Tumsifu Yesu Kristo, askofu mteule Wolfgang Pisa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Francis! Mungu akubariki Baba askofu mteule katika safari yako ya kichungaji ukiwa askofu wa jimbo la Lindi nchini Tanzania.
Mwalimu wangu/ mshauri wangu kwenda Mgambo JKT! Aliniambia kama unaenda Mgambo JKT usisahau kwenda na kisu! Nikamwuliza cha kazi gani? Akaniambia hataki swali! Nunua kisu nenda! Nikanunua kisu cha kukunja sh 350! (1991/1992) kumbe kuna machungwa mengi! Unachuma machungwa tani yako unaenda kupima! Then unakula! Ubarikiwe binamu! Fr! Baba askofu
kuwa msaidizi sio udogo Baba Pisa Alishahudumu na Tayari ni monsinyori hivyo alipunguziwa majukumu ila Kanisa limeona na unajua hekima na uwezo wake wa kufanya na kusema kwa hekima kumemfanya apelekwe kwenye ukuhani mkuu hakuna tatizo lolote la kiutawala
Hongera sana Askofu Pisa, nakumbuka aliwahi kutuhudumia chakula mezani na kuhamisha vyombo pale msimbazi center akiwa mkuu wa shirika.. nilihofu mno
Hongera sana baba Mungu akuongoze katika utume wako.
Tumsifu Yesu Kristo, askofu mteule Wolfgang Pisa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Francis!
Mungu akubariki Baba askofu mteule katika safari yako ya kichungaji ukiwa askofu wa jimbo la Lindi nchini Tanzania.
Daima tunakuombea Baba tunakupenda na wanakwangulelo tutakukumbuka saana Mwenyezi Mungu akutangulie katika utume wako huko Lindi 🙏
Tumsifu yesu kristo askofu mteule ! Kristo akusimamie ktk. utumishi wako.
Tumsifu Yesu Kristo Baba Askofu.
Mungu akuongoze uweze kulichunga Kundi lake Amina🙏
Nakutakia utume mwema mungu ajutangulie
Aisee it's so good
Amina
Utume mwema baba Askofu
Mwalimu wangu/ mshauri wangu kwenda Mgambo JKT! Aliniambia kama unaenda Mgambo JKT usisahau kwenda na kisu! Nikamwuliza cha kazi gani? Akaniambia hataki swali! Nunua kisu nenda! Nikanunua kisu cha kukunja sh 350! (1991/1992) kumbe kuna machungwa mengi! Unachuma machungwa tani yako unaenda kupima! Then unakula! Ubarikiwe binamu! Fr! Baba askofu
UMETISHA SANA ISSUE YA MACHUNGWA
Aisee tulikuwa mwaka mmoja!!! Nilikuwa coy C. Machungwa ndio ilikuwa kama chakula chetu. 😂😂
Pongezi za dhati,wazazi.
Fikra pevu, falsafa kubwa..Tunakuombea wewe na Kanisa la Lindi,Mungu akutangulie
Ad laudem Domini Iesu Christi
Wakatoliki siwawezi! Unamwandaa mtu kuwa Askofu! Alafu anakuwa paroko msaidizi ila nyie!🤣🤣🤣!
kuwa msaidizi sio udogo Baba Pisa Alishahudumu na Tayari ni monsinyori hivyo alipunguziwa majukumu ila Kanisa limeona na unajua hekima na uwezo wake wa kufanya na kusema kwa hekima kumemfanya apelekwe kwenye ukuhani mkuu hakuna tatizo lolote la kiutawala
In the catholic church there is no such thing as lower position
Wako kiroho zaidi na sio madaraka ,maana kama ni Elimu hawa watu wamesoma, tofauti makanisa mengine wanangali elimu yako..
aliye Mkubwa yampasa kuwahudumia wengine..........Kanisa humwandaa Askofu kuwa mtumishi kwa wengine.............ukubwa na udogo si kipaumbele kabisa
Laudatur Iesus Christus