DIAMOND PLATNUMZ AONGEA KUHUSU RUGE MUTAHABA KWA MARA YA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Diamond Platnumz Ameongelea Ishu ya Yeye Kuonekana Alichelewa Kwenye Msiba wa Ruge Mutagaba na Kutoweka Post Katika Page zake za Mitandao ya Kijamii.
    .
    #BLOCK89 #Block89WFM #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya

ความคิดเห็น • 300

  • @beatuslongino5666
    @beatuslongino5666 5 ปีที่แล้ว +21

    nimewapenda sana hawa watangazaji cos wameweka uboss pembeni,,,,kazi nzuri jonijoo

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 5 ปีที่แล้ว +201

    Tunaoamini mahusiano yana mambo mengi na kuna muda inabidi tusimponde Mondi kwasababu hata yeye Alivumilia mengi tupeane like za kiutu uzima

    • @ayoubmsangula2818
      @ayoubmsangula2818 5 ปีที่แล้ว

      Hi

    • @rairambarairamba5086
      @rairambarairamba5086 5 ปีที่แล้ว

      kama nimekuelewa vile ok nicheki humu monica 0654596677

    • @kwabeeemmanuel391
      @kwabeeemmanuel391 5 ปีที่แล้ว

      Monica Obasi

    • @chavalabrandtv5315
      @chavalabrandtv5315 5 ปีที่แล้ว

      Nimekuelewa sana Monica so hebu nicheki kwanza +258861769403

    • @awadhikawaga8498
      @awadhikawaga8498 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli mond nimepata vizur sana kiukweli huko sahihi kiupande fulan nao wanawake jaman wanamitihan yao yey sio chiz kuachana na zari na kukaa kimya mda mlefu bila kuongea lolote katika wawili wapenda nao sikitu lahisi lakin yeye kavumilia hakutaka kuzungumzia lolote zaidi ya zari alie kuwa anavuma mitandaoni daily, so mm nisemetu kuwa asingekuwa zari kuwa unajua sana kuzungumza mitandaon na katika vyombo mbali mbali upande wangu mm nionavyo sinzani kama mond angekuja kufunguka yote haya kama kaweza kumvumilia mda wote wamatukio iweje angeshindwa kwasasa ila kaamua kufunguka mond kutokana na kuandamwa hakumuishi ingali yeye yupo kimya (hivyo kwa upande flan waasilimia mia mondi yuko sahihi sana)

  • @jumbelbrownman1295
    @jumbelbrownman1295 5 ปีที่แล้ว +7

    Both presenter are doing such a nice job but my advice to you both is when asking a question its really awesome to wait an answer then you move to the other perspect....Haya endeleeni kukandamiza maswali tuzd kuwafuatilia,braaavoo tchao!

  • @Sppah697
    @Sppah697 5 ปีที่แล้ว +2

    Dimond you are very mature and wise! Mungu akujalie uwe billionea mwenye furaha! Nakutakia maisha mema na mpenzi wako Tanasha. You deceve better and good life. I hope Tansha is the one! Zari is a gold digger! Amekushika na watoto sasa anakukomoa usiwaone. Kaza moyo
    Yote yataoita tuu! I takuja kuwaina tuu.

  • @litmassmgenge4840
    @litmassmgenge4840 5 ปีที่แล้ว +3

    #SIMBA to GOD be the glory,the swag is supper dope and i love your vybe through your music
    #KENYALOVESYOU

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 5 ปีที่แล้ว +150

    Aliesikia chibu kasema akiwaamtakidem anafanyamatukio mpka anasepemwenyew gonga like

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว +25

    Nimependa Watangazaji wapo open kuuliza maswalii. safi sana Chibudeeee

  • @madawakemikali776
    @madawakemikali776 5 ปีที่แล้ว +2

    Congrats kwa hawa watangazaji....nimewapenda sana mko vizuri....mnajua kazi....pigeni kazi vijana jpm.

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 5 ปีที่แล้ว +140

    Mulio lala mkiamkaa plz mm niwakwanzaaa kukoment naomba like zenu jamani,, duuu

  • @KiooTvOnline
    @KiooTvOnline 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa the arrangement ya hii studio, ipo professional sana!!!...

