KILICHOFANYWA NA RASUL ((SWALA LLAHU ALEYHI WASALAM))KIKO KTK DINI.,UKIFANYA TAFAUTI NA MAFUNDISHO YA RASUL NA AS'HABU ZAKE KTK DINI NI MAKOSA SANA..UKIJENGA HOJA KWA KUSEMA RASUL ALIPANDA PUNDA SASA SISI MBONA TWAPANDA MAGARI,,HII NI KTK MUBAHA ..VITU HIVI NDIO MUBAHA TV,RADIO,MAGARI,NDEGE,MELI N,K..HIVI HUWEZI KUVINASIBISHA NA DINI NA UKAITAQID NI SEHEM DINI..HAPA NDIO PANASHIDA,BARAKA LLAHU FY KAA AKHI
Acha kulingania watu kwnye upo tofu tunajua sunnah na akili huwez kusema hakuna sunnah ya jeneza kuwa waz alaf kma kuingia motoni uingie n saidatna fatma makosa sana ikhwaan tuwen makini na ma shekhe kma hawa arudie vzri hii kauli
KUNA JAMBO NIMEGUNDUA PIA KTK HILI ..KTK MAULID KUNA KUWA NA MASHIA HATA MISIKITI BAADHI YA NDUGU ZANGU WANANADDI KUWA SHIA NI KAFIRI NA DALILI WANATOA..SWALI SASA VIPI KAFIR USHIRIANE NAE KWENYE SHEREHE ZA MAULIDI USTADH?
AL KHAYR. Ndio kwanza nakusikia weye kuwa Shia husoma MAULID kwa sababu MAULID ni kwa ajili ya Mtume Muhammad SAW na Shia inasemekana hawamtambui Mtume Muhammad SAW. Sasa watapataje shahada? Bila shahada huna Uislam? Na shahada ni kumtambua Mungu na kukubali kuwa MUHAMMAD SAW ni mjumbe wa Allah(Mungu).
Hemed bro lengo la shekhe sio uwahabi au fulani chukua jibu nzuri ambalo shekhe ametoa.kama ulikuwa miongoni mwa wanaofanya hivyo MashaAllah na kama ulikuwa kama mm wengine ndiyo hivyo wamepata ilmu nao waskie na waaccept.we are all brothers and sisters in islam
mshallah mwenye mungu akupe kheri duniani na akhera kwa juhudi zako
Hongera sana sheikh unatutoa tongo za macho safi sana wanoona sheikh kakosea watoe yao mawaidha pia tutayaskiliza na tutayapima
JaazakaAllahu Kheyr
innaalilaah wainnaa ilayhi raajuuni ujinga ni mzigo allah akuongoze
Mashallah! Dhahir . Hiyo ni kweli tupu.
Alhamdulilah mungu awarehemu wazee wetu
Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Allah awazidishie elm yahkma zaid..lkn mawahab wana tabu husomeshwa lkn hawashiki.
Jazakallah khairu
waambie shekhe
Hassan angalia maneno yk ustadh hajatukana suna usitoe maneno bila ufahamu
Makamama ni ile hali kama kupongezana kumuwao mwenzako
ALLAH ISTUR
fidunia wal akhera YAARAB
Shida niliona kwa ustadhi ni kuchanganya MUBAHA NA BID'AA..HAPA PANACHANGAMOTO SANA..,ALLAH ATUONGOZE SANA..
kuna bidaa gani aliyoua sheikh?. Mbona yote kayachukua kwa wema walioridhiwa na Allah?.au wewe una muongozo wako mwengine?.
KILICHOFANYWA NA RASUL ((SWALA LLAHU ALEYHI WASALAM))KIKO KTK DINI.,UKIFANYA TAFAUTI NA MAFUNDISHO YA RASUL NA AS'HABU ZAKE KTK DINI NI MAKOSA SANA..UKIJENGA HOJA KWA KUSEMA RASUL ALIPANDA PUNDA SASA SISI MBONA TWAPANDA MAGARI,,HII NI KTK MUBAHA ..VITU HIVI NDIO MUBAHA TV,RADIO,MAGARI,NDEGE,MELI N,K..HIVI HUWEZI KUVINASIBISHA NA DINI NA UKAITAQID NI SEHEM DINI..HAPA NDIO PANASHIDA,BARAKA LLAHU FY KAA AKHI
Seen
stor tu huna jipya toa adilaa swariykhaaaa
K
Acha kulingania watu kwnye upo tofu tunajua sunnah na akili huwez kusema hakuna sunnah ya jeneza kuwa waz alaf kma kuingia motoni uingie n saidatna fatma makosa sana ikhwaan tuwen makini na ma shekhe kma hawa arudie vzri hii kauli
Anayejua makamama anijuze
Makamama ni Kiswahili Cha kiamu Nayo maana yake Ni kukumbatia au kwa lugha ya kiengereza is to hug one another.
Waambie mawahabi hao...!!kila jambo wajifanya sunna,sijui kwa nini wakisafir hawapandi punda.
Makamama ndio nini?
idrisa msakuzi makamama ni ku muhag mwenzako
Wewe waimba tu hapo toa dalili hadith imepokewa nanani.siati ujiseme kwa maneno yako toa dalili wacha kupiga fujo 2
KUNA JAMBO NIMEGUNDUA PIA KTK HILI ..KTK MAULID KUNA KUWA NA MASHIA HATA MISIKITI BAADHI YA NDUGU ZANGU WANANADDI KUWA SHIA NI KAFIRI NA DALILI WANATOA..SWALI SASA VIPI KAFIR USHIRIANE NAE KWENYE SHEREHE ZA MAULIDI USTADH?
AL KHAYR. Ndio kwanza nakusikia weye kuwa Shia husoma MAULID kwa sababu MAULID ni kwa ajili ya Mtume Muhammad SAW na Shia inasemekana hawamtambui Mtume Muhammad SAW. Sasa watapataje shahada? Bila shahada huna Uislam? Na shahada ni kumtambua Mungu na kukubali kuwa MUHAMMAD SAW ni mjumbe wa Allah(Mungu).
Hana elmu yoyote atowa story 2
Allah akuongoze
Ila nina waswas,watakuita wewe Shia.maana mawahabi hawapendi kuskia khabar za Ali(a.s)wala Fatima..
na wamuite SHAURI YAO !!! ukweli unaposeamwa we don't need to bother with them!
Hemed bro lengo la shekhe sio uwahabi au fulani chukua jibu nzuri ambalo shekhe ametoa.kama ulikuwa miongoni mwa wanaofanya hivyo MashaAllah na kama ulikuwa kama mm wengine ndiyo hivyo wamepata ilmu nao waskie na waaccept.we are all brothers and sisters in islam
ITTAQ LLAH YAA AKHI,