BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - PESA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Hii ni Episode ya Kwanza ya SEASON 2 Katika Drama ya #BongoDaresalaam Kutoka kwa #DudeBongo ambayo inaoneshwa kupitia #WasafiTV
    Kama Ulikosa Season 1 Basi Hii Si ya Kukosa Kabisa, Ubunifu, Ujanja, Akili Nyingi na Maarifa ya Kuweza Kumtegua Masta Mwenye Dar es Salaam Yake DUDE Umeboreshwa Zaidi
    USIKOSE KUTAZAMA KILA JUMANNE #BONGODARESSALAAM KUPITIA WASAFI TV

ความคิดเห็น • 317

  • @allenynnko9873
    @allenynnko9873 5 ปีที่แล้ว +131

    Wangapi walio kuwa wamemci bongo dar es salaam kama mm gonga like yako hap twende pamoja

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 5 ปีที่แล้ว +14

    Duuuu.. Hilo geti la mfanyabiashara wa magari.. Hapo mmechemshaaa kidogo kwenye uhalisiaa

  • @sinaivaladega8291
    @sinaivaladega8291 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii mmetudanganya vitu vingi sanaa

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 5 ปีที่แล้ว +1

    Wizi wa kishamba kabisa huo Dude kazingua ilikua aka matwe kabisa sema ki bongo movie usanii tu si hitaji like zenu

  • @kileoamani6744
    @kileoamani6744 5 ปีที่แล้ว +78

    Wamaneno yakuambiwa tupo uku kwa dude yetu jmosi

    • @gaonechinago3493
      @gaonechinago3493 5 ปีที่แล้ว

      Kileo Amani tupo uku pia 😁😁😁

    • @stellahjames1974
      @stellahjames1974 5 ปีที่แล้ว

      Jamani siku hizi maneno ya kuambiwa hua inarusha Chanel gani na sangapi?

    • @kileoamani6744
      @kileoamani6744 5 ปีที่แล้ว +1

      @@stellahjames1974 inarushwa kila jmosi saa tatu

    • @neykweyamba8052
      @neykweyamba8052 5 ปีที่แล้ว

      Saa 4 wa Oman saa 3 ya Tanzania

    • @muokiraymond9950
      @muokiraymond9950 5 ปีที่แล้ว

      @@kileoamani6744 mwambie stellah akianza moja wenzake tupo episode 81.

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Bongo Dar Es Salaam ilikuwa nzuri zamani...Dude unaharibu sana cku hiz dah

  • @jannsenmalando5833
    @jannsenmalando5833 5 ปีที่แล้ว +4

    Thumb up to the one en only known Dudeeee!!!!

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 5 ปีที่แล้ว +1

    mwarabu anambinuuuu af ana uchu na pesa kishenz yan

  • @allychaye3446
    @allychaye3446 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnazingua mnatumia uongo mwingi sanaa mpaka watazamaji tunajua kabisa

  • @jacobtimoth4897
    @jacobtimoth4897 5 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana Mzee wamipango dudeee

  • @batabizo6765
    @batabizo6765 3 ปีที่แล้ว

    Kabali yao dude tapeli mwanzo mwishoooo

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi inaonyweshwa jumangapi sangapi hi bongodar es salaam

  • @vanbraiysee2858
    @vanbraiysee2858 5 ปีที่แล้ว +51

    Mbinu Ngumu Sana Ulizo Tumia Dude Akuna Alie Zani Mbinu Kama izo Ungetumia Pale Ongera Kwa Kutufunza Wizi Pia

    • @danrevelian
      @danrevelian 5 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahahaha eti hongera kwa kutufunza wizi...!!

    • @filbertkapama8824
      @filbertkapama8824 5 ปีที่แล้ว +1

      Van Braiysee j

    • @simonandrew2238
      @simonandrew2238 3 ปีที่แล้ว

      Aendelee kutupa maujuz ya kitapeli🤣🤣🤣

    • @simonandrew2238
      @simonandrew2238 3 ปีที่แล้ว

      @@danrevelian noma noma

  • @revocatusrenatus8256
    @revocatusrenatus8256 5 ปีที่แล้ว +1

    Wizi wa simple sana huu

  • @josephtemba10520
    @josephtemba10520 5 ปีที่แล้ว

    Mjini shule asante baba kwa kuwatimizia wahenga maneno waliyosema....

