Lava Lava - Habibi (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @superherotv1750
    @superherotv1750 5 ปีที่แล้ว +76

    Nilijua nkija apaa ntakuta wa2 washaanza kusema oohh mm wa kwanza naomba like,,,sasa mm siombi like lakn zitakuja zenyew,,,,lakn kanyimb katam haka cha lavalava,,,,mzigo si wa buku jero hahahahahahha

  • @kimutaikosgei5908
    @kimutaikosgei5908 5 ปีที่แล้ว +202

    Najua nikisema much love from Kenya hamtagonga likes ju tumezoeana sana.

    • @omboks
      @omboks 4 ปีที่แล้ว

      😆😂😓😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✌️

    • @jonaschibile8013
      @jonaschibile8013 3 ปีที่แล้ว

      oyooooo 👊👊👊👊 pamoja xan

    • @Zzz-fl2gr
      @Zzz-fl2gr 2 ปีที่แล้ว

      Wakenya Doro.

  • @momozoafricanmedic7846
    @momozoafricanmedic7846 5 ปีที่แล้ว +35

    Chris Brown wa EA..... Mr.love bite mwenyewe ...mob support from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @seifabdulsattar7223
    @seifabdulsattar7223 4 ปีที่แล้ว +14

    Hadi leo nashindwa kuelewa ni kwa nini nyimbo hii haikutamba sna kama nilivyotarajia....ONE OF THE BEST SONG IN 2019 but it is much underrated

  • @sadiltzchannel2096
    @sadiltzchannel2096 5 ปีที่แล้ว +31

    Wanaomkubali Lava Lava naomba tujuane kwa kulike apaaa👍👍👍👍

    • @AhmadHasana-os8ed
      @AhmadHasana-os8ed 3 หลายเดือนก่อน

      Dan uwanku daga sahara ta yamma wannan itace waka mafi dadi ❤️❤️❤️🥰

  • @ashahamisi5884
    @ashahamisi5884 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah huu wimbo mzuri umefanyiwa video ZANZIBAR town ndani ya mji mkwenge waooooo nyumbani nyumbani tamu

  • @habarikaonlinetv
    @habarikaonlinetv 5 ปีที่แล้ว +468

    Jamani naombeni like mie huwa ata, 10 sifiki 😥😥😥😥 naombeni Leo kwa mapenzi ya lavalava mnifikishe 1k jamani

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +38

    Nani anaangalia video huku anasoma comments kama mm. Huu ndo mziki bora kutoka kwa huyu bro who's agree that🙆

  • @kalidmed5272
    @kalidmed5272 2 วันที่ผ่านมา +1

    LAVA LAVA WE LOVE YOU FROM🇩🇯DJIBOUTI

  • @middlesimba
    @middlesimba 5 ปีที่แล้ว +174

    Congrats lavalava,mziki mzuri,kwa pamoja let's take our African music to the world.
    #middlesimba
    #WeAreEverywhere

  • @raoulkedro4539
    @raoulkedro4539 5 ปีที่แล้ว +88

    gonga like kama unapenda lava lava 🙏🙏 love from burundi

  • @yohanasalu5525
    @yohanasalu5525 5 ปีที่แล้ว +294

    Kama umeona Changes kubwa kutoka kwa Mr Lovebite Gonga LIKE 💗

  • @OfficialKiliPaul
    @OfficialKiliPaul 5 ปีที่แล้ว +105

    Sijawahi pata ata like moja jamani
    Hata huku kwa lavalava nako🔥🔥🔥🔥

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 5 ปีที่แล้ว +8

    Nakuombea Kwa Allah..akurudishe kwenye..Qur.an..masha Allah..ume soma dini vzr tu...lkn dunia ime kuteka... insha Allah.. Allah akujalie uache mziki...

