Mambo yote yatapita lakini neno LA Bwana litabaki milele....nkiskiliza wimbo huu ni kama umetoka Leo asubuhi na hii inakuwa possible kwasababu Yesu ni yeye yule Jana Leo na hata milele...kwahyo mtumishi uwe na uhakika maneno haya yataishi vizazi na vizazi...ainuliwe Mungu aliyekupa kinywa cha kutuletea maombi haya na shukrani hizi kwa Mungu kwa njia ya kuimba...
THANK YOU JOHN LISU FOR THIS ANOINTED SONG. I LOVE ALL YOUR WORSHIP SONGS FROM KIGALI IN RWANDA. This is A good verse for your anointed team: REVELATION 19:5: [5]And from the throne came a voice that said, “Praise our God, all his servants, all who fear him, from the least to the greatest.”
I like this song, this man has deep fire 🔥 for the ministry 🙏, one can feel it even when listening to the song,🔥, such a blessing, asante sana John Lisu kwa huu wimbo, unapendeza sana na umeguza moyo wangu, Hallelujah 🙌🔥💃
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi kila ninapozisikiliza, na mara nyingi nikiwa na timu ya sifa na kuabudu naziimba na kupga kansan kwangu ubarikiwe Sana
Hi from Kenya.Kindly is it possible to upload the whole concert.These wonderful anointed songs have changed my worship life.I first watched it in 2015 through a TV station called Hope FM.
December 1, 2024 wimbo bado ni mpya kama vile umetungwa jana, Glory be to God
sure
Very fantastic and touching song, oh my God may you grant these brethren favor to continue worshipping you in truth and spirit.
This song 😢😢😢 Ameeen in 2024 and still my favorite ❣️
Huu wimbo naupenda sana. Nikiwa nausikiliza najikuta naingia kumtafakari mungu na ukuu wake. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu John Lisu
Jaman me naupenda zaid maana nikiusikia nafarijika
Hallelujah 🙌🙏
June 28, 2024 Who else is listening
Where are the views and likes for such masterpiece?
Who else is listening to this song in 2023?
no it is 2024😅
Mambo yote yatapita lakini neno LA Bwana litabaki milele....nkiskiliza wimbo huu ni kama umetoka Leo asubuhi na hii inakuwa possible kwasababu Yesu ni yeye yule Jana Leo na hata milele...kwahyo mtumishi uwe na uhakika maneno haya yataishi vizazi na vizazi...ainuliwe Mungu aliyekupa kinywa cha kutuletea maombi haya na shukrani hizi kwa Mungu kwa njia ya kuimba...
Well said 👏
Exactly 💯
THANK YOU JOHN LISU FOR THIS ANOINTED SONG. I LOVE ALL YOUR WORSHIP SONGS FROM KIGALI IN RWANDA. This is A good verse for your anointed team: REVELATION 19:5: [5]And from the throne came a voice that said, “Praise our God, all his servants, all who fear him, from the least to the greatest.”
Nakupenda sana maana unauwepo sana yaan unafariji sana na pia mwimbaji anaimba vizurii
13/11/2024 at 21:18 pm, let Glory be to almighty God
🔥 fire 🔥
Napata upako nkisikiliza nyimbo zako. Ubarikiwe Sana
Amina
Naupenda sana wimbo huu,
Utukufu kwa Bwana Yesu Kristo.
I like this song, this man has deep fire 🔥 for the ministry 🙏, one can feel it even when listening to the song,🔥, such a blessing, asante sana John Lisu kwa huu wimbo, unapendeza sana na umeguza moyo wangu, Hallelujah 🙌🔥💃
Yani nimeutafuta huu wimbo hatimae nimeupata... asante MUNGU Yani naupenda kupitiliza maana nikiusikia nahisi kulia
Glory and honor to our God, the maker and comforter
This man was a singer before the foundation of the earth.
In Pre mortal life he was commissioned to be a singer.
