Ni vizuri aslay amepunguza uzito... Alikuwa akinenepa haraka sana. Wimbo na video ziko top, Nimezipenda...Shout out kwa Podo, He is the artist to watch for.
osama sauti kama aslay podo sauti kama kayumba lakini tofauti yao ni moja sula mwonekano akili zao ni tofauti kwaiyo hatakama wangekuwa wanne bado tu hawawez kuganana.mbona wana wake na wanaume ni watu wa aina moja lakini kila mmoja wao huwa anamiliki michepuko zaidi ya mi NNE ukiuliza atakwambia ladha tofauti iko wapi anaijua yeye👍👍👍💑💪👏😹😹😹.
Au naona vibaya naona Osama anapenda swaga za Diamond kama sio mm peke gonga like, kuimba kama Aslay gonga like, Dis like kama hujarudia rudia kama mara tatu na zaidi kwa Osama, Osama au ni mdogo ake Aslay maana namkumbuka kwenye TMK mkubwa na wanawe
osama kweli unapita melody za aslay lakn unafanya poa kama yeye ndo maana kaamua kufanya kazi na ww... afu ww hyo unajuwa lop yu ninja wangu nimekubal kazi
First to comment,,,wapi likes za aslay tukisonga,,
ngoma karii
ki
Mery
Kweli mumekutana mafundi watupu gud song
Aki nampendaga dogo langu aslay,nipe like ka unaamini Sihaka anasupport vipajil
Yaan we aslay nymb zako nazipnd zot alafu sinaniliwaz San nikiwa n mawazo mungu akuongezee kipaji Mara 2 yake
patchez msafi
Pia
Ni vizuri aslay amepunguza uzito... Alikuwa akinenepa haraka sana. Wimbo na video ziko top, Nimezipenda...Shout out kwa Podo, He is the artist to watch for.
Naipenda sana hii song mmmmmm nimesha kukubali Mtu wangu Aslay king👑 of music🎤🎼🎹🎶
Imefika mjini hiii mara pap.....#Aslay#Podo#Osama....alafu Aslay na Osama Kama vile Adhukiba na king I say twendenu nalo mziki mzuri lzma upenyee
damu ya east afrika hii APA inaomba like nzito kutoka kwa mashabiki wanaopenda mziki mzuri
gonga like kama wafikiria Aslay na Osama wafanana
Nmeiangalia mara 10.
Nmeisklza mara 10
Ila nmeshndwa tofautsha saut y Osama na Aslay
Nazikubali sauti za hawa ndogo.....napenda Aslay anavyowainua wadogo wake.
InshallahInnipa Homa
Huyu alieimba mwisho fundi sana sijuwi ndo Podo
yaan nyie mnajua mpka mnakera sanaaaaaaaa nawakubali sana wanangu na baba enu
nice aslay ninakumbuka sana hiyi song nilijifunza sana mupaka Léo nakomaa nikisikiya sana fan kutoka DRC Ama Congo nice
Hii kazi nzuri sanaaa. Kwakweli nimeipenda. Nafurahi sana kuona Aslay ukiwashika mkono vijana wenzako, hivi ndivyo inavyotakiwa.
Huyu si yule dem aliharibu vitu kwa Ray😂😂....okay sauti gani ya Aslay juu nikama tunafanana zote....nice song brother Aslay 🥰
osama unajua kuimba mdogo wangu ila jalibu kutengeneza icon ya sauti yako usiimbe kama aslay
ngoma hii inautamu wake kwa kum-bembeleza baby jamanj
osama sauti kama aslay podo sauti kama kayumba lakini tofauti yao ni moja sula mwonekano akili zao ni tofauti kwaiyo hatakama wangekuwa wanne bado tu hawawez kuganana.mbona wana wake na wanaume ni watu wa aina moja lakini kila mmoja wao huwa anamiliki michepuko zaidi ya mi NNE ukiuliza atakwambia ladha tofauti iko wapi anaijua yeye👍👍👍💑💪👏😹😹😹.
