Hongera sana Baba magembe umefanya vyema Mungu akubariki na akutangulie songa mbele piga kazi ya Ya injili maana ndio wito ulioitiwa na Bwana yesu akutangulie sana songa mbele na kazi ya kuwaleta watu kwa yesu na kila anayekusema vibaya Mungu atamshugulikia na Mungu atakulipa
Pole sana na misukosuko mch.Magembe ,Mungu akutie nguvu na abariki huduma yako, abariki vilevile wale waliokuwa chini ya huduma yako huko ulikokuwa .Nafurahia mahubiri yako nikiwa Burundi🇧🇮
Mimi binafsi naguswa sana na huduma yako namwona Mungu akinitetea na kuniinua kupitia mahubiri yako. Nakuombea Mungu akuinue zaidi na akutetee katika huduma yako.
Nakumbuka 2021 kwenye kambi ya vijana,ile siku Nilikutana na uwepo wa Mungu wa ajabu sana baba wewe ni hazina yetu sisi vijana tunajifunza kupitia wewe BABA...YESU WA MBINGUNI AKUFUNIKE CHINI YA MBAWA ZAKE❤❤
Walokole wa T. A. G hawapendi ukweli. Humo ndani kuna maagent wengi sana shetani kawapeleka siku hizi kila kitu kimeoza sio kwaya sio mahubiri hamna kitu. Mtokambali na wazee wenzako mwogopeni Mungu mnaliua kanisa. Mchungaji maghembe, Mungu akulinde na kukutunza sana
Bishop Magembe Endelea mbele songa mbele Injili kama izi mimi ndio nazipenda na ni chache sana Tag ni shida saivi yani dunia imeingia ndani ya kanisa la Tag suruali wanavaa ibadani, misuko ya kuzimu wadada wanasuka, vimini, roho za uzinzi na uasherati na uchafu wote humo ndani
Umefanya uwamuzi sahihi sana Mzee wetu .. sisi tunaokuwa tunajifunza sana namna kanisa linavyotakiwa kuwa kwani wahubiri wengi na wachungaji wa sasa hawana utofauti na watu wa Dunia..Baba keep it up. tunaojifunza niwengi ni vile hawezi ukajua kwa haraka ila amini tupo wengi tunaojifunza hata kama hatuji kwenye mafundisho yako.
MTU ANAYEHITAJI KUELEWA haya lazima aondoe ubishi kwanza na vile vyote alivyomezeshwa alafu atulize akili ndo atapata kitu na kuelewa Kwa ufasaha nnje na hapa MTU atabishana mpaka na uhalisia Barikiwa sanaaa mchungaji Kwa ufafanuzi huuu
Mzee ubarikiwe sana, unajua watu walio wa kweli/ wanaosimamia KWERI, wanapigwa vita sana. Ila ukweli utasimama kuwa kweli ckuzote, shida kubwa viongozi wetu hawapendi ukweli. Waache ujinga wao. Songa mbele mzee. By David mketu, Mtoto wa TAG.
Injili ni Lazima ihubiriwe hata kama hawataki. Tuko pamoja katika Kristo. Ukweli T.A.G wasipobadilika kuna kazi sana. Shetani analipepeta kanisa kama ngano. MUNGU ATUSAIDIE
Mchungaj magembe na mwakipesile awatak ujinga wanahubil injili yenyewe kabsa ya watanguliz wao wakina Moses awatak zambi kabsa ongera sana much Magembe tunakupenda wanao hakika unatunyosha tunanyooka Kwa jina la YESU aendelee kumtukuza MUNGU na neno halis nakupenda maisha malefu kwako❤
Baba mm ni miongoni mwa vijana waliopata bahati kutiwa moyo na wewe, nilipopata nafasi kusali majumba sita kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kuongea na wewe ofisini kwako, na siku ya Leo nikasukumwa sana kuja kusali nilipofika nikakuta hakuna ibada na nikapelekwa kwenye kanisa jipya nikakutana na tukio hili, ukweli nimejiuliza Mungu unataka kunifundisha nn? Baba tekeleza kile ambacho kile Mungu amekutuma ukifanye kwa ajiri kujenga mwili wa kristo.
