Eee Bwana 🙏🙏😭😭 naomba ukaniondolee roho ya aibu inayoendelea kunikumba kazini kwangu,ile roho ya mauti iliyokaa ndani ya kazi yangu sadaka yangu ya fungu la kumi ikanene uhai kwenye kazi yangu na ile aibu ifutike katika jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai.
Amen mtumishi barikiwa sana
Nafuta roho ya mauti kwangu, kwa uzao wangu na kwa familia yangu kwa damu ya Yesu
AMEEN
Nakataa roho ya mauti kwa mtoto wangu wa pili kupitia maombi haya Mungu akatende Amen
Eee Bwana 🙏🙏😭😭 naomba ukaniondolee roho ya aibu inayoendelea kunikumba kazini kwangu,ile roho ya mauti iliyokaa ndani ya kazi yangu sadaka yangu ya fungu la kumi ikanene uhai kwenye kazi yangu na ile aibu ifutike katika jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai.
Nafuta mauti kwenye maisha mahusiano uzao wangu
Kwa kweli wana kwaya wamependeza sana mbarikiwe
Ibada ya leo 🔥🔥🔥🔥
Amina
Amen Amen Amen
Amen amen amen Daddy 😢
Amen 🙏
Amen.