Lava Lava - Nitake Nini (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025
  • Sms SKIZA 8544629 to 811 to set as your SKIZA tune
    For Bookings: Contact +255652427989 Email:ricardomomo70@gmail.com
    Follow Lava Lava On:
    Instagram:www.instagram....
    Facebook: / iamlavalavapage
    Twitter: ia...

ความคิดเห็น • 2.1K

  • @gregoryndanu3541
    @gregoryndanu3541 10 หลายเดือนก่อน +69

    Kenya mliopo hapa 2024 tujuwane kwa malikes😊

  • @florencekyalo4137
    @florencekyalo4137 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashairi ya lava lava huwa yameweza mbaya tu

    • @shabinirempire254
      @shabinirempire254 หลายเดือนก่อน +1

      sida tu ninyota tu ana ilakazi zake ziko safi sana

  • @mariamgracendunge8070
    @mariamgracendunge8070 4 ปีที่แล้ว +64

    Still..soothes the heart...wapi like za wakenya....🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sheilamukah6399
    @sheilamukah6399 4 ปีที่แล้ว +86

    Kwanza
    Kakuzidi maarifa
    Mpira tisini dakika
    Nyavu anazitikisa aye!"
    😍😍

  • @smartkiddkenya2006
    @smartkiddkenya2006 6 ปีที่แล้ว +142

    KENYA,Nairobi🇰🇪🇰 🇪....Mpo Wapii...??.Gonga Like hapa na sike ya nyimbo 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 6 ปีที่แล้ว +146

    Kama unamkubali lavalava ni mkali kuliko alikiba nipelike hapa £££££ nice song from USA 🇺🇸

    • @alhaydos1051
      @alhaydos1051 6 ปีที่แล้ว +2

      Usimfananishe king kiba na lavalava, hawezi mfika king kiba

    • @thenextmvp8568
      @thenextmvp8568 6 ปีที่แล้ว

      alhaydos 10 bro acha ushabiki lavalava na mzidi kiba kila kitu kimsiki ila kiba kamzidi tuzo nyingi tu ila lavalava ni fire 🔥

    • @alhaydos1051
      @alhaydos1051 6 ปีที่แล้ว +2

      @@thenextmvp8568 lavalava bado mtoto mchanga, usione chuwii amenyeshewa ukadhani ni paka

    • @thenextmvp8568
      @thenextmvp8568 6 ปีที่แล้ว

      alhaydos 10 lavalava ndo mkali kuliko kiba

    • @alhaydos1051
      @alhaydos1051 6 ปีที่แล้ว

      @@thenextmvp8568 hiyo haiwezekani king kiba ndio mnoma sana

  • @gmuthee9919
    @gmuthee9919 6 ปีที่แล้ว +51

    Sitaki Madanga wa Mjini...Kwingine nitake Nini....Hapa kenya video naipokea vizuri....Great song,Simba naipenda sana.

  • @monasaid73
    @monasaid73 6 ปีที่แล้ว +207

    Nilikua naisubiria hio video kwahamu samu Sana safi Sana lavaboy kama wakubali hii video like hapo chini twende Sare minawe

    • @salmadonne6327
      @salmadonne6327 6 ปีที่แล้ว +3

      Sawa like nishakupa😂😂😂😂😂

    • @refyd_tz2286
      @refyd_tz2286 6 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/_Y2Y3_rlTbgp/w-d-xo.htmlor favor inscreva-se Subscribe to my channel

    • @monasaid73
      @monasaid73 6 ปีที่แล้ว +2

      @@salmadonne6327 😁😁😁😁

    • @monasaid73
      @monasaid73 6 ปีที่แล้ว

      @@refyd_tz2286 mbona

    • @chinyobijoga3006
      @chinyobijoga3006 6 ปีที่แล้ว +2

      Mona Said 😂😂😂😂😂

  • @laurenkalonga2286
    @laurenkalonga2286 4 ปีที่แล้ว +4

    Ananipa mapenzi nakunijali diary katika kundi LA WCb unaua na mbosso katika nyimbo zampenzi tupo nanyi Bengal kwabega lLove you so March

  • @ishrahsayeed6023
    @ishrahsayeed6023 5 ปีที่แล้ว +166

    lavalava uko poa.
    jamani na mie naomba like zenu .
    mpaka mdogo wng ananicheka.

