mwl Mtema na swali, ukifanya wayaring ya matimiz ya tanesco na solar je zile balbu za umeme wakawaida ni lazima uzibadil? au tumia balbu hizo hizo za kawaida
Mwalim nimekupata vizur, lakin swali langu nikwamba...nitakapo toa L/N nikaipeleka moja KWA moja kwenye main switch, kisha nikaingiza kwenye change over, ..hapo inakubalika mkuu.??
Niko sawa mwalimu
mwl Mtema na swali, ukifanya wayaring ya matimiz ya tanesco na solar je zile balbu za umeme wakawaida ni lazima uzibadil? au tumia balbu hizo hizo za kawaida
Asante tutaelewana naweye kabisa.
Sawaa teacher
Ok,sasa naomba unisaidie hapa Unapanel 6 za wat 200 charger controla zuri ni Amp ngapi,
Nanikitumia betree 6 za N 120 nisahihi au nakua nimechemka?
Niko controller ampia 10 sorla w20 better n 9 ila kwenye USB haichaji sm
Mwalim nimekupata vizur, lakin swali langu nikwamba...nitakapo toa L/N nikaipeleka moja KWA moja kwenye main switch, kisha nikaingiza kwenye change over, ..hapo inakubalika mkuu.??
Asalam alaykum nauliza tukitumia charle control tunaweza kutumia vifaa vya ac bila ya inveter inawezekana
Nakama battery iko full na humalizi ata masaa 2 huwa shida iko wp?
Nimekupata ticha🙏
Je nikiwa na Watta 30 nitumie betri ya n ngapi? Na controlla nitumie ya ukubwa gani
Kubwa ya mwisho n Ampia ngap
Kunamazara ya kutumia tv bila inverta yan dairect
Ndio mazara makubwa
Nekufaham vizr
Sehemu ya pili na ya tatu nimeisubiri
ticha unaeleweka ila me chaja control yangu imeungua ata sielew
UKIWA NA PANEL WATT 50 INATAKIWA KUNUNUA CHAJA CONTROL AMPIA NGAPI?
Hakuna kama Simba Mnyama. Nitakupigia baadae niconfirm charger controller yangu.
😂😂😂😂
Nini kazi ya hizo terminal mbili (LOAD) na kwanini zipo hapo?
Apo sasa nimekuelewa ila kweny yanga sasa ndio timu bora kaka 😂😂😂