  • @UU_ONLINETV
    @UU_ONLINETV 5 ปีที่แล้ว +12

    1st number dude chafu

  • @jeanclaudebukeyimpundu7618
    @jeanclaudebukeyimpundu7618 5 ปีที่แล้ว

    Nawakubali kabisa

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 5 ปีที่แล้ว +1

    Dude noma samaaaa aaaah hii nimeipenda kwelikweli

  • @nasorosadick4540
    @nasorosadick4540 5 ปีที่แล้ว +2

    BG up

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nmeinjoi sana kuitizama hii kitu wara sjajutia

  • @alfrednjambilo909
    @alfrednjambilo909 5 ปีที่แล้ว +1

    Daah bongo mnajuaa 🤣🤣🙌🙌

  • @shahbanmazila2138
    @shahbanmazila2138 5 ปีที่แล้ว +38

    Hivi kwani bongo lazima mlinzi wa getini awe kama chizi 😂😂😂

    • @stellabomani4805
      @stellabomani4805 5 ปีที่แล้ว +1

      Shahban Mazila sio bongo tu hadi Nigeria hahahaaaa

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 ujinga sana

    • @yusuphjuma4638
      @yusuphjuma4638 5 ปีที่แล้ว

      Hata mi nashangaa

    • @vanestorymahenge1724
      @vanestorymahenge1724 5 ปีที่แล้ว

      Hata India home maid lazima awe chizfresh

    • @josephdionizy2868
      @josephdionizy2868 5 ปีที่แล้ว +1

      Hv ww.... Unazo zote kabisa kichwan aseeeh unawez kuwa mlinzi wa getin

  • @simonandrew2238
    @simonandrew2238 3 ปีที่แล้ว

    Dude noma xana

  • @ngido255
    @ngido255 5 ปีที่แล้ว +12

    Dude iz back🔥

  • @erlinghaaland9412
    @erlinghaaland9412 5 ปีที่แล้ว +111

    Mie naombeni like ata 10 tu maana cjawahig kupata hata

    • @dennicjude
      @dennicjude 5 ปีที่แล้ว +1

      Idrissa Mohamed mbinu na idea za hii Episode zimekuwa fupi wala hazivutii
      Inawabidi waboreshe au kutumia mbinu za utapeli kuliko njia za wizi ❌🚫🚫

    • @siliverstar7229
      @siliverstar7229 5 ปีที่แล้ว +2

      Izo likes zitakuxadia nin

    • @sampart2669
      @sampart2669 5 ปีที่แล้ว +2

      Zikuingiziee kipato tuu izo like ndugu yngu

    • @erlinghaaland9412
      @erlinghaaland9412 5 ปีที่แล้ว +1

      @@siliverstar7229 Naww hizo hapo mbaba nimekupa ucjal nilichokuwa nakitaka nimekipata

    • @siliverstar7229
      @siliverstar7229 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahah pw mzee

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 5 ปีที่แล้ว +1

    Good...mko vizur

  • @omaryteddy7237
    @omaryteddy7237 3 ปีที่แล้ว

    Good good 👍

  • @kamalujafary
    @kamalujafary 5 ปีที่แล้ว +3

    Yoy yoy getting back to the best shoooowwwwww

  • @godfreyorago7501
    @godfreyorago7501 5 ปีที่แล้ว +2

    Wa kujaribu ajaribu akamatwe apigwe afee azikwee aende motoni

    • @paulsylvester7877
      @paulsylvester7877 5 ปีที่แล้ว

      Godfrey Orago kabisaa hii movie sasa mtu ajaribu kwa staili hii walah unadakwq

  • @hassanpyallah8750
    @hassanpyallah8750 5 ปีที่แล้ว +1

    Bora imerud bongoo

  • @dominicomakungwa729
    @dominicomakungwa729 5 ปีที่แล้ว +1

    Well done dude

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 5 ปีที่แล้ว

    Daaah ilipotea xan hii mambonbora mmerud huku😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @jacobmutambo3800
    @jacobmutambo3800 5 ปีที่แล้ว +1

    Sana kazi kazi

  • @saeedaltae2169
    @saeedaltae2169 5 ปีที่แล้ว +4

    Wow its amazing trick i have never seen before huu wizi sio wa kitoto hebu gongen like km zote hp 👇

  • @NEXTtz
    @NEXTtz 5 ปีที่แล้ว +3

    Long time 🔥🔥🔥✊

  • @allysaidhy2255
    @allysaidhy2255 5 ปีที่แล้ว +1

    Ety mwanamke "mtanashati mrembo" kma umeisikia hio nipe like yangu

  • @joshuashalla1394
    @joshuashalla1394 5 ปีที่แล้ว +2

    Tapeli ni tapeli tu haishiwi mbinu. Hatareee

  • @simonfilbert7008
    @simonfilbert7008 5 ปีที่แล้ว +9

    Walio jua bongo dar es salaam ndo bye bye tujuane hapa 😁

  • @gidionsebastian2410
    @gidionsebastian2410 5 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @bijampolamsemakweli9687
    @bijampolamsemakweli9687 5 ปีที่แล้ว +1

    Dudeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @naagarjun8661
    @naagarjun8661 5 ปีที่แล้ว +1

    Master of technique

  • @nabetv8024
    @nabetv8024 5 ปีที่แล้ว +9

    Leo nimechelewa nmekuwa na 22lakin sio mbaya.walioimis bongo dsm wa like hapa twende sawa

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 5 ปีที่แล้ว +5

    We want long episodes of Bongo Dar es salaam like before

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 ปีที่แล้ว

    Respect dude nakubali umetumia akili ziada kweli hongera mzazi

  • @mcdondoshatv
    @mcdondoshatv 5 ปีที่แล้ว +1

    dude siku nikikushikaaaaaa Hahahahahahaha

  • @michaelnyakunga4740
    @michaelnyakunga4740 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana, kazi nzuri..! 👏👏👏

  • @khalidsaleh7491
    @khalidsaleh7491 5 ปีที่แล้ว

    Wangapi wanakubali kama dude ni zaidy ya komandoo

  • @yusuphjuma4638
    @yusuphjuma4638 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmemaliza kienyeji sana hata haipendezi kama zile zingine

  • @MadiggerMuyyer
    @MadiggerMuyyer 5 ปีที่แล้ว

    Dude ni noma wew ni tapeli haswa yani siyo wakubahatisha

  • @ErasmusMakavery
    @ErasmusMakavery 5 หลายเดือนก่อน

    huyo demu hana skills za wizi hata kidogo ajengewe uwezo,bado sana.

  • @abdallahbakari5333
    @abdallahbakari5333 5 ปีที่แล้ว

    Goog dude

  • @yohanafabian3327
    @yohanafabian3327 5 ปีที่แล้ว +16

    Hata kama wizi sio kihivyo hata mtoto hawezi kuibiwa kwa staili hiyo🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Cambarada
      @Cambarada 5 ปีที่แล้ว

      Toa nawewe plan yako tuione sio unakosoa tu wewe

    • @josephmsele973
      @josephmsele973 5 ปีที่แล้ว

      Yohana Fabian andaa script bas bro uwape

    • @jumaedward7110
      @jumaedward7110 5 ปีที่แล้ว +1

      Yohana acha ujinga hiyo mbinu ya hali ya juu sana!

    • @yohanafabian3327
      @yohanafabian3327 5 ปีที่แล้ว

      @@jumaedward7110 ok kaka ila huwezi hisi ndani kwako hakupo sawa halafu umeona mlango unajifunga dude anajificha kwenye kabati et unaacha huku umeona bora unge hisi sio kuona

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 5 ปีที่แล้ว

    Duuuuh ahsante kwa kukata kiu

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama umemuona Machasub na unegundua kuwa yeye ndio Hashimu gonga like

  • @mbtvmedia6827
    @mbtvmedia6827 3 ปีที่แล้ว

    Dude nomAAAAA

  • @ghalibnadil3561
    @ghalibnadil3561 5 ปีที่แล้ว +2

    hamna wizi waivo ata siku mojaaaa

    • @josephmsele973
      @josephmsele973 5 ปีที่แล้ว

      Ghalib Nadil andaa script uwatumie bro

  • @msuo7215
    @msuo7215 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh noma aisee

  • @peacemakombe5037
    @peacemakombe5037 5 ปีที่แล้ว +1

    Nomaa sanaaa

  • @nicholausjoseph6773
    @nicholausjoseph6773 5 ปีที่แล้ว +4

    dude namuelewaga sana, dude iz back

  • @mausumbufuofficial7837
    @mausumbufuofficial7837 5 ปีที่แล้ว +17

    tujuane tunaoangalia uku tunacomment

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 5 ปีที่แล้ว

    Mmerudi,😄😄😄😄😄😄 nmemmic mwarabu

  • @gloryjulius1108
    @gloryjulius1108 5 ปีที่แล้ว

    Matangazo mengi

  • @yussuphkazumar6229
    @yussuphkazumar6229 5 ปีที่แล้ว +1

    Dudeee umeuwaaaaaa

  • @ishanhisharjun6469
    @ishanhisharjun6469 5 ปีที่แล้ว +11

    Chombo Kwa Hewaa!