  • @kingsoboropayani5127
    @kingsoboropayani5127 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama umemuona female presenter anamuangalia sana mondi gonga like hapa 😂😂😂

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 ปีที่แล้ว +3

    Diamond we ni mtaalam sana wa kujibu maswari,big up kwako👏👏

  • @dottomsham9884
    @dottomsham9884 5 ปีที่แล้ว +6

    na ww kama umemsikia bwege uyu mtangazaji amesema marehemu kabla ajafa gonga like zako zote twende sawa

  • @writer-xi8sh
    @writer-xi8sh 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania's media is intelligent. Much love.

  • @najmaahmed7172
    @najmaahmed7172 5 ปีที่แล้ว +4

    😀😀 pole simba kubali matokeo tuu respect mama tee

  • @omarypongwe7155
    @omarypongwe7155 5 ปีที่แล้ว +46

    Uyu jamaa anaongea kweli ila kuna watu tu wazusha uongo ila mungu anawaon

  • @mariammgeni8830
    @mariammgeni8830 5 ปีที่แล้ว +20

    Yani cjawahi mwona chibu anakubali kuwa amekosea

  • @cglnoirshangwefeliz6162
    @cglnoirshangwefeliz6162 5 ปีที่แล้ว +62

    Mimi pia nikama wa 18 vile kwenye view like zenyu please

    • @doctorscora8837
      @doctorscora8837 5 ปีที่แล้ว

      Muongo diamond uingie ndani wakati Rais anatakiwa awe wa mwisho kuingia ungie ukiwa we nani

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 5 ปีที่แล้ว +46

    hivi unajua kama DIAMOND akinywa PEPSI analipwa? hahahahahaha u star raha kama huamin pitia instagram yake

    • @dotomohd9156
      @dotomohd9156 5 ปีที่แล้ว

      Ahahaa mbavu zangu jmn

    • @rajabumrope8732
      @rajabumrope8732 5 ปีที่แล้ว

      @@dotomohd9156 na ndio maana akinywa anaoneshwa na camera

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unamuuliza boss wako maswali kama hayo atakufukuza kazi shauri yako

  • @sostentulian4192
    @sostentulian4192 5 ปีที่แล้ว +4

    safi mr chibudenga

  • @josephbanga8432
    @josephbanga8432 5 ปีที่แล้ว +5

    Of course he has spoken truth but remember kila mtu mtu anamadhaifu yake na saa zingune marafiki wa kweli hukoseana maneno so kuweni makini waandishi wa habari nawapongeza sna

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 5 ปีที่แล้ว +102

    Kama umeona konki hana biff na mondii weka like twende sawaa.

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 5 ปีที่แล้ว +10

    Jonijooo now u no nakukubali sanaaaaa Mzee baba akoo

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole daimond najua hakuna anae jua ndani ya moyo wako ila ni mungu tu tusihuku

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 5 ปีที่แล้ว +3

    Umetisha!!!

  • @kelvinjoseph694
    @kelvinjoseph694 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali#___Baba akoo.

  • @thereal_mtangojr2634
    @thereal_mtangojr2634 5 ปีที่แล้ว +3

    Ivi nyiee mnaombagaa likes mnazipelekaga wapi🙌

  • @purity3776
    @purity3776 5 ปีที่แล้ว +4

    We here bcz of zari,mondi ain't shiet this days

  • @mojay5335
    @mojay5335 5 ปีที่แล้ว +6

    hatarii.... 🔥 🔥

  • @januarymwingwa2962
    @januarymwingwa2962 4 ปีที่แล้ว +2

    ww umeulizwa Ruge anamchango gani kwenye muziki wako unachojibu sasa hata mtt wa darasa la nne anakushinda nafsi inakusuta sana sijui tu kiwango cha ubongo ulichonacho na unawaza nini umesaidiwa sana sisi tangu unaanza ww tunakufuatilia bahati nzuri kuna sehem tulikuwa tunakuona kabisa uwe unashukuru Maana hata Mungu Atakujalia kwakuwa unashukuru hata kidogo akikupa

  • @jumaibrahim7605
    @jumaibrahim7605 5 ปีที่แล้ว +3

    Mpo vizuri Sana wasafi

  • @SUZIBALE_OG
    @SUZIBALE_OG 5 ปีที่แล้ว +27

    Safi sana ila watangazaji mnaongea sana real

  • @uwinezagloria8618
    @uwinezagloria8618 5 ปีที่แล้ว +12

    Karma is real diamond atamaliza vibaya sana i am here you guyz will prove wrong...

