Ninaomba kujua hapo kama hiyo waya ya niutro na earth rod zinaumeme , huoni kama ukiunganisha utakuwa umeshort circuit? na hapo itasababisha umeme kuisha haraka bila sababu?
@@richardernest2249inatrip pia kutokn muunganik wa earth na neutral so il upate ubora earth lazm u disconect hio earth lead, so hp ch kueleea anatest system earty
ndio lazima utembee itakuwa live yko ni ule wire wa earth na neutral yko itakuwa chini ya earth road so ukisaplan lamp zitawaka haha socket pia itafnya kzi iwapo utaweka mcb yenye uwezo
je ukipigwa na choti kupitia taa ambayo haina waya wa earth rod madhara yatakuwa ni makubwa kiasi gani na earth itakusaidiaje hapo kwenye taa na wakati waya wake haupo hapo kwe horoda
Hapo nimekuelewa boss wangu uko vzr.
Umetisha kiongozi asante mimi ni bonge la fundi
Asante Sana nimekuelewa sanaaaaaaa
Je ukiona unaunga ivo afu ndani ndani saket break ina zima shida nini mwalimu
Kweli kabisa kaka
Mkuu, naomba kufahamu vitu vifuatavyo...
1. Earth Leakage
2. Earth Resistance
naitaji kujua zaidi mambo kuuhusu umeme
Hiyo ya kuchanganya earh na nutro huwa tunaita urop system lkn je ikitokea phese imechanganyika nutro imepokea phase na phase imepokea nutro itakuje?
Ninaomba kujua hapo kama hiyo waya ya niutro na earth rod zinaumeme , huoni kama ukiunganisha utakuwa umeshort circuit? na hapo itasababisha umeme kuisha haraka bila sababu?
Naona km una voltage na current kwe earth itakua ni earth leakage kitu ambacho hakitaki sasa sijaelewa hapa
Nilishawahi kufanya test hiyo matokeo yake nilikuwa nikiweka bulb inatrip shida nn tena
Inakua eth mbovu sio orijino
Ah sio kwel inategemea pia uwiano hio breaker
@@richardernest2249inatrip pia kutokn muunganik wa earth na neutral so il upate ubora earth lazm u disconect hio earth lead, so hp ch kueleea anatest system earty
Kweli kabisa
Hey
Hio nikwamuda gan ukishafnya mchanganyiko au unatakiwa ukae muda gan baada yakuchanganya
Sasa Kama nikichukuwa nyutro chin umemekatika Mita unatembeya
ndio lazima utembee itakuwa live yko ni ule wire wa earth na neutral yko itakuwa chini ya earth road so ukisaplan lamp zitawaka haha socket pia itafnya kzi iwapo utaweka mcb yenye uwezo
Vp kuhusu earth lod isio kopa halis
Ukifanya hivyo brk waga inajizima taa ikiwaka2
Sasa hapo ukiwa umechimbiya chuma tupu au ukachimbiya waya taa c laxima I wake mkuuu
Je hyo waya iliyokwenda kuchukua umeme kwenye msb je baada ya kufanya testing ya earth waweza kuitoa kule kwenye msb au inabaki pale ple kwenye power
unaitowa unaiweka kwenye sehemu ya yake iliyoandikwa earth au E kwa sababu ukiiyacha palepale circut break ita trip sawa
Ukifanya hivyo kwa mita za kisasa inatempere
Naswali kwanini Earth inakua namoto mwenye soketi?
mwalim vp nkiunga hivyo kwa ndani
Mwalimu nataka kujiunga ili unielekeze vizur
nmekupata kaka njema sana nmehifadhi kitu
je Earth inazuia radi
Naomba kuuliza nilazima waya wa Earth lazima ui connect kwenye mcb
Kwanini Earth kwenye soketi inakua na umeme
Hey
ndo kazi yake kiongozi
@@creationpowertv4331 nilazima kwa sabbu kwenye mbc ndipo panatoka power na ndio lazima kuweka waya wa earth ilimradi ujuwe earth road yko iko poa
je Earth inaweza kuzuia radi
je ukipigwa na choti kupitia taa ambayo haina waya wa earth rod madhara yatakuwa ni makubwa kiasi gani na earth itakusaidiaje hapo kwenye taa na wakati waya wake haupo hapo kwe horoda
@@mchungajisingano7218 kma circut break ipo bc madhara hayatokuwa makubwa sana ila kma circut break mbovu au haipo madhara yke ni makubwa sna
Umetisha