kula

  • @Isaya-j4x
    @Isaya-j4x 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mi naona sasa serikali imeishiwa plan ,na mamboyao ya ajabu ajabu wanayofanya

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 14 วันที่ผ่านมา

    Huu ni uonevu sana yaani kama hamta wakata miguu hao wagombea wa ccm wataendelea kukuchezeeni hii sio sawa

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา

      @@kinkybanjukome217 wewe unawaambia wawakate miguu halafu sheria iwahukumu wakati wewe utakuwa umetulia nyumbani kwako nenda wewe ukawakate miguu hiyo siyo njia nzuri ya kutatua tatizo bali kuongeza tatizo na kusababisha chama kufutwa ndiyo maana nasema ni Watanzania wote kukataa kwa amani siyo kumdhuru mtu ambaye pengine kaelekezwa tu ataumia mwenye haki na kumwacha mhalifu tusichochee machafuko bali tukatae kwani haya yanayofanyika tayari ni machafuko tukijibu kwa machafuko tutaangamia wote kuna njia nzuri kama tungekuwa wamoja kwa mfano migomo ya polisi mahakama bunge na wananchi makazini wafanyabiashara kwap siku moja tu bila hata maandamano watawala wangeruhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ambayo haya mawili ndiyo yanayoliangusha taifa letu na bila suluhu ya haya lazima tutaangamia Mungu siyo mjinga aliposema kura huondoa mabishano na hukomesha watawala

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 วันที่ผ่านมา

    Hilo ndilo lililobaki tu.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 วันที่ผ่านมา +1

    Matatizo yote haya mmetusababishia nyie. Mngeyamaliza mapema kabla ya kuingia kwenye uchaguzi. Mmetuingiza mkenge sababu ya ahadi mlizopewa za kupewa vyeo. Mnatusumbua sana akili.
    Acheni michezo hiyo haitawafikisha popote.

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 14 วันที่ผ่านมา

    Hawa CCM wanachotafuta watakipata ,hata huyo mkuu wao Mungu ameisha makataa,ukombozi unakuja

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 14 วันที่ผ่านมา +2

    Viongozi wa dining nadhani mnayaona yanayoendelea.
    Mnapofanya ibada na kuweka maneno "Tumwombee Rais wa nchi na viongozi wa Serikali yetu" tuwaombeni haya maneno mkayafute kwenye hiyzo vitabu zenu kiukweli!
    Nanyi mjitokeze kwenye kadamnasi kulaani hayankama.alivyotenda Pd. Kitine anajali maslahi ya waTanzania.

  • @Sultani-f7u
    @Sultani-f7u 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mze wanatuzoeya hawa

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 14 วันที่ผ่านมา

    Unabwabwaja nini wakati hata kujiandikisha hukujiandikisha

  • @workmantiktok
    @workmantiktok 13 วันที่ผ่านมา

    chadema wana hoja za hovyo kweli akili zao zipo matakoni

  • @MshacyAwadh
    @MshacyAwadh 13 วันที่ผ่านมา

    Mimi sitapiga Kura nasijisubuitu nauchaguz ira taifahiri wanaripereka kwenye Vita mbaya naivyovita muguataigiriya kat

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 13 วันที่ผ่านมา

    Ufumbuzi wa malalamiko yako ndani ya chama chenu futa maandamano haya saidii jipangeni kuanzia matawini

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama na gengi lake la wahuni wamuogope mungu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา

    "Tunaingia laini tukaacha kuwa wakali" Kwanini? Kwa faida ya nani sasa? Mbona wananchi hawakuyajua hayo ili nao waridhie huo utaratibu? Au ilikuwa mambo ya gizani?
    Bora yamefichuka watu tumejua.

  • @NiazonBukoke
    @NiazonBukoke 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo lissu umeharibu, sema hiv hakuna kuweka vituo bila kurudishwa wagombea wetu.....yaan vurugu vurugu tu hivyo

    • @gelamuyombo6783
      @gelamuyombo6783 14 วันที่ผ่านมา

      Mnaweza kufanya vurugu

    • @vincentmpupua5839
      @vincentmpupua5839 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@gelamuyombo6783nani afanye vurugu? Ili iwe nini? Unataka watu wapotezwe,wavunje miguu,wafe, huna uzalendo wewe

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 14 วันที่ผ่านมา

      Maneno tu! We uoga umekujaa kama mwanamke shame on you!