    • @musamahonda
      @musamahonda 17 วันที่ผ่านมา

      wew kumbe akiri huna hata kidogo kumbe

  • @willypoet119
    @willypoet119 5 ปีที่แล้ว +66

    Kenyaa,, tugonge likes za mr. Lovebite basi.. Wcb4life

  • @habarikazanzibar3667
    @habarikazanzibar3667 5 ปีที่แล้ว +17

    Sisi wavamizi huku South Africa tunaendelea kuuombea Mziki wa Tz

  • @mohamedykhalifa7724
    @mohamedykhalifa7724 5 ปีที่แล้ว +138

    Jaman nimeacha kazi zangu kukimbilia like . .
    Alafu sijui itanisaidia nin😣

  • @hon.maambo342
    @hon.maambo342 5 ปีที่แล้ว +56

    Tanzania is a special place in Africa. I got addicted to the place. Very calm humble people. But kizungu shida tu. Once you learn kizwahili upo Sawa. Zambia in the building. Ngoma nzuri

  • @juliusmkwiji283
    @juliusmkwiji283 5 ปีที่แล้ว +17

    Hii nyimbo sichoki kuisikiliza aisee, lavalava hii uliandika na melodies ziko safi kabisa 🔥🔥🔥

  • @rashidmasoud6939
    @rashidmasoud6939 5 ปีที่แล้ว +6

    leo nimekua wa kwanza jamani nipeni like zenu kama tumekubalia na lavalava

  • @enockkindole2624
    @enockkindole2624 5 ปีที่แล้ว +42

    Lava lava ni hatali ngoma Kali sana kama umeuelewa like hapo

  • @mufasarenaissancemank9s787
    @mufasarenaissancemank9s787 4 ปีที่แล้ว +28

    this is what music should sound like, the poetry in his Swahili is mesmerizing. from kenya loving TZ MUSIC

  • @ramakimolo125
    @ramakimolo125 3 ปีที่แล้ว

    Lava lava bora uchezee humu naona unaeezea kuliko mbosso

  • @bozocadet362
    @bozocadet362 3 ปีที่แล้ว +4

    Una rangi ya chotara manga manga asili ya kizanzibari
    Chocolate color mixer mtanga tanga unang'ara ng'aring'ari
    Ngozi laini kachori sambusa bagia
    Upo kama mdoli yaani kama wabandia eeeeh eeh eeeh
    Ukitembea koko(koko) uko nyuma baikoko(koko) mzigo sio wa buku jero
    Sotojo la bokoboko(boko) laini
    Nyanya ya kopo(kopo) yaani bunyero bunyero
    Eeeh eeh achana na kina Gigi hawana lolote
    Watazusha nawajigjig penzi watie tope
    Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote
    Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi
    Habibi Nurul'ayn kipenda roho
    Habibi nyonga mkalia ini uh oooh
    Habibi Nurul'ayn kipenda roho
    Habibi nyonga mkalia ini uh oooh
    Mmh penzi lisiwe dibaji zidisha utamu tende
    Mahaba yawe full chaji tukomeshe fisadi viwembe
    Nikandekande massage wabaki kupiga vijembe
    Weka hiriki magadi ongeza na peremende
    Ah haaa mchunge shetwani mama twende pole pole
    Ah haaa kuna Esma Khan na kina Juma Lokole
    Ah haaa wasikupande kichwani wakazua mambo uchocholee
    Ah haaa iwe aibu mtaani insta michambo wanichore
    Achana na kina Gigi hawana lolote
    Watazusha nawajigjig penzi watie tope
    Nikupeleke kwa bibi Tifah ma Dangote
    Uvae shela wigi utapata kwa Aristote Habibi
    Habibi Nurul'ayn kipenda roho
    Habibi nyonga mkalia ini uh oooh
    Habibi Nurul'ayn kipenda roho
    Habibi nyonga mkalia ini uh oooh
    Usije kughaili ghaili, mi mwingine sina
    Usije kughaili ghaili, penzi likachina
    Usije kughaili ghaili, ukanitosa mazima
    Usije kughaili ghaili, nuru ikazima
    Eh eeh

