DARSA YA KINA MAMA; MADA NAMNA YA KUPANDISHA IMAAN - SHEIKH NURDEEN KISHK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2022

ความคิดเห็น • 92

  • @MohamedHassan-tp2wf
    @MohamedHassan-tp2wf 10 หลายเดือนก่อน +3

    MashaALLAH darsa saafi sana Sheikh KISHKI twashukuru sana kukusikiza kila wakati hapa somalia, barikiwa

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 10 หลายเดือนก่อน +3

    mashallah mashallah mashallah shekhe wetu allah akuzidishie kila la kher Katika maisha yako pamoja na family yako inshallah

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 ปีที่แล้ว +20

    Shukrani wa jazakallah kheri sheikh Kishki kwa elimu ya dini na hakika yeyote atakae jaaliwa kusikiliza hii darsa yako hakika hatotoka patupu Allah akuhifadh akupe afya na umri mrefu tuzidi kuelimika kupitia wewe sheikh wetu.

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah sheikh Nurdi kwa darsa nzuri na elimika yenye bado nilikuwa siyazuwi inshallah Mwez Mungu atufanyie wepesi tuwisome dini yetu
    na mtume wetu inshallah Na Mwez Mungu akulipe apadunia na kesho ahera na atukutanishe sote inshallah 🤲🏾❤

  • @zaitunnurah9763
    @zaitunnurah9763 ปีที่แล้ว +3

    Masha'Allah 🤲, Swadakta Shekh Allah akupe kheri, akujaze ilmu bora kwetu sisi, akupe umri mwafaka yenye kheri 🙏🙏🙏

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 ปีที่แล้ว +3

    Allahumma Amiin Yaa Rabbi 🤲, Shukran sheikh wangu kwa elimu.kwa kuchukuwa nafasi Hii ya kunielimisha Mimi mwanamke Mwenyezi Mungu akulipe Pepo ya firdaus Allahumma Amiin

  • @husnamwagadi
    @husnamwagadi ปีที่แล้ว +3

    Mashallah 🤲🤲🤲

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah x2. Mwenyezi Mungu akujaze kheri kwa mafunzo mazito kama haya.Innshaallah Mwenyezi Mungu ukazidishie umri uzidi kuelimisha ummah!.

  • @wardaam3707
    @wardaam3707 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maaashallah Allah azidi kukuongoza sheikh kishiki na atuongoze na ss umma wa kiislam shukrani sana twakupenda kwaajili ya Allah kwa darsa zako za kuelimisha Allah atujaalie imani zetu zipande

  • @aminafhakizimana
    @aminafhakizimana ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah

  • @aminanahimana8759
    @aminanahimana8759 ปีที่แล้ว +5

    Shukran Sheikh wetu Allah akujaze kheri Duniani na Akhera namuomba Allah atukutanishe🇧🇮🇹🇿 kwa kheri 🤲

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +2

    Shukran ❤ kwa ajili ya Allah

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah shekh wangu nureedin kushik Allah akubariki akupe afy ya kufanya ibada na kulingania dini ya Allah amiin jazakumllahu khayra 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Allah akupe elimu iliyo Bora Ameen 🥰

  • @tausimpoma347
    @tausimpoma347 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah ,Allah akujaalie afya.uzidi kutuelimisha.

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Mashaallah shekhe kishik

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah mashallah Mashallah Darsa mzur Inshaallah Kesho niikalie kitako tena ni iskilize vizur shukran Sheikh Nurdin Jazakallah kher 🤲😘😍😍😍

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi ปีที่แล้ว +1

    Jazakallahu. Kher Allah akulipe ukila nimejifunza mengi kupitia darasa hii shukran Allah shahid

  • @umikingazi2814
    @umikingazi2814 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah allah akulipe kwa elimu nzuri nimeelimika

  • @mwanakombohamisi8025
    @mwanakombohamisi8025 ปีที่แล้ว +1

    Tena wapenzi wangu kaane na daftari na kalamu uwaandike vitu vya muhimu sana ambavyo utaweza kuvisahau. Huezi jua sheikh anaweza kutoa swali katika kipind cha maswali mtaani na vipenzi wetu lsmail didasi, Abdurahman msawe, yahya tweitin kipind changu pendwa.ukawa umefaulu duniani na akhera.

  • @ilhamally6633
    @ilhamally6633 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah .sheik na mimi nakupenda kwa ajili ya allah

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah masha Allah masha Allah sheikh wangu mwenyew jazakallahu kheir, namuomb Allah Akujaalie life ndefu ilojaa afya njema, furaha kheri na barka tele🤲 hakika kwak 2napat darsa nzuri sana, hua nikikuonag live hio cku hua like eid 😊 how I wish ijirudie tena ,

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah tabaraka llah Shukran sana shekh Nurdin 🤲 Allah akufanyie wepesi Kwa Kila jambo amiin 🤲 ya Allah ❤️

  • @aishamsemwa-zu3eo
    @aishamsemwa-zu3eo ปีที่แล้ว +1

    Kishki huwa nakuelewa sana, mawaidha Yako huwa yananiimarisha sana na yalifanya nislim

  • @HamimuallyAlly-zb4mk
    @HamimuallyAlly-zb4mk ปีที่แล้ว +1

    Manshaalah darasa zuli sana Mollah akujarie kira la kheli , uzid kutufundisha .

