Neno la Uzima | MUNGU ATAKUPIGANIA - ( ISAIAH 34:8... )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @donisyakulola1744
    @donisyakulola1744 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen neno hili ni langu mungu atanipigania yote mia na siku moja haijalishi wewe ni nani mi donisya

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi ปีที่แล้ว

    Amina mungu asante umesikiliza maombi yetu na anajibu Leo

  • @florencenyambura4940
    @florencenyambura4940 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 glory to God

  • @eunicekirimi5731
    @eunicekirimi5731 ปีที่แล้ว

    Powerful message

  • @agneskariuki6903
    @agneskariuki6903 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @estherben8651
    @estherben8651 ปีที่แล้ว

    Siku moja tu,ambayo ni leo..malaika mmoja tu !

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 ปีที่แล้ว +1

    AMINA. Wakristo Mwenyezi Mungu Anayo siku moja wa kutujalia Neema. Kuna wakati tunaweza pitia changamoto na tuone kana kwamba Mungu Yuko mbali lakini hiyo haimaanishi Mungu Ametuwachilia. Mungu Anaona kile tunapitia, uchungu na changamoto tunazopitia na hakuna kitu Hakielewi. Hakuna hasara tumeenda ambayo Hajui na Hajatazama​. Oh Halleluyah Mungu Huwa na Wakati Wake na Wakati ambao Ametenga. Ni Mungu Mwenyewe Atatushindania sio watu. Watu wamelemewa lakini Mungu Atatupigania.Hajatufikisha hapa ili maadui watuangamize, Atatupigania leo. Vita sio vyetu bali ni Vyake na sio kwa wingi wala uchache tutashinda bali ni kwa Nguvu Zake.