  • @agogodadimwa195
    @agogodadimwa195 5 ปีที่แล้ว +81

    Hivi like ndo kitu gani jamani,hebu nionyesheni kupitia hili song👍

  • @enockkindole2624
    @enockkindole2624 5 ปีที่แล้ว +335

    Ngoma kali kama huna kinyongo like za nguvu

  • @allyzombie995
    @allyzombie995 5 ปีที่แล้ว +44

    Kama uko hapa tu kwa sauti ya Mr love bite nipeni likes angalau 10

  • @operations002
    @operations002 3 ปีที่แล้ว +2

    Habib nuru laini.. Nyoka mkali yaini 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @zenamadhan2517
    @zenamadhan2517 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ndio madaktari wa mapenzi..lavalava n mbosso khan..sio Abdul kiba..na group lake

  • @uzurichannel5223
    @uzurichannel5223 5 ปีที่แล้ว +76

    Leo nimekua wakwanza nipeni like zangu

  • @puritypendo6472
    @puritypendo6472 5 ปีที่แล้ว +24

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 If you feel this is a hit, gonga like 💃💃💃💃💃

  • @marjana1126
    @marjana1126 5 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah ngoma ipo vizur sana nimeipenda ❤️❤️

  • @bernie.21
    @bernie.21 3 ปีที่แล้ว +1

    Aiiiiish nyimbo yajiuza tuu kenya 🇰🇪 tupo

  • @TomBowwow
    @TomBowwow ปีที่แล้ว

    20years later in a Swahili exam
    Q1 Eleza maudhui ya Riwaya hii
    ‘nyuma baikoko
    Mzigo siwa buku jero
    Sotojo lake koboko, laini kama nyanya ya kopo yaani bonyero bonyero”

  • @lussambokingwamishe
    @lussambokingwamishe 5 ปีที่แล้ว +68

    Weka like hapa km ww ni shabiki wa Lava damu

  • @lizlovedbyGod
    @lizlovedbyGod 5 ปีที่แล้ว +39

    Sauti iyoooo...ukiskiza na earphones unajiskia kama unatekenywa sikio wallahi...za iPhone lakini sio earphones za ofia😂😂😂😂

  • @timothykirema1250
    @timothykirema1250 5 ปีที่แล้ว +6

    from nairobi kenya we love this! likes za labalaba ziko wapi?

  • @JOSEPHKHARIS243
    @JOSEPHKHARIS243 ปีที่แล้ว +1

    musuc tamu sana ila daaah support ndogo kweli

  • @Mtesomtesi
    @Mtesomtesi หลายเดือนก่อน

    We need this lava lava back bwana hivo sijui amapiano sareee bro we miss this you😥😥😥😥😦

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 ปีที่แล้ว +200

    Wangap watagonga like baada ya kuona hii bendela🇹🇿

    • @Genz-v8c
      @Genz-v8c 5 ปีที่แล้ว +1

      Gonga like wasomali wote kama unampenda lavalva

    • @rukiamsomi6869
      @rukiamsomi6869 5 ปีที่แล้ว

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @warioimshussein945
      @warioimshussein945 5 ปีที่แล้ว +1

      si bendela ni bendera bro ghai 😂😂

    • @mamasofia4656
      @mamasofia4656 5 ปีที่แล้ว

      Mkenya Mimi

    • @husseinfatime9768
      @husseinfatime9768 5 ปีที่แล้ว

      Ni bendera si bendela watanzania bana its r not l

  • @ramarashid72
    @ramarashid72 5 ปีที่แล้ว +514

    Gonga like Kama una mpenda lava lava

  • @AbdifataxAbdifatax-e9s
    @AbdifataxAbdifatax-e9s ปีที่แล้ว +4

    I'm somalia boy africa keep going

  • @hassansultan8874
    @hassansultan8874 3 ปีที่แล้ว +30

    I'm Somali but my wife Zanzibari I can never get enough for this song my Allah bless all of you Zanzibari óoóooyeé

