S2KIZZY Atoboa SIRI wimbo wa DIAMOND "KOMASAVA" Ulivyofanyika STUDIO/Hii ndio maana yake
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
- Kwa mara ya kwanza Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania S2KIZZY amefunguka jinsi ambavyo wimbo mpya wa Diamond Platnumz KOMASAVA ulivyofanyika studio mpaka kukamilika
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
#SS2kizzy #Zombie #Komasava #Diamond
Yah nimekubali komasavs n ngoma
Best music producer of this era, mkubali mkatae ndo hvyo numbers never lie😊😊
Namkubali sana S2Kizzy lakini Lizer Classic is still king.
Rick mnajua kuupiga mwingi sana hongoreni sana
Big point i appreciate what make u happy big broh
Good job bro you kill it❤❤❤❤
S2KIZZY comment ça Va??😂😂😂 we ni Neuclear
Video likifanyika kila nchi kama ninavyoskia redio mbao bac Dunia ndo itamjua diamond kiundani ni mdos kias gn kunawengine hoo hana hera ya kufanya kwenye nchi zote alizotaja me naamn anaweza TENA na madansa wake walicheza na kusalimia miji mikubwa huko kunanina😮
👏👏🔥🔥
Nimeikibali mwenzenu,mtaniua wcb pungueni moto wazee wangu
Komasava goma la kwenda
❤❤❤
Nipeni likes am from Kenya
Kumbe mondi alipata ufunuo wa kibango alipotoka kuswali chungu cha 27😂😂
Sinimtu wakuongozwa
😂😂😂 bora comasavaa ya mwanya
0:08 🎉
Kwan diamond anaswali
Shida yenu sasa mapiano so mziki wetu
Tafuta mziki wako but now watu wanataka kuruka pia pesa ipo wapi ndugu so ww unataka tupige mnanda
Imba na wew
Wewe unapokuwa unamskiliza Chris Brown ni lugha yako?,Muziki ni kama mpira
Kuna google translate
Uswali mskiti gani wewe wamashetani au?
Basi kama hutaki wenzio waswali wewe ndiyo Mungu. Acha upumbavu
Tatizo watu wadini mnajiona bora na kamilifu sana...kama ambae tiketi ya mbinguni mnauhakika nayo na uongo mtupu.
Rick uko vizuri katika interview jaribu kumfundisha yule mdada Sarafina ajue kuuliza maswali kwa kuzingatia mantiki na relevance
Mama Dangote si anapenda aka kamjukuu kake..Wah..since Nj was born the grandma has loved him soo much
Komasava sava bieeee
Nakubaliii mwaisa
Good job bro you kill it ❤❤❤
𝐾𝑢𝑡𝑜𝑘𝑎 𝑘𝑒𝑛𝑦𝑎 𝑎𝑝𝑎 𝑛𝑖𝑝𝑒𝑛𝑖 𝑙𝑖𝑘𝑒𝑠
Baba wewe unaweza
Makes people together through greetings 😂😂😂😂😂😂😂😂
MAKINI SANA S2KIZZY
100 big up
Rick uko vizur sana ngoma ilee imetuliaa
Zombi kill dem❤
Ndo ata ku andika jina la nyimbo muna tiya mistake on dit "comment ça va " Sio komasava iyo ni swahili Sio kifaransa
Nakubali unajuwa kuuliza maswali
Idea kubwa sana
bro umeongea fact kabisa🎉🎉🎉
S2kizzy
Comment sava bien🎉🎉
Sheikh S2kizy
wa3 like
Comment ça va!!!
Mwamba mwenyew s2kiz
Iyo ni gari gan wazee
Ni ile gari yake ya Range rover Autobiography old model kdg
wee zombie haujui
Haujuw ❤❤🎉🎉🎉🎉
🤝
Haimae kaisema MWE
Ni kitu unkwepable kama unatokea mbeya
Oya noma Sana apo zombi
Mmmmj apo sasa
Mpaka kwapua
Happy nikweri😮
Nikubebwa
3:33 🎉🎉🎉🎉🎉
Ila Mimi mwanaume kutoboa pua hapana kwa kweli
Hujazunguka umetokea porini ww
Wcb ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ggi
Kali
nyimbo nzima ni habar gani salam tu aina mashair yoyote ya maana 😅😅😅
Dogo usihame wcb ndo chma la wana vimilia piga aokoto kwa simba la simba
Come xta? Xto bem!
Zombie sikuiz picha azipingwangwi hahaha unaua
Zombie eee hmn mtu atakusifia mpk ufee ila ukwel wanaujuaaa
S2kizzy unampizani unati$h@
Oy munaupiga mwingi sana
Tokeni apa amnalolote
Wezombi sando nan . Iko ni kiswahili
Like ya hapa ngoma Kali san😂
Together kijana
Wwe
komasava n zaid ya kimbunga mzee
🎉
Yaan s2kizzy kama Mzee yani
Like me please
We zombie aujui
Hapa baada ya Chris brown kupost “eti kitu gani special kuhusu hii nyimbo , ata sisi hatujui”
Angalia iyo interview imepita muda gn?
@@gezaulole7501 did you understand what I wrote au unaropoka tuu 🤔
Namaste ni kihindi...? I doubt bro
umeshapata jibu au bado upo na doubts zako...😂. kwa ulimwengu wa sasa ukiamua kuwa mjinga kuhusiana na jambo fulani, ni choice yako mwenyew.... na haya magoogle plus Artificial intelligence bado mtu unaishi kwa doubts😂
❤❤❤
Daaaah kmbe diamond ametusalmia tu hafu wimbo.umebamba hatari
Nyie mmh🤣🤣🤣
Hatamm nimeikubari❤
Nakubali
Komasava ni nni nauliza tuuu🫰🫰
Ni ndizi zilizopikwa kwenye jagi
Mpo kwenye swaum alafu kamziki baada ya apo kusali Ramadhani Big nooo 😭😭
Mh misrinda hana huyu had pia?
Aswaumuuu liii.....fungaa n yakee yy mungu anajuaa kulipaa....maasaaalam
Mh we ni msanii au mkewa mtuu?
Sasa we baba na hereni vipin mkeo atavaa nn