Aki Mimi ni mmoja ambaye nimekataliwa na Baba yangu,mama yangu alivyio aga dunia twenty eleven,nimejaribu kujipendekeza kwake lakini wapi, nikamwambia nataka ni mjengee nyumba amekata,it's so pain guys. Watching from 🇰🇪 Kenya
My name is Abdallah from Yemen republic middle east I would like to congratulate Diamond Nasib ingawa alionekana bado lkni wafi media wamefanya jambo kubwa sana kuapatanisha mtu na Babake hio nihistoria nzuri nampokenza huyo demu white azia sijui ni mkali kweli na nimacho kweli big up to her na wote wafanyao kwenye wasafi media hasa kwenye hii program ya leo ya kufunuwa na patanishoa kijana na mzee wake bigup sana At last and not least DIAMOND Wangalie hao waliopo studio wape zawadi kubwa kila moja wao wamekujalia kupata na mzee ama ungepata laana mbaya kutoka kwa mzee wko . Thanks wSafi. Its me Dullah from War zone Yemen.
I felt bad when he didn’t hug that good. Body language speaks. Even if he’s not a great dad but you should still open your heart to him and welcome him like there’s nothing happened. We are all human beings, we make mistakes sometimes and falls apart. So i will recommend diamond my favorite singer of all time please show your dad kindness and open your heart from bottom to the top. I am somali and i am proud to be an african. I love union family together. This life is short.
I believe you man being we are not the same. Wengine walitaka sana mond akutanishue na baba but kumbe wengine hawakupenda kabisaaa dooooo nimeamini binadamu hatuko kamili kweni. By the way you did good diamond for that appreciate that.
Ni kweli kuna jambo. Diamond hakuonyesha bashasha yeyote. Ila watu wengine ndio walioshangilia. Mzazi ni mzazi. Na radhi hua haitoki kwa mzazi ila kwa Subhana Wataallah. Hivyo Diamond be careful.
C'est une cène très émouvante que dieu les réunissent pour les meilleurs et pour les pires et que le mauvais passé soit derrière ! longue vie à eux Inchallah
Daah hapa kazi hakumsalimia vizuri kwa kweli ni kama wamemvamia mwenye macho haambiwi tazama yongoswe tuwaachie wenyewe ila kuna kitu behind the scenes .
Aaaah kumbe na wewe umeliona hili?nilijua nimeliona peke angu tu jamani ila kwasasa sio Baba ake tena watu wamechenji gia angani sasa tunasubili baba mwenyewe ogiiii kbs
Nilianza kuona mashaka hapa nilijuwa tu kuna kitu na leo mambo yote inje ila mzee nawewe umezidi kila mwandishi wa abari akija uko tayari ningekuomba wape macho tu mungu atakulipa asante sana mwenyewe nilikuwa nampenda sana uyo d ila nimejivua kabisa familia mbaya sana iyo
Duuh! Kweli hakuna kitu kinacho shindikana chini ya jua hatimae mzee Abdul...kakutana na mwanae wote tuseme ameeeen!!!......tunataka full tusikie walikuwa wakiongea nini... Mkifanya hivo siku zote mtabaki mawinguni kwa kiingereza mtabaki(clouds FM)
I really like diamond platinum and all other wasafi members but the only problem with me is that I don't understand swahiri. Please wasafi TV this is any international now try to use English so that we can all understand 💪 respect diamond together with your father this is what we need love is important
Baba atabak kuwa baba tu Hata kama anamapunguf yake daaai imenifrahisha sana kumuona kwenye media mukiwa pamoja kama hivo namuomba mwenyezimungu awapatanishe muwe kitu kimora inshaalha
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 walah gisi navyo mpenda babaangu nasikiya furaha nyingi nikiona vijana wenzangu wakiwapenda wa baba zawo basi tuwaombeyewale wasio wapenda wa babazawo
1-Baba na mama hupeana ahad ya kufa na kuzikana,(usimchukie baba wala mama katka maugomvi yao) 2-Damu asili yake hubak kwa Baba na ndugu zake(ni rahisi Baba kugeuza mtoto Wake ndondocha kuliko mama)