  • @abderedenamkiyoo8571
    @abderedenamkiyoo8571 4 ปีที่แล้ว +1

    Akh napenda xna hii nyimbo walai lavalava nakubali ustadhi

  • @rahmaa9791
    @rahmaa9791 5 ปีที่แล้ว +48

    Tanzania’s treasure and dynamite 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ashatasaidi6481
      @ashatasaidi6481 4 ปีที่แล้ว +2

      Talented....like the way he puts his soul unto his music..

  • @jamwashjoni2355
    @jamwashjoni2355 2 ปีที่แล้ว +10

    This one makes me Feel so African & more so East African.. Lava lava 🇰🇪

  • @pranknation7873
    @pranknation7873 5 ปีที่แล้ว +182

    The most talented artist from wasafi bt underated,, I really like lavalava and mbosso's songs they sing real love

    • @supernicksan
      @supernicksan 5 ปีที่แล้ว +1

      kabisa manze

    • @kevinatinda2242
      @kevinatinda2242 5 ปีที่แล้ว +1

      I also didnot know his music, until nikaskiza wimbo mmoja nikiwa nimetulia, nikasikia messegi, Mbosso and Lavalava ndio pekeao wanaimba Classic bongo fleva, wcb

    • @ashatasaidi6481
      @ashatasaidi6481 4 ปีที่แล้ว +4

      True. Lava Lava kawashinda WOTE kwa sauti. MashAllah he has a real musical melodious, strong, appealing and romantic voice. He sings from his heart.

    • @auntyadusi4825
      @auntyadusi4825 4 ปีที่แล้ว +2

      True👌

    • @hassanitheafricanlion9440
      @hassanitheafricanlion9440 4 ปีที่แล้ว +1

      I agree mbosso n lavalava should b up there in wasafi

  • @jaymopogba8655
    @jaymopogba8655 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama bdo unaicheki from Kenya nawakilisha lamu county gonga hapa👇👇👇❤️🔥❤️🔥❤️lava lava big up xna ##habibi

  • @ramamohammed1438
    @ramamohammed1438 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaaani Lava Lava...Big up sana....napenda sana yaani mzigo si wa buku jero...
    Hongera man🎊🎉🎊🎉

  • @mustaphardennice9649
    @mustaphardennice9649 5 ปีที่แล้ว +4

    Wallahi In Sha Allah nitakapo kuwa na harusi Lava Lava ndiye atakayeimba kwa hiyo harusi

  • @danielmrombo
    @danielmrombo 5 ปีที่แล้ว +220

    Likes za lavalava nazimwagike hapa, mistari iko juu kweli kweli, make this
    👇 blue if u agree

  • @abiolao5371
    @abiolao5371 ปีที่แล้ว +5

    Yo!! Nigeria in the building! I visited Tanzania and then this song was played one afternoon, I’ve been listening to it ever since

