BONGO DAR ES SALAAM S02EP05 - IPHONE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 153

  • @marcntwari4012
    @marcntwari4012 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu kama awo nabapiga risasi nikibashika

  • @filbertkapama8824
    @filbertkapama8824 4 ปีที่แล้ว +2

    Bongo bdo sana saiv tunachek movie zenu ili kuwap moyo tu ila hmna sanaa ya uigizaji,half hao walinzi wa mageti me cwaelewag,,,, dahh bongo kwel baht mbya

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 3 ปีที่แล้ว

      Yaan wanakuaga wehu wehu kwan mtu ukiwa na akili timamu hufai kua mlinzi

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 4 ปีที่แล้ว +6

    Favorite of all time.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwel Kabisa
    Uyu dada ni mjnga
    Sana akisikia police mkojo
    Debe ukiwa na mwana mke
    Kama uyu basi asala tupu

  • @mohammediddi773
    @mohammediddi773 4 ปีที่แล้ว +3

    Sauti na picha kuna vipande mumechemka kidogo lakini asanteni sana kwa funzo kununua kitu mkononi ni hatari sana hapa nagundua kua mumetumia akili nyingi sana kutuelewesha athari zake

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +4

    Hila kuen makini
    Katika kuedit nazisikia
    Saut zilizo pita
    Hakiwa dude amekutwa
    Nyumban Kwa uyu boss
    Akijifanya police

  • @fahadfaraj1263
    @fahadfaraj1263 4 ปีที่แล้ว +7

    Hahaaa huyu jamaa kiboko ya Dude

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 4 ปีที่แล้ว +5

    Pamoja nakukosewa lakini funzo usinue vitu mkononi nimbaya sana

  • @aleeebby4253
    @aleeebby4253 4 ปีที่แล้ว +2

    Punguzeni watu, huyo mwarabu piga chini' halafu kwani mlinzi mpaka awe chale chale?

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaa,asante huku unaondoka,mlinzi katishaa

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +3

    Coco kakalishwa na mwarabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdullatifsuleiman8760
    @abdullatifsuleiman8760 4 ปีที่แล้ว +2

    Sauti zmeingiliana Sana Leo Ila sio kesi ajali kazin mpo vzur Dude hongera

    • @abuukatana
      @abuukatana 4 ปีที่แล้ว

      Sauti kuingiliana ilikua ni fikra alizokua nazo mwarabu kwa kilichompitia Dude

  • @joisjengo489
    @joisjengo489 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapana chezea dude

  • @stevenassenga990
    @stevenassenga990 2 ปีที่แล้ว

    Hii episode director wa sauti hakuwa makini

  • @abraham92268
    @abraham92268 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hongereni sana.... View iko vizuri....

  • @slimmaharezi4223
    @slimmaharezi4223 4 ปีที่แล้ว +2

    Big up muabeshi

  • @japhetmapembe1439
    @japhetmapembe1439 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmekumbuka mbali sanaaaaaa

  • @dianamajiyapwani
    @dianamajiyapwani 4 ปีที่แล้ว +6

    Aaahhh leo imekuaje sauti jameni mhariri amelewa nini

    • @onlygame5110
      @onlygame5110 4 ปีที่แล้ว

      Hujaelewa unakumbushwa cocoo jeuri yake maana aliona dude Hana akili mwarabu kamtia mjini mbele yasheri tim dude inatisha cocoo mwarabu dude hongereni sana bila kumsahau huyo madam

  • @kokudo8389
    @kokudo8389 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo mmezingua Sanaaaaa sauti imejichanganya kweli

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 4 ปีที่แล้ว +3

    Duhh bonge la idea wabongo mmeanza kuniita sasa big up sana coco.

  • @mulastar
    @mulastar 4 ปีที่แล้ว +2

    17:11 sijui kama na nyie mmegundua hii episode ilikuwa na shida ya sauti sana na kwenye hiyo dk ya 17 ndyo imedhihirisha. Umakini kidogo uongozeke na sauti ilikuwa ndogo sana

  • @veronicagershomu484
    @veronicagershomu484 4 ปีที่แล้ว +13

    Dude wewe ni askar😂😂😂😂leo wamekunyoosha yaleo kaliiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @lamarjr7442
      @lamarjr7442 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

  • @nuruchengula11
    @nuruchengula11 4 ปีที่แล้ว +8

    yan hii imekosewa kama hamna wahariri wazur niajirini ata Mimi nitawasaidia

  • @abduljuma8624
    @abduljuma8624 4 ปีที่แล้ว +2

    Good ..,.

