Nasema asante Mungu kwayote ulio yatenda kwenye maisha yangu pamoja nafamilia yangu nakushukur Mungu kwakumtumia mtumishi wako kwaajili ya mataifa namaboma
Mungu naomba usinipite niko hapa Kijiji kwawazazi wangu.naomba ukafungue afya ,uchumi na familia yangu.najitenga na roho za mautiktk jina la yesu kristo.
Mungu wa milele nakushukuru kwa neema yako ulioweka juu ya we Watu wako Duniani pote katika Mwaka huu 2024 nashukuri kwa wale waliotolewa kwenye dhambi na kuokolewa na uponyaji. Ashanteni kwa baraka ya uzima kwa familia yangu.Amen
Nashukuru MUNGU wangu Kwa huu mwaka 2024 umekuwa mwaka WA ajabu kwangu sitakaa niusahau kamwe nimeanza Maisha mapya na kuijua kweli ya Maisha yangu na familia..na asante Kwa Baba yangu WA kiroho mchungaji Paul mtura na Baba yangu WA kiroho Sumbe Kwa mafundisho mazuri na MUNGU Kwa kunichagulia hawa..endelea kuwabariki katika safari Yao ya kuipeleka injiri ya kweli..uwapiganie katika kila hatua..na Baba angu WA kiroho kesho anaanza safari yake y kumtumikia Bwana uko Kenya mkono wako ukawe pamoja nae..🙏✝️❤️
Amen 🙏🏾
I feel so blessed to be in your Alter under our Lord Jesus Christ 🙏🏾🎉
Mungu hazidi kumtunza mtumishi wake milele na milele nimebarkiwa sana sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Baba naomba unifungue afya yangu uchumi wangu na familia yangu kwa ujumla pia mngu uzid kumtunza mtumishi wako sumbe nampenda sana mtumishi wa mngu
Amen Amen Amen nashukuru sana Mungu kwa ukuu wake hakika tumepokea uponyaji
Mungu amenifungua kupitia mtumishi wake 🙏🙏🙏
Asante Mungu kwa ulizi wako kwangu pamoja na familia yangu.
Ee Mungu nashukuru sana kuaza mwaka na kumaliza mwaka chini ya madhabahu ya Vuka Yordani kwa Bishop Elibariki Sumbe, na Yesu kristo usinipete
Nimepokea kwa Imani kwa utukufu wa Mungu
Asante yesu kristo kwakuniongoza sadaka ya shukurani nikwaneema Yako bwana
Thank you Heavenly Father Thank you Jesus Christ Thank you holy Spirit
Nasema asante Mungu kwayote ulio yatenda kwenye maisha yangu pamoja nafamilia yangu nakushukur Mungu kwakumtumia mtumishi wako kwaajili ya mataifa namaboma
Mungu naomba usinipite niko hapa Kijiji kwawazazi wangu.naomba ukafungue afya ,uchumi na familia yangu.najitenga na roho za mautiktk jina la yesu kristo.
Thank you Jesus 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Yesu kwa cku hii ya leo
Mungu wa milele nakushukuru kwa neema yako ulioweka juu ya we
Watu wako Duniani pote katika Mwaka huu 2024 nashukuri kwa wale waliotolewa kwenye dhambi na kuokolewa na uponyaji. Ashanteni kwa baraka ya uzima kwa familia yangu.Amen
Namshukuru Mungu maana Kila wakati amekuwa mwema kwangu, ameyabadilisha maisha yangu Kwa wema.
Amen baba
Amen ❤Amen❤❤
AMEN 🙏 🙏 🙏
Baba nakushru kwa kunilinda na Bado unanilinda pamoj na familia yangu tunaomba usitupite baba pamoja na familia yangu kwa ujumla
AMEEEN AMEEEEN AMEEEEN
Amen 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
👋👋👋👋👋👋👋👋
Usinipite yesu sikuyaleo
Ansente kwakulinda jama yangu mpaka apa tulipo bwana
usinipite bwana najiunga n'a mazabao yako ilinamie nipateyale ulio andalia sana wako kuibada ii ya shukrani
Ansente bwana
Nashukuru MUNGU wangu Kwa huu mwaka 2024 umekuwa mwaka WA ajabu kwangu sitakaa niusahau kamwe nimeanza Maisha mapya na kuijua kweli ya Maisha yangu na familia..na asante Kwa Baba yangu WA kiroho mchungaji Paul mtura na Baba yangu WA kiroho Sumbe Kwa mafundisho mazuri na MUNGU Kwa kunichagulia hawa..endelea kuwabariki katika safari Yao ya kuipeleka injiri ya kweli..uwapiganie katika kila hatua..na Baba angu WA kiroho kesho anaanza safari yake y kumtumikia Bwana uko Kenya mkono wako ukawe pamoja nae..🙏✝️❤️
Nina kushukuru MUNGU kwakunilinda mpaka apanilipo nasema absente bwana
Thank you Jesus 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Amen ❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen AMEN
Nina kushukuru MUNGU kwakunilinda mpaka apanilipo nasema absente bwana
Amen
Amen AMEN
Amen 🙏
Amen 🙏