Diamond, mm ni shabiki wako wakugalagala, lakini kwakushindwa kabisa kuonesha moyo wamsamaha kwa baba yako mzazi body language yako bado inaonesha kwamba hutaki kabisa kumsamehe baba yako nimeumia sana mzee anaonekana mnyonge sana
Wazazi wenzangu tujitahidi kulea vyema watoto wetu tuko wengi tunaolea watoto wetu pekee yetu ila tusiwaharibie maisha yao .wazazi wote mi sawa mimi nimelea mwanangu pekee yangu lakini sina shida ya kuongea vibaya juu ya baba yake sio vizuri 😪😪
much respect bro...behind that hug nimeona ile ya kuwa umemvutia kiti baba ako aketi...Heshima sana
Aki Mimi ni mmoja ambaye nimekataliwa na Baba yangu,mama yangu alivyio aga dunia twenty eleven,nimejaribu kujipendekeza kwake lakini wapi, nikamwambia nataka ni mjengee nyumba amekata,it's so pain guys. Watching from 🇰🇪 Kenya
Hii inasikitisha sana kwa kilichotokea kukataliwa &2021 mwaka wa vioja
My name is Abdallah from Yemen republic middle east I would like to congratulate Diamond Nasib ingawa alionekana bado lkni wafi media wamefanya jambo kubwa sana kuapatanisha mtu na Babake hio nihistoria nzuri nampokenza huyo demu white azia sijui ni mkali kweli na nimacho kweli big up to her na wote wafanyao kwenye wasafi media hasa kwenye hii program ya leo ya kufunuwa na patanishoa kijana na mzee wake bigup sana At last and not least DIAMOND Wangalie hao waliopo studio wape zawadi kubwa kila moja wao wamekujalia kupata na mzee ama ungepata laana mbaya kutoka kwa mzee wko .
Thanks wSafi.
Its me Dullah from
War zone Yemen.
Mbona naona diamond hakufurahishwa
😳😳Mmmh Mwenyezi Mungu ana kuona we mtoto Muogope Mola wako hivyo viji sent ni vya kupita tu Subhallah
Daimond unamkumbatia baba ako kama umelazimishwa 😭😭 sio vizuri
umeona eee
Ata mi Nmeona
Kweli halafu baba bado anamkumbatia tena yeye alikua yuakaa
Sio dharau chibu anatetemeka kaingiwa na kitete ata ivyo kajikaza sana
kama vile hataki
Wow! As a parent , im happy about this, thanks for forgiving your dady , b blessed
Mucheki jiva ana ngoma kali sana
Pole sana Abdul! Pole sana!!!
I felt bad when he didn’t hug that good. Body language speaks. Even if he’s not a great dad but you should still open your heart to him and welcome him like there’s nothing happened. We are all human beings, we make mistakes sometimes and falls apart. So i will recommend diamond my favorite singer of all time please show your dad kindness and open your heart from bottom to the top. I am somali and i am proud to be an african. I love union family together. This life is short.
TRUE
It’s sad he’s resentful on his dad yet he’s a dead beat to his own kids.
Big up sana jonijo na crew yako mmefanya jambo kubwa sana....!
I believe you man being we are not the same. Wengine walitaka sana mond akutanishue na baba but kumbe wengine hawakupenda kabisaaa dooooo nimeamini binadamu hatuko kamili kweni. By the way you did good diamond for that appreciate that.
Hata kama mzee alikukosea vp, kwanafasi uliyonayo huyo amepata funzo mno kama kweli alikutelekeza, show love to him that's your father my dear
Ni kweli kuna jambo. Diamond hakuonyesha bashasha yeyote. Ila watu wengine ndio walioshangilia. Mzazi ni mzazi. Na radhi hua haitoki kwa mzazi ila kwa Subhana Wataallah. Hivyo Diamond be careful.
Fatuma Mukete Diamond hakuonyesha frahaa yeyote hapo kunakitu ss hatujui harfu nahisi diamond mwenyewe hajamuita ameshaga tu mzee kafika
aa nampenda sanaa diamond
Maishaaaa ynaendaaa kac snaaaa
Umefanya jambo jema sana diamond ,mungu akupe wepesi
Dada ake dai wa uk 🇬🇧 kajitahidi hongera
Dudu la yuyuyuyuu happy for them atlast.... nipeni likes basi tukisongaga mbele......mkininyima mungu atawazoom tu 👀
Baba diamond mzur snaa
Goooood i love it diamond na baba yake warudiane kila heriii ache mahusiano nafurahe
Diamond make sure you tell your dad you love him.......you will not always have that chance.Is The most precious gift God has ever given you.