  • @YCLASSICTZ_
    @YCLASSICTZ_ 4 ปีที่แล้ว +9

    Like tuendeleee kuwa sawa

  • @martinezsiwale4419
    @martinezsiwale4419 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnapunguza credit za kurushwa WASAFI TV na mnapoteza mvuto wa reality maigizoo hayajawa sawa kabisaa kuna watu hawako serious kabisa bt Good Work

  • @hmedoggftherljih199
    @hmedoggftherljih199 4 ปีที่แล้ว +1

    Bongo Dar Es Salaam! Salute crew

  • @brown7405
    @brown7405 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbona kama huyu binti anafanana na lulu diva

  • @matikomambiso6851
    @matikomambiso6851 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeielewa san

  • @mzeemzee2467
    @mzeemzee2467 4 ปีที่แล้ว +3

    Dude sasa mnaharibu kila siku mnaweka kuwa koko anamjua dude inakua kama muendelezo wakati ni kitu kipya

    • @iddykamti6293
      @iddykamti6293 4 ปีที่แล้ว

      Yani ndani ya kumjua kunakitu wanatufundisha

    • @joelrwegasira1601
      @joelrwegasira1601 4 ปีที่แล้ว

      Hapana hajamjua ila ameshtukia sababu Coco ni mtoto wa mjini so sio muendelezo

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 4 ปีที่แล้ว +3

    Jaman nampenda uyo mdada alikuwa kwenye gari pindi move inaanza

  • @malacktweve6012
    @malacktweve6012 3 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu kinaitwa character development. Hii character ya DUDE mnaishusha thamani inatakiwa ibaki vilevile ilivyokua au iongezewe thamani.

  • @vaibata7704
    @vaibata7704 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa Askari wamecheza vizuri sana walipokuja kumkamata dogo hapo nimependa 🙄

  • @brothermo9343
    @brothermo9343 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimemiss sana hiki kipindi kama na wewe umemiss dodosha LIKE hapa

  • @fahimsungura775
    @fahimsungura775 4 ปีที่แล้ว

    Sauti sio nzuri

  • @orght1058
    @orght1058 4 ปีที่แล้ว

    if so, which evidence shows that he stone, cause you can't just police station and then go report like somebody stell from my car for which means of evidence shows that's if it's true orno not.
    I thank you, you guys areteachare teach us something people do not know, esle it keeps opening our brian tuwemacho in these kind situations like that. thanks for what you have done.

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani hii series ......kuna kitu imekusewa Aseee hamjui Tu

  • @marrykisara3138
    @marrykisara3138 4 ปีที่แล้ว +1

    I love u dude

  • @melacanatz2003
    @melacanatz2003 2 ปีที่แล้ว

    Dude umeniinspire kuwa tapeli 😂😂😂

  • @mediarevolution9769
    @mediarevolution9769 4 ปีที่แล้ว +1

    sauti mbovu sana

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 4 ปีที่แล้ว +3

    Dude dili zako zimekua zikibuma balaa...

  • @ibrahibakar1167
    @ibrahibakar1167 3 ปีที่แล้ว

    Wakati askari wanakuja kuchukua simu mlinzi alikuwa wapi?

  • @LucasDaniel-nb7nd
    @LucasDaniel-nb7nd 4 ปีที่แล้ว

    Mbona mnazingua nyie sanaaa saut mala mbili mbili

  • @KizaDamas
    @KizaDamas 4 ปีที่แล้ว +1

    kwenye hii episode sauti imechemsha sana,siyo nzuri hata kidogo

  • @luvunodzunga5131
    @luvunodzunga5131 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣 Asante huku unaondoka

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 ปีที่แล้ว +3

    I loves this movie is teach a lot thing I didn't know

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 4 ปีที่แล้ว +5

    nimependa kile kipande cha "we ni askari?" kaa chini

    • @makwirojryg1885
      @makwirojryg1885 4 ปีที่แล้ว

      Halafu kafika kwa mwarabu kaongea vice versa,dude buana

  • @yusuphjuma4638
    @yusuphjuma4638 4 ปีที่แล้ว

    Naona sasa mmechoka kazi hizo sauti vipi

  • @frankmnganya8572
    @frankmnganya8572 4 ปีที่แล้ว

    Dude unabahati mbaya sana na uyo jamaa

  • @ukinawatv2248
    @ukinawatv2248 4 ปีที่แล้ว

    Mmeharbu sana kwenye sauti

  • @mcanada.
    @mcanada. 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥 likes