  • @martinmomanyi6803
    @martinmomanyi6803 ปีที่แล้ว +1

    Sijui nihamie Tanzania cause artists are so dope 🔥🔥🔥🔥

  • @magdalenewangari7604
    @magdalenewangari7604 5 ปีที่แล้ว +72

    Una rangi ya chotara Manga manga asili ya ki-Zanzibari Chokoleti colour mixer m-Tanga Tanga Una ng'ara ng'aring'ari Ngozi laini kanchori, sambusa bhajia Upo kama mdoli, yaani kama wa bandia Eeeh eeh eeeh.. Ukitembea koko(Koko) Huko nyuma baikoko(Koko) Mzigo siwabuku ngojero Sotojo la bokoboko(Boko) Laini nyanya ya kopo(Kopo) Yaani bonyero bonyero Eeeh achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo(Habibi) Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo uwooo Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende Mahaba yawe full charge Tukomeshe visadi viwebe Nikande kande masaji Wabaki kupiga vijembe Wakailiki magadi Ongeza na peremende(Aah) Mchunge shetwani Mama twende pole pole(Aah) Kuna Esma, Khan Akina Juma Lokole(Aah) Wasikupande kichwani Wakazua mambo ya uchochole(Aah) Iwe aibu mtaani Insta michambo wanichore Achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo(Habibi) Habibi(Habibi) Nurulhaini kipenda roho(Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo uwooo (Ayolizer) Usije kughairi ghairi Mi mwingine sina Usije kughairi ghairi Penzi likachina Usije kughairi ghairi Ukanitosa mazima Usije kughairi ghairi Nuru ikazima (Wasafi)

    • @abderedenamkiyoo8571
      @abderedenamkiyoo8571 4 ปีที่แล้ว

      Nakubali mrembo

    • @aminasuleyman803
      @aminasuleyman803 4 ปีที่แล้ว

      MAGDALENE WANGARI wooo cool lyrics keep it up

    • @mospeciol
      @mospeciol 4 ปีที่แล้ว

      Edit: achana na kina gigi...nyonga mkalia ini

    • @ZawadiBirya
      @ZawadiBirya 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante jamani

    • @Creative-life173
      @Creative-life173 4 ปีที่แล้ว

      Ala uko fits kuandika nyimbo

  • @derrickobango3546
    @derrickobango3546 2 ปีที่แล้ว +9

    Dude is sooo talented, one of the best vocalists I know, still don't understand why he's so underated

  • @tresorkongolo8591
    @tresorkongolo8591 4 ปีที่แล้ว +9

    Jamani naomba like zenu nice song from DRC 🇨🇩🇨🇩🇹🇿

  • @saidmvugalo282
    @saidmvugalo282 2 ปีที่แล้ว +7

    Lava lava keep your style tight..one day these ungrateful listeners will appreciate you! Your style is unique..only u on your lane, nobody else!! ❤

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana lavalava

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 5 ปีที่แล้ว +12

    All the way from Bahrain still listen to this Romantic n emotional song thumb up ..lava x2. Mzigo c wa buku jero.

  • @amoswekesa1476
    @amoswekesa1476 5 ปีที่แล้ว +24

    ''Yan bunyero nyero''...This line makes me a complete man

  • @abubacargiramogiramo4892
    @abubacargiramogiramo4892 5 ปีที่แล้ว +17

    Mozambique wote piga like kama umikubali ngoma!🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @warrensimbake7174
    @warrensimbake7174 5 ปีที่แล้ว +29

    lava lava i love it when you flow emotionally, thats where your talent and flow lies. kuos papa. look for otile

  • @salimali5159
    @salimali5159 5 ปีที่แล้ว +1

    lava lava tutengez video bwan kam hujui kutengeneza video mwambie baba yak mind au ndug yak mboss nyimbo mzur video mbayaaaaa lava waharb video

  • @Imbosagerald
    @Imbosagerald 3 ปีที่แล้ว +1

    Nurulaini kipenda roho.....

  • @Nyalii_
    @Nyalii_ 5 ปีที่แล้ว +23

    Habibi rocking my speakers all the way from Germany.. Keep the good music alive ❤

  • @jackiekhendy5259
    @jackiekhendy5259 5 ปีที่แล้ว +13

    Been going thru the comments and everyone is like.... "Nipeeni likes" Am I missing sth!?Are people getting paid ama whasup!?kwani kwa ground kukoje!?.....love the song....mmwaaaaah lava lava

