ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Gheto la uswazi | Gabo Zigamba | Rayuu |Muhogo Mchungu |Hidaya Njaidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
  • Gheto la uswazi

ความคิดเห็น • 167

  • @jacquelineprisca296
    @jacquelineprisca296 3 ปีที่แล้ว +104

    Asante kwa kutuletea filamu zuri sana kabisaa kama unaikubali ihi filamu kwa 💯 na kwa 💯 gonga like first one

  • @sulesuburasubira6503
    @sulesuburasubira6503 3 ปีที่แล้ว +87

    Kwawale mnaosoma comment tujuane apa

  • @aisharamadhan4778
    @aisharamadhan4778 3 ปีที่แล้ว +10

    Move inafundisha ulicho jaliwa nacho katika maisha uwe na moyo wakushukuru na uwe na subra katika maisha yko bila ya hayo utaingia baya katimaisha yawe mazuri yawe ya kimasikini nikutosheka na ulicho jaliwa nacho na... Mola.. Ndio utafaulu,,, Amiin Amiin ya rabbi Allah Amiin Amiin

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 3 ปีที่แล้ว +10

    Hawa wanawake wawili wakikutana wanashida sana 😃😃😃😃nawapenda na hivyo vituko vyao tu

    • @mariamdar8784
      @mariamdar8784 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona.wanapendeza kwakwer kiwaenti pamoja.kama ile filamu ya mwasiti pambe

  • @bintyhamisi8311
    @bintyhamisi8311 3 ปีที่แล้ว +18

    Mwanamke amekosa huruma kweli..
    Ila iko poa itawafunza wengi wenye tamaa ya dunia

  • @user-gg9yb3jq2v
    @user-gg9yb3jq2v 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dada ratifa unanimaliza nguvu kwa kucheka🤣🥰🥰🤣🤣🤣🤣 adi napata kwikwi by Abdul jayrani south Africa love you my sister umetulia umondani Safi Allah bless you

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana gabo zigamba uko vizur

  • @shamsahabibu6862
    @shamsahabibu6862 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani hii move mpk nimelia😭😭 uyu baba anateseka

  • @mariamissa1528
    @mariamissa1528 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukiwa huna chako unadharaulika hadi na sisimizi pole sana muhogo mchungu

  • @nassirvarane6852
    @nassirvarane6852 3 ปีที่แล้ว +30

    🤣🤣🤣walo mfikiria baba ake diamond wa zaman kwenye hii movie tuonane kwa like

  • @aisharamadhan4778
    @aisharamadhan4778 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallh move iko na mafunzo mengi katika jamii maisha kama haya yapo... Allah,, atuongoze wepesi wa kila familia na mema ya dua na akhera na wepesi wa kila jambo katika maisha... Amiin Amiin ya rabbi Allah Amiin Amiin Amiin

  • @maheeraltooby6862
    @maheeraltooby6862 3 ปีที่แล้ว +10

    Film bombaaaa mashaaallah vzr xnaaa

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah movie makini sana)Wanaume tutafute pesa la si hivyo..........😂😂😂ila nimecheka mpaka nimeamsha walala mapema Eti nimechoka maisha mazuri ya ndotoni 😂

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 ปีที่แล้ว +12

    Wanaake tulizike nakile tulichojaaliwa na allah

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 ปีที่แล้ว +6

    Wanawake waswahili ndio tabia zao hizi,,tamaa,wakosa adabu,kujilinganisha na familia zengine,hawataki kusoma

  • @shamsahabibu6862
    @shamsahabibu6862 3 ปีที่แล้ว +5

    Et mamaweeee umeniulia wat🤣🤣🤣

  • @issaabdallah2417
    @issaabdallah2417 3 ปีที่แล้ว +7

    Nzuri ila nilikua naipita 2 mpaka najuta kuikosa ila leo nimeenjoy

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +9

    Mambo ya uswazi ayo👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

  • @fettymuhammed9756
    @fettymuhammed9756 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamaaaan 😍 adi uluma

  • @matikumagesa675
    @matikumagesa675 3 ปีที่แล้ว +9

    Maskin baba namuonea huruma😭😭😭😭😭😭

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama mpuzi et ningejua baba yk akizeek anakuwa vile nisingemkubal😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @alhajjbashir183
    @alhajjbashir183 3 ปีที่แล้ว +2

    Daa hii move n ya moto kali sana

  • @jajakajaniri5813
    @jajakajaniri5813 ปีที่แล้ว

    Munguwang Huyu Papa Ananiumiza Sana Kbx 😭😭😭😭 Yoooo Dada Pole Sana 🤔🤔🇧🇮🇸🇦🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @shafee9128
    @shafee9128 3 ปีที่แล้ว +8

    Swahili movies getting better nowadays

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 3 ปีที่แล้ว +5

    Nihuko kumtumia subiani wako vizuri😀😃😃

  • @victormalinga639
    @victormalinga639 3 ปีที่แล้ว +7

    Shimo Moja Wapo La Kila Ubaya Ni Mtu Kupenda Fedha, Guys Tutafute Fedha But Kuwa Makini Sana Na Kupenda Fedha Utaangukia Kwenye Kila Aina Ya Mashimo Mabaya Katika Maisha Yako...!!!

