ulipofikia ujenzi wa Bomba la mafuta uganda hadi Tz eacop mambo yameiva

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @tysonmwiwa7341
    @tysonmwiwa7341 8 หลายเดือนก่อน +3

    Honestly speaking, Total energies are the biggest beneficiary of these project, 62% shares and Uganda the owner 15% surely

  • @richardelmas11
    @richardelmas11 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Afrika ni tajiri

  • @KELVINSOSPETER
    @KELVINSOSPETER 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi iendelee

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na sisi tutafika insha allah

  • @MlingwaPeter-vs9st
    @MlingwaPeter-vs9st 7 หลายเดือนก่อน

    Mjitahid tanzania maishamagum upande wanishat

  • @WilbertWilliam-n3q
    @WilbertWilliam-n3q 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimtazania namba kazi ya dreva najua kuendesha naninauzoefu wa kazi iyo

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwann tusisafishe wenyewe

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 7 หลายเดือนก่อน

      Sisi KILA kitu hAtuwezi mpaka watu weupe watusaidie

  • @JosiaWmela
    @JosiaWmela 7 หลายเดือนก่อน

    Wazungu wafie mbali

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaha Waafrica vichwa vya samak

    • @MohammedAwadh-gq9si
      @MohammedAwadh-gq9si 6 หลายเดือนก่อน

      Yaani hapo umemchanganya na Mama yako sliyelea mimba kwa muda mreeefu mwishowe akakuzaa na taabu zote mwisho umemdharau umemtukana nk sasa tutakutazama utakavyoenenda !

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 8 หลายเดือนก่อน

    Watuache. Miradi inapokuja Africa, ndio wanakumbuka mazingira. Huko kote wanako chimba na kusafirisha mafuta au madini aina nyingine hakuna mazingira?

  • @dennismongare6352
    @dennismongare6352 7 หลายเดือนก่อน +1

    Blind game watu wanaanza kutumia magari za umeme halafu sasa mafuta itaenda wapi

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 7 หลายเดือนก่อน

    Duuu

  • @abushirimbwana2942
    @abushirimbwana2942 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bado sijaelewa. Tunasafirisha mafuta ghafi kwenda soko la DUNIA halafu tuje tununue mafuta yaliyosafishwa kutoka nje!!!???. Mbona sioni mpango wowote wa kusafisha mafuta ndani ya East Africa??? Nadhani ni Jambo jema yasafishwe kwa soko la ndani. Ni mawazo tuu. Unalima mihogo, unaiuza unaenda kununua chips dume😢😢😢

    • @philemonniyoyandemye4942
      @philemonniyoyandemye4942 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kwa sababu Afrika tungali katika ukoloni.
      Ili tuweze kujenga kiwa cha kusafisha mafuta ( oil refinery) lazima Marekani au Ulaya watoe ruhusa kwanza.
      Kama hawataki, hatuwezi kujenga

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 8 หลายเดือนก่อน

      Kama sijakosea, Uganda itajenga kiwanda/mtambo wa kusafisha mafuta.