I agree with you, John Lisu is a legend
Mungu akubalikisana mtumish
Wastahili kweli Yesu Kristo,nakuamini!!
MUNGU wa mbinguni akubariki Sana akupe mafunuo zaidi ninaposikia nyimbo hizi nabarikiwa Sana zimeimbwa kiroho ndio maana zinagusa mioyo yetu
Powerful worship it doesn't fade in our hearts
Mfalme wastahili milele yote, Amina
Wastahili wewe bwana peke yako,twaliinua jina lako Yesuuuuuu 2021......... Oh Jesus i love you,praise the lord.
Nabarikiwa sana ninapo sikiliza wimbo huu
October 11 2024 wastahili Bwana
Glory to the King of kings. Almighty heavenly father
MUNGU wa mbinnguni Azidi kukubarikia Katika Kumwimbia Yeye, I was blessed with this Worship song👏🏼
Unastahil Jehovah shama Mungu wa milele
Am happy and blessed to listen such a nice song Yesu wangu wastahili .God bless u sana John Lisu .
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi kila ninapozisikiliza, na mara nyingi nikiwa na timu ya sifa na kuabudu naziimba na kupga kansan kwangu ubarikiwe Sana
nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu azidi kukuinua mtumishi🙏🙏
Mungu yupo nawew mtumishi amn
Amena, utukufu naheshima ni vyako Bwana, wastahili siku zote.
naipenda sn hii nyimbo nasikia bubujiko ndan ya nafs yng barikiwa john lisu
Hakika utukufu enzi mamlaka baraka ni az Yesu tu
Nyimbo nisioichoka ni nzuri mno
Ni tar 3 dec 2020 nasikiliza huu wimbo unanibariki sana
Ndio Bwana,waastahili🙌
23:48 pm on November 24th 2024
Barikiwa sana Lisu
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
I'm blessed with this song
Kweli unastahili Bwana
Hakika kaka Mungu akubariki izidi kutubariki kupotia uimbaji wako
24th November 2024 gonga like hapa ❤
Kweli kabisa utukufu na heshima ni za Bwana,,blssd
🙏🙏😭😭 hakika anastahili
Powerful worship. Keeps me anchored. Continue to minister in the grace of of God
Haleluyaa Wastahili MUNGU Mkuu
October 29, 2024 For Standard Seven Results. 🎉🎉🎉
Nabarikiwa sana na wimbo huu myumishi......Mungu akuinue zaidi
Mungu Hana mud 3:53 a ni yuleyule Jana leo hata.milele, 3:47
2024 ,August 23 Who is still listening
Hi from Kenya.Kindly is it possible to upload the whole concert.These wonderful anointed songs have changed my worship life.I first watched it in 2015 through a TV station called Hope FM.
Asante Mungu wastahili
Amen. Twakubudu Mungu
Who's here now..4/1/2022
we made it guys. 1.1.2021 🙏🏾🎆
😊😊😊 Ameen shalom sweet Israel 🇮🇱🇹🇿🙏
Tanzania 🇹🇿
Nimrkubali kwel juu ya wimbo huu
Unaweza yesu
This song is powerful ❤️
mungu akubaliki kwahuduma hyoo
Nabarikiwa mno na huu wimbo barikiwa
Glory to God.
Amen amen haleluya haleluya
Amina wastaili YESU
Mbarikiwe sana
Hallelujah
My always favorite song
Amen 🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
amazing
Be blessed brother John, God be with you forever.
Nice songs god bless you
Ameeeeeen Ameeeeeen
Ameen
July 26, 2024 who else is here
august 2 2024
Amen 🙏
Powerful
Sweatest song
2024
30th November 2024
🔥🔥📌
Good
Glory to Jesus 🙌
Amina
2020💪🏽
🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭
John lisu
Kwakwelii nyimbo zako zinanobariki be blessed
1Nyakati 29:11-13
Nabarikiwa sana na huu wimbo, Iam worshiping you God
Powerful
Amen