AMINA. Wakristo shilingi ikiinuka hata sisi tunainuka. Siku ya leo ikiwa ni siku moja hii siku ndiyo Mungu Atabadilisha maisha yetu ni siku ya baraka na kibali. Ikiwa tunataka Mungu Atubariki ni vizuri watu wa Mungu kuuliza mashauri. Tumwendee Mtumishi wa Mungu tumuombe mashauri. Yuko hapo kwa ajili yetu. Watu ni wengi na mtumishi hawezi kutembea na wote. Sio lazima mtumishi wa Mungu aende na wewe lakini akisema enda na Mungu Atakutangulia Malaika wa Bwana Atakutangulia na Atakuwa pamoja na wewe. Hoja ni kuamka na kujituma na Mungu Mwenyewe Ataamka nasi.Tusikubali kukaa hapo na kungojea kusaidiwa saidiwa. Tuwe watu wenye bidii twende nje tuhubiri injili na tufanye kazi..
AMINA. Wakristo mradi tumejituma chochote ambacho kitatokea Mungu Atakuwa hapo na Jeshi La Mbinguni Litakuwa hapo.Ikiwa uko na kilio na ulimuita Mungu Ako karibu na wewe na Amesikia kilio. Tusiwe na shaka Malaika wa Mungu na mtumishi wako hapo na chochote kinaendelea wanaona. Mungu Anakuja, wewe ambaye unalia, miujiza inakuja. Leo hatuko pekee yetu. Tunaweza kosa kuona Malaika wa Mungu na Mtumishi lakini Mungu Yuko hapo, Utatu wa Mungu uko hapo na jawabu liko hapo. Tuweke imani na Mungu Wetu. Tusiwe na shaka Mungu Anakuja na Anajidhihirisha leo sio kesho. Kama vile shoka lilielea tena hata sisi chochote chetu kilianguka kinaelea tena. Tukae stadi na tungojee.
Iam here in gulf because of prophetic,,,groly and honour be to God
Thanks God for being closer to me..thanks for your favour..
Thankyou God mungu nipanulie mipake niluusu niende uk nanijenge kanisa nanikutumikie amen
Thankyou God kweli mungu ndiye yaani mkono wamungu ukuwe juu yako pastor amen amen mungu asante kwa mwaka huu mungu
AMINA. Wakristo shilingi ikiinuka hata sisi tunainuka. Siku ya leo ikiwa ni siku moja hii siku ndiyo Mungu Atabadilisha maisha yetu ni siku ya baraka na kibali. Ikiwa tunataka Mungu Atubariki ni vizuri watu wa Mungu kuuliza mashauri. Tumwendee Mtumishi wa Mungu tumuombe mashauri. Yuko hapo kwa ajili yetu. Watu ni wengi na mtumishi hawezi kutembea na wote. Sio lazima mtumishi wa Mungu aende na wewe lakini akisema enda na Mungu Atakutangulia Malaika wa Bwana Atakutangulia na Atakuwa pamoja na wewe. Hoja ni kuamka na kujituma na Mungu Mwenyewe Ataamka nasi.Tusikubali kukaa hapo na kungojea kusaidiwa saidiwa. Tuwe watu wenye bidii twende nje tuhubiri injili na tufanye kazi..
Amen and Amen iam happy for this altar I have seen God here in gulf
Amen and amen 🙏
Amen and Amen groly be to God I resived the Eagle of my spiritual Dad Bishop mwai.
AMINA. Wakristo mradi tumejituma chochote ambacho kitatokea Mungu Atakuwa hapo na Jeshi La Mbinguni Litakuwa hapo.Ikiwa uko na kilio na ulimuita Mungu Ako karibu na wewe na Amesikia kilio. Tusiwe na shaka Malaika wa Mungu na mtumishi wako hapo na chochote kinaendelea wanaona. Mungu Anakuja, wewe ambaye unalia, miujiza inakuja. Leo hatuko pekee yetu. Tunaweza kosa kuona Malaika wa Mungu na Mtumishi lakini Mungu Yuko hapo, Utatu wa Mungu uko hapo na jawabu liko hapo. Tuweke imani na Mungu Wetu. Tusiwe na shaka Mungu Anakuja na Anajidhihirisha leo sio kesho. Kama vile shoka lilielea tena hata sisi chochote chetu kilianguka kinaelea tena. Tukae stadi na tungojee.
Amen and Amen from Gulf Saudi
Niluhusu, mungu .nikiludi, niende UK,
Napokea kitu changu kilichopotea mungu anarundisha
Amen amen amen powerful better late than never
Amen
Hallelujah hallelujah
Mkono wamungu uko pamoja nami
GOD BLESS THE SERVSNT OF God be bless
Amen watumushi wa bwana
Yes Lord
Amina
😅amen and amen
Nina tazama nikiwa kwa biashara yangu
Amen
Amen
Amen
Amen