  • @peterngassalah6454
    @peterngassalah6454 5 ปีที่แล้ว +60

    mmmmh vijana wameajiliwa ili wamkomoe boss mbna maswal mazito namna hiyo

    • @shadracktito6293
      @shadracktito6293 5 ปีที่แล้ว +2

      wewe kwa IQ yako ndogo ndo unahisi ivo ila vijana wako clear kabisa wanatekeleza wajibu wao na taaluma yao

    • @barakasamora6361
      @barakasamora6361 5 ปีที่แล้ว

      Yaan hatar

    • @evisonchotta8675
      @evisonchotta8675 5 ปีที่แล้ว

      We hivyo vitu planned ili wapige pesa

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 5 ปีที่แล้ว

      Hawa Wanawake wanaweza wakakiharibu kipindi, hawatulii

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 5 ปีที่แล้ว +1

      @@shadracktito6293 Actually lazima walimwuliza kwanza ili isije kuwa noma. Mengine ya kushtukiza utaona sura yake inakuwa tofauti...

  • @richardjoseph9257
    @richardjoseph9257 3 ปีที่แล้ว +1

    Amini kwmb mzee you!

  • @malecom
    @malecom 5 ปีที่แล้ว +102

    Kama umeoenda majibu ya Mondi gusa profile yangu apo...

  • @yonamakali8371
    @yonamakali8371 5 ปีที่แล้ว +1

    Upo poa sana Simba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @meshackmganga6948
    @meshackmganga6948 5 ปีที่แล้ว +5

    Kabla ya marehemu Ruge hajafariki.... !!!!!!!!😎

  • @Mwaikwasi
    @Mwaikwasi 4 ปีที่แล้ว +3

    Naupenda ukakamavu wa Aaliyah kwa utangazaji❤️

  • @fabianmoses3105
    @fabianmoses3105 5 ปีที่แล้ว +19

    Interview ya kikong linapokuj suala LA kuzikana tuzikane tyuu matatzo tuweke pemben kama umesikia hyooo like yako pliz

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 5 ปีที่แล้ว

    frequency za wasafi fm kwa arusha ningapi ngapi jombaaaa......love the stereo

  • @shadybadojulius2634
    @shadybadojulius2634 5 ปีที่แล้ว +13

    Wangapi wameona tabasamu LA zege LA baunsaaa

  • @jullyanthony9734
    @jullyanthony9734 5 ปีที่แล้ว +1

    Aliye sikia So aaah,,,,,,, kama mm like twende sawa

  • @nureyna629
    @nureyna629 5 ปีที่แล้ว +8

    Maswali Mazuri lkn Mnampa maswali mengi wakati m1 hadi anasahau anakuwa hajibu vyote

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 5 ปีที่แล้ว +16

    Hajajib personally ruge alikuwa anamchango gani kwny mziki wake

  • @donald7022
    @donald7022 5 ปีที่แล้ว +1

    King king

  • @kuryaboytv3426
    @kuryaboytv3426 5 ปีที่แล้ว +1

    Interview Hit

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 5 ปีที่แล้ว +9

    Duuh Diamond kweli umeongea

  • @bonephasbenjamin4848
    @bonephasbenjamin4848 5 ปีที่แล้ว

    Joni joh babako wahuni si watu wazuri huogopi boss🔥🔥🔥

  • @monicamasala137
    @monicamasala137 5 ปีที่แล้ว +6

    Wangap wamesikia marehem ruge amefariki😂😂😂

  • @dicksonjohnbosco6548
    @dicksonjohnbosco6548 5 ปีที่แล้ว +3

    Upo vzr chibu kwa majibu yako 🙌🙌🙌

  • @badboy2577
    @badboy2577 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuzika ni kifanya kati ya mambo haya.. kutazama Maiti, kubeba Jeneza, kutupa mchanga kaburini.Ukienda mazishini na usifanye hivi vitu hujazika.Binadamu tunasahau kwamba tunaenda kuzika na sio kwenda ili uonekane kuwa ulihudhuria.