TAG Aliondoka baba yetu Mzee Moses Kulola, na sasa ameondoka baba yetu Mzee Moses Maghembe. Watumishi wa Mungu viongozi wa TAG tafakarini mambo haya ya kiroho. Hotuba ya baba Askofu wa TAG aliyoitoa kanisani Majumba sita, inathibitisha kwamba wao kama viongozi wana kitu cha kutafakari
Mtumishi wa Mwenyezi Mungu moses magembe Hana mbingu yakunipeleka Ila naamini kwamba maneno yake Yana uhai wa Mungu wakumufikisha mchristo mbinguni,niko DRcongo nakupenda sana n'a Mwenyezi Mungu akutie nguvu ya kuchapa injili ya dakika chake zinazo baki za Siku za mwisho Ama za kuja kwake Christo yesu kulichukua kanisa lake.asanteni
Nwno moja tu nalijua ktk Yakobo 1;27 Dini iliyo safi isiyo na hitilafu mbele ya Mumgu Baba ni hii Kwenda kuwatazama YATIMA NA WAJANE KTK DHIKI YAO NA KUJILINDA NA DUNIA HII PASIPO MAWAA !!!! SONGA MBELE DINI /DHEHEBU HALIWEZI KUTUTENGA NA UPENDO ULIO KTK KRISTO YESU BWANA WETU!!
Mimi nasali TAG siku moja nilishangaa kumsikia mchungaji wangu akiponda suala la uamsho ndani ya TAG moyo wangu haukufurahi. Kauli mbiu ya miaka 13 ya uamsho haisemwagi kabisa ndani ya kanisa ukweli mwenendo wa kanisa kwa ujumla tunasuasua. Mungu atusaidie.
Wewe nawe uwe na akili, unafanya uamsho wa nini kama kanisa halijafa, hivi unaona yanayoendelea humo kwenye makanisa yao?. Mimi nipo T. A. G long time ila kusema ukweli heri uwe Roman catholic kuliko mlokole wa dini. Kuna kanisa la T. A. G hapo dar mchungaji anajali wenye pesa Akaja mtu hata hajaokoka amefukuza mke wa ndoa akaoa kimada akajanae kanisani akawa mzee wa kanisa..
Binafisi Nimekuelewa Ila Sioni Sababu Ya Kuhama Eti Ndio Ufanye Kazi Vizuri Ya Kuhubri Naona Huko Mbere Kunaweza Kuleta Shida Kwenye Misingi Ya Kiutumishi
Kaihubiri Njili Ya Kristo Yesu. Achana na wakuu wa giza hili LUKA 22:53-54. UNYAKUO Umekaribia kuliko tunavyofikiri. Angalia Neno KIZAZI HIKI cha Mtini...LUKA 21:25-33. Israel ilikuwa TAIFA rasmi 14, May 1948. Kizazi ni miaka 100. 1948+100= 2048. UFUNUO 22:10-17
Upo sawa Baba, msimamo wako wa IMANI ni muhimu mno katika kizazi hiki na ulimwengu huu wa leo.... Kanisa limekumbatia mambo mengi ya Dunia hii yasiyo ya Mungu na Viongozi wameyabariki.. Kwa mtu ALIYE NA KIU YA INJILI YA KWELI hawezi kukushangaa mtumwa wa BWANA..