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 6 หลายเดือนก่อน

    Big up Ukthy Tosa❤... MashaAllah

  • @faridabakari3528
    @faridabakari3528 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice mashaAllah filamu

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 3 ปีที่แล้ว +3

    Maiko nondo unasaut nzurii😘😋

  • @aminahhill1277
    @aminahhill1277 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa mom mmoja anae uza vitumbuaa

  • @mohammedmmari5459
    @mohammedmmari5459 3 ปีที่แล้ว +9

    SUBRA KATIKA MAISHA HAYA NIKITU CHA MUHIMU SANA .MAANA KILA JAMBO LINAWAKATI WAKE .

  • @reaganouma5543
    @reaganouma5543 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm naiwatch movie kwanza ndio nicoment

    • @bibibakari7020
      @bibibakari7020 3 ปีที่แล้ว

      Alafu wwe unawatch ama umecoment tyar

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 3 ปีที่แล้ว +3

    Firamu bora kabisa❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @JeniferJunior-qi3le
    @JeniferJunior-qi3le 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh maisha magumu ad tunawazaga hivyoo daaa gud muv

  • @dinimalibiche7682
    @dinimalibiche7682 3 ปีที่แล้ว +3

    Kikubwa dua ipo cku watanzania 2tatoboa

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukiona kilemba kimejaa tope ujuwe msuli haufai
    😀😀🤣🤣

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 3 ปีที่แล้ว +6

    Ntafanya chochote ili nyie muende chooni😆😆paka nyie

  • @HusseinShaban-mi7gc
    @HusseinShaban-mi7gc 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsanten Kwa filamu nzuri it's is very nice

  • @fatmahaf4951
    @fatmahaf4951 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn ukipata mume mwema anaye kupenda mueshim kwakl hata kama hana cocote unacho taka nikusaidian hujuwi kesho yake 🥺🥺😥😥

  • @elijikambenga7270
    @elijikambenga7270 3 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma nzur sana

  • @faoual3456
    @faoual3456 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice mv💞💞💞

  • @mashakamagembe1188
    @mashakamagembe1188 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa pesa muhimu sana

  • @jimmylezo4104
    @jimmylezo4104 3 ปีที่แล้ว +8

    Mbona Mnachelewa Kupost Bhana Mnazingua,,,,

  • @mbossomuyambo6024
    @mbossomuyambo6024 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki KK tena akuzidishiye marifa kk yangu

  • @anisabakari5298
    @anisabakari5298 3 ปีที่แล้ว +2

    😄😄😄😄😄 jamani unataka mtoto akajiuze kisa pesa 😄😄😄 tosa kz unayo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +27

    Wanaume tafuteni' Pesa 🤦‍♀️Isije. Kuwa 'kama Ya Mama dangote👌🏽👌🏽

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Ila sipendi mwanaume wakumtegemea nwanamke

  • @KhadijaKhadija-ee5kr
    @KhadijaKhadija-ee5kr 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomben mwendelezo jaman

  • @user-pu8li7jp2q
    @user-pu8li7jp2q 3 ปีที่แล้ว +5

    nice move

  • @rosemarysebastian3424
    @rosemarysebastian3424 3 ปีที่แล้ว +3

    Siyo kwa tamaa hiyo jamani

  • @hawahawa2030
    @hawahawa2030 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice movie

  • @tulianiabdallah1791
    @tulianiabdallah1791 3 ปีที่แล้ว +4

    Wamekutana tena Mwasiti na shoga ake🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nyokuselacampany3363
    @nyokuselacampany3363 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaz kwanza vijana kuowa badae ukitoa droo ujanan penait uzeen

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 ปีที่แล้ว +1

    Tanesco kama Tanesco huwa atukosei deni kidogo tunakata Umeme hatunaga masiala

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa wanawake wawili hatari

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว +2

    asantee taam hiyooo

  • @hidrammwanga3508
    @hidrammwanga3508 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaa eti unajifanya hajjaty sana wewee

  • @dinimalibiche7682
    @dinimalibiche7682 3 ปีที่แล้ว +1

    Very nice is me ikiram malibiche

  • @jumwablandina5773
    @jumwablandina5773 2 ปีที่แล้ว +1

    Jomoniii movie bombaaa

  • @salhashaban3009
    @salhashaban3009 ปีที่แล้ว

    Jaman huruma kwa baba wawat

  • @zigmarifundi8256
    @zigmarifundi8256 3 ปีที่แล้ว +2

    Gabo anacheka kizushi

  • @Jacklinemwikali773
    @Jacklinemwikali773 11 หลายเดือนก่อน

    Movie nzuri sana❤❤

  • @nancykenya4007
    @nancykenya4007 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba part 2 Asante sana

