PATANISHO:AMARA - NILIKOSANA NA RAFIKI YANGU KIGHAFLA BAADA YA KUHAMA KISII
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Amara anajishuku anajua kile alifanya, ndio maana ameleta radio jambo aone kama lidya hasira imepungua na atakubali warudushe urafiki. Marafiki ukiwa kwenye ndoa unafaa uwe makini sana, maana rafiki yako ndiye adui mkbwa.
Huyo amara nimjinga
Fear friends 😂😂
Friendly match hukuanga tamu😂😂
Huyo Amara venye anaongea nimkora
😅😅😅
Halafu amelewa.
Lydia ako humble but...........this type of person wanakua silent (simba amenyeshewa) bt akikupata,,utajua hujui😂😂😂😂
Hongera Lydia marafiki wanafik n sumu kwa maisha yako kaa mbali
MARAFIKI NA FAMILY MEMBERS NYOKAAAAAAAAA!!!!!!
Amara hata vyenye anaongea anakaa tu loose
Amarah ni monitoring Spirit … Shindwe pepo ya marafiki wanafik😡
Lydia msamehe lakini block her out of youre Life⛔️ usirudishe urafiki!!
Amara ni Nyoks, i don't like her voice with fake swahili accent.
Me too wondering how she's talking 😅
Mimi na marafiki nilinawa mikono. Heri nikae solo.
Rafiki ndio adui wa kwanza. huyu Amara ni mtu mbaya sana. Rafiki gani huyu.
Hio sipoa kuongea na bwana ya mwingine alfu una cheat na uko na bwana lydia pole utapata mtu mwangine
huyo dem wa kuleta patanisho anasound mang'aa
Mnatoanga wapi nguvu ya marafiki??
Anyways since my friends die,I no longer have a friend and I don't want either.
That story can be two ways,either she cheated with her husband,lied to the husband about her friend so the husband can leave her or the husband made up a story & lied to her about her friend saying bad stuuf about her so he use that as an excuse to get out of the relationship
amara aache mchezo she is a homerecker.ajipe shuguli
Amara wewe bona uliigililia doa ya wenyewe ak ata Bibilia inakataa kabisa.
Amara wewe bona uliigililia doa ya wenyewe ak ata Bibilia inakataa kabisa.
Amara anaongea aje kama dongo🤔
Lindia run huyu amara ni snitch
That’s why my friends are weed and wine.
Wanawake ni viumbe vya ajabu
Hmmm amarah wewe ni mnafki sanaaaaa Lydia kaa mbali na yeye
Nipe number ya Lydia nimuombee apate Bwana
😂😂😂😂
Never allow your lover to be a friend to your friends 😂
Musichana na Musichana!!!!! At first I almost over thought..... But now I understand. KikuLWACHO ki nguoni mwako.
Rafiki yangu alikuja kupeperushia mzee wangu matiti akimrukia😂😂 mzee mpaka wa leo anaogopa waKenya😂😂. Nevet again
Amara wewe ni mkora sana
L l 2
Akuna maandamano Leo ama tuwapate uko studio
Bestie ndo adui mkubwa
Number 1 kuskiza like my comment guys
Ilinitendekea ogopa bestie
MY DEAR MIMI COUSIN YANGU
Mm urafiki na bana yangu sitaki 😂😂😂 Hata number cwezi peana 😂😂
Hii mambo ya bestie bestie watu wataacha nayo ,ona sasa amekuharibia ndoa
bestie bestie chubwi😂😂
Rafiki wambea n wabaya
Bestie bestie 😂😂😂