PATANISHO : MELODY - HUYU MWANAUME AKO NA UTOTO SANA,SITAKI MAMBO YAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho #humour
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
The lady sounds a very good lady
She may sound but evil.
Man up ,huyo mwanaume na vile ako na miaka mingi ,but anatusi msichana wa 26yrs ,she is very mature
giddi yeye utetea tu wanawa😮
Gidi hakuna kitu ngumu kama kuolewa na MTU Bibi alienda ,juu kilichomtoa mwenzio bado kitskutoa pia ,moreso penye kuna watoto is a big noo
Gidi. Shida ni mmoja. Mwanaume wale wanaoa mabinti/ msichana mdogo;:. Wanagifanya wadogo na tena wako na matharahu mengi!?. . Ni kama wameshinda "Loto".;😅😂. Na wasichana wanachanganyikiwa..!!?.
Uki ignore red flagskinakuramba good gal
Leteni tena langat kwa radio 😂
Huyu mwanamme ako Na utoto
Mwanaume Hana hatia
Mwanaume hana hatia.
Ruto ndio rais 😂😂
Haki Gidi anachocha eti red flag😂😂😂
The lady is mature and she knows what she wants.
😂atii labda unaenda kuolewa na jambazi,😂akina kimatwek
gidii yeye utetea tu wanawake
hatumupati hapa kisumu obunga
What happened to Kale men! They use to be strong men like Somalis, Merus and Kisiis. What a waste of space!
Aki wewe gidi
Mwanaume mpumbafu 😢😢😢
Mambo ya watu wamegusana tususu ni ngumu 😂 Rudisha langat kwa radio 😂weka full story
maturity nowadaiz isn't yrs,
Gidi na wewe uko single ama nilete mambo yetu kwa radio Jambo my love.
Adisa kindiki 😂
@@paulinekamau9633 hahahaa....msaza wange Gidi
😂
Huyo jamaa ni kama hana pesa enough
I like listening to You guys but hii story za watu kutaja majina yao mpaka na place i don't get it. Atleast birth na first name tu. People wawe na privacy policy.
Mwenye anataka privacy anafanya nini kwa Media??
giddi yeye utetea tu wanawa😮