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 3 ปีที่แล้ว +14

    Jaman part 2🥺🤦

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee mama kibok

  • @sulesuburasubira6503
    @sulesuburasubira6503 3 ปีที่แล้ว +11

    Twaisubr part2

  • @kushmommy9599
    @kushmommy9599 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice

  • @mwaliembwambo9443
    @mwaliembwambo9443 3 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana

  • @fauryshasadick3827
    @fauryshasadick3827 3 ปีที่แล้ว +3

    Tuletee na ya kigodoro pls

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 3 ปีที่แล้ว +2

    Ina Lilah waina ilaihi rajiun

  • @kibangahassan8684
    @kibangahassan8684 3 ปีที่แล้ว +2

    kitenga uchumi wanakikalia

  • @redmioman8105
    @redmioman8105 3 ปีที่แล้ว

    Ongereni jamani Paty 2

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว +2

    nzuri🤔

  • @EsperanceNzeyimana-wu8ks
    @EsperanceNzeyimana-wu8ks 8 หลายเดือนก่อน

    Tama mbaya

  • @johnniyongere1660
    @johnniyongere1660 3 ปีที่แล้ว +2

    We Mama mwehu unarazimisha mtoto Mambo Kama hayo mbona ww haujaenda? Mpuzi kbx

  • @RyramadhaniRamadhani
    @RyramadhaniRamadhani หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @hadijahamisi5918
    @hadijahamisi5918 3 ปีที่แล้ว +1

    Move nzuri nimeipenda😘

  • @salmasaid631
    @salmasaid631 3 ปีที่แล้ว +3

    Part two please

  • @iradukundadiattiradukundad6093
    @iradukundadiattiradukundad6093 3 ปีที่แล้ว +4

    Jaman mbon hamulet prt 2

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii Filamu mushawahi kuileta kitambo sana kama miaka miwili iliopita halafu hamkuleta tena Part 2 hadi leo mnairudia tena hii vipi nyie Producer mlikosana na mwandishi wa Script nini akasusa kuandika mwendelezo??? 🤨🤨🤨

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 ปีที่แล้ว +5

    Hishi na wakubwa uyajuye makubwa,ujue kumtumia subiani wako🤣🤣hapo wakubwa ndio wamehelewa.

    • @onesmomayala370
      @onesmomayala370 2 ปีที่แล้ว

      wameelewa na siyo kuhelewa wewe nae nyoosha kiswahili vzuri😂😂

    • @zulachama1067
      @zulachama1067 2 ปีที่แล้ว

      @@onesmomayala370 jua wewe kiswahili upate kubarikiwa zaidi mjua lugha sisi walala hoi kazi yetu nikubatisha.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +2

    Aiseeer

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de ปีที่แล้ว

    Astakfiru allah mungu tujaalie subra jamani

  • @allymahamudu9492
    @allymahamudu9492 3 ปีที่แล้ว +2

    Muogo mchungu

  • @tatuathuman104
    @tatuathuman104 3 ปีที่แล้ว +2

    Muendelezo 😢😢

  • @azzasalim2087
    @azzasalim2087 3 ปีที่แล้ว +10

    ❤️❤️❤️👌

  • @yohanajackisoni8873
    @yohanajackisoni8873 ปีที่แล้ว

    Pati2

  • @aminamsomali1619
    @aminamsomali1619 3 ปีที่แล้ว +2

    Part 2 tafadhali

  • @nadyahamisi2763
    @nadyahamisi2763 3 ปีที่แล้ว +3

    Part 2 mpka mwakani 2022

    • @theresaelizabethelijah117
      @theresaelizabethelijah117 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa labda mwandishi wa Script hakulipwa hela yake ndio kasusa kutoa part 2

  • @rosareekelvin6709
    @rosareekelvin6709 2 ปีที่แล้ว

    Movies kali😍😍😍

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii bichwa au madafu?

  • @rehemaathuman6669
    @rehemaathuman6669 2 ปีที่แล้ว

    Mama kimbo ulikuwa bonge duuu

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂Ety mashungi yk km unataka kwenda makkah

    • @lidiasaumu7116
      @lidiasaumu7116 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 11 หลายเดือนก่อน

      @@lidiasaumu7116 hhhh

  • @salmasulleysh7101
    @salmasulleysh7101 ปีที่แล้ว +1

    Tafuta hela bba heshima pesa

  • @AKsolution001
    @AKsolution001 ปีที่แล้ว

    With gabo you can’t be deserving

  • @tabithamsukwa5215
    @tabithamsukwa5215 2 ปีที่แล้ว

    ​@ Usimuwekee Mungu wa Isreal Mipaka

  • @munabalushi2964
    @munabalushi2964 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbayaa

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi kashaulo

  • @luissimaofernandolingon6287
    @luissimaofernandolingon6287 3 ปีที่แล้ว +2

    Madengo ntima

  • @mariamdar8784
    @mariamdar8784 3 ปีที่แล้ว +1

    Filamu mzr hp kipande cha kucheza bao.nikipenda inaonesha tamaduni ztu ht kwa wenzetu wanao tazama