  • @hassansalim7026
    @hassansalim7026 5 ปีที่แล้ว +26

    You killed it my man,
    Mob love from kenya this is lit
    Gonga like

  • @shaabanrajabu4078
    @shaabanrajabu4078 5 ปีที่แล้ว

    Mwamba hii ndo bahari yako unajua kuiogela vizuri mno doh ona umenifanalia tu...😭😭

  • @toureskepta5987
    @toureskepta5987 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama unaangalia hii utafaulu kwa maisha yako na itaishi maisha mazuri gonga like

  • @cassismail4235
    @cassismail4235 5 ปีที่แล้ว +90

    This guy is so talented. Respect from a Mozambican🇲🇿

    • @imaraimara4975
      @imaraimara4975 5 ปีที่แล้ว

      If only you cud understand the lyrics.

    • @cassismail4235
      @cassismail4235 5 ปีที่แล้ว

      @@imaraimara4975 somo parts of northern Mozambique actualy speaks Swahili. But im from the central part, i dont get a word.

    • @faithfultoyeshua4576
      @faithfultoyeshua4576 ปีที่แล้ว

      ​@@cassismail4235it's very poetic. This song is a masterpiece

  • @khalis_life8083
    @khalis_life8083 5 ปีที่แล้ว +1155

    Any kenyan here give like if you this is 🤩😘

  • @mohamedbukhaari2909
    @mohamedbukhaari2909 5 ปีที่แล้ว +191

    I'm from somalia 🇸🇴🇸🇴
    I'm proud to be african ❤️❤️
    I love all africans keep going bro

  • @karimhiari5792
    @karimhiari5792 5 ปีที่แล้ว

    255 wasanii watu wanatoa ngomakari Africa mashariki nzima

  • @faimafrank5857
    @faimafrank5857 2 ปีที่แล้ว +1

    Lava lava unajuwa Sana kuimba mungu akuzidishie nakupenda

  • @mwanaidinusra4248
    @mwanaidinusra4248 5 ปีที่แล้ว +50

    Kama upenda izo nguo za lava lava gonga like yako apa

    • @kbmsouth
      @kbmsouth 5 ปีที่แล้ว

      Mwanaidi Nusra maparshut haya ila nme yaelewa dada

  • @MusemaKweliTV
    @MusemaKweliTV 5 ปีที่แล้ว +244

    Nani mwingine ana watch zaidi ya Mara 1“GONGA LIKE”

  • @jumahumphrey3656
    @jumahumphrey3656 5 ปีที่แล้ว +20

    Alieona movement za moyo wangu wa diamond tupo pamoja♨️

    • @kyelayetu4383
      @kyelayetu4383 5 ปีที่แล้ว

      Juma Humphrey th-cam.com/video/L306Bwu-t0I/w-d-xo.html saidia kusubscribed

  • @bennokibassa6859
    @bennokibassa6859 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnaogongeana like ingekua wote mna rudia kuitazama hii video ingefikisha viwers 1M ndani ya saa kadhaa tuu lakini likes nyingi kuliko viwers

  • @petermkono5829
    @petermkono5829 2 ปีที่แล้ว

    Thats gud song ever happened ,kaka unajua sana tuendelee kuomba dua mengine yaja taratibu kwa mapenz ya Allah.

  • @mwaxsol
    @mwaxsol 4 ปีที่แล้ว +83

    Deep lyrics ,he is by far the most poetic of the wasafi group but underrated unless you appreciate kiswahili poetic form (Shairi) . Sample this "Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende" Love should not end up being about keeping scores instead Dates(the fruit i.e tende) should taste even sweeter!

    • @sarahmushani6758
      @sarahmushani6758 4 ปีที่แล้ว +1

      Too true have listened to him

    • @mwanafalsafa3613
      @mwanafalsafa3613 4 ปีที่แล้ว +2

      Nini maana ya dibaji?

