HOMILIA YA ASKOFU WOLFGANG PISA | JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MKUU RUWAI'CHI, DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @TheKinyago
    @TheKinyago 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Amen! Baba Askofu Pisa umegusa wengi kwa mahubiri haya ya kinabii!

  • @eliaally196
    @eliaally196 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mha. Baba Askofu sauti ya kinabii imesikika... Elimu jamii ni sifuri kwa sasa, tunaangamia kwa maadili mabovu tiliyoyakumbatia na hatutaki kujiona wakosaji.

  • @Dkt-Chipeta
    @Dkt-Chipeta 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yupo vizuri sana kwa homilia huyu baba

  • @martingenda6733
    @martingenda6733 5 หลายเดือนก่อน

    Asante baba Askofu Kwa homilia ,nzuri .ubarikiwe

  • @cesidilili6991
    @cesidilili6991 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana baba askofu mungu akulinde ck zote

  • @Theresia-rz3rk
    @Theresia-rz3rk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana baba mungu atutie nguvu katika utume wako 🙏🤝

  • @merickiorykatambi9928
    @merickiorykatambi9928 4 หลายเดือนก่อน

    Homilia nzuri iliyojaa ujuzi wa akili na maarifa.

  • @sambayametikana8682
    @sambayametikana8682 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu baba askofu yupo vzr sana mahubiri yake yalikua matamu sana hakika Mungu ni mwema

  • @fridaupendomushi1081
    @fridaupendomushi1081 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Baba Askofu Pisa alitoa sauti ya kinabii 🎉

  • @pharlesyikobela8563
    @pharlesyikobela8563 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Baba Askofu mkuu kwa utume uliotukuka

  • @janethmayanja
    @janethmayanja 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Askofu Wetu Wolfgang Pisa

  • @CANAANTZ_TV
    @CANAANTZ_TV 5 หลายเดือนก่อน

    Tumsifi Yesu Kristu,
    Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp
    1=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi
    2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu
    3=Maombi ya vita vya kiroho
    Bonyeza picha kushoto mwa comment hii

  • @isayakahemela4881
    @isayakahemela4881 5 หลายเดือนก่อน

    Sioni haja ya protokali kwenye tafakari ya neno la Mungu

    • @DatiusProsper
      @DatiusProsper 5 หลายเดือนก่อน +1

      Upo sahihi lakini Kuna mambo ya msingi kuyafahamu

    • @amaniabel9487
      @amaniabel9487 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni shida yako ya kichwa....!