Thanks for that guide teacher but i just have one question for you sir, have been following your tutorial teachings but unfortunately i don't understand kiswahili so i wanted to ask if an already used power sub metre can be reset back to 0000.0KWT and how?
mungu akubariki sna ila teacher mm nina swali je kma wapangaji wake wako zaidi ya 3 najuwa kila mmoja lazima awe na sub metre yake je kila moja atatumia mcb yake au mcb moja wanaweza kutumia wote 3 ukaunga tu wire zote tatu hebu teacher nieleweshe hapo nielewe
Mwalimu unakuta nyumba nyingine wayaringi yake zinajitegemea kama taa waya 1.5 na soketi 2.5 chumba kimoja zimeingia saplai 2 ya taa na soketi inakuaje hapo mwalimu?
Allah akubaliki, niwachache sana wenye Moyo wa kutoa walichonacho katika akili na kuweza kusaidia wasiyonacho, Mungu Akulipe kila la kheri
Nimeelewa sana mungu atakulipia
Hapo umetolea mfano wa taa,je kama kwenye chumba kuna supply ya taa na socket hujaerezea hapo umeonyesha supply ya taa tu
Najifunza mengi kupitia darasa lako mungu akubariki Teacher
Thanks so much for the guide I hope to be a professional one day too
Very interesting
Nakusoma vizuri sana teacher kinyama
You are the master
Asante sana mwalim
Thanks so much Teacher
Asante Sana mwalim mtema nimepata elim nilikuwa sjui kabisa
Thanks for that guide teacher but i just have one question for you sir, have been following your tutorial teachings but unfortunately i don't understand kiswahili so i wanted to ask if an already used power sub metre can be reset back to 0000.0KWT and how?
Nakubali sana teecher🙏🙏
mungu akubariki sna ila teacher mm nina swali je kma wapangaji wake wako zaidi ya 3 najuwa kila mmoja lazima awe na sub metre yake je kila moja atatumia mcb yake au mcb moja wanaweza kutumia wote 3 ukaunga tu wire zote tatu hebu teacher nieleweshe hapo nielewe
Thanks bro 💪🤝nimeelewa
Safi nimekuelewa teacher
Asantee sana ticher japokua mwaka umepit nlichelew kujifunza lakin nmeelewa
Respect bro umenipa kitu
Mungu akubariki bro
thanks bro
Safi teacher
Kuna tofauti ya submeter na separation meter??
So how do you know that one whole unit has been used?
Hapo umeme unawekaje upate unit zako
Thanks 👍 although kiswahili is a problem to me but at least have picked idea
Ahahaha et kiswahili is a problem for you
bei gani hio mita
Asante Mwalimu.
Asante kwa SoMo hili
Kaz mzur
Mimi ni fundi umeme lakinihapa nazidi kujiongezea maujuz
kaka somo lako naliewa sanaaa
mwalimu inamana dizaini yamita hiyo zote zina someka hivyo kwenye kufunganisha waya
kazi poa
Earth kutoka kweny main switch inafungwa wp kwenye sub meter
Kwa mfano chumba kina saplaya mbili ya swich sorket na taa unafanyaje kwa mfano
Kama kweli vile kumbe matapeli tu watu hawana kazi za kufanya
How do you read the metre
Teacher hapo nimeluewa ila kama kuna feni na fridge je hapo inakuwa je.
Safii
nayipenda mayelezo yako sir
Hapo kwa 3 phase naomba utengeneze video nyingine nielewe
Hearth yake inapita moja kwa moja?
Asante sana
Kama kwenye chumba chake zimekuja waya mbili tofauti unafanyeje mfano wa taa peke yake na WA redio peke yake
Km au kwh?
Mwalim mm sio fund umem Ila nawez kufung sub miter kutumia daras lako Asante san
Mimi wakwanza nakukubali sana
Mwalimu,nauliza kama Kuna jinsi ya kutumia short cut ili submeter isisome🤔
😂😂😂 Daaah unataka kukomoa wapangaji 🤔
Maisha marefu kaka
Nauliza je kama nyumba ya mteja ina waya wa 4mm² (jiko) 2.5mm²(socket) na 1.5mm² tunapataje input ya kwenye sub mita
hapo sasa🤔
Hata mm nilitaka kuuliza swali jama hilo
Hellow
Vp unawez kufunga kwa nyumba nzima sub meter
hio ya kusoma umeme 2 au nakuweka umeme
Sikupingi tcha
Mwalimu unakuta nyumba nyingine wayaringi yake zinajitegemea kama taa waya 1.5 na soketi 2.5 chumba kimoja zimeingia saplai 2 ya taa na soketi inakuaje hapo mwalimu?
@@darasalaumeme7421 tunafanyaje hapo?
Nimeuliza cjajibiwa
Nauliza je kama nyumba ya mteja ina waya wa 4mm² (jiko) 2.5mm²(socket) na 1.5mm² tunapataje input ya kwenye sub mita
Teacher iyooo naiyona zerooo kilometer 👍nimeelewa somo teacher mungu akubariki
@@darasalaumeme7421 It's ZERO KiloWatt, Mwalimu from Kenya apa au vipi, TZ ni KILOMETRE/
Ubarikiwe sana kaka
Kwn huwez kufung sub miter kwanyumb nzim
unaweza kuunga nyumba nzima