    • @fadhilrashid4175
      @fadhilrashid4175 4 ปีที่แล้ว +1

      No offense he's very good but there is this other guy mbosso motoo

    • @mwaxsol
      @mwaxsol 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mwanafalsafa3613 Yaani kumbukumbu ya vitendo vizuri au vibaya alivyokutendea
      mwandani

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 2 ปีที่แล้ว

      @@mwanafalsafa3613 simply ni debate

  • @johnmnjama6837
    @johnmnjama6837 4 ปีที่แล้ว +15

    Ten times still can't stop listening to ur songs bro..this is a good example of musical intelligence

  • @papaezra9564
    @papaezra9564 5 ปีที่แล้ว +15

    Lava Lava funs from 254 🇰🇪 wekeni hapa 👇tukisonga.

  • @charlieniang5369
    @charlieniang5369 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupatie mahitaji ya roho yako aslay...nyimbo zako safi sana ndugu yangu kila saa nikikuskia roho nikama nimeipaka sabuni inakuwa safi sana

  • @seiphally7008
    @seiphally7008 5 ปีที่แล้ว +1

    Achana na akina gigi hawana lolote!!!! Hiii htr lavalava( love bite) uko juu xana

  • @NehemiahRotich
    @NehemiahRotich 5 ปีที่แล้ว +32

    This guy has voice ... rich vocal range a unmatched passion

  • @makalasaigoni2275
    @makalasaigoni2275 5 ปีที่แล้ว +4

    nami leo nimewahi. au nina gundu cpati like jaman

  • @miriamjonas2843
    @miriamjonas2843 5 ปีที่แล้ว +26

    Like kama we sio fan wa lavalava lakini hii nyimbo imekufanya uanze kumfolo kidogo kidogo

    • @sharktusk4931
      @sharktusk4931 5 ปีที่แล้ว

      Wimbo ni moja..sio nyimbo.

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 5 ปีที่แล้ว

    nyimbo kali balaa mambo ya kizamzibari firee kuchkuch hotahee

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 5 ปีที่แล้ว +1

    Sijakosea kuzipenda nyimbo za lava lava

  • @sekiesteem5575
    @sekiesteem5575 5 ปีที่แล้ว +33

    Kama umemuona video Queen ni mkali gonga like

  • @susanchege482
    @susanchege482 5 ปีที่แล้ว +32

    It's time lava lava and mbosso gave us a collabo

  • @sukariyao6537
    @sukariyao6537 3 ปีที่แล้ว

    Imic you habib wangu one day yes nitarudi home kikubwa uzima Amina 🙏🙏🥰🥰👌

  • @sasitasimon7330
    @sasitasimon7330 5 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kazi ya ushairi inayotolewa kwa umahiri na mabingwa Lava Lava na Mbosso

  • @bambistarr1920
    @bambistarr1920 3 ปีที่แล้ว +3

    LavaLava
    King of bongo
    He be the realest in this game..love you

  • @salmasaeed9357
    @salmasaeed9357 5 ปีที่แล้ว +5

    I lyk it 😍😍😍 kma umeipenda pia gonga like

  • @husseinhassan1621
    @husseinhassan1621 5 ปีที่แล้ว +3

    My favorite singer @Lavalava #habiibi. Hadaad somali tahay oo aad heestan daawatay like isaar

  • @samuelgachanja4199
    @samuelgachanja4199 3 ปีที่แล้ว +1

    If you combine lava lava n mbosso it would be the collobbo of the decade if you agree with me gonga like

  • @mackladislaus474
    @mackladislaus474 5 ปีที่แล้ว

    Hivi unajijuaga kama we ni handsome boy....nakupenda sana

  • @waynecamejo889
    @waynecamejo889 4 ปีที่แล้ว +4

    Zuchu, lavalava n Mbosso with that coastal arabic fusion n their voices!!

    • @omboks
      @omboks 4 ปีที่แล้ว

      True much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zikambanimauphiri5987
    @zikambanimauphiri5987 2 ปีที่แล้ว +7

    This is pure definition of music!! one love from Zambia