Hongera sana Baba magembe umefanya vyema Mungu akubariki na akutangulie songa mbele piga kazi ya Ya injili maana ndio wito ulioitiwa na Bwana yesu akutangulie sana songa mbele na kazi ya kuwaleta watu kwa yesu na kila anayekusema vibaya Mungu atamshugulikia na Mungu atakulipa
Mungu naomba katika jina la Yesu muongeze siku Mtumishi wako juu ya kazi uliyomuitia....ili azidi kuifanya kwa utukufu wako.nmeomba nikiamini. AMEN
Amen
Nimebarikiwa kufahamu kile Bwana alichokupa mzee, unasimama nacho- this is good and of great glory to God, Amen, Press on
Pole sana na misukosuko mch.Magembe ,Mungu akutie nguvu na abariki huduma yako, abariki vilevile wale waliokuwa chini ya huduma yako huko ulikokuwa .Nafurahia mahubiri yako nikiwa Burundi🇧🇮
Mimi binafsi naguswa sana na huduma yako namwona Mungu akinitetea na kuniinua kupitia mahubiri yako. Nakuombea Mungu akuinue zaidi na akutetee katika huduma yako.
Injili ya Yesu haitasimama mpaka atakaporudi “Moses Magembe”
Baba Mungu akurudishie ujana kama tai. Kazi ndio imeanza.
Nakumbuka 2021 kwenye kambi ya vijana,ile siku Nilikutana na uwepo wa Mungu wa ajabu sana baba wewe ni hazina yetu sisi vijana tunajifunza kupitia wewe BABA...YESU WA MBINGUNI AKUFUNIKE CHINI YA MBAWA ZAKE❤❤
Sasa uliendaga wapi? 🤔
Mungu akutangulie ktk kazi ya Bwana , niko pamija nawe nilishaweka "hand break".PIGA KAZI .
Mungu akupe maisha marefu zaidi baba… umenifundisha mengi sana kwenye kujua neno la mungu
Walokole wa T. A. G hawapendi ukweli. Humo ndani kuna maagent wengi sana shetani kawapeleka siku hizi kila kitu kimeoza sio kwaya sio mahubiri hamna kitu. Mtokambali na wazee wenzako mwogopeni Mungu mnaliua kanisa. Mchungaji maghembe, Mungu akulinde na kukutunza sana
Hawa ndio wahubiri watakatifu wachache waliobaki Mungu akutunze Sana siku moja uwepo mbinguni ufurahie matunda yako amen.
Bishop Magembe Endelea mbele songa mbele
Injili kama izi mimi ndio nazipenda na ni chache sana
Tag ni shida saivi yani dunia imeingia ndani ya kanisa la Tag suruali wanavaa ibadani, misuko ya kuzimu wadada wanasuka, vimini, roho za uzinzi na uasherati na uchafu wote humo ndani
Umefanya uwamuzi sahihi sana Mzee wetu .. sisi tunaokuwa tunajifunza sana namna kanisa linavyotakiwa kuwa kwani wahubiri wengi na wachungaji wa sasa hawana utofauti na watu wa Dunia..Baba keep it up. tunaojifunza niwengi ni vile hawezi ukajua kwa haraka ila amini tupo wengi tunaojifunza hata kama hatuji kwenye mafundisho yako.
Piga kazi Baba Angu mzuri, MUNGU yupo pamoja nawe binafsi nakukubali na namkubali YESU KRISTO unayemuhubiri
MTU ANAYEHITAJI KUELEWA haya lazima aondoe ubishi kwanza na vile vyote alivyomezeshwa alafu atulize akili ndo atapata kitu na kuelewa Kwa ufasaha nnje na hapa MTU atabishana mpaka na uhalisia
Barikiwa sanaaa mchungaji Kwa ufafanuzi huuu
Wala mashindano hayatakusaudia...bora umetoka kwenye hiyo mifumo yao ya taratibu za kidini..ni mifumo upagani tuu na kukosa nguvu ya roho wa Mungu
Weka namba ya sadaka tumtolee Mungu kwa ajili ya kazi ya Mungu
Mwenyezi Mungu azidi kukuinua
Mzee Magembe Umefanya Jambo Jema one Door Close one Door Open❤ May the Good Lord Jesus Bless and Keeps You AMEN.