  • @abdallajkhalfan1202
    @abdallajkhalfan1202 5 ปีที่แล้ว +5

    Suali moja moja bs ajibu uulize jngne ingependeza

  • @tumajuma6917
    @tumajuma6917 5 ปีที่แล้ว +1

    R.I.p Ruge.sote njia moja .tutaonana baaadae inshaAllah.

  • @jariruabeid8858
    @jariruabeid8858 5 ปีที่แล้ว +39

    Like zenu jmn Kama unamukubali chibu

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 5 ปีที่แล้ว +11

    Diamond hukuwa specific kwenye mchango wa Ruge. Say it bro kama unapenda ukweli!

    • @johnnydepp3218
      @johnnydepp3218 5 ปีที่แล้ว

      Mchango gani unaozungumziya??

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 5 ปีที่แล้ว +1

      @@johnnydepp3218 Unataka kusema Ruge hana mchango wowote katika kushape muziki wa Diamond? Please! Labda hufahamu kuhusu Diamond. Rudi nyuma hadi 2009/2010. Usisikilize hizi porojo zake za sasa.

  • @denyo_rasmi
    @denyo_rasmi 5 ปีที่แล้ว +5

    Nasibu umejiumauma sana kwenye hili swali bro, Be Honest

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 5 ปีที่แล้ว +16

    Wcb

  • @vincentsunhotlangwe5138
    @vincentsunhotlangwe5138 5 ปีที่แล้ว

    Mondi hajawahi kuwa na biffu na mtuu yeyote , kama unaamini kama mondi hajawahi kushindwa na interview gonga like hapa

  • @ellysbrand
    @ellysbrand 5 ปีที่แล้ว +2

    Mondy Simbaaaaa

  • @exhaudyvalentine1767
    @exhaudyvalentine1767 5 ปีที่แล้ว

    Jonijooooo. Vip zile show zako tena ztaendeleaje

  • @aggyparty2990
    @aggyparty2990 5 ปีที่แล้ว +21

    Kilichotokea mlishapanga na watangazaji watakuhoji nn sasa kinachotokea watangazaji wanajikuta kuongea sana ili wasisahau na wanajikuta wanajibu na maswali hadi wakatizwe🤣🤣

  • @amashamasoud7636
    @amashamasoud7636 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri lakini watanfazaji mnalinda sana chakula chenu maana naona mnamuhuriza maswari lakini mnajijibu some time's

  • @hamadrama9106
    @hamadrama9106 5 ปีที่แล้ว +1

    Daah aya bna

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 5 ปีที่แล้ว +6

    Watangazaji wapo vzr sn.yani hayo maswali Hadi ashushia soda😁😁

  • @kelvinndege2200
    @kelvinndege2200 2 ปีที่แล้ว +1

    haya maswali ndo source ya hiki kipindi kufutwa na jonijo kuondoka wasafi .

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 5 ปีที่แล้ว +1

    Watakaaaa2 kazi ndy inaanza

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 5 ปีที่แล้ว +3

    Hata hamjui kuhuriza maswali

  • @gandygandi2740
    @gandygandi2740 5 ปีที่แล้ว +5

    Sema nn mi nabaki kimy

  • @aminachaulaya278
    @aminachaulaya278 5 ปีที่แล้ว +6

    hivi a kiwa chooni anaingia na mlinzi?

  • @yasinimohamedy917
    @yasinimohamedy917 3 ปีที่แล้ว +1

    Pepsi

  • @Itrahya2305
    @Itrahya2305 5 ปีที่แล้ว

    #Sema DIamoNd anaaakili SaNa

  • @mauwabijoux6966
    @mauwabijoux6966 5 ปีที่แล้ว +1

    Ebu nambieni izo like ni zakazi gani maana naona maombi nimengi eti mala mi niwakwanza ku comment nipeni like munazipeleka wapi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @petermasaku6728
    @petermasaku6728 5 ปีที่แล้ว +7

    Diamond amevaa kama referee. Chunga usipewe red card..

  • @abuubakrachani1943
    @abuubakrachani1943 5 ปีที่แล้ว +4

    anaeona D........anajibu questions vizur gonga like

  • @azamanjv1946
    @azamanjv1946 5 ปีที่แล้ว

    Je,wasafi Media inatufikia Bukoba kwa frequency ngp?

