I pray that Diamond does not frustrate this beautiful and so to earth girl. Wish she had chosen differently because Simba ni simba tuu...if you know you know
Nilichogundua zuchu kamuwini Nasibu kisaikolojia,zuchu anajua kabisa diamond anapenda mapenzi ya uswazi,alafu ameridhia Nasibu apige shoo na madem wengine lkn kajiweka namba one namba zinazofuatia
Comment kama hizi wanasoma wale ambao hawajawah kufanya dhambi na tayari wako zao mbinguni..Nyie wengine tusubir kuungua TU mi team diamond akichomwa mi nikaachwa mungu atakua hajanitendea haki😂😂😂😂😂
Diamond kadanganya sana eti hajalala na mwanamke yeyote asipo kuwa zuchu hiyo ni uongo sana jamani Simba amewalamba sana lakini big up for him mi ni shabiki wake sana
Dah mm naogopa kuikubali haya mahusihano maana diamond ataniangusha aniudhi akimuacha zuchu sasa navumilia niko paleee ningoje harusi sasa kuanzia apo ndo nitakuwa sawa😊😊maana kile dem wa diamond namkubali sichukii yeyote😂😂
Sasa ninyi wanawake ktk maisha ulishakwisha pita yamepita unasifia ulichonacho sasa na ndivyo ilivyo kawaida mwanamke anatakiwa amsifie aliyenaye na mwanaume hivyohivyo
@@AnthonySindabaha-de3xb unakumbushwa af unajikuta mfalme wa uchambuzi. Punguza mihemko dogo. Nikwel tunapenda miziki na wasanii wetu lakin inapotokea mmoja wetu katukumbusha inatakiwa tumshukuru nasiyo kumtolea maneno machafu
Jamani muogopeni mungu jama maisha ya kupita hebu badilikeni basi kama maovu basi mmefanya vya kutosha yaani mpaka sasa hamjachoka na ndio kwanza mnasifiana maovu kweli? Allah anawaona na anawapa muda wa kutubia lakini bado hamtaki
Kisa wewe unapitia mateso ya dunia usidhani watu wote wanapitia hayo, kisa wewe unaishi ulimwengu wa giza sio wote, kisa wewe unaimani zako za kishirikina haimanishi na wenzio wanaimani hizo... ! Tafuta ukweli , na ishi...hakuna anaejua wapi tumetoka na wapi tunaenda..kujiona unajua wapi tunaenda ni dalili ya pure Ignorance!
@@kgbagent9321 mjinga wewe subiri utaona kama ujui unakotoka na unakoenda subiri mpaka gari ukija ndio utatambua mpuuzi wewe wewe watu wanaaribu jamii alafu unaona kwamba kama sie ndio tunamakosa?
Napenda diamond akicheka😂😂😂😂😂😂napenda zaidi wakicheka wote pamoja 🎉🎉🎉couple moja matata sana😂😂😂so happy together😂😂😂😂❤❤zuchu is sooo cute😂😂😂
Away endani🎉😮😮😮😮
Awaendani zuchu ukaorewe na tembo mpendezanaaaa❤❤❤❤❤
Huotena wivu
Wanapendz wakichek
@@agnethacelestine4639Wakiendana kitandani inatosha
I just love zuchu
Just the way she is
I love her voice
#hervoicebassvoiceladies with such voice respect us we are ain't your mate
Jamani zuchu.unamanisha Mond ndio kakutoa ubikira?
Kwa wale walioangalia hii interview mara zaidi ya moja na KU smile gonga like
Mnapendezana sana❤❤❤
Mbay
@@KhadijaRashid-v6j🎉🎉🎉🎉
Zuchu my favourite ❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
I love the way diamond amwita zuchu,,,shemeji🥰🥰
Wanaulizwa wao najibu mm na kutabasam 🥰🥰🥰much love
She is so comfortable with him and on camera. Hata wig sio muhimu. Zari would been in full blown makeup 💄
❤❤❤
Nio
What do you prefer, natural and last or artificial, that will not last
Tens toda razão
Ka sweet ak katundu nimejikuta tu Nawapendà Nawapendà mno,
Je suis ivoirienne mais j'aime les 2 artistes là 💪❤️🇨🇮
Wanapenda sana wanautani mwingi ndio mana wanadumu
Kuna kesho qiyama jamani wasafi, hii dunia tu tunapita yangu ndio hayo tu
Binafsi huwa napenda sana watu wanapendana congratulations kwenu
Mimi nawapenda zuuh pamoja na mondi wakee❤❤❤❤so much love
Nimependa namna wanavyojibu maswali so matan mengi hii relationship imekaa good
Kabisa
😂😂😂 Nawa penda sana wanangu❤❤❤❤❤❤
Hawa wanapendana..i pity haters na team ex chenye wanapitia
This girl is damn in love look at that vibe and chemistry u two rock
Zuchu una sauti nzuri Mashallah! napemda ukiongea.