Heart😘😘😘😘nafurahi kama baba yangu
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Nasebu cna cha kusema nimejikuta machozi ya fuhara yananitoka
Mm nampenda hy mzee yan kaaa kisanii angalia anavyotoa hi
Nime sikia furahaaaa sana daa mungu mwingi wa rehema inapendeza
Hiki ndo kilimfukuzisha jonijjoo WASAFI FM
Hongera chibu
C'est une cène très émouvante que dieu les réunissent pour les meilleurs et pour les pires et que le mauvais passé soit derrière ! longue vie à eux Inchallah
Aisee Safi sana
nimefurahi sana mondi barikiwa sana
Mashaallah Jaza yako iko kwa Allah nasibu
OYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO ALHAMDULILLAH.
good job wasafi kwa kutengeneza kikiiiiiiiiii 🔥🔥🔥🔥🙌🙌
We kila kitu unazan kiki tubadiliken watz
Daah hapa kazi hakumsalimia vizuri kwa kweli ni kama wamemvamia mwenye macho haambiwi tazama yongoswe tuwaachie wenyewe ila kuna kitu behind the scenes .
Safiiiiiii
Vizury sanaa
Mashaallah
Napenda nyimbo zako Ila nachukia tabia zako, baba ako anakuhage vzr ww unamzarau daaaa!! Take care dunia hiii
Aaaah kumbe na wewe umeliona hili?nilijua nimeliona peke angu tu jamani ila kwasasa sio Baba ake tena watu wamechenji gia angani sasa tunasubili baba mwenyewe ogiiii kbs
Kila kitu kina Sababu zake
Atlst nimsekia "shikamoo mzee"..from the Dj.
Nawakubali sana
Safi sana Simbaaaaa+254
Huyu Mzee mtu safi sana.sikuwahi kumsikia akimtamkia mwanawe neno baya hata siku moja.
0:28 - 0:34
Diamond: mzee gani huyu
Back voice: Mzee wako huyu
Diamond: kweli?
Mbona kama amelazimishwa kumsalimia Baba yake nishidaaa
Daaaaáh
Nilianza kuona mashaka hapa nilijuwa tu kuna kitu na leo mambo yote inje ila mzee nawewe umezidi kila mwandishi wa abari akija uko tayari ningekuomba wape macho tu mungu atakulipa asante sana mwenyewe nilikuwa nampenda sana uyo d ila nimejivua kabisa familia mbaya sana iyo
I wish my father would see this video and Copy From Diamond's father , I believe one day It will be the same in my family " Pray for me guys
Did you see the end of the picture?
Our living God is faithful. Give your soul peace😘
@@maishacenter-eastafricatv3976 🤭🤭🤭
The Lord Jesus will restore back your relationship with you Father in Jesus name
God loves you
Leo nili furahi Sana'a ..kuona motto na baba .kuwa pamoja👏👏👏👏👏. MUNGU ! Awape masikizano yenye kudumu..AMEEEEN !!!!
Bravo simba from Burundi
Baba ni Baba. Ni vizuri umemsamehe
Sio sawa baba anaku hug mara ya pili unavuta kiti sio sawa
Wow
inapendeza Sana
Diamond ameonesha kiburi hapo,baba ni km anajipendekeza kwako,just bcoz ww ni tajiri kumliko
hakuna kiburi. nipo katika viatu sawia na Diamond na pia nilifanya alivyofanya. Akilini najua ana maswali mengi
Mola akuzidishie uwe na familia yako pamoja
studio imetulia duu fantastic sio ile ya kule kwa mawinguu
KUA NA ADABU WEWE MKUBWA MKUBWA TU
Studio ya kinyamezi sana alafu chibu amesema iyo ni studio ndogo studio kubwa iko Zanzibar 🙌🙌
Mimi ni wa kwanza kuludia intevew na ww kama mimi umeniona leo gonga like apa twende sawa
Uyu baba kajitahidi sana
Yani hiyo salamu tu mzee kaifosi kuhag
Mbona Hapa Mlisema Baba Yake 😀😀😀😀😀
That was not genuine hug😭,body language speaks more😭
Dogo kazingua kumamae
Omeonaee hakufurahia kbsa kukutanishwa na babayake
Duuh! Kweli hakuna kitu kinacho shindikana chini ya jua hatimae mzee Abdul...kakutana na mwanae wote tuseme ameeeen!!!......tunataka full tusikie walikuwa wakiongea nini...