  • @thomasdiamosbob3965
    @thomasdiamosbob3965 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba like zenu jamani

  • @yussuphkazumar6229
    @yussuphkazumar6229 5 ปีที่แล้ว +2

    Chibuuuuuu denga

  • @ramanhoibrahim3383
    @ramanhoibrahim3383 5 ปีที่แล้ว +6

    Za asubuhi..

  • @anthonymsimbe1466
    @anthonymsimbe1466 5 ปีที่แล้ว +1

    HAPO WATANGAZAJI HAMKO NA BOSS ANATAKIWA KUCHEKIWA HAKIRI KAUMIA KUONA ZARI KAPATA MCHUMBA

  • @Dm-yq9wn
    @Dm-yq9wn 5 ปีที่แล้ว +3

    Brother ukiacha ma drama Mziki wako utafka mbali sana zaidi ya hapa natagemea 1day ngoma zako zingie ata kwenye billboard

    • @allenkonky3146
      @allenkonky3146 5 ปีที่แล้ว

      afike mbali wap tena

    • @Dm-yq9wn
      @Dm-yq9wn 5 ปีที่แล้ว

      Allen Konky kwa sahvi unaweza mlinganisha na Davido au wiz kid uwoni jaamaa kahacha gepu kubwa sana

    • @allenkonky3146
      @allenkonky3146 5 ปีที่แล้ว

      m sielewagi hata mambo ya watu

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 ปีที่แล้ว +6

    Jamani msimuulize Simba swali nyingi za kutaka kumfanya aongee mabaya kuhusu marehemu ruge

  • @wisperfect3860
    @wisperfect3860 5 ปีที่แล้ว +14

    Kama unamuona uyo dada anavomaangalia mond vizur tupo pamoj

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว

      Anampenda hata kukata mauno mbele yke mmh nimeona

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว

      nimemcheck sana huyo Broun lkn black ako simple mbona

    • @edinasabini6436
      @edinasabini6436 5 ปีที่แล้ว +1

      Nimeon macho yamelegea yuk tayar kwa chochte

  • @nasriabdalah6574
    @nasriabdalah6574 4 ปีที่แล้ว

    Simbaaaaa

  • @saddyclassicfashion9577
    @saddyclassicfashion9577 5 ปีที่แล้ว +1

    Like hapa kwajili ya mondi 😁😁😁

  • @mrtboy9788
    @mrtboy9788 5 ปีที่แล้ว +6

    Hiii ni konk!!!!!

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 5 ปีที่แล้ว

    na kubali mzee baba simbaaa

  • @bahatis.mbishi737
    @bahatis.mbishi737 5 ปีที่แล้ว +1

    👏🏻👏🏻

  • @rehemasaid6876
    @rehemasaid6876 5 ปีที่แล้ว

    Mbona mnamuongelea sana merehemu ivi amna vyakumuhoji dai

  • @briankemusic3628
    @briankemusic3628 5 ปีที่แล้ว

    Simba hatali uyo

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 ปีที่แล้ว +2

    .Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana
    ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 raha sana.

  • @mudriksalum2069
    @mudriksalum2069 5 ปีที่แล้ว

    Uyo dem anajuwa sana da kwa maswal noma

  • @beatricengonani4640
    @beatricengonani4640 5 ปีที่แล้ว +1

    Unajbu vzr San na umeleweka san

  • @sergelubulusergent5518
    @sergelubulusergent5518 4 ปีที่แล้ว

    Dude aikomi na tanasha Évry days

  • @sabunisteven4720
    @sabunisteven4720 5 ปีที่แล้ว +2

    Hehèe....hvyo virasta navyo...katoe...🤔🤔🤔🤔

  • @judyibrahim9203
    @judyibrahim9203 5 ปีที่แล้ว +1

    mbona kama alikuwa anakupenda sana alikusaliti na piter na ukavunga tu acha uboya watu hawaaemag vya uvunguni

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaa!!! Aiseee ninyi mkasome kwa clouds media
    Wale jamaa wanajua sn

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 ปีที่แล้ว

    Wasafi wate mashoga wasenge washamba na boss wenu