  • @dausibhalo2816
    @dausibhalo2816 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Allahu barik,Nimepata Faida ndani yake

  • @wizyjunior
    @wizyjunior ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda kwaajili ya allah allah akubaliki wewe na kizazi chako

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Allah ni mwingi wa kukubali toba yarabi mashallah

  • @ahmednassor-te2eg
    @ahmednassor-te2eg 19 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mashallah shukraan shehewetu kwakutukumbusha kakika binaadamu tunakua tunajisahau

  • @ZubedaMwalimu
    @ZubedaMwalimu 2 หลายเดือนก่อน

    Alla akulinde na akuifadhi shekhe nakupenda kwa ajili ya alla

  • @halimaabdi3125
    @halimaabdi3125 ปีที่แล้ว +2

    Ma SHA Allah ❤

  • @HusnaKahe
    @HusnaKahe ปีที่แล้ว +1

    Mashaallwa mungu akujaze kila la kheli,

  • @user-je7qd5po5q
    @user-je7qd5po5q ปีที่แล้ว +1

    AashaAllah, yani shekhe anaeleza kitu mpaka unaridhika, Allah akuhifadhi na atuhifadhi sisi

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazzaka Allah kheri 🤲💕

  • @maymunaal-amry2948
    @maymunaal-amry2948 ปีที่แล้ว +1

    A.alykum naomba kuuliza je yafaa kwa dactari mwanamme kumtibia mwanamke kwa ushahidi

  • @mumbadavid6861
    @mumbadavid6861 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mwenyezi mungu akupe kheri

  • @jai5561
    @jai5561 ปีที่แล้ว +2

    Mashalaa

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka llahul kheir Sheikh 🌴🌴🌴

  • @salamabukeyeneza7557
    @salamabukeyeneza7557 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh. Shukran sheikh

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว +1

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh sheikh wetu kipenz. Shukran ALLAH akuhifadh

  • @sulekhaabdulahi2183
    @sulekhaabdulahi2183 11 หลายเดือนก่อน +1

    Allah barak

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah
    Shukraan sana sheikhe kishki

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khair

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 4 หลายเดือนก่อน

    Shukraan kwa kutuelimisha
    Allah akupe Afya njema

  • @aminamaashallahkanyika966
    @aminamaashallahkanyika966 ปีที่แล้ว +1

    Asalamualaykum jamia nawapenda nyote kwaajili ya Allah

  • @ahmedmahdi695
    @ahmedmahdi695 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallaah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaaamiiin yarabiiii takabali duaaaah

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 ปีที่แล้ว +2

    Bismillahi MashaAllah
    Mawaidha mazur sana

  • @user-qd7mx8md7t
    @user-qd7mx8md7t 6 หลายเดือนก่อน

    Mung akujarie kila la her ishallaah twashukur sana sis ni ummat muhamad swr

  • @nashmedymresh677
    @nashmedymresh677 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 ปีที่แล้ว +3

    YARABB atufufue tuwe niwenye kuifuata Qur an

  • @scollalema4674
    @scollalema4674 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mawaidha mazuri

  • @user-bh2ef6yb3q
    @user-bh2ef6yb3q 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akulipe kwaerim zur

  • @salmaalbarwani5649
    @salmaalbarwani5649 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka Allahu kheri

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

    Shukran shekh

  • @hakizimanaomar8992
    @hakizimanaomar8992 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda kishik Wang bi izini llah

    • @omanoman8928
      @omanoman8928 ปีที่แล้ว

      Mashallah jazakallahu khala

    • @omanoman8928
      @omanoman8928 ปีที่แล้ว

      Allah akulipe Pepo she wetu

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 ปีที่แล้ว +1

    Jazaqalahu khaira

  • @mesaidima6066
    @mesaidima6066 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah jazakkallah kher

  • @fatmaameer5333
    @fatmaameer5333 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ALLAH akuweke shekhe wetu darasa nimeiyelewa vizuri

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah dalasa zuli allah akujalie afya njema na umri mlefu inshaallah

  • @fuhftyfiufffg478
    @fuhftyfiufffg478 ปีที่แล้ว +1

    shukrani sheikh wetu

  • @faridahkavochi8079
    @faridahkavochi8079 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarak Allah

  • @ummukhadija1551
    @ummukhadija1551 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheri

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @saidagalu2914
    @saidagalu2914 ปีที่แล้ว +1

    Allahumma amiin mwenyewezi akupe hitaji lako na familia yako

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukran sana

  • @mallulu9086
    @mallulu9086 ปีที่แล้ว +1

    Amiin yaarab

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Nurdeen kishk 2nakupend 4 de sake of Allah

  • @fadiahshamekhatib3701
    @fadiahshamekhatib3701 5 หลายเดือนก่อน

    Amiin yarbi Amiin 🤲🤲

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060
    @shadiahshadiahshadiahshadi4060 ปีที่แล้ว +1

    Tunakusihi shieh wetu

  • @salmaalbarwani5649
    @salmaalbarwani5649 ปีที่แล้ว +1

    Allahuma Amin

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 ปีที่แล้ว +1

    MAASHA ALLAH

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen thumaa ameeen

  • @YusufAbs-bx7su
    @YusufAbs-bx7su ปีที่แล้ว +1

    Swadata

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 ปีที่แล้ว +2

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @layleyla
    @layleyla ปีที่แล้ว +1

    Darsa nzuri kweli kweli ila Mimi Nina swali, waeza ita mtoto wa kischana Jannah? Hilo jina nalipenda sana

  • @user-fo9tp4td8o
    @user-fo9tp4td8o ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilikua wakwanza kuuchuna

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Aamiiin

  • @AlhajiIddy-xe8pl
    @AlhajiIddy-xe8pl 3 หลายเดือนก่อน

    0:00

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 ปีที่แล้ว +2

    Chapa dawah sheikh

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaaamiiin yarabiiii takabali duaaaah

  • @user-ps6yd7lq9n
    @user-ps6yd7lq9n 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah🤲🤲