Mkifanya hivo siku zote mtabaki mawinguni kwa kiingereza mtabaki(clouds FM)
Arthur Tv online 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👌👌👌👌
Pamela Ivette ......hatariiiiiii
eeemeeen
Umeona nimesubscribe
Arthur Tv online sana mashalla nime mpenda
BIG UP SIMBAA 🔥🔥🔥🔥👊👊
That's thug love coz Dingiii mwenyew n msela no dought that's G...like father like son.
Baba daimond wallah kajizaa
Mashauz classic umeona eee
Safi Sannnnnnnaaa
Chibu ulifanya kitu ca maana apo utabarikiwa mpaka ushangaaae from buja
Utashangaa wewe ambae hujaona walio balikiwa
Cjaelewa hilo kumbatio kwa kweli.🤣🤣
waooo Mashaallah
Mbona kama anasalimia huku hataki vile au macho yangu
Ni k huyu dogo
Yes kweli
I really like diamond platinum and all other wasafi members but the only problem with me is that I don't understand swahiri. Please wasafi TV this is any international now try to use English so that we can all understand 💪 respect diamond together with your father this is what we need love is important
Umetisha mwanangu mwrnyewe
English please
Dah
aga! aga! aga! dudu layoooohhhhh!!!!😀😀😀😀😀
Mnyime chochote kile, lkn please show total respect your dady life is too short my friend
yani nimefurahi saaaaaaana😢😢hadi naliya😢
Yazamani hiyo
Yazamani hiyo
Baba atabak kuwa baba tu Hata kama anamapunguf yake daaai imenifrahisha sana kumuona kwenye media mukiwa pamoja kama hivo namuomba mwenyezimungu awapatanishe muwe kitu kimora inshaalha
Good job ❤️💕😍
chibu mungu anakuona baba ana kukumbatia unazuga kuongea na mtu mwingine vibaya hivo
Sasa ndio kweli Simba kio cha jamii one love
chibu dangote
hug tuu ni jibu tosha, kumbatio la kishingo upande
Shoulder shake +handshake kumbe imefika TZ
Tunawasubili
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 walah gisi navyo mpenda babaangu nasikiya furaha nyingi nikiona vijana wenzangu wakiwapenda wa baba zawo basi tuwaombeyewale wasio wapenda wa babazawo
kizazi zaidi' a dingi is always a dingi
1-Baba na mama hupeana ahad ya kufa na kuzikana,(usimchukie baba wala mama katka maugomvi yao)
2-Damu asili yake hubak kwa Baba na ndugu zake(ni rahisi Baba kugeuza mtoto Wake ndondocha kuliko mama)
Mzee kijanaa cheki alivo toa tanooo kwa mwanaa....
Wametishaaaa
Kidharau maskin
😍😍😍
Top
Hiii kitu nzrii nimeipendaa bure
Diamond, mm ni shabiki wako wakugalagala, lakini kwakushindwa kabisa kuonesha moyo wamsamaha kwa baba yako mzazi body language yako bado inaonesha kwamba hutaki kabisa kumsamehe baba yako nimeumia sana mzee anaonekana mnyonge sana
Duuuh 😲 Dunia hii wacha tuendelee kuish,,,,Kumbe cyo baba yako huyo
Diamond naona unamsikiliza sana mama yako ndo maana hutaki kabisa kumsamehe huyo baba yako najisikia vibaya sana kwahiyo crip
Raha jamani
duuuuu
0:28 Diamond anauliza ni mzee gani huyu.. akaambiwa ni mzee wako. Sad😢
Ismodylem TV hii nimeiona kaka.. .. Hapo simba kafeli sana asee..!!!
Hahah salam hyo sasa 😂😂😂na assume ni yule dingi angu mjedaa..😁😁😁
Leo ndio nagunduwa Diamond hakufurahia ili Jambo siku ile kwakuwa sio baba yake