Kiukweli nimeipendahiii kapo inaendana sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I love this interview
Jamani mondi mpole kama mwanawe naseeb junior ❤❤
I'm in love with this couple 😂❤❤❤❤❤❤❤ let pray to stay together in shaa ALLAH 🥰
Same here🙏🙏🙏
Ameen❤
@@kimah9855they will not this akoti man type
Wataachana tu
Same here 🙏🙏
Yan zuchu kumbe wew NI mzuri usipo jipodoa WA kuvaa uchinwew NI mrembo sana
Aki ceko ya zuchu kanifanya na Mimi ni cheke kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sijui mbona niko hapa bado 😂😂😂😂I just ❤bi Zuhura ❤❤❤❤I hope he gets married soon.
muoane basi jamani tunawangojenii....... loved couple
She talks and laughs like her mother🎉🎉🎉 wapi likes za hadijah kopa
Kramuvevo 1:10
Mwanamke mdogo anapndeza huwa hachoshi alf uyu zuu mamake anamfundisha jins ya kuteka akili ya mwanaume
Hii hatari kuonesha chumba aliocho mtuu Tena maarufu kama 💎 ulaya watu wanafikwa na mabaya kwa kutozingatia jambo kama hiloo
I pray that Diamond does not frustrate this beautiful and so to earth girl. Wish she had chosen differently because Simba ni simba tuu...if you know you know
Am not a fun of diamond but l would love them to be together. I love the Zuchu though
Hiii imeenda nimependa sanaa 😂😂😂😂❤❤❤eti chibu sijawahi kutoka na mwingine zaid ya zuchu😂😂😂😂😂
Hahaha! It’s true ! Nice couple ever ❤
😂😂😂😂
😂😂😂
Nawapenda sana Zuchu na Diamond ❤️❤️❤️
Mh
Imagine Mimi nawapenda Zuhura na Mondi❤🎉🎉❤😍🥰
😂😂😂 hawa wamepatana pipa na mfuniko, ❤❤❤❤❤❤
😂😂😂
❤❤
😂❤
😂😂😂weeh
Aisee ,kwakweli😂😂😂
Waoooo 🔥🔥🔥🔥mama zuchu apewe zawadi yke,So daimond ndio alimtoa bikra yke uyu mtoto khaaa jmn bs diamond akimuaacha huyu mtoto hna Bhati shii kupta dem bikra n ngumu sana😂😂😂😂😂♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Thubutu hiyo kajibu for funny ...so na daimond hajawai 😅😅😅😅😅😅......tena daimond am sure kila wik lazma apate mdada mpyaa
✅
😂😂😂
Nampenda cmba dangote balaa me shabiki akoo❤❤❤
Zuuu chu waue waumize wazimie wachanganyikiwe nakupendaa
Tunaomba Kuna siku wafanyiwe Tena pamoja wanavutia sana❤❤
Sanaaa😂😂😂
Zippy 🦁 from 🇰🇪 i love diamond forever.
Nilichogundua zuchu kamuwini Nasibu kisaikolojia,zuchu anajua kabisa diamond anapenda mapenzi ya uswazi,alafu ameridhia Nasibu apige shoo na madem wengine lkn kajiweka namba one namba zinazofuatia
Washing from the UK. Love Zu and Simba so much❤❤❤❤
Nawapenda sana mapenzi yao ni kama sukar ❤❤❤❤
Sukari suger sukari❤❤❤
Nawapenda xna ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉matani kibao kweli😂😂😂😂
The "ushawai kuvuta bangi labda kupitia kushoto" 😂😂
The best interview in the world 😂from kenya
Acha uongo Amna Cha best couple hapo
@@pinkyg8861 Unateseka 😂
@@pinkyg8861 sip that jealous juice
NICE COUPLE.THE BEST COUPLE IN AFRICA.
