NIMDA GANI MUME ARUHUSIWA KUA MBALI NA MKEWE ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @balkeissbalk2719
    @balkeissbalk2719 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtu akiwa kagombana na mtu na mkewe mume alimpiga mke mke akaamua kukimbia kwa mumewe tng alipoondoka kW mume hakurudi tn kW mume mume hatak toa talaka halafu mukaa miaka 4 kila mtu kivyake hamuulzan hata hali hata njian humuon humjui alipo miaka 4 bado anakuwa mumeo na ukijapata talaka waweza kaa EDA apo

  • @abdullatifsalim8628
    @abdullatifsalim8628 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha
    Sheikh Allah akuweke akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
    Uko yuu sheikh

  • @Zamu-ud4zl
    @Zamu-ud4zl ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @naimasaid8393
    @naimasaid8393 3 ปีที่แล้ว

    Aah sheikh umenena mm ndo maisha yangu ayoo ...kaja kakaa na mm mwezi na nusu basi mwaka hayupooo

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Allah akuhifadhi

  • @aliruragaragaza690
    @aliruragaragaza690 5 ปีที่แล้ว

    JazakAllah khaira ya cheikh

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin

  • @muniramohammad1788
    @muniramohammad1788 5 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah shukran

  • @musaalhaji0012
    @musaalhaji0012 2 ปีที่แล้ว

    Assalamu aleikum sheikh kwa mfano mke na mume kukaa mbali kma mke yuko town na mume yuko kisauni je yafaa kukaa mbali mbali

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 6 ปีที่แล้ว +2

    Jazzakallahu khery

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 ปีที่แล้ว

    Maneno yko c urongo,ni kweli kabsaa 👌

  • @nimahassen4686
    @nimahassen4686 4 ปีที่แล้ว +2

    Weather together 😂🤣🤣🤣

  • @نجمهالعلي-د5ض
    @نجمهالعلي-د5ض 6 ปีที่แล้ว +2

    Maa sha Allah

  • @fatimasaid4193
    @fatimasaid4193 6 ปีที่แล้ว +3

    Asalamu alkm warhamtullah wabarik atu Kwa hyo ni makosa kuwa mbali Na waume zetu

  • @fauziamwakunena549
    @fauziamwakunena549 6 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah mimi niko qatar mwaka mmoja lkn nimagumu sana ila twatafuta money

    • @ndekweramadan4795
      @ndekweramadan4795 6 ปีที่แล้ว +1

      Fauzia Mwakunena deen imekuwa ya kuowa na pesa mbona hamzungumziye jihad awo mwaogopa ma bomb ya makafiri na muhogopi adhabu ya Allah

    • @rufismgonza4183
      @rufismgonza4183 5 ปีที่แล้ว

      Fauzia Mwakunena !vipi Fauzia

  • @sodamohammed5135
    @sodamohammed5135 5 ปีที่แล้ว +1

    Sai haswa ndio.kaz wake walioachwa kenya wachezewa n waume nao walioko arabun wachezea wake zawatu ..Allah atunusru

  • @sadamuswalehe6214
    @sadamuswalehe6214 5 ปีที่แล้ว

    jazakum llah kheiren

  • @riyanaali6515
    @riyanaali6515 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 ปีที่แล้ว +1

    will try it shem inshaallh 😂😂😂😂

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 😀😀😀😀

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

    MASHAA ALLAH

  • @dauwdymakame631
    @dauwdymakame631 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @fatumarama5400
    @fatumarama5400 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh mm mume wangu yuko safari miaka miwili bt akija nyumbani hana mda na mm je nikizini ni makosa na hakiwa kazini pia anishuhulikii kwenye simu ni salam tu je nifanyeje

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 ปีที่แล้ว

      Usizini .. bora uombe talaka utafte mume mwengine wa halali

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  ปีที่แล้ว

      Saharia haija kukulazimisha ubakie kunyanyaswa katika ndoa isio kua malengo yakuridhishana katiyenu madamu wahisi hupewe haki yako yamsingi unaruhsa na nafasi yakudai talaka . Naukifanya jengine lolote lislo ruhusiwa nasharia ujue utapata dhambi .

    • @mariamumaliki6980
      @mariamumaliki6980 ปีที่แล้ว

      Ndio nimakosa kuzini

  • @marcboyer1131
    @marcboyer1131 6 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana mawaedha yako,nakila unalolisema nikweli na nihaki,

    • @marcboyer1131
      @marcboyer1131 6 ปีที่แล้ว

      Nilazma mujue hisia zawanawake

  • @tunjewehu9857
    @tunjewehu9857 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tumuogope Allah Kuna yaumul Hesab Mwenyezimngu atuongoze .

