DKT. YAHYA NAWADA ANAYETUHUMIWA KULAWITI AACHIWA KWA DHAMANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda amefikishwa katika mahakama ya mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka namba 1883 la mwaka 2024 la kulawiti.
    Aidha Mahakama imemuachia huru Nawanda baada ya kukidhi masharti ya Dhamana katika shitaka la kulawiti lililokuwa linamkabili.
    *
    Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น •