❤❤
Ahhhhhhhhhha may be
Hawa watu wanaendena hatari👏👏
Tunakumbushana kuna leo duniani na kesho mbinguni tufanye yampendezayo mungu jamani😢
Masha allah ww una akili mungu akuzidishie kama muislam akudumishe kwenye neema ya uislam na kama sio mwislam akupe neema ya uislam insha allah
Kabisa kk..😅..In shaa Allah ..Mungu atupe njia njema....Ila acha wivu we washaur tu labda hao waoane an waache kuzin tu!!😢
Mbona yanakutoka sana na hapo hujasema na mpaka useme mbwa wee
Comment kama hizi wanasoma wale ambao hawajawah kufanya dhambi na tayari wako zao mbinguni..Nyie wengine tusubir kuungua TU mi team diamond akichomwa mi nikaachwa mungu atakua hajanitendea haki😂😂😂😂😂
Totally true 👍
Shes so natural and down to earth. Maybe she'll be able to finally 'tame him'😂
You can't tame a lion...😂😂
@@artwit1585 of course lions and tigers can be tamed, but a leopard 🐆 that's another story bruv 😎
❤❤
Diamond kadanganya sana eti hajalala na mwanamke yeyote asipo kuwa zuchu hiyo ni uongo sana jamani Simba amewalamba sana lakini big up for him mi ni shabiki wake sana
This was Diamonds question....the rest of our knowledge does not matter. His answer is final😂
Yesu yuaja. Na anaitaji kila mtu amuamini aokolewe.
Zuchu anauzuria vikao😂😂😂😂.. mwanamme ni mmoja tu...
Zuchus laughter❤
😂😂😂😂😂
Dah mm naogopa kuikubali haya mahusihano maana diamond ataniangusha aniudhi akimuacha zuchu sasa navumilia niko paleee ningoje harusi sasa kuanzia apo ndo nitakuwa sawa😊😊maana kile dem wa diamond namkubali sichukii yeyote😂😂
Nitatoa shilingi milioni moja kwa ujumbe wa kwanza kuthibitisha kuwa anamuoa rasmi, au yeye kama wengine achukue namba 25, hahaha.😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 sasa zari na tanasha walikuwa wanakula nini
Akisema chuzu njo wakwanza 😂😂😂
Aaaloh wakuvimba wavimbe🤣🤣🥰
Hakuna wakuvimba wewe
kama una uikubali hii capo gonga like hapa...
❤❤kabisa nice couple 💑 🇰🇪
🎉🎉
So what
@@Estherjaphkabisa
Jaman zuchu na diamond wanapendeza sana wakiwa wote kaka mond muoe zuchu jaman
Na huyu anaharibia watu mood 😅😅
these Two are Bestfriends❤😅
Guys do a interview in English
They have good chemistry
Natural not forced, they aren't trying to be perfect,seems like they are friends
Mondi muongo…. 😂😂😂😂😂 sasa tiffah, nilan, na nj wamezaliwa kwa IVF? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inajuulikana Sanaa tuu km wengiiii
Amewazaa na pua
Duh zuchu ndio wakwanza kabisaaa😀😀😀😀
Chibu we ni muongoo ati ni Zuchu tuu🤣🤣🤣🤣🔥
Sasa ninyi wanawake ktk maisha ulishakwisha pita yamepita unasifia ulichonacho sasa na ndivyo ilivyo kawaida mwanamke anatakiwa amsifie aliyenaye na mwanaume hivyohivyo
diamond ety Hana mwingine Zaidi ya zuchu 🎉🎉🎉 Simba anatachora wee nawapend xna
Hapooooo 😂😂😂😂😂😂Mondi umetupiga ushawai toka nauyool mumoja tuuuuuu😂😂😂mammamamamamaamaaaaaaaaah
Nakuelewa sana simba❤❤❤❤❤❤
Wasoma comments na kucheka kama mimi tujuwane zetu 🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅yaani nimecheka kwa sauti eti ajawai...
