#MEDANIZASIASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 34

  • @paschalsoli5988
    @paschalsoli5988 17 วันที่ผ่านมา +1

    jamaa yuko very smart na very calm

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kikeke amepotea, Odemba the best IQ

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 18 วันที่ผ่านมา +3

    😅😅ILA. ODEMBA BWANAAA UKIINGIA KWENYE ANGA ZAKEE. UJIPANGE HASWAA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼ODEMBA

  • @zuberimsemo5377
    @zuberimsemo5377 18 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani Odemba ni zaidi yani kachero anakuhoji unajikuta umetoa kauli mbili tofauti bila kujua

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 18 วันที่ผ่านมา

    Odemba please🙏, tuletee shangazi fatma

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 19 วันที่ผ่านมา +1

    Leo umeongea vyema sana safi sana bro

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 18 วันที่ผ่านมา +1

    Odemba 🎉🎉🎉

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 18 วันที่ผ่านมา

    Amwache mwamba Mwabukusi
    CCCM hao wanazingua sana

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 17 วันที่ผ่านมา

    Sweetbert unapata taabu sana kujibu maswali kuhusu udhalimu unaofanywa na chama chako. Na hataweza kukitetea chama chako kina madudu mengi mno

  • @charlesjishuli4355
    @charlesjishuli4355 19 วันที่ผ่านมา +2

    Ushindani ni kampeni; lakini Ushindi ni mbinu.

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 17 วันที่ผ่านมา

    Uhuu ulikuwa wakati wa mwabukusi

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa so humble like it's

  • @ibrahimmarwa2638
    @ibrahimmarwa2638 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mwabukusi ni mwamba sana he deserves, sweetbert hekima kubwa wote mefanya vyema.

  • @NatashaJonhson-es8si
    @NatashaJonhson-es8si 8 วันที่ผ่านมา

    hutuhitaji mawakili wa ccm mimachawa

  • @PeterKajana
    @PeterKajana 18 วันที่ผ่านมา

    Tls haiipend ccm ukionekana tu unauhusiano na ccm sio rahic kupenya karibia chaguz nyingi sana

  • @yosiaangumbwike2822
    @yosiaangumbwike2822 19 วันที่ผ่านมา

    🔥 ❤

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mtambue usiwe mjinga kwa kushindwa. Wewe uripigwa kisa ccm

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu fundi kampa ushindi Mwabukusi kuwatetea wamasai ungeshinda wewe usingethubutu kwenda mahakamani kuwatetea Mungu ana makusudi kwa wana wake

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 17 วันที่ผ่านมา

    Hizo figisu za uchaguzi mliratibu wenyewe wana CCM kwa lengo la kukubeba wewe mwanaccm sema tu ilishindikana.

  • @charlesjishuli4355
    @charlesjishuli4355 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ndg zangu, ushindani ni kampeni; lakini Ushindi ni mbinu.

  • @sashawambura
    @sashawambura 19 วันที่ผ่านมา +1

    Odemba sijakuelewa!!,? Kwanini hujamuuliza mantiki ya mwanachama kuchaguluwa nje ya mfumo rasmi wa maamuzi ya wanachama!!!?? Kama ndivyo hakuna haja ya kua na mchakato wa awali wa wanachama kumpigia kura awaye yeyote wanamtaka..kama chama kina maamuzi ya mwisho nje ya mchakato rasmi..hakuna democracy

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 19 วันที่ผ่านมา

    Nenda mahakamani ulitegemea nguvu ingine isiyo yako, maana hukujua kwenye ushindani kuna mshindi

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 19 วันที่ผ่านมา

    Kwamba jaji akila kiapo anaweza akahikumu kesi ya baba yake na tuamini hatakuwa na upendeleo? Serious?

  • @saadune
    @saadune 18 วันที่ผ่านมา

    It's good this guy never won TLS presidency, on issue of ngorongoro hes just beating arnd the bush scared to tell it as it is....

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sweetbet nakukubali sana japo mimi shabiki wa Bonface mwabukusi,subiri akitoka mwabukusi tutakupigia kampeni nawe uwe rais wa TLS.

    • @remigioushofa2817
      @remigioushofa2817 18 วันที่ผ่านมา +2

      Kumbuka huyo ni CCM

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 18 วันที่ผ่านมา

      Kuwa ccm zambi?

    • @remigioushofa2817
      @remigioushofa2817 18 วันที่ผ่านมา

      @@OscarKasalile maelekezo tatzo

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 18 วันที่ผ่านมา

      Matatizo yote ya nchi hii kwa sehemu kubwa yamesababishwa na ccm, sasa kama unapenda huyo mwanaccm ashike madaraka TLS basi na wewe utakuwa ni sehemu ya wasababishaji wa matatizo.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@OscarKasalile CCM ni janga la Tanzania

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 19 วันที่ผ่านมา

    Switii ni chawa

  • @yosiaangumbwike2822
    @yosiaangumbwike2822 19 วันที่ผ่านมา

    Sweetbert he is smart guy

    • @sashawambura
      @sashawambura 19 วันที่ผ่านมา

      He is utterly not, na bado mchanga sana kwa siasa..just follow the questions and how he replies..!!! Bado sana

    • @hollymore4904
      @hollymore4904 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@sashawamburai agree with that