JIPE MOYO KWA YESU - ( 1 SAMUEL 30:6... )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
- JIPE MOYO KWA YESU - ( 1 SAMUEL 30:6... )
#NenoLaUzima #JesusWinnerMinistry #MwangazaTv
NENO LA UZIMA | JESUS WINNER MINISTRY - NAIROBI
SMS 22914|22913
Follow us on
INSTAGRAM @Mwangaza_tv
/ mwangazatvkenya
FACEBOOK @Mwangazatv
/
TWITTER @Mwangaza_tv
/ mwangaza_tv
AMINA. Haijalishi ni ripoti gani umepokea haijalishi watu wamekuambia nini leo mtu wa Mungu jipe nguvu katika Yesu na Atasimama na wewe, wacha kuona yale umeambiwa. Tujipe nguvu katika Yesu na hata kile tumenyang'anywa kitarejeshwa tukiwa ndani ya Yesu. Wakati tunatazama Kristo na tungojee kutoka kwa Jehovah Yuko na jawabu ya kile tunapitia Yesu ni Mwaminifu na tunapomwendea na haja yoyote Atatupatia jawabu ya chochote kile tunapitia. Tukiwa na hitaji lolote Atatupatia kile tunahitaji. Hakuna hata siku moja Ameachilia Watu Wake. Yeye ni Mwaminifu kwa wanaomtafuta, wanaomkimbilia kwake na wale ambao wameenda kutafuta msaada ndani Yake. Hakuna mwingine Atasuluhisha hilo jambo uko nalo.
Kweli nikimtazamia huyo Yesu napata ushindi wa ajabu maana yeye ni jemedari mkuu
Amen amen amen mungu asante kwa ubali huu hakika niwewe mungu tutembelee utumbandilishie maisha
Amen
Niombeeeni aki nataka kuokoka please jwm pastors
Persue