ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Assalam alaykum shekhe mimi naitwa yahya ally yahya nina swali kidogo hivi mtu alie toa manii kwakutumia mikono dhambiyake inakuwaje napatikana pemba chakechake inshaAllah
Kwa hiyo imamu, alisema, samiyaaa lwahuu limanihaamidaa, 😊😊akafuata mtiririko wa nyimbo.
Masha Allah Sheikh Allah akuzidishie.Sheikh nauliza swali Swalah ya Alfajiri magharibi na Ishaa twadhirisha au twasoma Quran Kwa sauti vp swalah ya adhuhuri na Asri atudhihirshi
Shukran sheikh kwa kutuelimisha mengi pia asante nimecheka kiasi
Swadakta ya sheikh Allah akuzidishiye utajiri wa Afya from saudi Arabia
Hawa abubakar waishi saudi arabia????
Subhanaallah tuzime simu tukiwa tunaswali jazaakaallah shekhe
Jazzakah llah khaira sheikh izudun
MHOGO WA JANG'OMBE NINI HIYO !!!
Mwalimu wangu mimi nataka uzungumzie kuhusu mikato ya nywele ndani ya islamu .imekisiri mno ..hadi maimamu wanajissahau .au imo ktk milat ibrahim .
Inshaa Allah M.MUNGU atakusaameh kwakuchelewa
Akhasante sheikh sipig kofi
Lakini suala hujalijibu vizuri kuipokea cm ndani ya sala inafaa nakama haifai imepigwa tufanyeje?
Ameshasema ni bora usipokee uizime ili usije haribu sala za wengine.
Utaeka silent kisha ukiona call waangaliapo anaekupigia yuakudai , yanini bora uzime simu yako ukiwa kwa swala
Shukran jazillah
Jazakallah
Shukran
Samia llahu
Ameen...