yes wote walikuwa pamoja
Kenya 🇰🇪🇰🇪 before 2k views 😀🔥🔥🔥
Aslay angetengenrza lebo na hawa dogo akawa rais wao...ingekuwa noma
Kaliii io home boy, nawakubari wadau wanguuuuu, tukutane zoez maguruweee yetuuuu
Osama na podo wanangu nawakubali kinyama ngoma zenu kitambo nasikiliza vile mkiimba mnakuwa safi msiachane shirikianeni pamoja na aslay nawakubali kinyama
Kama Aslay Kaua Gonga Likes Zakushato Twende Wasaaaaa.....
saf sana ndugu zangu
Hassani kitenje noma sana
@@paulgodwini2910 Pamojaa
Safi sana nyimbo kali
Hassani kitenje mbosso
Hachana na uzuri wa ngoma, kuna kitu kingine cha ziada kwenye hii ngoma hasa hizo mapamba wametupia humu yaaani ni kiwango cha lami mazee
kila hatua dua wapenz wa Mimi mungu aendelee kuwaangaza kwa kazi nzuri
hawa ndo wanaume wa dar halisi sasa,mmetuwakilisha vizur sana
Podo you are the best,
I hope and pray one day you will get the recognition you deserve.
God bless you.
Daaa watapata homa kweli... 254 squad here❤
tokea kenya hii naikubali sana 🔥 🔥
*podo nijuwe me kuwa shabiki wako wa kwanza*
Aslay kama waniskiza jameni usiache kutoa ngoma.
From Kenya❤❤❤
karibu +254 kaka wewe humri wa kwangu sana mzigo una ujumbe kwangu kaka aslay
Good bro mambo ni Moto Sasa twende sawa na aslay
Nice aslay. Wewe nimkali sana kweli 💖💖💖💖💖 mambo ni 💥💥💥💥💥💥💥💖💖💖💖💖💖💖🙏🙏
homaaa. iko poa sanaa ume uwaaa mwamba
Ngoma soon 1million Na itafika nakubali #DingiMusicForLife
Dah! Kweli watapata homa fire fire +254 nipewe like
Niko nawee
Podo fundiiii
Vijana fundi! Alafu sauti kama wamezaliwa na mama aslay
Daniel parsanka ausio
@@amosmutunga96 hahaha umeonaeee
Nyimbo ya ki toto hiyo kabisa WCB imewapoteza wate nyie kama unahamini gongo like haka😰
Nice kaz nzuri team #homa naipenda yan sichok kuisikiliza jamn 🔥🔥👌👌👌👌
Jamn mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯 mwendo mdundo
Sauti zote sinafana Sana ukisikiza audio uwezi tafautisha Wingo safi Sana
Safi sanaa keep it up brothers
kazeni mwanga umekaribia
Daa noma sana
Sijawah kurudia nyimbo ila hii nimeirudia zaidi ya Mara 10 aiseeee
Au naona vibaya naona Osama anapenda swaga za Diamond kama sio mm peke gonga like, kuimba kama Aslay gonga like, Dis like kama hujarudia rudia kama mara tatu na zaidi kwa Osama,
Osama au ni mdogo ake Aslay maana namkumbuka kwenye TMK mkubwa na wanawe
sema hizo saut mweee aslay na osama shkamoon uuwi🏃🏃🏃
Noma sana Aslay utakuja kuniacha hoyi washa moto
Congrats....team 254 nimekuwa nawafuatilia kuanzia mkubwa na wanawe..mtatoboa tu mabro kazaneni podo na osama
Wallahi hiyo ngoma mliimba vizuri😋. So sweet hongera sana wakuu
Osama ni moto wakuotea mbali mwaka 2019 uwe wa ngoma tuuuu ngoma safi sanaaaa video safi sana
KAMA WAMUONA NANA APA GONGA LIKE. 2019 STILL WATCHING
Eric Mulwa nimemuona kapendeza
Nilitaman hii nyimbo iwe yako Aslay
Ngoma kali sana hiii
Hit song
Baby tuendeleee na mapenzi yetu wachawi wasisogelee
watapata homa sana mpka wambea..nice song
Kama unaamini hii nitimu ya aslay ngoga like
Aiseeee tamu kweli
Namkubal sana asley kwenye nangoma hii
Nazani mimi ndio wa kwanza kukomenti 🔥 🔥
Ni ya 2018 but hadi sasa 2019 nairegelea nikiregelea. Tamu sana hii