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada kafanana na lulu diva

  • @froridaanthony3278
    @froridaanthony3278 3 ปีที่แล้ว

    dudeeeee

  • @yusuphjuma4638
    @yusuphjuma4638 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani eti bongo hawa walinzi huwa mnawapata wapi???

    • @paulmayunga3927
      @paulmayunga3927 4 ปีที่แล้ว

      Hv mbna kila kibande dude umekuwa ukishtukiwa Sanaa na huyu mzee hapo cjui nimkongo

  • @Ja_Eid
    @Ja_Eid 4 ปีที่แล้ว +3

    Askari na madevu wapi na wapi wazee.. 😀😀..?

    • @jacobchallo9692
      @jacobchallo9692 4 ปีที่แล้ว +1

      Wapelelez wanakuwa as raia

    • @allyramson6359
      @allyramson6359 4 ปีที่แล้ว +1

      Iddi Jabir icho ni kitengo kumbuka cyo tatizo

  • @sekavumotvseka7338
    @sekavumotvseka7338 4 ปีที่แล้ว

    Dude unatupa mafuzo wote tunaofwatilia hii shukran

  • @diamondeplatinumz5459
    @diamondeplatinumz5459 4 ปีที่แล้ว +1

    Bude anafel wap

  • @geraldexperius9345
    @geraldexperius9345 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiboko Ya Dude Huyu

  • @gloryjoseph1981
    @gloryjoseph1981 4 ปีที่แล้ว

    Uyo dada amevaa kidude Kama changu mkononi 😜

  • @funnycomonline413
    @funnycomonline413 4 ปีที่แล้ว +4

    Mchukue madebe aandike series humu

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 4 ปีที่แล้ว +1

    mmezingua sauti ipo chini

  • @nahodahassan6938
    @nahodahassan6938 4 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa kishua huyo

  • @enesiajustinesanga4469
    @enesiajustinesanga4469 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @phedriclhusna3949
    @phedriclhusna3949 4 ปีที่แล้ว +1

    Kakamatwaaaa hahahaaaa....

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 4 ปีที่แล้ว +3

    Nipewe namba yake

  • @joelrwegasira1601
    @joelrwegasira1601 4 ปีที่แล้ว

    Coco amekalishwa round two

  • @azashaban5846
    @azashaban5846 3 ปีที่แล้ว +1

    mnaomkubali dude 2juwane lakn sijui dude yey anasemajee

  • @bizoventertainer1561
    @bizoventertainer1561 4 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣kiboko ya dude

  • @slumwaalid5274
    @slumwaalid5274 4 ปีที่แล้ว +3

    Dude mwenye bongo yake manina

  • @sadibaloch740
    @sadibaloch740 4 ปีที่แล้ว

    Dah ihi kiboko

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 ปีที่แล้ว

    Voice ina jucha sana kama ipo kwenye pipa hivi

  • @user-yl1mr9vm2v
    @user-yl1mr9vm2v 4 ปีที่แล้ว +2

    😆😆😆😆😆😆😂😂

  • @user-ss9vj8eo9b
    @user-ss9vj8eo9b 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani kabla picha haijaisha ushaelewa picha linaishaje

    • @uislamutv2573
      @uislamutv2573 4 ปีที่แล้ว

      Hilo ndo tatizo dude abadili mfomo maana tutashindwa kua tunatazama kabisa

  • @deodominicus6433
    @deodominicus6433 4 ปีที่แล้ว +1

    Napita

  • @mohamedhamdan4956
    @mohamedhamdan4956 4 ปีที่แล้ว +1

    Very good brother keep acting

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi kuna kitu na mitambo yenu maana tangu juzi video zinakwama alafu sauti ni distorted... work on it..

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo mbaya

  • @peterwaya5720
    @peterwaya5720 4 ปีที่แล้ว

    Dude bongo

  • @fredrickfanuel3183
    @fredrickfanuel3183 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂

  • @AmCool_
    @AmCool_ 3 ปีที่แล้ว

    Hivi kwanini walinzi wa geti wanakuwa mawenge kwenye bongo movie??