Tupo hapa 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nipo yani watasema yote
Kwaiyo wote mabikra😂😂😂
Kaburini kuna nyoka.. jast ninawakumbusha. DUNIYA ni tamu .subirini kwanza Kaburini.
Sawa vinahusiana vipi na iyo video mzee
Ww huko kaburini ushawahi kufika?? Punguza ushauri mungu nd atakaetuadhibu
@@AnthonySindabaha-de3xb absolutely
@@AnthonySindabaha-de3xb unakumbushwa af unajikuta mfalme wa uchambuzi. Punguza mihemko dogo. Nikwel tunapenda miziki na wasanii wetu lakin inapotokea mmoja wetu katukumbusha inatakiwa tumshukuru nasiyo kumtolea maneno machafu
@@YusuphHuguguyaan n wapuuz kwel 😢
Diamond ndo amemtoa bikraa zuchu jmnii au ni vp mbona sijaelewaa ilo jibu la zuchu na swali aloulizwaa😅
Diamond yupo very peace Yn 💪💪
Diamond platinum ni mtu mzuri Sana
Eti wakwanza zuchuu na zarii jeeee🤣🤣🤣🤣
My favourite couple 💑
Namjua mpenzi zuchu mwengine clam VEVO
Ndo wa kwanza huyu,, ile mond hahahahhahaha nmecheka sana
Npooo kila saa nacheka 😂😂😂😂😂😂
My favorites
Guys mnipitieni
Hii imeendaaaaaaaa😂😂😂😂😅.......................
Hahhahahhahah diamond kanicheiesh😂😂😂😂
Vraiment j'adore cette vidéo
Nice❤❤❤❤❤❤❤❤Team Zuchu
Na wakubali sana❤
Jamani muogopeni mungu jama maisha ya kupita hebu badilikeni basi kama maovu basi mmefanya vya kutosha yaani mpaka sasa hamjachoka na ndio kwanza mnasifiana maovu kweli? Allah anawaona na anawapa muda wa kutubia lakini bado hamtaki
Kabisa awajui kama kuna leo duniani na kesho mbinguni 😢
Kisa wewe unapitia mateso ya dunia usidhani watu wote wanapitia hayo, kisa wewe unaishi ulimwengu wa giza sio wote, kisa wewe unaimani zako za kishirikina haimanishi na wenzio wanaimani hizo... ! Tafuta ukweli , na ishi...hakuna anaejua wapi tumetoka na wapi tunaenda..kujiona unajua wapi tunaenda ni dalili ya pure Ignorance!
@@kgbagent9321 mjinga wewe subiri utaona kama ujui unakotoka na unakoenda subiri mpaka gari ukija ndio utatambua mpuuzi wewe wewe watu wanaaribu jamii alafu unaona kwamba kama sie ndio tunamakosa?
@@kgbagent9321mv wewe
@@kgbagent9321kila mtu ana imani yake km mtu anamfahamusha au kumkumbusha muislam mwenzake ww kafiri unaingilia nn ? C ukae kimya na ukafiri wako
Wale tunasifiwa kwenye simu naomba nasi pia siku moja tusifiwe mtandaoni kama wengine 😢😢sisi pekee ndo twajua kuwa tupo hodari kupitia ujumbe wa sinu
Wow so nice and lovely
Imeenda imeenda Jamani 😂😂😂😂
Zuchu anakwambia 1 mins 😂😂
Someone to teach me swahil coz the way I love zuchu yet I don't understand her language 😅😅😅😅😅😅
Ntaseti kama ring tone saut ya zuchu❤😊
So what
@@WilbroadWilliams decisions mtu wangu, weka na ww yako unayojiskia😏
Hahahaaaaa hapo kwenye kupumu 😂😂😂😂
Kwahiyo siku izi mambo waziwazi😂😂😂😂😂
hii wamejifanya eti kumurusha roho hamisa wakati mwenzao hizo siyo shida zake🙋🙋🙋🚶🚶🚶🚶
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😅😅🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 ndio zetu wanaume
Utackia cjui zuchu kawaje jaman tuwaache wapendanao tuache wivu
I love you l request your assistance for my education level
Found in shinyanga may God bless you in your work
Nimecheka mnoo😂😂😂😂
Mbavu zangu jamani 😂😂😂😂😂