Shida Sheria zikizidi ndani ya Kanisa madhala ndio haya, baada ya kuongozwa na Roho tunaongozwa na Sheria
Yaani we acha tu
Ubarikiwe baba yangu
Nakupenda Baba, Ahsante Kwa Maelezo Mazuri.🙏
Mzee ubarikiwe sana, unajua watu walio wa kweli/ wanaosimamia KWERI, wanapigwa vita sana. Ila ukweli utasimama kuwa kweli ckuzote, shida kubwa viongozi wetu hawapendi ukweli. Waache ujinga wao.
Songa mbele mzee.
By David mketu, Mtoto wa TAG.
Bwana wetu Yesu Kristo umtie nguvu mtumishi wako uliyemchagua rev Moses Magembe
Ameen mzee piga kazi umechukua maamuzi sahihi sana na Mungu akutie nguvu kabisa
Baba tumealikika. Injili iende mbele🔥🙏. Tupewe account na namba za kuchangia ujenzi wa nyumba ya Bwana
Mungu akutangulie Mchungaji wa kondoo wa kweli
BWANA anakubariki na kukulinda mzee, baba wa imani, Mchungaji Moses Magembe
Injili ni Lazima ihubiriwe hata kama hawataki. Tuko pamoja katika Kristo. Ukweli T.A.G wasipobadilika kuna kazi sana. Shetani analipepeta kanisa kama ngano. MUNGU ATUSAIDIE
P0le sana bb mchungaji songa mbele mungu yupo nawe daima,nakuombea sana upewe ngu vu nyingi zaidi na injili ya kweli ihubiriwe
MUNGU akujalie afya njema uendelee ma kaz yak aliyo kuonyesha
The Generals never backed down. You are one of them Sir.
Mzee yupo sahihi kabisa, yanayotendeka makanisani siku hizi ni ushenzi mtupu, tunahitaji watu kama hawa wanaisema dhambi kwa jina lake
Baba, baba, baba watoto tunakupenda, tunakuelewa, the is a very good way front of you, push push on
Uko sahh ,Mungu atakupgania mzee achana nao hawo walivaa ngoz ya kondoo ,kumbe mbuz
Mchungaj magembe na mwakipesile awatak ujinga wanahubil injili yenyewe kabsa ya watanguliz wao wakina Moses awatak zambi kabsa ongera sana much Magembe tunakupenda wanao hakika unatunyosha tunanyooka Kwa jina la YESU aendelee kumtukuza MUNGU na neno halis nakupenda maisha malefu kwako❤
Mzee mgenbe ni shujaa wa yesu mzee usiogope hubiri neno la mungu kemea dhambi wenig wamepona kupitia mahubiri yako Baba
Mchungaji naomba kupata mawasiliana ya namna ya kupata nafasi ya kujiunga kusoma kwenye chuo chako
Chuo cha Biblia
Bwana Yesu akutunze chombo cha Bwana
Jembe la Yesu hilo ulipo tupo.
Baba mm ni miongoni mwa vijana waliopata bahati kutiwa moyo na wewe, nilipopata nafasi kusali majumba sita kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kuongea na wewe ofisini kwako, na siku ya Leo nikasukumwa sana kuja kusali nilipofika nikakuta hakuna ibada na nikapelekwa kwenye kanisa jipya nikakutana na tukio hili, ukweli nimejiuliza Mungu unataka kunifundisha nn? Baba tekeleza kile ambacho kile Mungu amekutuma ukifanye kwa ajiri kujenga mwili wa kristo.