  • @judithpeter1174
    @judithpeter1174 6 ปีที่แล้ว +67

    Wimbo mtamu kama unakubaliana na mm gonga like twende sawa

  • @raihanaabdulkareem7747
    @raihanaabdulkareem7747 6 ปีที่แล้ว +69

    Nitake nini mieee nyimbo tamu naikunia nazi kabisaa,naomba nikubusu lavalava nishaiweka status wasapu likes kama zote

  • @shasaliplatnumz8091
    @shasaliplatnumz8091 6 ปีที่แล้ว +24

    kijana hatari sana Mr love bitter nimeamini lavalava we zaidi ya makonki konki konki master ongeza spidi kijana

  • @mary_angel9467
    @mary_angel9467 ปีที่แล้ว +10

    His voice 😢😢😢❤❤❤ 2023 🔥🔥
    Kisses from Angola 🇦🇴

  • @ntamkizaathman5706
    @ntamkizaathman5706 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Lavalava anajua kutunga sana tatizo hana merody yani nyimbo zake merody zinafanana,wamshauri awe mbunifu

  • @rickyarun8309
    @rickyarun8309 6 ปีที่แล้ว +57

    Anyone else watching from Mombasa 🙌🙌✋......

    • @RamboSpid
      @RamboSpid 11 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @Ombwori_11
    @Ombwori_11 6 ปีที่แล้ว +31

    Wa kwanza kuwatch na Kucomment toka KENYA 🇰🇪🇰🇪, wapi likes 👍👍

  • @sharifaismail1936
    @sharifaismail1936 6 ปีที่แล้ว +133

    If u feel lavalava is doing so good in Tz music just like down here 😍😍with love from Uganda 🇺🇬 to Tanzania 🇹🇿

    • @nabsgilo4896
      @nabsgilo4896 4 ปีที่แล้ว +1

      It's agreat feeling coming from these guys from the seem continent

    • @mukisaalfred2251
      @mukisaalfred2251 4 ปีที่แล้ว +1

      Tanzanian in Uganda 🎵🎵♥️♥️♥️♥️

    • @hafiznoor8884
      @hafiznoor8884 4 ปีที่แล้ว

      Team Bongo straight outta Ug🇺🇬

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 4 ปีที่แล้ว

      Yas we baaaale Tanzania.

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 4 ปีที่แล้ว

      True

  • @veronicakimaro7554
    @veronicakimaro7554 4 ปีที่แล้ว +4

    Mhh, wale tunaoendelea kuenjoy muzki mzuri , tujuane plzzz 2021

  • @gathungacollins850
    @gathungacollins850 5 ปีที่แล้ว +19

    ''Nilitake nini" tena kama sio Ngoma tamu kutoka kwa Msanii mkubwa Lava Lava... Bro uko saaawa saaawa....👍🏾👍🏾

  • @rickyarun8309
    @rickyarun8309 6 ปีที่แล้ว +35

    +254 ...weka ishara kama unamkubali lavalava katiisha apa 🔥🔥🔥

  • @binbad4691
    @binbad4691 6 ปีที่แล้ว +188

    Wapi Kenya ww nipe like kama uko Kenya unasikiliza hii ngoma

  • @fikirirevocatus6626
    @fikirirevocatus6626 6 ปีที่แล้ว +371

    Jaman na mm Leo naomba like nimewahi na bdo lenyewe la nipige tafu😀😀

  • @GeorgeNjoroge-mj4ly
    @GeorgeNjoroge-mj4ly 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ngoma tamu hadi leo😊

  • @mahmoudally3906
    @mahmoudally3906 5 ปีที่แล้ว +13

    Hii nyimbo ni hatari. Mwaka mzima narudi hapahapa kila wakati.