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 13 วันที่ผ่านมา

    Hawa wanachama wa CCM Mimi nawashangaa,kwasababu wapinzani ni watanzania kama wao wapinzani pia wanatoa ushuru wa nchi tena zaidi Yao kwanini hawataki wengine wawe viongozi wa nchi wanataka wao ndio waongoze milele kwanini wanakuwa na hofu ya kushindwa au kwasababu ya dhulma zap kwa wananchi wanadhani kuwa watawajibishwa kwa maovu yao

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 14 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni kaka yake na Kamala Harris 😂😂😂😂

  • @TonyTrans-xw3bb
    @TonyTrans-xw3bb 14 วันที่ผ่านมา

    wewe unayesema ccm chama kubwa mbona wanaogopa uchaguzi

  • @lembricesaravo3543
    @lembricesaravo3543 14 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 14 วันที่ผ่านมา

    NA NI KWANINI UPEWE UWAZIRI WA BURE?

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 14 วันที่ผ่านมา

    Waliwaambia lakini kuwa wameshashughukia tayari kila mtaa, kijijini, mmesahau yule wa Rongido? Ex Dc,

  • @matanokitwana3249
    @matanokitwana3249 14 วันที่ผ่านมา

    Utabakia na sisa za kinafiki huna jipya hata kujiandikisha haujaenda unaongea nini

    • @SkyConnect-z6x
      @SkyConnect-z6x 14 วันที่ผ่านมา +1

      Bado tuna watu wa aina yako tz?daah

    • @asiliyetuonlinetv5063
      @asiliyetuonlinetv5063 14 วันที่ผ่านมา

      Ni huzuni kwakweli​@@SkyConnect-z6x

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 14 วันที่ผ่านมา

    Washenzi wakubwa hao ccm kwani hao wagombea wa ccm Wana kazi ya kufanya Zaid ya ukulima ? Mbwa sana hao

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 14 วันที่ผ่านมา +1

    CCM iendelee kuiongoza Tanzania vinginevyo Tanzania 🇹🇿 itaingia vita vyawenyewe kwa wenyewe maana dundu nimutiifu wa kibebelu

    • @FrankJuma-i8m
      @FrankJuma-i8m 14 วันที่ผ่านมา

      @@ezekielsabiyumva8048 bebelu ndo nn. Wamekupididia e!!!!

  • @SilaaaMafoo
    @SilaaaMafoo 13 วันที่ผ่านมา

    .

  • @CleverNkota
    @CleverNkota 13 วันที่ผ่านมา

    Hawa wajinga wanaona inchi niyao kumbuka xiku yaja

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 14 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahahahahahahahaha duh hata kama! Tundu Lissu wewe na familia yako hamja jiandikisha kwenye daftari ya wapiga kura... Sawa hata kama si uchafuzi kama mwaka 2020 Tundu Lissu mwenyekiti gani utampigia kura?

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา +2

      Acha ujinga taifa linaangamia wewe unaongea upuuzi

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 14 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo wabongo mnaishi kwa mazoea CCM wanaharibu nchi wanakoipeleka nchi siyo kuzuri ipo siku pamoja na CCM kulitegemea jeshi la polisi wanaharibu nchi wanalazimisha nchi kutawaliwa na CCM ipo siku watanzania watachoka tutakuja kuingia kwenye machafuko