Sijawahi kushinda njaa ukiwa jikoni,
Barikiwa pamoja nasi
Mungu akutie nguvu sana kaziyako Mungu anaijua by pastor erick jmi
Ndio baba tuko hapa twendeni kwa bwsna bomosheni madhabHu za kidini zinatucheleweshwa sana na mifumo ya dini
Pole sana baba nawalikuwa wameshelewe kukuchukia kwaajili ya kweli unayo sema Mungu akutetee
Be blessed man of God,we stand with you,tupo pamoja na Mungu Yuko upande wako
TAG Aliondoka baba yetu Mzee Moses Kulola, na sasa ameondoka baba yetu Mzee Moses Maghembe. Watumishi wa Mungu viongozi wa TAG tafakarini mambo haya ya kiroho. Hotuba ya baba Askofu wa TAG aliyoitoa kanisani Majumba sita, inathibitisha kwamba wao kama viongozi wana kitu cha kutafakari
😢😢😢nmekuelewa baba....❤ Matumaini yangu atujabaki uchi😢😢 Mungu akulinde na atusaidie sana wana TAG
Barikiwa
Baba aliipenda sana taj na amelipenda sana taifa latu ikiwa amechukua uamizi huu basi sina neno ila mungu akubaliki sana baba
mtumishi Mungu akutie nguvu
Mtumishi wa Mwenyezi Mungu moses magembe Hana mbingu yakunipeleka Ila naamini kwamba maneno yake Yana uhai wa Mungu wakumufikisha mchristo mbinguni,niko DRcongo nakupenda sana n'a Mwenyezi Mungu akutie nguvu ya kuchapa injili ya dakika chake zinazo baki za Siku za mwisho Ama za kuja kwake Christo yesu kulichukua kanisa lake.asanteni
Uko sahihi baba Mchungaji
Nakupenda baba
Tunawatambua kwa Matunda yao
YESU AMESEMA HATAKUPUNGUKIA WALA KUKUACHA BABA YANGU. KILA UTAKAPOKWENDA YUPO NAWE.
nakukubari sanaa baba wa Imani🎉🎉🎉🎉
Nitakuwa na magembe mwanzo mwisho
Njoo Kigoma Ufungue tawi niko tayari kuwa mchungaji chini yakoo aiseee ninakiu kuiinua Heshima ya Yesu Kristo maana upagani wa Dini umejaaa
Ubarikiwe sana
Baba tupo pamoja tu hata kwa namna yoyote tutasema kweli
Nwno moja tu nalijua ktk Yakobo 1;27 Dini iliyo safi isiyo na hitilafu mbele ya Mumgu Baba ni hii Kwenda kuwatazama YATIMA NA WAJANE KTK DHIKI YAO NA KUJILINDA NA DUNIA HII PASIPO MAWAA !!!! SONGA MBELE DINI /DHEHEBU HALIWEZI KUTUTENGA NA UPENDO ULIO KTK KRISTO YESU BWANA WETU!!
MUNGU akusimamie mchungaji mm nakufwatilia Sana,,,,,tunakupenda
Shida ya watu wanaojiita walokole hawapendi kuambiwa ukweli na hawapendi kusikia ukweli kutoka kwa mtu mwingine ambaye siyo wa dhehebu lao
Mimi nasali TAG siku moja nilishangaa kumsikia mchungaji wangu akiponda suala la uamsho ndani ya TAG moyo wangu haukufurahi. Kauli mbiu ya miaka 13 ya uamsho haisemwagi kabisa ndani ya kanisa ukweli mwenendo wa kanisa kwa ujumla tunasuasua. Mungu atusaidie.
Wewe nawe uwe na akili, unafanya uamsho wa nini kama kanisa halijafa, hivi unaona yanayoendelea humo kwenye makanisa yao?. Mimi nipo T. A. G long time ila kusema ukweli heri uwe Roman catholic kuliko mlokole wa dini. Kuna kanisa la T. A. G hapo dar mchungaji anajali wenye pesa Akaja mtu hata hajaokoka amefukuza mke wa ndoa akaoa kimada akajanae kanisani akawa mzee wa kanisa..