  • @HafizOnlineTz
    @HafizOnlineTz 6 ปีที่แล้ว +115

    Hii ngoma kaliii sana
    kama unamkubali lava lava Gonga like twende sawa

  • @onesmonderero648
    @onesmonderero648 6 ปีที่แล้ว +32

    Noma saaanaaaa wa 10 kuitazama hii videooo bonge moja la kideoooo

  • @mathiasrobert5533
    @mathiasrobert5533 6 ปีที่แล้ว +13

    itanibid tu nimkubali jamani nilikuw team kiba leo najiunga rasmi na haw watu naomba mnipokeii jamanii

    • @ahmedzicco6584
      @ahmedzicco6584 6 ปีที่แล้ว

      Mathias Robert karibu usafini

  • @AlvinFwosi
    @AlvinFwosi 3 ปีที่แล้ว +11

    I'm sorry Tanzanians but this guy is Kenyan!!! Just seen his birth certificate. Great music!!!! Much love from the +254

    • @paulomroki1979
      @paulomroki1979 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁😁😁

  • @reymakessy213
    @reymakessy213 6 ปีที่แล้ว +6

    bonge la ngoma yan unanpaga raha ww,,ujawahi kosea bro,,,kwingne ntake nn,,,,,,Team lavalava em gonga like hapa

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว +17

    Wakenya yothe mikono juu lava lava kawasha moto haha zubaha uachwe na gari

  • @Madness_leahcim
    @Madness_leahcim 6 ปีที่แล้ว +173

    From kenya 🇰🇪 +254 please nipee like

  • @salimsaleh6587
    @salimsaleh6587 6 ปีที่แล้ว +68

    Representing 254🇰🇰🇪🇰🇪 much ❤ bro tunakukubali snaa

  • @blessingbeloved1149
    @blessingbeloved1149 6 ปีที่แล้ว +45

    Ugandans in the house 💝💞💃💃💃
    Good music is life ❤️

  • @or832
    @or832 2 ปีที่แล้ว +35

    Love this song even though i dont know the language. Jamaica👍

    • @knyghtryder3599
      @knyghtryder3599 2 ปีที่แล้ว +3

      Study up cuz

    • @yasminmwangi9594
      @yasminmwangi9594 2 ปีที่แล้ว +2

      It's kiswahili from East Africa

    • @vikisneakers
      @vikisneakers 2 ปีที่แล้ว +4

      In a nutshell he is saying he will fight for his girl, since another cannot satisfy what she offers him and whatever she needs he will give her. Its a beautiful song man

    • @Star_shine2
      @Star_shine2 2 ปีที่แล้ว +1

      @@vikisneakers
      I'll

    • @maureenkathambi1459
      @maureenkathambi1459 ปีที่แล้ว +1

      Come I tell you

  • @professorabdullah2300
    @professorabdullah2300 6 ปีที่แล้ว +75

    Hii nyimbo mbona inanishangaza. Mbona like ninyingi kuliko viewer nini tatz jamn

    • @iddmaulid7690
      @iddmaulid7690 6 ปีที่แล้ว

      Viewers huwa haiupdate instantly bro ila like or dislike hvyo znaupdate instant kwa maelezo zaidi nitafute 0712586885

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 6 ปีที่แล้ว +47

    Wa *kwanza* Hapa *Bonge ya nyimbo* Kama unamkubali Lava Lava Like Hapa 🙌🙌🙌

  • @erickbalisdya5197
    @erickbalisdya5197 6 ปีที่แล้ว +23

    Chama WCB kama Mimi nipe like apo ,,,,michezo ya kusaka kunguni Tommy na jerry cartoon

  • @modelricky5949
    @modelricky5949 4 ปีที่แล้ว +9

    If u r still listening to this just give it a like

  • @salumumohamed4532
    @salumumohamed4532 ปีที่แล้ว +2

    This is Lavalava I know. The real vocalist of mine. Nice songs

  • @officialmkalitv5205
    @officialmkalitv5205 6 ปีที่แล้ว +13

    I'm from America 🇺🇸 I don't understand Swahili language. Lakini Kwa Hii wadau mpeni like zake lava lava

  • @cedricnitunga468
    @cedricnitunga468 6 ปีที่แล้ว +121

    mwaka huu WCB hawatupi na fasi ya kupumua.. yani wang'ang'ania na fasi yao ya kwanza

  • @atimnedibae9555
    @atimnedibae9555 6 ปีที่แล้ว +14

    Love u from Las Vegas 💓💓💓💓🙏🙏gonga like hapa kama unampenda lava lava

  • @lucynyoike9631
    @lucynyoike9631 6 ปีที่แล้ว +4

    Kama wewe ni mkenya na umeupenda wimbo wa Bro lava pinga like hapa👍👊

  • @donatenyoni2682
    @donatenyoni2682 4 ปีที่แล้ว +2

    So lovely lavalava anaimba Hadi unalala kabisa ,jomon Kuna watu wamejaliwa vipaji

  • @petermaina8063
    @petermaina8063 6 ปีที่แล้ว +9

    Lava lava the hit maker back on it again, moto sana, Fire department should deal with you. This is too much. Gonga like kwa SUPERSTAR LAVA LAVA.

