SOMO - AGANO LA MAUTI | FULL VIDEO | 14-04-2019
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2021
- Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
Napenda fundisho lako Bishop elibariki nawafuata nikiwa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen Amen Amen Mungu apewe sifa. Zake kuu
Yes nisaidie mimi niwe mtumishi wako
Agano la mauti kwangu na kwa nyumba yangu mwisho
Mungu Naomba utuondolee agano la mauti ktk family yangu
Nakile ambacho nihaja yamoyo wangu naenda kukiona katikaulimwengu wadamu na nyama na ulimwengu wa roho
Mungu anisaidie san familia tuna shida na hakuna mwengine anaweza kutusaidia isipokuwa mung pekeake. Kuna mtoto wa jomba wangu yaani binamu yangu alijiunga na hicho chama cha Freemasonry Alimuuwa Bibi Baada ya myez 3 akamuua shangazi yake mme wa shangazi yake nando Baba yangu mdogo ambae ni mme wake na Mama yang mtogo tena Baada ya Miezi mi 2 anamuuwa tena mwanae wa huyu huyu alifariki yaani mwezi wa 2 ndo ametolewa Kafara baada ya baba yake kufariki. Sasa anasema et ataimaliza familia nzima . Ila naamini mungu wa Elibarik sumbe atatenda miujiza raho hiyi inaondoka kwa jina la Yesu Natokea Burundi 🇧🇮 Bujumbura napenda san kukufatilia kupitia mtandao na mwaka huu mwezi wa 4 nilitowa sadaka ya Kuijenga Ekalu ya Mung kanisa La Vuka Yordani.
Nashukuru sana bishop nimejifunza mengi Mungu akubari.nko Lebanon
Mungu azidi kuimarisha Kazimierz yake ndanikwako nakufuata nikiwa southafrica Rakini mi nimzarendo wa 🇧🇮 Burundi Asante kwama fundisho yako mungu arikupa naomba muniombey aniepushe nashida zamagonjwa nakira nacho jaribu hakipite muniombeye nifunguriwe
Nafunguliwa kutoka kwa agano la mauti katika jina la Yesu Kristo aliye hai
MUNGU ATULINDE NA MBAYA YA SHETANI NAJUA TUTA SHINDA 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇿🇦 🇿🇦 🇿🇦
Asante BWANA YESU KWA KUNIOKOA ASANTE KWA KUNIWEKA HURU ASANTE LIBARIKIWE JINA LAKO LIPITALO MAJINA YOTE
Naomba Mungu was mbinguni afungue milango wa kumufikia mutumishi wa mungu
Jamani nimejifunza mengi kwa hiii MUNGU AKUBARIKI sana MTUMISHI elibariki sumbe....
MUNGU asante umenitenga na kuzimu nahawataniona Tena milele
Mungu sema nami na Mtoto Wangu
ASANTE KWA KUNIWEKA.HURU ASANTE KWA KUNIOKOA MAISHA YANGU PAMOJA NA BIASHARA YANGU KWA AGANO LAKO LA MAUTI ASANTE BWANA YESU.NAKUPENDA YESU
Mtumishi munguakuzidishiyenguvu akuongezeyemyaka yakuishi ww na nyumba yako na tumbuiliyo kuzaa
Haijalishi tuko umbali gani, bado tunafunguliwa tu.....mungu akuinue zaidi mtumishi wa mungu aliye hai
Mchungji naomba maombi Yako naumwa sna
Roho ya mbinga kritu ishindwe
Unisaite Mungu wangu wewe ni mwema
Mungu akubaliki mutumishi wamungu nakufatiliya uye unatuombeya kwenye nitandayo hata tutaona nyuma
Umsema wew ndiye njia na wewe ndio kweli bila wewe hatuwenzi bwana Yesu
Asante Sana kwa mafundisho
Niko DRC
NIMEKUWA HURU KWANZIA LEO KWAJINA LA.YESU KIRISTO
Mungu wangu Uni ponye baba muumbaji wangu
MUNGU WA ISAKA AGANO.LAKO LA MAUTI LIKANIOKOE LEO KWA JINA LA.YESU KIRISTO
MIKOSI KWENYE BIASHARA YANGU IYONDOKE
ROHO YA MADENI IYONDOKE KWAJINA LA YESU KIRISTO CHOCHOTE KILICHOJIFICHA AGANO LAKO LINIOLOE KWAJINA LA YESU KIRISTO
Mungu anisaidiye Pia hâta Niko mbali lkn Mungu wetu ni pahalo pote Na mu amini yeye peke amina
Mungu usinipite mm na nyumba yangu
Mtoto wa dadangu ni mgonjwa naomba umweke kwenye maombi
Agano l 16:02 a mauti 16:07 liondoke kwangu n'a kwa jamaa l 17:13 angu kwa kina l 17:29 a Yesu Kristof. AMEEEN
Nashukuru sana mtumishi kwa somo hili
Najitenga na kila laana zinazonifuatilia
Amen mtumishi, ubarikiwe kwa kuihubiri kweli ya Mungu, Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vikubwa zaidi
Amen napokea uponyaji kwa kina la yesu
Amen Asante yesu kristo kwakunifunguwa
AHSANTE Yesu kwa kuniondolea roho za mauti
Amen,napokea uponyaji kwa Jina la Yesu
Amina nimepona na kubarikiwa na maombi haya na mahubiri nimefunguliwa sasa na sitafunga Tena amina
Sitafunga tena
Sitafungwa
Nami naomba kifunguliwe kutoka angani la mauti kama lipo.