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 5 ปีที่แล้ว

    Kwa makubaliano je
    Mwanamke ikiwa ameridhika
    Juu ya mume wake kwenda kutafuta maisha

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

    Shekhe mm mume wangu hana ata haja yakuongea maneno mazur katika simu na nipo mbali nae mm kila nikijutahid kumpa maneno mazuri mwenzangu hana mpango.tani neno nakupenda nalipata mr 1 kwa mwezi inauma shekhe

    • @fmpictures4002
      @fmpictures4002 5 ปีที่แล้ว +1

      Ashapata mwengine

    • @shellahsemasaba5813
      @shellahsemasaba5813 4 ปีที่แล้ว +2

      Mim ninamwaka moja sijafanya tendo la ndoa na mume wangu nikimwambia tunagombana na tunaish pamoja

    • @negmaosman2395
      @negmaosman2395 2 ปีที่แล้ว

      @@shellahsemasaba5813 whaaaaaaat. Mnaishi pamoja....?? This is a joke

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 6 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @رحيمهخميس
    @رحيمهخميس 6 ปีที่แล้ว +2

    Wapo wengi hawo nimesiliza mpaka machozi yamenitoka shelh

  • @swalehabubakartalib9788
    @swalehabubakartalib9788 3 ปีที่แล้ว

    I feel sad for born Muslim men who even have guts to talk back and they know they are doing wrong. It’s wrong especially when a woman has reverted to Islam.

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 ปีที่แล้ว

    ast sn sheh watu ila wan ume wang wapo hivy,,,anakuacha hat mwaz,naukimungusa,,,,,ww hapo ni majang tu

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @shaklaomar697
    @shaklaomar697 5 ปีที่แล้ว

    Swadakta ustadh

  • @fatumarama5400
    @fatumarama5400 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako sheikh

  • @libaaxijamhuuriyadasomalil7544
    @libaaxijamhuuriyadasomalil7544 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh funny 🤣🤣🤣

  • @cakesuke1235
    @cakesuke1235 4 ปีที่แล้ว

    Twaibuuuuuuuuuuuu😁👋

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 ปีที่แล้ว

    😁 😁 😁👏

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 ปีที่แล้ว +1

    au mmi ndo,,,na muchake au mm ndo wakwza kumungusa,,,,,nyeny han habr ya kukuppsa kwnn

  • @cherutanyksa1507
    @cherutanyksa1507 6 ปีที่แล้ว +2

    maisha himekuwa ngumu mwalimu wacha tufanye kazi 5yrs saudia 😁

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    😁

  • @marcboyer1131
    @marcboyer1131 6 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume wengi wadharu hayo

  • @naimasaid8393
    @naimasaid8393 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe haifaiii

  • @abdulhalimmaulana8409
    @abdulhalimmaulana8409 8 ปีที่แล้ว +3

    Twayyyyyib

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 ปีที่แล้ว +2

    mbon mmi nani miak 5,,,,sin mume na hisi sni kwnn

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 ปีที่แล้ว +4

    wana ume wangi wapo hivy tu mmi sin hamu tan🙆

    • @halimabindo5756
      @halimabindo5756 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli sheh wanaume wanajipendelea wao eti kwa kua wamepewa fursa ya k uoa

    • @halimabindo5756
      @halimabindo5756 5 ปีที่แล้ว

      Sina hata ham

  • @salmamohamed8802
    @salmamohamed8802 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shuwenamussa6253
    @shuwenamussa6253 6 ปีที่แล้ว

    Twaibu shehe

  • @zuhuranahimana7197
    @zuhuranahimana7197 5 ปีที่แล้ว

    Hhhhh aapo

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 ปีที่แล้ว +1

    au mume analal na nguo zake ni haki kw mkw au

  • @abeidjuma1855
    @abeidjuma1855 6 ปีที่แล้ว

    Ya kazini usiyalete nyumbani ddarsa ajjab

  • @mwanashabakari4515
    @mwanashabakari4515 6 ปีที่แล้ว +3

    maasha ALLAH

  • @fredfuchaka645
    @fredfuchaka645 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @yusuphmohamedy1316
    @yusuphmohamedy1316 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah