Mbosso - Maajab (Official Music Video) Sms SKIZA 8546310 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5K

  • @joseecontroversial8720
    @joseecontroversial8720 5 ปีที่แล้ว +115

    Dah...wasafi wamefanya industry ya muziki bongo kuwa ngumu sana!... audio quality, video quality, location, investment an hard work ni top notch!!!....

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 5 ปีที่แล้ว +239

    From 254 with love hii ni maajab. Wapi likes za mbosso kama umetii hii ngoma

  • @shirohtyson9085
    @shirohtyson9085 5 ปีที่แล้ว +43

    Jaaaameeeniiii!!!!!!!!!! Tanzaaaania taaaaanzaniaaa mna niniii mtatumaliza jaaaameni ni kweli mungu kakupa ulichomuomba raaaaahaaaa

    • @badrisarum5107
      @badrisarum5107 5 ปีที่แล้ว

      Mboso.unatisha.nyimbo.kalisana.

  • @haylanaamazighia9688
    @haylanaamazighia9688 4 ปีที่แล้ว +471

    I’m moroccan, dont understand what he sings but it sounds very nice and nice video clip in morocco. Much love to all my African brothers and sisters❤️

  • @iddyjuma3896
    @iddyjuma3896 5 ปีที่แล้ว +43

    Ngoma iko poa sana Mboso nakupa Big up sana kama zote vileeeeeeeee. Dondosha like yako kama umeielewa ngoma hii

  • @alaminali4594
    @alaminali4594 5 ปีที่แล้ว +71

    Hii ngoma kali sana, sounding clap👏from 254 kama unaikubali gonga like🖒

  • @charlesjoseph4688
    @charlesjoseph4688 5 ปีที่แล้ว +139

    Kama umerudia zaid ya mara moja kuichek hii ngoma tujuane apaaaa

  • @hamzafilali2652
    @hamzafilali2652 5 ปีที่แล้ว +158

    Mwarabu wa kwanza wa Morocco kupenda muziki wa Kiswahili🇲🇦❤

  • @veronicapeter3154
    @veronicapeter3154 5 ปีที่แล้ว +96

    Mbosso peke yake ngoma zake bata kwa sana hadi raha jaman MAAJAB MAAJAB PENZI LAKE LA AJABU hadi rahaaa ama kwel hyu mhindi wa kusiniii

  • @Swaga_boys
    @Swaga_boys 5 ปีที่แล้ว +100

    Kama unamkubali mbosso mshe dede Gonga like basi usiwe na roho ngumu eeee do that guys
    Never give up mbosso. Keep going

    • @jimombati6747
      @jimombati6747 5 ปีที่แล้ว +1

      GABIX DANCE OFFICEAL hi

    • @Swaga_boys
      @Swaga_boys 5 ปีที่แล้ว +1

      @@jimombati6747 hi

    • @yakulagervase4781
      @yakulagervase4781 5 ปีที่แล้ว +1

      GABIX DANCE OFFICEAL

    • @Swaga_boys
      @Swaga_boys 5 ปีที่แล้ว

      @@yakulagervase4781 tell me

  • @bonniewambua5887
    @bonniewambua5887 5 ปีที่แล้ว +506

    Mr mbosso never disappoint us,,, if your reading still watching gonga likes,,,🇰🇪 🇰🇪 mko wapi mafans wakubwa wa Bongo 👏👏👏👏

  • @Misssahraouia76
    @Misssahraouia76 5 ปีที่แล้ว +382

    I'm French half Moroccan so I recognized moroccan culture and city in this video, if I'm not wrong this singer is from the beautiful east africa :), good song.

    • @giftmusa6543
      @giftmusa6543 5 ปีที่แล้ว +1

      Yes

    • @christinesimon6420
      @christinesimon6420 5 ปีที่แล้ว +1

      👬👬👬👬👵👦💏💑

    • @bestieb6144
      @bestieb6144 5 ปีที่แล้ว +1

      Merci

    • @mohamedsedigh2950
      @mohamedsedigh2950 5 ปีที่แล้ว +14

      Yes his is from Tanzania but his mother she is from Kenia his first wife also she is from. Kenia you should now about Morocco for me me am Marocan my mother from Tanzania sahili for us is the greatest musique in the world because its give the feeling that life is good no matter what God bless africa one nation

    • @djgthehotstepper
      @djgthehotstepper 4 ปีที่แล้ว +4

      Yeah the video was shoot in morocco market 🇲🇦🇲🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🌹🌹🌹🌹

  • @ismaelowino8751
    @ismaelowino8751 5 ปีที่แล้ว +13

    Huku kenya kuna baridi hadi hatuogi ukishaskiza ngoma za wasafi wewe umeshaoga na ukangara, Mbosso this is the best video

  • @joslinmalongo4662
    @joslinmalongo4662 5 ปีที่แล้ว +706

    Mbosso wangu jamani we love 💕 💕💕💕💕💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪like za mbosso ziko wapi

  • @naominandy6277
    @naominandy6277 5 ปีที่แล้ว +17

    Mbosso 🥰🙏 good music 🎶 #maajabu wanaomkubali mbosso naomba tujuane gonga like hapa tujuane good song 🔥🔥🔥🔥

  • @shabs221
    @shabs221 3 ปีที่แล้ว +26

    The sweetest Language is Kiswahili. Yani ni tamu zaidi ya sanaa. Inaingia hadi rohoni. Iam proud that Kiswahili is my Language. How can a lady say no when you talk to her in swahili language. Too much Love from Kenya. 🇰🇪

  • @shabanjokoro1719
    @shabanjokoro1719 5 ปีที่แล้ว +48

    U deserve each and everything...... Hakika unaelekea vizur....jicho langu linakuona mbali sana
    Jaman hebu nipeni likes za kutosha on behalf of #Mbosso

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 ปีที่แล้ว +395

    Mwana mm napenda watoto unao kua nao tu atali ata mzk unao fanya uko sawa kabisa naomba like mashabk wa mboss Boy

    • @andreafrancis8828
      @andreafrancis8828 5 ปีที่แล้ว +2

      ngalawekikohi ngalawekikohi m

    • @hamisimjapani3945
      @hamisimjapani3945 5 ปีที่แล้ว +4

      Maajabu mbosso bong songs nipe like zng apo jmn plz

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/zotJoI2JOns/w-d-xo.html jifunze mapishi kwenye youtube channel yng ngalawekikohi ngalawekikohi

    • @amosimichael398
      @amosimichael398 5 ปีที่แล้ว +2

      ngalawekikohi ngalawekikohi yaan ni noma

  • @naddelioness6872
    @naddelioness6872 5 ปีที่แล้ว +22

    Unastahili sifa 😍 umetukamata 💯❤ sauti 💯 Khan wa kishua 🤗 cool and collected 👌💯 maajabu mziki wako wa Ajaab 😋😂 mistari imehitimu king🤴 mbosso khan

  • @bellabellabella7266
    @bellabellabella7266 4 ปีที่แล้ว +126

    People say Spanish is damn romantic, BUT MBOSSO RAISED SWAHILI LOVE SONGS TO ANOTHER LEVEL!!!!!!Mbosso 's songs will be sung n danced by many generations!!!!! This guy is dope!!!!💙❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇪🇦🇪🇦🇪🇦

  • @yusufumajid8392
    @yusufumajid8392 5 ปีที่แล้ว +80

    ilaaa baba mzee #mboso khan umetisha
    gonga like kwang kama wew umeipenda #maajabu😘😘😘

    • @Gibsin_2
      @Gibsin_2 5 ปีที่แล้ว

      Yusufu Majid th-cam.com/video/9BnDf1DVMrM/w-d-xo.html

    • @emmanuelwille42
      @emmanuelwille42 5 ปีที่แล้ว

      Yusufu Majid I

  • @dennisnjoroge7653
    @dennisnjoroge7653 5 ปีที่แล้ว +31

    Watu wa Nairobi maneno hayatupiti saaaaaana ...atleast mawili matatu ,watu wa pwani translate ....love kwa mbosso 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mariamhussein1347
      @mariamhussein1347 5 ปีที่แล้ว

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Hadi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 waau ako juu

  • @storyzetu8114
    @storyzetu8114 5 ปีที่แล้ว +25

    Kama anamkubali mbosso khan na nyimbo zake zinakutia kiburi KUMRINGISHIA EX WAKO ACHA like hapo 😂😂😂😂😂
    Ex ex ex mtaje ex wako hapo ajioneee

  • @imaliperu
    @imaliperu 4 ปีที่แล้ว +173

    Mbosso is just something special. From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with love. Who is with me here????

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +171

    Video kali kwa wimbo mkali....Kenya tupo ndani

  • @Kelvinomondi3
    @Kelvinomondi3 5 ปีที่แล้ว +132

    😀 Shiiiiish video imeweza, mbosso anaimba kama waHindi😍 gonga like Kama umeipenda, wakenya likes za mbosso 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @mutuskatunch7606
    @mutuskatunch7606 5 ปีที่แล้ว +2220

    They say French is the most romantic language , obviously they haven’t heard Swahili 😍 Tafadhali nipe like kama unakubali!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @donatilanaserian7885
      @donatilanaserian7885 5 ปีที่แล้ว +19

      Wambia uturiiii zetuuuu

    • @nicolast7644
      @nicolast7644 5 ปีที่แล้ว +9

      Tell em!!

    • @abdulmalikkomboali3714
      @abdulmalikkomboali3714 5 ปีที่แล้ว +2

      @@nicolast7644 that"s a hearsay

    • @peoplecd2434
      @peoplecd2434 5 ปีที่แล้ว +20

      You are right,I was born speaking French but trust me Swahili is so romantic than French

    • @donatilanaserian7885
      @donatilanaserian7885 5 ปีที่แล้ว +3

      Hahahaaaa hata TZ tunajuwa romantic things kama hizoooo

  • @salahibrahim2798
    @salahibrahim2798 4 ปีที่แล้ว +62

    Mbosso wil rule wasafi one time 🤙🏽 this guy’s songs oh my .. love from Kenya 🇰🇪

  • @icecreamkingflavor7002
    @icecreamkingflavor7002 5 ปีที่แล้ว +21

    Kama unapenda mboso ngoma zake 🌎🇦🇮🇺🇬🇹🇿🇰🇪

  • @hotspotkenya5971
    @hotspotkenya5971 5 ปีที่แล้ว +1505

    Who agrees with me....mbosso writes songs that will last forever. That after ages people will still play.

    • @khamissultan8492
      @khamissultan8492 5 ปีที่แล้ว +10

      Me🙋‍♂️

    • @kabojah
      @kabojah 5 ปีที่แล้ว +10

      no one can argue that caro

    • @olooinnocent5806
      @olooinnocent5806 5 ปีที่แล้ว +9

      I agree with you

    • @damarisobonyo677
      @damarisobonyo677 5 ปีที่แล้ว +5

      Yes. Zina heshima zake

    • @Chrislincent
      @Chrislincent 5 ปีที่แล้ว +3

      I don't get bored listening to jis lyrics....I find myself smile....

  • @jumahamisi2836
    @jumahamisi2836 5 ปีที่แล้ว +11

    Shahrkukhan wa bongo.kifuani anakupaka haluwa tena huwa anazichambua.mboso umetisha endelea kukanwa ngiri na mafuta ya barafu

  • @obakin4489
    @obakin4489 5 ปีที่แล้ว +11

    A guy who knows what we exactly need as his fans. Watanzania, jameni nasema huyu jamaa anaimba kile tunachotaka kama mashabiki wake. Msichanganyikiwe jameni.

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 ปีที่แล้ว

      We understand,don't be silly

  • @oscarhoslymusician1505
    @oscarhoslymusician1505 5 ปีที่แล้ว +10

    Tukubaliane mbosso Ndiye hutoa video ziko na mvuto kuliko Hao wengine wa wasafi... 🎆🎇🎊🔥🔥

  • @nastv7779
    @nastv7779 5 ปีที่แล้ว +440

    Where is my beloved somali like isaar 🇸🇴🇸🇴🇸🇴💕💕😍

    • @Khuzeymi
      @Khuzeymi 5 ปีที่แล้ว +3

      This man is legend , he is alwys the best man in Africa... good manners with great voice...and that man is "Ahmed Abdul"😄😄😄
      Mliongoja niseme mbosso🤣🤣🤣
      Anyway this song is maajb maajb sauti yake maajb😍😍😍

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +1

      Ahmed Abdul wasafi wcb haluwa

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +1

      Ahmed Abdul wa wasafi lecod

    • @djsalazza8779
      @djsalazza8779 5 ปีที่แล้ว +1

      katana official u luk like gay👈

    • @shukrimusa528
      @shukrimusa528 5 ปีที่แล้ว

      katana official .tho u sound like a gay.asshole racist

  • @dejong360
    @dejong360 5 ปีที่แล้ว +24

    Kama unaamni wametoa ili wakiue kinyimbo cha KINGS MUSIC like twende Sawa🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 5 ปีที่แล้ว

      Haifikii king 💪

    • @dejong360
      @dejong360 5 ปีที่แล้ว

      Hamfikii king😂😂😂😂 tutaona kinyimbo Chao kitapita kama ushuzi Yani dakika 0

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 5 ปีที่แล้ว

      @@dejong360 😂😂😂subut king tutabak kuwa juu 💖💃

    • @dejong360
      @dejong360 5 ปีที่แล้ว

      @@haimahaima9135 tusubirii tuone japo king wenu nae saiv tunamfanaisha na qeen darlin pale WCB maana hamkuti mboso ,lavaboy ,vanyboy wala konde boy SIMBA NDO NEXT LEVEL

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 5 ปีที่แล้ว

      @@dejong360 💃💃tulia bhna nacheza rhumba kdgo💃💃heeehe mzuka💃💃💃💘

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 ปีที่แล้ว +2

    Here some years later, the music, the language..sooo romantic and beautiful!
    Mwanzo Mbosso ni yule MSwahili mafumbo yake nayataftia kamusi.
    Msamiati wake sijauskia na wengi Bongo nzima.
    *#KiswahiliKitukuzwe**!!*

  • @rammyflinch254
    @rammyflinch254 5 ปีที่แล้ว +9

    Quality ya video yakubalika #mbosso_Khan.... 254🇰🇪 love
    Like kwa comment Kama mmeipenda pia wakenya wenzangu 👏👏👏

  • @princenewton
    @princenewton 5 ปีที่แล้ว +66

    Who noticed his style of Music is kinda Indian..... Unique style bro cause no else in Africa doe's it that was.....wapi likes za Mbosso +254

    • @fredrickmropere6380
      @fredrickmropere6380 5 ปีที่แล้ว +3

      That goes without saying.

    • @amusoloann8380
      @amusoloann8380 5 ปีที่แล้ว +2

      Fire

    • @princenewton
      @princenewton 5 ปีที่แล้ว +1

      @@amusoloann8380 👊

    • @princenewton
      @princenewton 5 ปีที่แล้ว +1

      @@fredrickmropere6380 👊

    • @ibbu-tz
      @ibbu-tz 5 ปีที่แล้ว +3

      Thats why we call him Mbosso Khan

  • @ممسدِ
    @ممسدِ 5 ปีที่แล้ว +243

    Maajab
    Nana and naaa
    Nana na naaa
    Naa naana na
    Naa nana naaa na
    Here I am
    Naa nana naa na
    Here I am
    Naa naa nana
    (Instrumentals)
    (Instrumentals)
    One of them
    Moko mokooo
    Stable to hold, let her proud herself
    Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
    Wallah she got me, worthy of praise
    Wallah kanipatia, anastahili sifa
    The whole room is smelling, beautiful scent she sprayed on herself
    Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
    I use my toes to Stand, on the edge I am brought
    Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa
    Brigde
    Brigde
    She bathed me with coconut water
    Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
    She's my coach and teaches me to play rough (bad game)
    Yendo kocha na ananifunza kucheza rafu
    She knows my hernia problem, so massages me with cloves oil
    Anijua tumbo la ng'iri, kwa mafuuta ya karafuu
    When I'm tired, she massages me with ice
    Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
    wonders wonders, her extraordinary love
    maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
    wonders wonders, her extraordinary love× 2
    maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu × 2
    On my chest, she spread sweet, and my hands like dates to be pitted
    Kifuani hunipaka halwa, mikono tende anazichambua
    Aaah she always licking me
    Aah
    Anilambaaa aah
    On The bed she spread flowers,
    Kitandani humwaga maua,
    even the particles I didn't know.
    vingine hata chembe sikuwa najua.
    She took me out village (bush) aah uuuh
    hanitoa ushamba aah uuuh
    And what I need from her when I
    asked and not get it?
    Na nitake nini kwake?
    Niombe nsipewee
    If it is Pemba, Chake Chake she let me choose myself
    Iwe pemba ama chake chake, nichague mwenyewe eeh
    She gave me( heart) alcohol, let me drink and become drunk
    Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh
    Things to looks SHEGA {good}, all the way to Chake Chake (Zanzibar) Mangaka and Msewe
    Mambo shega ni Chake Chake, Mangaka Msewe eeh
    Keep our love open like newspaper for them to read it,
    Libanikee penzi kama gazeti walisomee,
    we have stop fish smells and get them out of our site
    tuwa adabishe sangara shombo vibetwe tuwango'e
    When I eat, she just fed me....
    Ni kila nilishe,
    ....sunflowers' chapati and makes me look handsome; to shut their mouth by string and cement
    chapati za alizeti ni none, tuwafungishe midomo uzi cement tuwashonee
    She bathed me with coconut water
    Ananikosha mwili kwa maji ya madafu,
    She is the coach and teaches me to play rough
    Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
    She knows my hernia problem and massages me with clove oil
    Anijua tumbo la ngi'ri, kwa mafuta ya karaafu,
    When I'm tired, she massages me with ice
    Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
    wonders wonders, her love is wonderful
    maajabu maajabu, penzi lake maajabu
    wonders wonders, her extraordinary love × 2
    maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu × 2
    (Instrumentals)
    (Instrumentals)
    Ayo laizer
    Ayo laizer
    WASAFI ... She gives me a sweet, soft sweet
    Wasafiii... haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii... haluwa haluwa
    The appetite of the appetite, touching on top of my head
    Kinyama cha hamu, uhondo utosinii.
    Sweet Sweet
    haluwa haluwa
    I am not fed in the spoon but by tongue.
    Sili kwa kijiko nalishwa kwa ulimii.
    Sweet Sweet
    haluwa haluwa
    What am I given to the donations?
    Napewa hadi vya
    Credit to Mbosso

    • @dennischacha6108
      @dennischacha6108 5 ปีที่แล้ว +1

      Kali sna

    • @thomaskatiye2836
      @thomaskatiye2836 5 ปีที่แล้ว +3

      Thanks so much my dear for translation

    • @ممسدِ
      @ممسدِ 5 ปีที่แล้ว +1

      @@thomaskatiye2836 ...you are welcome. Swahili word mixed in Arabic lil bit tough to translate 😀😀😀. I'm happy you understand what he's singing... extraordinary wonders of love song in

    • @elijahsumukwo6278
      @elijahsumukwo6278 5 ปีที่แล้ว

      @@thomaskatiye2836 translator

    • @maahalamtiri5382
      @maahalamtiri5382 5 ปีที่แล้ว

      ؤؤؤؤؤؤؤ

  • @ilhanomar5984
    @ilhanomar5984 8 หลายเดือนก่อน +1

    Walai hii song inafaa ukuwe kwa na mtu anajua mapenzi vizuri tu wakatika mpo kindandani❤

  • @innovator3659
    @innovator3659 5 ปีที่แล้ว +36

    tunaopenda vitu vizuri kutoka kwa mbosso na maajab ya uhindini tunaacha likes hapa❤✌✌

    • @omarimusa3105
      @omarimusa3105 5 ปีที่แล้ว

      Mbosso nampenda kupita maelez

  • @minotiato2790
    @minotiato2790 5 ปีที่แล้ว +9

    Sili kwa kijiko napewa kwa ulimi.....
    🙈🙈🙈😉😍😍😍

    • @adangababo620
      @adangababo620 5 ปีที่แล้ว

      Mbooso king of ngoma. Ya mpenzi

  • @johndimpozz7296
    @johndimpozz7296 5 ปีที่แล้ว +218

    mbosso must be the best writer of the song ....his Lyrics are always on top....
    #254 nipeni likes

  • @ismaashmao9842
    @ismaashmao9842 5 ปีที่แล้ว +228

    I'm listening in a loudspeakers in my shop.
    beautiful voice to Entertain my customers
    One Love Tanzania🇹🇿 and Mbosso🌟🎶
    Big Fan from Somalia🇸🇴

  • @livingwithwanjiru
    @livingwithwanjiru 5 ปีที่แล้ว +66

    Nipeni likes, Great love from Kenya here, zee la mashairi. Big up.

    • @subarufx
      @subarufx 5 ปีที่แล้ว

      Likes nizako zote zote but Locally mbona hamtu support

    • @livingwithwanjiru
      @livingwithwanjiru 5 ปีที่แล้ว

      @@subarufx baanae hawatupigi kiki

  • @caashaqaali2226
    @caashaqaali2226 5 ปีที่แล้ว +45

    Mbosso ulisema maji ya baridi huyawezi leo unakandwa na mabarafu😂
    Lakini Masha allah piga kazi

    • @anniemaryu5375
      @anniemaryu5375 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @livuabduly1971
      @livuabduly1971 5 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaha life change u know

    • @caashaqaali2226
      @caashaqaali2226 5 ปีที่แล้ว

      And the weather too😂😂

    • @livuabduly1971
      @livuabduly1971 5 ปีที่แล้ว +2

      @@caashaqaali2226 hahahaha faact

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 5 ปีที่แล้ว

      Ndio maana kasema maajabu kapewa mambo mapya muhindi wa kibiti😂😂

  • @dalujr876
    @dalujr876 5 ปีที่แล้ว +807

    The only Artist who never Got influenced by Nigerians his style is totally different Genius👍

    • @oneelevenmusic5284
      @oneelevenmusic5284 5 ปีที่แล้ว +48

      his style is influenced by indian's and arab's

    • @charlesjonas4412
      @charlesjonas4412 5 ปีที่แล้ว +8

      @@oneelevenmusic5284 😂😂😂 true

    • @The255nurse
      @The255nurse 5 ปีที่แล้ว +20

      But influenced by arabians and indians

    • @wardamuhammed5934
      @wardamuhammed5934 5 ปีที่แล้ว +19

      Mbosso lakini matata alikua hawezi kuoga na maji ya baridi hutetemeka lakini sasa huogeshwa na maji ya barafu Dah mbosso wee

    • @agneslohay4026
      @agneslohay4026 5 ปีที่แล้ว +4

      Warda mohamed saiv mbosso anaogeshwa na maji ya madafu cyo ya barafu name mwanzo nkuwa celew ila nkaangalia lyrics

  • @zillahkawiti8851
    @zillahkawiti8851 4 ปีที่แล้ว +1

    I love mbosso songs wow very gud,huwa wachuku mda kuzitunga zina mawaitha yani nzuri na hazi boeshi yani huboweki waeza sikiliza kila mara.

  • @naturallynour
    @naturallynour 5 ปีที่แล้ว +151

    I'm totally obsessed with Mbosso

    • @habibsoud3032
      @habibsoud3032 4 ปีที่แล้ว +1

      support habibty lotsa
      love

    • @kaskeykamitoz5393
      @kaskeykamitoz5393 4 ปีที่แล้ว +3

      He's from East Africa 🤗😍

    • @suheilsuheil8780
      @suheilsuheil8780 4 ปีที่แล้ว

      Hello nour

    • @neemajoel9332
      @neemajoel9332 3 ปีที่แล้ว

      Correct

    • @OsmanK699
      @OsmanK699 2 ปีที่แล้ว

      East Africa has lots of Arabic influence, from mixed populations to the language of Sawahil

  • @Miles_254
    @Miles_254 5 ปีที่แล้ว +134

    With love from Kenya 🇰🇪

  • @mahatisto8256
    @mahatisto8256 5 ปีที่แล้ว +28

    Niko hapa kuwakilisha ndugu zangu wa Kenya🇰🇪 na Somalia 🇸🇴

    • @ubahyusuf9349
      @ubahyusuf9349 5 ปีที่แล้ว +1

      Mahat Isto :)

    • @mahatisto8256
      @mahatisto8256 5 ปีที่แล้ว

      @@ubahyusuf9349 npe fb name ama number 😉😉🇸🇴😎🇰🇪🙄

  • @francismutonyisamson8288
    @francismutonyisamson8288 2 ปีที่แล้ว +18

    The poems, the way they are presented and the attires,Africa is a blessed continent,every situation in love is expressed by this legend 'Mbosso'. I LOVE YOU AFRICA.Kenya representing

  • @minhajmedia8344
    @minhajmedia8344 5 ปีที่แล้ว +30

    The only from wasafi, I love your song from deeply on my heart. Pure kiswahili and Arabic. . Nikona kamusi hapa kwa ajili yako

  • @murugigicheru
    @murugigicheru 5 ปีที่แล้ว +70

    My dream is to have Mbosso perform his songs Either on my wedding day or our first year anniversary. Talented humble soul 😍😍 nampenda tu bure.

  • @enggismailali1700
    @enggismailali1700 5 ปีที่แล้ว +10

    SILI kwa kijiko nalishwa na ulimi ❤💥🔥🔥🔥mbosokhan unajua

  • @carolinewanjiku931
    @carolinewanjiku931 4 ปีที่แล้ว +119

    who agree with me.......mbosso writes songs that will last forever.that after ages pple will still play

  • @imagjoji600
    @imagjoji600 5 ปีที่แล้ว +92

    kama umerudia zaidi yangu hii ngoma gusa like nkujue mapema

  • @mercynekesa5436
    @mercynekesa5436 5 ปีที่แล้ว +49

    Nimechelewa jamani.....lakini Mimi Hutu hapa baada ya dakika 10

  • @polataealamda2454
    @polataealamda2454 5 ปีที่แล้ว +173

    Mbosso you never dissapoint us,Loving the song from Kenya😭❤❤❤💛

  • @reginawangoi4108
    @reginawangoi4108 3 ปีที่แล้ว +32

    Execuse me here. Kenyan speaking. Damn this song is out of this world and how do you speak romantic swahili?
    ❤️❤️😘

  • @wilsonmakoe2523
    @wilsonmakoe2523 5 ปีที่แล้ว +27

    kweli Haya Ni maajabu trending no 3 views wengi kuliko trending no 2

  • @erickkarigo2744
    @erickkarigo2744 5 ปีที่แล้ว +57

    Mbosso Khan anajua sana 🔥🔥🔥🔥bonge la video 🇹🇿wap likes zangu

  • @majotv3405
    @majotv3405 5 ปีที่แล้ว +34

    Kwa nini nisipate like kwa utamu wa hii nyimbo chiiiiii 🔥🔥🔥

  • @laz254
    @laz254 6 หลายเดือนก่อน +69

    Who is listening to this in 2024 let's Cather here ❤️

  • @lulysaeed1379
    @lulysaeed1379 5 ปีที่แล้ว +31

    Libandike penzi letu Kama gazeti walisomeeeeee ......... Na wafunge midomo yao😯😯😯😯😂😂😂😘😘😘😍😍jamani msimuangushe mbosso khan mpeni likes Kama zoteeeeeeeee plzzzzzzzz😍😍😍😍😍😍😍😍😍😊😊😊😊😊😊😂😂😂😂😂

    • @ouibahra
      @ouibahra 3 ปีที่แล้ว

      Love mbosso songs love Morocco marrakech, ouerzazate kasba ,merzouga desert

  • @Aggiejulius
    @Aggiejulius 5 ปีที่แล้ว +32

    Napenda sana nyimbo zako sana mbosso wangu❤❤ from +254

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 5 ปีที่แล้ว +54

    Wakwanza hapa ni #NickoTv wanae kupenda mbosso ni Hawa
    👇👇👇

  • @arafatyussuf6538
    @arafatyussuf6538 4 ปีที่แล้ว +510

    i swear come future few will remember diamond but this guy's songs will last for long maybe 100yrs+ to come

  • @maryamabdul4129
    @maryamabdul4129 5 ปีที่แล้ว +11

    Mawigi yamepanda bei huku mavideo Queen sijui itakuwaje video mtafanya nawaarabu tu mboso we mtu hatari sn🙋

  • @kassimcherop2532
    @kassimcherop2532 5 ปีที่แล้ว +23

    Kwenye hii video umeekeza kweli kaka Khan kazi nzuri

  • @marywambuijamesnuuguna4187
    @marywambuijamesnuuguna4187 5 ปีที่แล้ว +149

    Mzee wa mistari ya lv ! Big up mbosso 🔥🔥🔥Kali tena

  • @jonathankenga7060
    @jonathankenga7060 4 ปีที่แล้ว +4

    Naipenda fasihi ya mapenzi...na mtiririko..wa nyimbo ;uko juu Mbosso..hongera!!

  • @ishaali2618
    @ishaali2618 5 ปีที่แล้ว +935

    Mbosso never disappoint give me likes from Somalia

  • @swahiliflava9151
    @swahiliflava9151 5 ปีที่แล้ว +60

    Director Kenny Hands Up 👐!! Mbosso Live Long Bro!! WCB Rule Africa Forever Coz the Music You Guys are Giving Us Is Like No other!! Excellent Work!! 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 🔝🔝🔝🔝

    • @kelvinogaro6948
      @kelvinogaro6948 5 ปีที่แล้ว +2

      better than that rockstar autotunes

  • @didzhuss
    @didzhuss 5 ปีที่แล้ว +64

    (Nairobi)🇰🇪 likes zipitie hapa 🏃

  • @hosnikc
    @hosnikc 5 ปีที่แล้ว +5

    Naupenda sana huu Wimbo
    Nikiusikia nahisi kama mpenzi wangu ananiimbia
    Wallah moyo wangu shuwaar kabisa..I love you honey

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 5 ปีที่แล้ว +74

    Seattle loud and clear ishafika..
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸

  • @assadalwi
    @assadalwi 5 ปีที่แล้ว +90

    Mbosso has the best Video concepts in WCB go argue with diamond

    • @soyjah347
      @soyjah347 5 ปีที่แล้ว

      Fact bruh, no argument

    • @serenzoey9780
      @serenzoey9780 5 ปีที่แล้ว

      I think so too

    • @hiribaecornelius5372
      @hiribaecornelius5372 5 ปีที่แล้ว +6

      Sadly mbosso without diamond is just yamoto band... Good song💪💪🇰🇪🇰🇪

    • @lastadeclerks4563
      @lastadeclerks4563 5 ปีที่แล้ว

      Love the video story line

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 5 ปีที่แล้ว

      M Cornel nop do you see diamond singing in this piece wacha ufukin

  • @maggienjeri3260
    @maggienjeri3260 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama unapenda mbosso na kazi yake weke like hapa ***** mch luv frm kenya

  • @vee6668
    @vee6668 5 ปีที่แล้ว +130

    the poetry in this guy's songs is out of this world. pure bliss.. love from Kenya

  • @mkobaofficial8037
    @mkobaofficial8037 5 ปีที่แล้ว +65

    Msanii wa kwanza mwenye video kama hii Bongo,Kama kweli gonga LIKE

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 5 ปีที่แล้ว +2

      No wakwanza ni baba yake #DIAMOND/PLATNUMZ

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +1

      junior sebastian anaitambulisha vyema wcb wasafi

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +2

      THE MOVIES LOVER wa kwanza simbaaa ndooo kashikilia namba moja

  • @wamathaiwandeto3538
    @wamathaiwandeto3538 5 ปีที่แล้ว +33

    Mbosso songs should be added to all Kiswahili curriculum..This man is already in the Wahenga cartegory...

  • @jacksonsilvester4518
    @jacksonsilvester4518 5 ปีที่แล้ว +15

    Hatar sana gonga hapa kama unamkubali mbosso#

  • @kennethmwangi7521
    @kennethmwangi7521 3 ปีที่แล้ว +21

    The king of swahili romance , big up bro...
    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @jeannettelilianequeen4161
    @jeannettelilianequeen4161 5 ปีที่แล้ว +12

    Awiiiii Mbosso utabaki kuwa juu 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️ USA 🇺🇸

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 5 ปีที่แล้ว +10

    Sijutii kuwa #WCB
    huku
    #INAMA for a dance hall party
    #MAAJAB for romance
    Yaan full maajab jamani👏👏👏🔥🔥🔥❤❤❤

  • @trendy2545
    @trendy2545 5 ปีที่แล้ว +45

    Kenya representing.. Nice work mbosso..