    • @priscafanuely1832
      @priscafanuely1832 6 ปีที่แล้ว

      peter maina quality video🔥🔥🔥🔥

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 6 ปีที่แล้ว +9

    Nikisema nitakua wa mwanzo😂🤣😄😍😍😍👌... #nitake nini.. nang'ang'ania❤❤

  • @Archivetv12
    @Archivetv12 6 ปีที่แล้ว +6

    Mr love bite tishaaa sana wapili kucoment

  • @cynthiasyokau9701
    @cynthiasyokau9701 2 ปีที่แล้ว +28

    His voice is no another level 🔥🔥🇰🇪

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa huimba vzur sana.kwanza kwa hisia

  • @sultanvdeo4996
    @sultanvdeo4996 6 ปีที่แล้ว +18

    Wakwanza mm- kama unamkubali Like apa twende sawa mambo ni 🔥🔥🔥

  • @godfreyngonyani6682
    @godfreyngonyani6682 6 ปีที่แล้ว +6

    Naisi kutendewa kila ulichokiimba hahaha lavalava bwana mahaba unayajua bwana ,,,imenigusa

  • @africaredefined2750
    @africaredefined2750 6 ปีที่แล้ว +15

    Lavalava anaweza kuniibia girlfriend akifungua tu kinywa...waKenya tumekuaccept💯

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mtaka chauvungu sharti ainame inama kaka akisema chanini tupo tunaosema tutakupata lini

  • @SchaksSpear254
    @SchaksSpear254 2 หลายเดือนก่อน +4

    2024 here we are *Tukipata heartbreak tunakuja huku 😢😮😮

  • @samirmoilo3097
    @samirmoilo3097 6 ปีที่แล้ว +23

    First comment from comoros 🇰🇲

  • @ummykurthumu9058
    @ummykurthumu9058 2 ปีที่แล้ว +3

    Nang'an'gani nang'an'gania akitaka cha uvunguni namuinamiaa ahaaaahhh ayeeeee semaa hapooooo👌👌👌👌

  • @diamondplatnumznewsajm2053
    @diamondplatnumznewsajm2053 6 ปีที่แล้ว +719

    Kama unaikubali Video GONGA like kwa LAVALAVA. Mpaka TH-cam Makao Makuu waseme basi.
    #HiinifungaMwaka.
    #HawaaminiWanachokionaa

    • @gracianobaruti3301
      @gracianobaruti3301 6 ปีที่แล้ว +7

      mimi namkubali san lava....

    • @FantasyJames
      @FantasyJames 6 ปีที่แล้ว +9

      diamond kaka kuna siku utanisifia pia @xuperkid kenya

    • @nelsonsilas5653
      @nelsonsilas5653 6 ปีที่แล้ว +5

      Diamond Platnumz me namkubali xn lavalava kazi nzuli xn endelea kufny vyema kaka😘

    • @yousufkitatile3925
      @yousufkitatile3925 6 ปีที่แล้ว +5

      Wcb 4 life

    • @geraldmollel8917
      @geraldmollel8917 6 ปีที่แล้ว +3

      Lazimaa lavalava tuikubalii sanaa sanaaa

  • @humphreyhaj7947
    @humphreyhaj7947 6 ปีที่แล้ว +25

    Endelea kupaa kwa ufanisi....mimi nko nawe kila wakti. .