endelea kaka upo sawa sanaaa , I like you Asley, from Mombasa
Kule aslay yko lazma nifike Nakuru represented
Aslay moto wa kuotea mbali😀 baba na mziki wakeee
Kama unaikubali hii ngoma GONGA LIKE KAMA ZOTE ILI WAPATE HOMA twende sawa
Hio collabo iliweza 🎉🎉🎉❤❤❤ infact at first I thought ni Aslay pekee,,,, much love from Kenya 🎉🎉❤❤
osama kweli unapita melody za aslay lakn unafanya poa kama yeye ndo maana kaamua kufanya kazi na ww... afu ww hyo unajuwa lop yu ninja wangu nimekubal kazi
Mbona wamefanana na aslay wote amna kipya hapo wawe creativity na tone yao huyo chapodo anaimba kama kayumba
Aslay sasa anavyocheza balaa kasema mwanae kila kitu ni balaa
ASLAY SIKU ZOTE UNAWEZA. HII NYINGINE YA x-mass imeweza sana
Looooohhhh! Kaliiiii mnoooo bx muwe hivo hvo kama group hivi yan ni fireee
Bonge la ngoma podo safi sana
Nani kam aslay ila napendag san watoe ngom na mbosso man niwasanii weny kipaj kikubw san
nooooma Sana ngoma kalii adi ina washa
Duuuuuh so kwa kufanana kwa saut hko but bonge la song... Weka like twende kama umekubali... .....chris*tz
That is good song
Osama amekomahaaa kweli Nice song my they Brothers
Aslay u have done it+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeikumbali
Kizazi sana mmetixha wazee√√√
I now see Aslay's vision, keep it up bro uko kwa right path na utakua na ur own label .....believe that
Weka like kwa Aslay
wakenya ndio hawa sisi
Aslay naona Kama vile unaingia shimomoni, unaitaji msaada wa haraka mziki wa Sasa ni mgumu shauri yako.
Heri Fedrick mashabk wa WCB mnachekeshha sana😂😂hayo mapovu kafuen bas
Muko vizuri ipo safi sana
Podo nakuona mbali sana #Kaza alaf imba sana 🔥🔥🔥
Noma naipenda. Sanaaaa kinoma zuriii
MASHAALLAH INAPENDEZA MKIMBA PAMOJA. SAUTI ZINAFANANA ZINAVUTIA VIBAYA SANAAAAAAAAAA
imeweza au sio
duuh ngoma kalii lkn jee hawa wapo lebo ya aslay
Osama na aslay saut zao zinanichanganya jaman duh kama mapacha yaan kidogo tu bado
Kama unamkubali podo gonga like👇🏻👇🏻
Kiukweli mfahaa mngekuwa pamoja mfanye kazi wote na beka flavou
Haki Al die na mtu anijibu is that nana kwa video ya ray I love you
Musiq Mzuri...... Vijana kazini... kongole!!!
I suggest DNA for Aslay and Osama these two relate too much. From voice, body shape and face. Nani yuko na mimi?
hiii nyimbo naenda kukopa nayo bank n nomaa
wape somo aslay ao ndugu zako ngoma kali Sana
Asele baba umenikosha moyo wangu 💋💋💋💋👌👌👌👌👌👌👌❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakupenden wote mungu awajalie
Wangapi hawajalala wanatizama kichupa saa hii
Ally Nguzo 😂😂😂💃🏻
osama na podo noma san
aseeeeee aslay anajua mzikiiiiiiiiiiii ooooiiiiiiiiiii
Anaemuona nana wa rayavnny em gonga like
Hio wimbo no mbayaaa. Fireeeee
Like za podo jamn ni hapa,pdo Imba Sanaa we motto unaweza , nuu wetu njooo huku
I like much Podo, he knows pauses, vocal control and video posture
good version kijana 2nakuombea ufike mbali na vijana wako
Wangapi mmepata homa ktk mapenz ..be honesty.. Drop you're like .. Kwa Osama..
@Akhii Yahya pole sana.. Ila yanatesa analaf wengin yanawafurahisha..
Kama una mkubali "Asley" gonga like
Qaliiiii
namkubal San aslay