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา

      @@GodfreyMwamaso hajui kuwa haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya wote aibu ni nini kwanza wizi wa aina yoyote ni dhambi na ni aibu kwani ni uovu hakuna aliyeruhusiwa iwe kidini au kipagani kuiba au kutokutenda haki yanayofanyika yatuaibisha ndani na nje ya nchi lakini zaidi kwa tunaomini kuna Mungu tunafahamu kuwa Mungu amekasirika sielewi wanaotenda haya ni wa aina gani kwani hata kama ni wapagani hawafanyi haya kwangu mimi huko mbele kuna kiza ambacho ni cha mchana na usiku Lisu ana sababu nzito zenye mashiko kwa nini hakujiandikisha kuna waliokuwa hapa kwa mamilioni hawajaandikisha ndiyo maana tumeshuhudia watoto wakiandikishwa watu kufuatwa vyuoni mpaka mwanafunzi mmoja kufungwa kwa kukemea wengine kufuatwa masokoni ambayo si taratibu yote haya nu angamizo kwa taifa mwenye sikio na asikie Roho wa Mungu analowaambia taifa hili tuchukie dhuluma na sio kuikumbatia ushabiki kwenye taifa kwa mlengo wa vyama ni mauti kwa wote

    • @peterjohnson167
      @peterjohnson167 13 วันที่ผ่านมา

      @@GodfreyMwamaso Nendeni Chato kaburini kwa Magufuli mkamwambie hali ya siasa ni ile japo haupo kwenye mfumo wa uongozi... Na la mwisho mkaombe Magufuli msamaha...

  • @fredfuam8388
    @fredfuam8388 14 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu akijisikiliza atajikataa hana hoja ya msingi kabisa

    • @SwamaduMtoima-q8r
      @SwamaduMtoima-q8r 14 วันที่ผ่านมา

      Choko ww

    • @gangan4618
      @gangan4618 14 วันที่ผ่านมา +3

      Kweli hilo ni choko la Fisiem.

    • @gangan4618
      @gangan4618 14 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@SwamaduMtoima-q8rKweli

    • @gangan4618
      @gangan4618 14 วันที่ผ่านมา +3

      Kenge wa kijani wewe

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 14 วันที่ผ่านมา +3

      Wewe unaweza kujilinganisha na lisu au ni upumbavu tu na elimu ndogo uliyonayo

  • @rich-lr8tq
    @rich-lr8tq 13 วันที่ผ่านมา

    baada ya Lissu kuongea ndo akaja Nchimbi na swaga za kuongea na Samia kuwawagombea wa upinzani warudishwe, haya mambo tumlaum mwendazake

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 13 วันที่ผ่านมา

      Tujilaumu tuliopo na tuwalaumu upinzani sababu walijua hayo yatatokea lakini wakaamua kuinaingia tu.

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 14 วันที่ผ่านมา

    😂 Nyie mmeshapokea chenu acheni kudanganya wananchi... Ukiwa Mwanasheria nguli haya madhara ya Tamisemi kuwa msimamizi hukuyaona? Kama mahakama iliibariki tume kivipi nyie mkakubaliana na Tamisemi?

  • @iamwangdamin
    @iamwangdamin 14 วันที่ผ่านมา +1

    CCM CHAMA KUBWA. NASHUKURU MHE. TUNDU LISSU UMEONA KUWA CHADEMA HAMUWEZI MAMBO , JIPANGENI UPYA. CCM OYEEEEE. CCM MBELE KWA MBELE. ENDELEENI KUONGEA KWENYE MITANDAO. CCM IMEJIPANGA . CHADEMA WASEMAJI WENU SIKU HIZI NI JAMII YA AKINA MDUDE . YOU GUYS ARE TOO LATE.

    • @JonathanMGAIWA-ow4py
      @JonathanMGAIWA-ow4py 14 วันที่ผ่านมา +1

      Hujielewi

    • @IbraMputa
      @IbraMputa 14 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe kuma kabisa wakingia kifua ccm mkundu wako wewe yaani mambo yanayo fanyika ya hovyo kabisa unashabiki fala mkumbwa ww hujielewi kabisa

    • @GodfreyBaritelemi
      @GodfreyBaritelemi 14 วันที่ผ่านมา +1

      Una akili

    • @barnabamaliselo7123
      @barnabamaliselo7123 14 วันที่ผ่านมา +1

      Wew kuma kweli

    • @Harris-j4v
      @Harris-j4v 14 วันที่ผ่านมา +1

      Jinga