  • @DICKENKIMATHI-m6z
    @DICKENKIMATHI-m6z หลายเดือนก่อน

    WCB nilikua Namuamini a lava Sana kuliko wote sijui alifeli wpii lava❤

  • @boscoboss3826
    @boscoboss3826 6 ปีที่แล้ว +26

    weeeee sema video safii waaaaa sawa sawaaaa gonga like kama unamkubali lava boy anamzidi monize

    • @cecymaro1374
      @cecymaro1374 6 ปีที่แล้ว

      Bosco Boss namkubali sana lav lava jomn nice song....lav lv

  • @yrsmchaff2370
    @yrsmchaff2370 6 ปีที่แล้ว +290

    acheni uchoyo na mm nipewa like zangu,,,maana kla coment napata 2 tu

    • @evanslans3306
      @evanslans3306 6 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/nAzGO_0lVVg/w-d-xo.html

    • @sakinaomar301
      @sakinaomar301 6 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😄

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 6 ปีที่แล้ว +1

      Una gundu bc

    • @yrsmchaff2370
      @yrsmchaff2370 6 ปีที่แล้ว

      Amne Mkubwa lkn sio la mapenzi,,,litakuwa la youtube 😁😁😁

  • @acrambacari4187
    @acrambacari4187 7 หลายเดือนก่อน +70

    Who is watching in 2024

  • @mwaxsol
    @mwaxsol 5 ปีที่แล้ว +8

    Lava Lava is the Shabaan Robert of this genre,Malenga wa Wasafi!

  • @adamalsina2697
    @adamalsina2697 6 ปีที่แล้ว +104

    Love from Egypt wapi like zangu jameni

  • @vigilancem3364
    @vigilancem3364 6 ปีที่แล้ว +19

    I din know I liked this guy until I watched this clip representing
    #254
    #love

  • @clappertoncharo8602
    @clappertoncharo8602 6 ปีที่แล้ว

    Hamna lolote jipya hapa. Kulialia na mapenzi tu hakuna maudhui mengine. Mimi ni mtanzania lakini natamani tungekuwa kama wakenya kama Nyashinski,sautisol,octopizzo. Wanaimba kuhusu vitu tofauti tofauti

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona nyimbo zako zinafanana mpya ya zamani hazina tofauti

  • @kemosijrlv9536
    @kemosijrlv9536 2 ปีที่แล้ว +3

    Lavalava ni hatari kwa mashairi. 🇰🇪 tumekubali

    • @leahmwangala9849
      @leahmwangala9849 2 ปีที่แล้ว

      This song made me cry sanaaa hata Huwa nikiisikiza I just feel like crying

    • @kemosijrlv9536
      @kemosijrlv9536 ปีที่แล้ว

      @@leahmwangala9849 Huyu ni mkali wasafi yote baada ya Diamond.

  • @danrotich1009
    @danrotich1009 2 ปีที่แล้ว +14

    It is still a vibe 3yrs down the line...much love from kenya love bite❤❤❤

  • @AliHassan-bs6xc
    @AliHassan-bs6xc 6 ปีที่แล้ว +41

    Who is here team wasafi

  • @brianjulius1562
    @brianjulius1562 6 ปีที่แล้ว

    Daaaaamn...! what a video meeen.......
    kama unaamin sasa ni zamu ya hanscana kwenda kimataifa gonga likee

  • @abdulkarimmiradjjimupika2444
    @abdulkarimmiradjjimupika2444 2 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda n'a nina itika WE ni number one nyimbo za mapenzi

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 6 ปีที่แล้ว +26

    Here from London always WCB making hit song❤

    • @dogodensy3191
      @dogodensy3191 6 ปีที่แล้ว

      hongera kaka mwanao denis

  • @alexanderhaule7667
    @alexanderhaule7667 6 ปีที่แล้ว +7

    This is typical bongo flava big up to you lavalava unaandika sana

  • @mwajumakitulozulu1582
    @mwajumakitulozulu1582 6 ปีที่แล้ว +33

    Nyimbo kali kama unaikubali basi weka like hapa💃🕺

  • @husseinbakari6505
    @husseinbakari6505 3 ปีที่แล้ว

    Nani Kama were lavalava jamn sifa zote zako 😋😋😋😋😋😋

  • @POINTBLACKPODCAST_KE
    @POINTBLACKPODCAST_KE หลายเดือนก่อน

    Tamu Sana 😍🥰.