Magembe mungu Yuko pamoja na wewe
Wewe ni msema kweli
Mungu akuongoze baba yetu tukopamoja baba
Binafisi Nimekuelewa Ila Sioni Sababu Ya Kuhama Eti Ndio Ufanye Kazi Vizuri Ya Kuhubri Naona Huko Mbere Kunaweza Kuleta Shida Kwenye Misingi Ya Kiutumishi
Mungu akutangulie mchungaji mpaka machozi yamenitokaa
Injirii isonge mbelee baba ❤
Huyu ni Moses wa pili, kuonekana ni mbaya Assemblies, wa kwanza alikuwa ni Moses Kulola.Mungu anatafuta watu.
Neno la Mungu la ukweli linapigwa vita sana, Mungu aturehemu jamani
Safi Sana mzee piga kazi, achana nao wenye kinyongo
Watu 333 wameokaka safii Sana pastor. Uko sahii
Pole kwa janga ili mungu yupo na usikate tamaha baba yangu nakupenda sana
Man of real GOD
Hakika mimi ni msikilizaji mzuri wa uinjilisti wako
Mungu akubariki Baba...wenye walikataa uamusho achana nao ...kanisa ni moyo ujenzi ni hema Tu..
BaBa mungu akubarikisana kwa ma muziyako ni sahihi sana tubopamojanawewe paka uamusho utokee amina
Kaihubiri Njili Ya Kristo Yesu. Achana na wakuu wa giza hili LUKA 22:53-54.
UNYAKUO Umekaribia kuliko tunavyofikiri. Angalia Neno KIZAZI HIKI cha Mtini...LUKA 21:25-33. Israel ilikuwa TAIFA rasmi 14, May 1948. Kizazi ni miaka 100. 1948+100= 2048.
UFUNUO 22:10-17
Songa mbele baba Mimi ninakuelewa, nilisema siku zilizopita kabla ya kuliona hili Leo, ila nilisema Hawa wazee ni tunu kwetu naomba Mungu awe nasi
Nakupenda sana baba najengeka kupitia wewe
Ubarikiwe sanaa babaangu Tunakuombea tupo Pamoja. Ezekieli 22 : 30. Huo ni Uchungu wa Kuuzaa UAMSHO MKUBWA KAMA MZEE KULOLA.
Mungu akubariki
YESU ASIFIWE KWA KWA HILO
Barikiwe sana baba mungu azid kukulinda na kkunza.
Tena ngoja nisabscibe niwe napata mahibiri yako maana kuyapata nyakati hiz ndan ya kanisa ni ngum sana
Wekeni namba ya sadaka.....
Mungu mkuu mwenye nguvu atakupigania
Mungu aendele kukuinua
Mzee Magembe piga kazi,tupo pamoja.
Upo sawa Baba, msimamo wako wa IMANI ni muhimu mno katika kizazi hiki na ulimwengu huu wa leo....
Kanisa limekumbatia mambo mengi ya Dunia hii yasiyo ya Mungu na Viongozi wameyabariki..
Kwa mtu ALIYE NA KIU YA INJILI YA KWELI hawezi kukushangaa mtumwa wa BWANA..
Mungu akusaidie baba na atusaidie sote
Mungu akulinde baba
Barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa kuhubiri kweli
Unafanya kazi ya MuNgu sio ya mwanadamu
Mungu akutunze mzee Maghebe
Mimi sitaki kuchangia nawajua watu wa Kanda ya Ziwa kwenye ukweli huwatoi hata ufanyeje wakishajua tu ukweli basi huwatoi
✅✅✅
Tujitakase na tuache kutenda maovu... tumche BWANA.
Songa mbele baba, Mungu yupo pamoja nawe.
Ukweli Utasimama Usiogope Mchungaji Magembe Kaza Buti Bwana atakuripa Usitikisike Kimani Maana amtoa Uku Ni MUNGU Sio Mwanadamu tusiingize Udunia Kanisani Sema Ukweli tupone.
Wa Chato Geita baba ninakupenda sana, piga kazi.
Hilo gari awaon haibu wangekuachia miaka 52 TAG
MUNGU akutunze baba
Mungu azidi kukutunza baba mchungaji wengine tunakua kiroho kupitia huduma yako
Nampenda huyu baba Mungu akutumie