  • @charlesngoto3286
    @charlesngoto3286 4 ปีที่แล้ว

    Dude amapata kiboko yake

  • @chrispinmnola6694
    @chrispinmnola6694 4 ปีที่แล้ว +1

    wewe ni askar ni idea nzur sio kila siku ww 2 ndo unawin kwa ujumla bongo dar sio ya kukuosa

  • @johntuju8816
    @johntuju8816 4 ปีที่แล้ว +1

    Sauti mbona hakuna??

  • @abdillahkhalfan8186
    @abdillahkhalfan8186 4 ปีที่แล้ว

    Vp tena

  • @joharijumajohari6417
    @joharijumajohari6417 4 ปีที่แล้ว

    Sauti

  • @martinezsiwale4419
    @martinezsiwale4419 4 ปีที่แล้ว

    kuna vituu mmezingua hiii

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +2

    sini nzuri lakini sound bado hazijakaa sawa.

  • @lightdempoz5150
    @lightdempoz5150 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @mulastar
    @mulastar 4 ปีที่แล้ว

    2:06 hii shot inaboa jamani ebu jirekebisheni na bora ingekuwa imetokea mara moja, hapa tena 5:09 . kwani kulikuwa hakuna umuhimu hata wa kubadilisha shot ili zisifanane?

  • @yusuphanyitike213
    @yusuphanyitike213 4 ปีที่แล้ว +5

    Maneno ya kuambiwa ni bola zaid kulo muv zte

    • @zafnatyjuma6512
      @zafnatyjuma6512 4 ปีที่แล้ว

      Hakunaa anaeiweza maneno ya kuambiwa

  • @choloahmed1139
    @choloahmed1139 4 ปีที่แล้ว

    Saut leo vp

  • @rajathedon408
    @rajathedon408 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @HOODONLINETV
    @HOODONLINETV 4 ปีที่แล้ว +3

    25:24 Editor umezingua

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 4 ปีที่แล้ว

    Kkkkk

  • @abdisingle3854
    @abdisingle3854 4 ปีที่แล้ว +3

    Bring back our Hamis wa bss😔😔

  • @mulastar
    @mulastar 4 ปีที่แล้ว

    20:30 Mmmmhhh baba sasa hao mapolisi nao ni Vilaza sana Price ya hvyo vyote haifiki hiyo pesa uliyoitaja Cs Macbook Pro mpya zinaanzia M5, iPhone 6+= Laki 6....iPHONE 11 ni M 1 point sometin. so hata kama ni kuigiza just be specific an professional.

    • @itsjonahfather7941
      @itsjonahfather7941 4 ปีที่แล้ว

      mh, Hapana I phone 11 million 1 sio kweli na I phone 10 plus itauzwajee.....Navyojuwa mimi ni 2.5M Tena ikiwa pro inaingiaa 3M kabisa

    • @mulastar
      @mulastar 4 ปีที่แล้ว

      @@itsjonahfather7941 am talkin about official bei zao toka kwao ambayo 11 kavu sio pro ni M 1 na laki 6

  • @ij3006
    @ij3006 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kwenye maigizo ya kibongo lazima kila mlinzi aigize kama chizi chizi au?

    • @mozuu1260
      @mozuu1260 4 ปีที่แล้ว

      Nakushkur kwakunisemea,Yan kilamlinzi ajifanya hamnazo,

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 4 ปีที่แล้ว +5

    leo nimewahi mimineni mi like kama yote 😁😁😁😁

  • @swalehabdulkarim9964
    @swalehabdulkarim9964 4 ปีที่แล้ว

    Hii mumefeli haina sauti

  • @user-ss9vj8eo9b
    @user-ss9vj8eo9b 4 ปีที่แล้ว

    Mnabugi sana mbinu mbona ndo zile zile tu mmekwama nendeni kijijini mkalime tu

    • @mikehjackson8146
      @mikehjackson8146 4 ปีที่แล้ว

      Lengo la kuweka sehem ya comment ni kutoa maon kushauli kukosoa nk sio kutoa sheet
      Kama ww unazo mbinu wasiliana nao mtengeneze kitu kizur
      Au ndo ule ugonjwa wetu wa africa kutopenda maendeleo ya mwenzako