Ni Congo DR
Unatul 13:28 isha cela kiroho. Baba. Bishop. Mungu akujal 14:06 iye. Neema tushike iyi béni. Tunafata toka BukuRdCongo
Imebarikiwa asikofu
Ee Mungu uniokoe na pepo yote ya Mautii.
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Mwenyezi Mungu vita ni vyakooo
Mungu akubariki mtumishi
Mungu naomba unitetee na Mauti juu ya familia zetu
Emeni.mungu.akubariki.sanaa
NITENGENENZE NJIA YANGU BWANA YESU NIFUNDISHE NJIA ZAKO NIJE NIKAKUTENDA NDHAMBI
Amen baba 🙏🙏🙏
Asante saaana mungu ni
Nakufatilia kutoka Burundi mbarikiwe
Mungu adusayidiye
Ee MUNGU wangu unionekanie kupitia mtumishi wako BISHOP ELIBARIKI SUMBE unapowagusa wengine nami MUNGU usinipite unikumbuke BWANA nipate kibali Cha ndoa nakufunguliwa vifungo vyote jumla ktk maisha yangu yote na maitaji yangu unifanyie wepesi nipate haja la moyo wangu unitendee BWANA
Asante MUNGU maana umeliona shida langu
Asante sana napokea kufunguliwa vifungo vyote napokea kibali kutoka kwako MUNGU napokea uponyaji na haja la moyo wangu Kwa JINA kuu la YESU KRISTON amen
Kumfatilia siku Hadi siku mtumishi BISHOP ELIBARIKI SUMBE
Nikiwa LUSAKA Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
MUNGU azidi kukutia nguvu na kukutumia siku zote ili tupate kibali na uponyaji kwa JINA kuu la YESU KRISTON amen
Amina
Mungu akutunze baba kwa neno la wokuvu mkuu namna hii
Bwna Yesu afiwe mtumishi wamungu mutoo wangu nimngoNju Ni sickLEcELl ANmiA nawao mungu Amuao neshe Amso mukono wake naamuponye
Asantesana Mwokozi Yesu Kristo
Tuma pokea uponyaji kwa jina la yesu kupitiya madhabahu ya vuka yordani amina
Nko kenya nasikiza mafundisho polepole
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Mungu atusaindea Kweli 🙏🙏😭
Amen. Mtumishi wa mungu niko America hapa ndipo yupo huyo aduhiwa kirsto tunaitaji msaada wa mahombi kwako asante
Nafunga roho za mauti kwenye familia yangu damu ya yesu ikatuzingire pande zote , magonjwa yanayo mkondesha mama angu ikamwachie kwanzia ivi sasa afya yake ikarudi mara dufu kwa jina la yesu kristo
Yesu tawala familia, tawala kwajina lako Wewe usieshindwa na jamb lolote 🧎♀️🤲
Kila aina ya sukari typhoid haina mamlaka kwenye familia yangu nafunga roho ya mauti toka kwa jina la yesu
Naomba hii cd
Ameem🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ameen🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ameen 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mungu nisaidie. Na nitenge na roho za mauti na familia yangu...mungu najiunganisha na haya Madhabahu ya vuka yorodan
Mchungaji nafuatilia mahubiri yako nafundisho yako, nikiwa moshi nafunguliwa, nikiwa huku huku Moshi, na kupata kwenye You tube, Mungu akutunze vema.
Ameeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Ameeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Emen Emen 🙏🙏🙏🙏
Ameen 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Ameen 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Hallelujah 🙏
Amina 👏
Ameen 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Nabarikiwa kweli nikiwa Kenya, am ready blessed ,if God is for us who can be against us 🥱
Ameen🙏🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏻🔥🔥🔥👏🏻👏🏻
Ameeen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe
Ameeen
Yesu kristo utusaidie tukupende wewe tuu kwa mioyo yetu yote
Mungu nikumbuke
Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Bwana yesu amubariki mtumishi wa mungu nasi uwe na tuombea amen
Ubalikiwe mtumishi Sana Sana MUNGU akubaliki kwa mafundisho mazuri siku izi hakuna mafundisho Zaid ya maji na mafuta
Mungu okoa watoto wetu.
Mutumishi wa MUNGU ubarikiwe kwa neno na maombi ayons Amen
Ameeni
Amen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mungu tukomboe na agano la mauti,, na watoto wangu
Amen I received
Ameeeeeeeeeeeeeeen
Amen🙏🙏🙏