    • @آمنة-ش5ت
      @آمنة-ش5ت 5 ปีที่แล้ว +2

      It’s not Kenyan it’s Tanzanian 🧐

    • @trendy2545
      @trendy2545 5 ปีที่แล้ว

      Amne Seokjin I meant am representing Kenya..thanks but no thanks

    • @آمنة-ش5ت
      @آمنة-ش5ت 5 ปีที่แล้ว

      Naomi Wangari you can represent cool but you can agree to disagree it’s still Tanzanian just have many people confused where it’s from sis

    • @trendy2545
      @trendy2545 5 ปีที่แล้ว

      Amne Seokjin okay..you win

  • @pendatv1675
    @pendatv1675 3 ปีที่แล้ว +1

    Anichua tumbo la ngiri kwa mafata ya Kaaraafuu ... +254. Kakaa Bado kali tu hii nyimbo

  • @abdikanimohamed9740
    @abdikanimohamed9740 5 ปีที่แล้ว +273

    All the way from🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴,Hit like for the Love of that Flag

    • @aymajohntv1243
      @aymajohntv1243 5 ปีที่แล้ว +1

      😘

    • @dexterdiablo111
      @dexterdiablo111 5 ปีที่แล้ว +1

      Wara chill out ..calanka mesha nogaqada ..hanaguzodisine wahan zanka wayn

    • @faizafajjj8991
      @faizafajjj8991 5 ปีที่แล้ว +1

      WIILKA JECELKA bout🇸🇴🇸🇴

    • @Gibsin_2
      @Gibsin_2 5 ปีที่แล้ว

      WIILKA JECELKA th-cam.com/video/9BnDf1DVMrM/w-d-xo.html

    • @isaiahkatana1270
      @isaiahkatana1270 5 ปีที่แล้ว +2

      Fuck Somalia kenya and tanzania is the Boss Somalia go to mugshitu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +14

    dah asee kila mahali mangoma mapya2 aseee dah TANZANIA nowma sana here from DUBAI🍅

  • @jayjus5575
    @jayjus5575 5 ปีที่แล้ว +12

    Who else has this song on replay? Mbosso hapa umetuweza kabisa

  • @lucyanita1337
    @lucyanita1337 4 ปีที่แล้ว

    Mbosso mbosso mbosso..you will rule bongo music one day just continue this way with your unique styles usikopi kwingine hapa tu ndio nyumbani..kusuka nywele na kuweka ma dye mingi mingi daddy embu achia tu wale 💖💖💖💖💖💖💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓💓❤❤❤❤❤❤❤❤❤💖💖💖💖💖💖💖💖💖

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 5 ปีที่แล้ว +31

    Kuna vile smile yake kwa hii video ❤️❤️❤️❤️ maajab

    • @jimombati6747
      @jimombati6747 5 ปีที่แล้ว +2

      Carol wanjiru hi

    • @juliusndunguru7043
      @juliusndunguru7043 5 ปีที่แล้ว +2

      Mmmmmh unaweza mdogo wangu so don't say over until it's over success for you

    • @carolshiru4374
      @carolshiru4374 5 ปีที่แล้ว +1

      jim ombati 👋

    • @carolshiru4374
      @carolshiru4374 5 ปีที่แล้ว +1

      Julius Ndunguru true

  • @kipkoechdavizo9025
    @kipkoechdavizo9025 5 ปีที่แล้ว +30

    The poetic mbosso just did it again - lots of love from Nairobi👌

  • @anjieneyarah9164
    @anjieneyarah9164 5 ปีที่แล้ว +60

    mbosso its very exciting to hear your part of story .To say the truth you have an interesting career . your music kills it all. we kenyans love u😙

  • @j.pmwendwa863
    @j.pmwendwa863 4 ปีที่แล้ว +50

    This guy is a legend. His Swahili is another one. He is the toppest in E.Africa

    • @nabilahmed2693
      @nabilahmed2693 3 ปีที่แล้ว +2

      We call them bara .. our swahili is different then them

  • @joaojosenduna1616
    @joaojosenduna1616 5 ปีที่แล้ว +263

    Best song like hodari, Who agree? From mozambique

  • @danterey
    @danterey 5 ปีที่แล้ว +11

    Hii video umeekeza mtu wangu
    The visuals are eye catching.
    +254 showing love to Mbosso.

  • @somalitrending9195
    @somalitrending9195 5 ปีที่แล้ว +166

    This guys is on 🔥 plz call the firefighters 😁🤣🇸🇴🤟🏼

    • @aishatokwayoowabulambawooo7845
      @aishatokwayoowabulambawooo7845 5 ปีที่แล้ว +3

      I love this guy for really

    • @Gangalamu
      @Gangalamu 5 ปีที่แล้ว +3

      I couldnt agree more with u mate

    • @saidihuruma6033
      @saidihuruma6033 5 ปีที่แล้ว +1

      hizindiyo nyimbo mzuri kwa kusikiriza na kuagaria mbosso unajuwa kuandika na kuimba vizur hongera kijana endelea kupambana uzidi kutuburudisha

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +1

      Somali trending wasafi lekod

    • @somalitrending9195
      @somalitrending9195 5 ปีที่แล้ว

      Tomorrow nyt diani this guy🤒👌🔥🔥

  • @penniahgakii6310
    @penniahgakii6310 ปีที่แล้ว +12

    Thumbs up Kwa wale Bado wanaiskiza 🥰