Schemu hizo zone mimi nipo kutembea na mume wa mtu, mwenda kwa waganga. Watoto wangu kufariki na huyu mume ambaye alikuwa mume wa mtu haeleweki katoka tena kwa ndani kumekuwa kwa moto machungu na maumivu nayapata. Mungu naomba unisamehe pia unisaidie yaniondokane mtumishi nisaidie Salome ng,elenge kutoka lringa wilaya ya mufindi
Yesu kristo Asante kwa kutufungua Mungu wa Askofu Elibariki Sumbe Alleluia alleluia alleluia.
Nisamea Mungu wangu usinibite 🙌🙌🙌🙌
Amen amen 🙏🙏🙏
Ee Mungu unisamehe unihurumie Yesu kristo aliye hai wa Nazareth.
Amen 🙏🙏
Ameen👏👏👏
Baba Mungu samehe Zambi zangu namakosa yangu naomba usamehe bila wewe sitafika popote Mungu wangu
Thank you dear lord
Najiunganisha na madhabaho hiyi ya vuka yordan Namuunganisha mwenzi wangu Mungu wa mtumishi bishop sumbe unitendeye miujiza kwa mwezi huyu
GOD have mercy on me 🙏🙏🙏
Unisamehe eeéee mungu wangu
Naomba unisamehe mungu
Forgive Lord for my wrong doings o God have mercy upon me😭😭
Amen
Mungu natubu zambi zangu nisamee sistahili
Mungu nisamehe kama nilikukosea
Nisamehe.pamoja nabwanagu
Bwana nisamehe sana dhambi zangu zimezidi kuwa nyingi, mbele zako sistahili kabisa
Schemu hizo zone mimi nipo kutembea na mume wa mtu, mwenda kwa waganga.
Watoto wangu kufariki na huyu mume ambaye alikuwa mume wa mtu haeleweki katoka tena kwa ndani kumekuwa kwa moto machungu na maumivu nayapata. Mungu naomba unisamehe pia unisaidie yaniondokane mtumishi nisaidie Salome ng,elenge kutoka lringa wilaya ya mufindi
Amen