  • @saruniparsanka5014
    @saruniparsanka5014 3 ปีที่แล้ว +4

    Kusema Umweli Hata #Diamond Hamkutii Huyu #Bingwa_Wa_Nyimbo_za_Mapenzi.
    #LavaLava_On_Top

  • @charleskyalo935
    @charleskyalo935 3 ปีที่แล้ว +10

    The best heartbreak hits maker🔥🔥🔥

  • @dripcutdifferent011
    @dripcutdifferent011 6 ปีที่แล้ว +21

    Kama unakubali video na nyimbo inaendana gonga like kwa #LavaLava🇹🇿🔥🔥🔥

  • @jafariosujack7183
    @jafariosujack7183 6 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi mmezid sana kuimba maneno iliyopo deep romantic..... Shetan la mapenz limewateka

  • @charlesmasuwe6445
    @charlesmasuwe6445 6 ปีที่แล้ว +2

    kwingine atake nini jamanii ngoma kalii nahizo like zitamtoa mtuu rohoo jamanii

  • @aminambarouk5945
    @aminambarouk5945 6 ปีที่แล้ว +8

    Uliposema wa nini yy aliwaza atanipata lini! Duhh! 😉

  • @sophykemunto3644
    @sophykemunto3644 6 ปีที่แล้ว +2

    Napenda huu wimbo sana...mistari yake ulivyoitunga ina maana..mungu akuzidishie maarifa kutunga nyingi nyimbo uwafurahishe mafans mi nikiwemo

  • @hafsahussein8824
    @hafsahussein8824 6 ปีที่แล้ว +8

    Kiwanda cha mziki mzuri WCB 🔥🔥

  • @alvinmuluvi7539
    @alvinmuluvi7539 5 ปีที่แล้ว +1

    kwanza kakuzidi maarifa...mpira tisini dakika, nyavu anazitikisha...aaah..eeeh mlangoni mpaka dirishani,,,pindua pindisha,,mtoto ananifikisha aaaaheeeh noma sana

  • @beatricelichoti5028
    @beatricelichoti5028 3 ปีที่แล้ว

    Hata mimi nime pata wakunipa mapezi hadi yanyuma nime sahau

  • @sanyemilia5362
    @sanyemilia5362 6 ปีที่แล้ว +10

    am Assane from MOZAMBIQUE.......keep it up LAVA LAVA.

  • @ezzahra213
    @ezzahra213 6 ปีที่แล้ว +33

    love this song, love from ALGERIA!

  • @marikopafredi
    @marikopafredi 6 ปีที่แล้ว +39

    Kama una mkubali Lava boy weka like kama zote hapa

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว +1

    Uliposema wanini yy aliwaza atanipata lini😍😍😍

  • @abdulrazacksangama280
    @abdulrazacksangama280 6 ปีที่แล้ว

    Oy km una kubalii kuwa wcb ndo habari ya mjini bc gonga like km zote hv... Af tukutane hapa jamhuri stadium tar 2/11 na nangwanda sijaona tarehe 6/11/2018 .........wamevabaaaaaaa.... Show ni moja tuuuu...... Wasafi festival.... Baaaaaaaasiiiiiiii hzo zingine fyekeleaaaa mbali

  • @bahatimatiku4294
    @bahatimatiku4294 6 ปีที่แล้ว +370

    Wale wanakoment Huku wakiskiliza nyimbo Taratibu like hapa

  • @sydneymasilela2288
    @sydneymasilela2288 6 ปีที่แล้ว +10

    I don’t know why I’m always the only one from South Africa,please drop me likes African people 🔥

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 ปีที่แล้ว +8

    Michezo ya kusaka kunguni sawa sawaaa like kwa lava lava

  • @sarafutatu5946
    @sarafutatu5946 6 ปีที่แล้ว

    Hiii ni yangu kabisa.
    Kapata ila kanitesa miaka mingi ikapita nikawa kama fala.
    Maskini mtoto wa watu nikafa moyo kupenda tena ila ya mungu ayajuaye yeye tu.
    Kupenda tena sipendi hata aje mwenye shanga kiunoni

  • @isackmwasapi56
    @isackmwasapi56 6 ปีที่แล้ว

    Mdogo na muziki wake muzuri pgen like APA jman maana hamnpg dogo uyu naona akoxeag anaimba mbaka Nero!!!!!

  • @bernie.21
    @bernie.21 3 ปีที่แล้ว +8

    All our love from 254 🇰🇪

  • @fredrickmbau2421
    @fredrickmbau2421 6 ปีที่แล้ว +13

    LAVA LAVA really knows how to make break up songs