JINSI YA KUFUNGA MITA UNAYOWEZA KUWEKA UMEME MWENYEWE ( VENDING METER )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @brooeddy4242
    @brooeddy4242 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Teacher nimeelewa, ila swali langu, hapo kwenye output ya c/breaker,hapo ndio unaingiza input ya submeter.

  • @Elishakomba-o4g
    @Elishakomba-o4g ปีที่แล้ว

    Umeme utatok kwenye mita ya tanesco na c/ breker ndo imegawa pale inaenda kwenye mita ndogo na kwenye main switc ya mtumiaji mwingine uyu ambae ajanunua na yeye c atapata umeme kwa sababu umegawa kwenye laini moja?

  • @JaphetMrisho
    @JaphetMrisho 8 หลายเดือนก่อน

    Miter ya tanesco ikiishaa umeme kwngu itaendelea kuwaka kama kweny submiter yangu bado ina umeme?

  • @patrick04mirongo63
    @patrick04mirongo63 ปีที่แล้ว

    Good

  • @Elishakomba-o4g
    @Elishakomba-o4g ปีที่แล้ว

    Techer habari uo umeme unaamishaje kwenda kwenye mita ndogo? Alafu kwamfano wapangaji ni wawili mmoja kanunua na mwingine ajanunua sasa nilivokuelewa power ya mita ndogo zote zinatoka apo kwenye mita

  • @ShafiiKantinga
    @ShafiiKantinga 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka mawasliano tuongee vzr nipo dar

  • @Alto-th7dg
    @Alto-th7dg ปีที่แล้ว

    Mbona sasa umeme ukiisha kwenye Mita tanesko hadi kwenye submeter nayenyewe haiwaki kunashida gani apo

  • @StephanoMbuligwe
    @StephanoMbuligwe 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa Mimi ninayetumia MITA kuu umeme nilisahau kununuwa je na ukaisha MITA kuu Hawa wenye hiyo MITA umeme utawaka?

  • @SaidAbdalla-u5f
    @SaidAbdalla-u5f 11 หลายเดือนก่อน

    Vpi tunaweza kuipata iyoo miter na harama yake beii gani

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni Isolator sio Circuit breaker Mwl.

    • @engineertarimo7345
      @engineertarimo7345 ปีที่แล้ว +1

      Hata siyo isolator hiyo ni small change over switch

    • @StephanoMbuligwe
      @StephanoMbuligwe 3 หลายเดือนก่อน

      Noo ni change over iyo we icheki fresh jamaa kawekea mfano 😅

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 6 หลายเดือนก่อน

    Jèe,mnapatikana zanzibar?

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 10 หลายเดือนก่อน

    Haya majamaa kuhusu hili ni uongo utaagiza mpaka ukasirike huletewi

  • @SelemanMkumbwa
    @SelemanMkumbwa 7 หลายเดือนก่อน

    Je kama hao wapangaj wengine wawili Hawkshead MCB unafungaje

  • @kombohamad4201
    @kombohamad4201 ปีที่แล้ว

    Habar za wakat huu
    Teacher mtema
    Nina swali nauliza
    Ni sababu gani inanayo ifanya holder kuwa na moto wakati live wire Iko kwenye sitchwi
    Naomba jibu Kwa mtu yoyote
    Na njia gan nitaondoa Hilo tatizo

    • @samweltalamoi131
      @samweltalamoi131 ปีที่แล้ว

      Loose connection may be kwenye swtch au kwenye holder

  • @ombenmlelwa8441
    @ombenmlelwa8441 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim naitaji hii huduma
    Nahitaji kufungiwa na nipo dar

  • @AmosJoseph-bc7uc
    @AmosJoseph-bc7uc ปีที่แล้ว

    Mwalimu nakama kunawatu wawili na mmoja anataka kujitenga na wenzie ambae ni msumbufu inakuaje hapo mwalimu

  • @kassimomari5773
    @kassimomari5773 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @medytech9890
    @medytech9890 2 ปีที่แล้ว

    samahani mwalimu cc wengine wagumu kuelewa apo kwenye bodi umetuonesha mchoro wa watumiaji wenzake tu wa umeme sasa yeye aliyenunua mita yuko wapi hapo kwenye mchoro ? na unapoingiza umeme ktk mita kuu ya tanesko hadi uje uulete ktk mita yko ndogo si ndio utakuwa umeshapungua njiani kwanini usiweke moja kwnye moja mita ndgo ?

    • @ombenmlelwa8441
      @ombenmlelwa8441 ปีที่แล้ว

      Kwa Mimi ninavo ona unavo taka kuongza Ina takiwa uzme kwanza kwenye soket beka haf ndo uanze kuingza

  • @edikiumbe7391
    @edikiumbe7391 2 ปีที่แล้ว

    Asante mwalim Tumrkupata Na Tunakuelewa Vyema je? Hii mita Inayoweja umeme Au Submiter Hua Haziusiani Na TANESCO AU ZECO?

    • @darasalaumeme7421
      @darasalaumeme7421  2 ปีที่แล้ว

      Hii inahusiana na Tanesco

    • @edikiumbe7391
      @edikiumbe7391 2 ปีที่แล้ว

      @@darasalaumeme7421 sawa

    • @edikiumbe7391
      @edikiumbe7391 2 ปีที่แล้ว

      Mwalim Kwa Nilioelewa Hii Ufungaji Wake Hauna Tofauti Na Vile Ulivotufundisha Kufunga SUB MITER

  • @KondoJuma
    @KondoJuma 11 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji mita ya chumba kimoja

  • @SilimamwadiniFaki-l1f
    @SilimamwadiniFaki-l1f 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu hii mita inauzwa kiasi gani

  • @NOTIRASHIDI
    @NOTIRASHIDI 4 หลายเดือนก่อน

    Vp wao wakinunua umeme kwenye iyo mita pandikizi ww usipo lipia kwenye miter je si utakua una waibia kwani umeme wote unao nunuliwa lazima upitie njia kuu !?

  • @kassimomari5773
    @kassimomari5773 2 ปีที่แล้ว

    Upo vizuliy

  • @allyiloko5242
    @allyiloko5242 11 หลายเดือนก่อน

    Bei gan

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 ปีที่แล้ว

    Nikiwa sina matumizi makubwa ya umeme nikitumia hii sub mita na wale wengine wenye matumizi makubwa ya umeme nn kitatokea

    • @denisrukangula2227
      @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

      Wale wenye matumizi makubwa umeme kwao utaishi na utaisha ila kwako hauishiiiiii

  • @eddababy9734
    @eddababy9734 ปีที่แล้ว

    Mbona unit zinabaki kwenye meter kubwa hata ukiamisha kwenye iyo ndogo zinatumika kama kawaida au ndivyo ilivyo

  • @kombohamad4201
    @kombohamad4201 ปีที่แล้ว

    Habar za wakat huu
    Teacher mtema
    Nina swali nauliza
    Ni sababu gani inanayo ifanya holder kuwa na moto wakati live wire Iko kwenye sitchwi
    Naomba jibu Kwa mtu yoyote
    Na njia gan nitaondoa Hilo tatizo

  • @ombenmlelwa8441
    @ombenmlelwa8441 ปีที่แล้ว

    Mwalim naitaji hii huduma
    Nahitaji kufungiwa na nipo dar