AMINA. Yohane alipombatiza Yesu Macho yake yakaona Roho Mtakatifu Akishuka kama njiwa. Wakristo Yesu na Roho Mtakatifu wameshuka katika JWM. Yesu Alipobatizwa Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho wakapatana katika kisima cha Yordani. Siku ya leo katika kisima cha Jesus Winner sio tu Malaika wako hapa lakini Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu wako katika haya Madhabahu. Jumapili ya leo Mbingu inaenda kufunguka juu ya maisha yetu. Ikiwa Yesu macho yake yalifunguka kupitia Yohane hata sisi kupitia Neema ya Madhabahu ya JWM macho yetu yatafunguka leo. Sio tu kuona tutaona baraka zetu bali baraka zetu zitaingia ndani yetu. Tutaziona na zitaingia kwa maisha yetu. Pengine kutoka Januari mpaka leo hatujawahi sikia Sauti lakini leo Baba Anaongea.
AMINA. Wakristo Yesu leo hatoki Galilaya, Anatoka Mbinguni na hakuji mto Yordani Anakuja katika Kisima cha JWM. Yohane alikuwa amewekwa hapo ili Yesu Kristo Afunuliwe kupitia mikono yake. Yesu Kristo sababu Yake ya Kutuumba na Kutuleta JWM jumapili ya leo ni kwa sababu Ajitukuze na maisha yetu. Yesu sababu yake ya kutuweka uhai na kutubariki vile Ametubariki sio kwa sababu ya mambo mengine, Ametuweka uhai ili Ajitukuze na maisha yetu. Ndiposa Yesu Afunuliwe lazima Apitie kwa mikono ya Yohane mbatizaji. Hatuko JWM kimakosa, tuko hapa ndiposa maisha yetu yainuliwe kwa sababu Mungu Huinua mtu kupitia mtu na Mungu Hubariki mwanadamu kupitia mwanadamu. You are in the right place at the right time serving The Right God.
AMINA. Unaweza pitia pandashuka za maisha hapa na pale, unapitia changamoto leo na kesho kama kawaida ya binadamu lakini kuna wakati huwa inafika, wakati wa Maksudi ya Bwana kama vile ilifika wakati Maksudi ya Mungu ikatimia kwa maisha ya Yohane. Akaelekezwa katika jangwa la Yudea kuhubiri lakini hata kule jangwani Maksudi ya Bwana lazima yangetendeka. Haijalishi mahali mpendwa mapito unayoyapitia ikifika ni wakati wa Maksudi ya Bwana hata kama utakuwa katika jangwa ama ndani ya shimo Maksudi ya Bwana yakifikiana lazima yatendeke. Yohane akahubiria watu injili ya kweli akawaambia lazima wabadilike. Lazima hata nasi wakristo tubadilike, tusimame na utakatifu na tukae katika njia za Mungu. Lazima tupende Mungu na tupende ukweli.
Amen Glory be to GOD 🙏
God of my bishop mwai......grant my husband working lorry na mimi kazi...as yu promised my lord....
Powerful sermon glory to God daddy pray for me lucy saudi Arabia 🇸🇦 niko salama lakini wifi dio sikuwa nayo ndio maana sikuwa online
God bless overseer Edward mwai and Jesus winner fraternity,
Thank you Dad for touching your children with Christmas gift pack, thanks
Thank you
AMINA. Yohane alipombatiza Yesu Macho yake yakaona Roho Mtakatifu Akishuka kama njiwa. Wakristo Yesu na Roho Mtakatifu wameshuka katika JWM. Yesu Alipobatizwa Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho wakapatana katika kisima cha Yordani. Siku ya leo katika kisima cha Jesus Winner sio tu Malaika wako hapa lakini Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu wako katika haya Madhabahu. Jumapili ya leo Mbingu inaenda kufunguka juu ya maisha yetu. Ikiwa Yesu macho yake yalifunguka kupitia Yohane hata sisi kupitia Neema ya Madhabahu ya JWM macho yetu yatafunguka leo. Sio tu kuona tutaona baraka zetu bali baraka zetu zitaingia ndani yetu. Tutaziona na zitaingia kwa maisha yetu. Pengine kutoka Januari mpaka leo hatujawahi sikia Sauti lakini leo Baba Anaongea.
Amen I receive it
Amen may glory be to God our reverend
Amen 🙌🙏 and very God revelation God bless you all. 💯
AMINA. Wakristo Yesu leo hatoki Galilaya, Anatoka Mbinguni na hakuji mto Yordani Anakuja katika Kisima cha JWM. Yohane alikuwa amewekwa hapo ili Yesu Kristo Afunuliwe kupitia mikono yake. Yesu Kristo sababu Yake ya Kutuumba na Kutuleta JWM jumapili ya leo ni kwa sababu Ajitukuze na maisha yetu. Yesu sababu yake ya kutuweka uhai na kutubariki vile Ametubariki sio kwa sababu ya mambo mengine, Ametuweka uhai ili Ajitukuze na maisha yetu. Ndiposa Yesu Afunuliwe lazima Apitie kwa mikono ya Yohane mbatizaji. Hatuko JWM kimakosa, tuko hapa ndiposa maisha yetu yainuliwe kwa sababu Mungu Huinua mtu kupitia mtu na Mungu Hubariki mwanadamu kupitia mwanadamu. You are in the right place at the right time serving The Right God.
Bishop God bless you more.true watu wengi hulia juu ya pesa kukuliwa na family na husband
Amen
Very nice children's choir.
Hii ni kweli kabisaa Niko Mahali panafaa
Very powerful semon🙏
Amina
Bingu inafunguka im a winner
this theme speaks to me 🎉🎉🎉
Very powerful sermon 🙏🙏🙏
May the God of Rev . Mwai provide me with a financial breakthrough to be able to attend church physically.
Powerful
Amen mungu nikumbuke na mm unifungue ufahamu bariwa mtumishi wa bwana
AMINA. Unaweza pitia pandashuka za maisha hapa na pale, unapitia changamoto leo na kesho kama kawaida ya binadamu lakini kuna wakati huwa inafika, wakati wa Maksudi ya Bwana kama vile ilifika wakati Maksudi ya Mungu ikatimia kwa maisha ya Yohane. Akaelekezwa katika jangwa la Yudea kuhubiri lakini hata kule jangwani Maksudi ya Bwana lazima yangetendeka. Haijalishi mahali mpendwa mapito unayoyapitia ikifika ni wakati wa Maksudi ya Bwana hata kama utakuwa katika jangwa ama ndani ya shimo Maksudi ya Bwana yakifikiana lazima yatendeke. Yohane akahubiria watu injili ya kweli akawaambia lazima wabadilike. Lazima hata nasi wakristo tubadilike, tusimame na utakatifu na tukae katika njia za Mungu. Lazima tupende Mungu na tupende ukweli.
Kabisa..Amen Amen 🙏
Please kuna service this Tuesday
Amen