  • @michaeljoel6227
    @michaeljoel6227 5 ปีที่แล้ว +12

    Mnakuja Mnapotea Mnafeli Bn

  • @AzzleBoy
    @AzzleBoy 5 ปีที่แล้ว

    Dah nili mic Hi k2 balaa

  • @charleskoba2906
    @charleskoba2906 5 ปีที่แล้ว +1

    Dude tunashukuru kwa ujio wako tena

  • @kingfahdsaid1967
    @kingfahdsaid1967 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi bongo darisalam Mr dude

  • @halfanimajanijr4846
    @halfanimajanijr4846 5 ปีที่แล้ว

    Mnyama mkali zaid ya simba

  • @barakachacha1795
    @barakachacha1795 5 ปีที่แล้ว +2

    Dude hufai kabsa nzur San hii gonga like kama umeikubali km mm

  • @selemanimsahani3919
    @selemanimsahani3919 5 ปีที่แล้ว

    Dude noma kubwa sana

  • @emmanuelkb366
    @emmanuelkb366 5 ปีที่แล้ว

    Nakubal dude.

  • @mamalaozphilemon.8800
    @mamalaozphilemon.8800 5 ปีที่แล้ว +2

    acha tuangalie dude tukingoja maneno yakuambiwa.

  • @K25795
    @K25795 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwarabu kasha tapeliwa Sana nae kamua kuwa tapelii iyi dunia ukikawia kujifunza utafunzwa 😂😂

  • @patsonnzogoro790
    @patsonnzogoro790 5 ปีที่แล้ว +1

    Daa kitambo

  • @adrianjonas2952
    @adrianjonas2952 5 ปีที่แล้ว +2

    nakubali tapeli wa kiwango cha lamii

  • @juniormbassa8373
    @juniormbassa8373 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hii mmezingua sanaaaaaa imepooza mpaka xio vzuri

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 5 ปีที่แล้ว +9

    Yani mtu uhisi ndani kuna mwizi halafu uondoke usihangaike kumtafuta???😂😂

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 5 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hakuelezwa yupo mfanyakaz wala mume wake analeta magari 🤣🤣🤣

  • @Twende828
    @Twende828 5 ปีที่แล้ว +22

    Mh japo naipend bongo dsm ila leo mmetuletea mamb ya kweny flm za kihindii😁😁

    • @hassanmasuke5078
      @hassanmasuke5078 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa kumbe unauelewa wa ali ya Juu

  • @jumabunzari8378
    @jumabunzari8378 5 ปีที่แล้ว

    mwarabu nomaa

  • @jamesmgalla3513
    @jamesmgalla3513 5 ปีที่แล้ว +1

    mwana mke mtanashati

  • @Gmalen
    @Gmalen 5 ปีที่แล้ว +1

    Nishakwelewa tuelewane yaishe 😂😂😂😂😂
    Mlinzi bana

  • @nyimbizikamtima8235
    @nyimbizikamtima8235 5 ปีที่แล้ว +1

    Dude bhana upo vzr but cyo ka zaman zidisha mautundu

  • @lucascharles3421
    @lucascharles3421 5 ปีที่แล้ว

    nakubali

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 ปีที่แล้ว

    MAZAFAKA 😀😀

  • @williamjames8190
    @williamjames8190 2 ปีที่แล้ว

    Dude 🤣🤣🤣

  • @tinnashemetili8596
    @tinnashemetili8596 5 ปีที่แล้ว

    Aiseeeeee

  • @abdulkarim2759
    @abdulkarim2759 5 ปีที่แล้ว

    Dude unatsha mzee,

  • @mapalozambia7560
    @mapalozambia7560 5 ปีที่แล้ว +1

    Dude

  • @honestjuma3219
    @honestjuma3219 5 ปีที่แล้ว

    Jamani.tucinfate.dude.

  • @josephelias6066
    @josephelias6066 5 ปีที่แล้ว +1

    Msaada wa like kumi tuu jamanii
    2020

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 5 ปีที่แล้ว +6

    Mwanamke ni mtanashati kumbe 😂!!!!

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu demu ajui bora wale wa mwanzo wote wawili wale ndo kiboko kipande cha demu angecheza yyt Yule kati ya wale ingekua poa sana

  • @twariqzungu5001
    @twariqzungu5001 5 ปีที่แล้ว +1

    Gud mzee

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 5 ปีที่แล้ว

    Good

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 5 ปีที่แล้ว +1

    Acha michezo ya hatari hiyo 😀😁😁

  • @zenombele1798
    @zenombele1798 5 ปีที่แล้ว +1

    inakuwa siku gani

  • @smileboy8979
    @smileboy8979 5 ปีที่แล้ว +1

    Ssa hapa simnafundisha wizi

    • @EliyacostantinoPius
      @EliyacostantinoPius 5 ปีที่แล้ว

      Na somo pia wanakufundisha...kwan movie za kivita ukiangaliaga huwa unaenda kutafta bastola??

  • @eliyaserushago851
    @eliyaserushago851 5 ปีที่แล้ว

    I love you