Yeah kamkubali kabisa , napenda kuona wasanii wetu wote wa East Africa wakifanya vizuri sana , this make me so proud , you guys are our hero’s Keep Doing Great job. By the way I don’t have Team , I like all good music and hard working Artist .
Kama wewe ni Mkenya +254 na umekuja hapa kwa jili ya Susu Mila Gonga like tukisonga......Huu wimbo Lavalava kaufanya kistarabuu.....lakini hii in bifu muanza kumtaja Akothee😂😂😂
Napenda venye amesema wazuri ni wengi Tanzania Thank u brother we love u and u are cute too bro. kama unasikiliza huu wimbo kila siku kama mimi drop a like!!!!
Lava Lava and Susumila (highly underrated) did an excellent song. They know how to sing. LavaLava has such a nice voice. Susu Mila has an authoritative voice, all well mixed and a very well choreographed video with other artists backing and offering support in the video. Well done guys
Lavalava have worked with almost three kenya artist means roho safi!!my team is looking forward we are working hard to find him kongeni like mnipe moyo 😁
Ya Nini mikiki mikiki kupozeza muda....this hit the brain to the heart ...I mean just love me for who I am and I'll do too...I mean why waste my time if you're not totally genuine and okey with my imperfections
Kuwa na subra mungu atakupa mwenyee heri na wewe furaha yako ndo uzima wako yalobaki yana munguu bidhnillah atakufanyia wepesiii tatizoo mkiacha tu mnangia mahusianoo mapyaaa apo Kwa apo geuka kama mie fanyaa kaziii zakoo
Oooh my napeeendaa hii wimbooo sana from bottom 2019 Wasaniii wanatishaaa sana Susumilaaa hii time umegonga kitu brooo Lavalava kweli WCB fooor lifeeee
The best blending comes when a Mombasa artiste does a collabo with a Tanzanian Kiswahili kina wiana,.,.., Wa TZ wajifunze sheng sasa tuchape kiGengetone kimoja Tukiendaga
Tuliopo pamoja 2024,,kwa like twende tukachukue Kenya.
just enjoying the dialogue.......Lavalava hana maringo kama wcb wengine. kama wakubali bofya like tukitafuta warembo wa Tanzania na Kenya
Lavalava anapika nxuri xna
MARK MASIKA so true
Pesa yaongea
And thats why his not getting enough support in the Club of WCB
Sidhani mboso anayo.
Warembo wa mombasa na Nairobi pia wapite na like❤
Susumila You Got My Likes For This Song... Najua Tuko Wengi Tunaompenda Susumila more likes jamani
Ako fitii 💗
N kweli wabongo wanapenda kiki sana, , , gonga like kama umesikia our own madam boss Akothee
Hapana anajulikana😂😂😂😂sijui Kama Madam boss ameskia
Drama🤣😂
Ukweli
Nikweli
Walai sema
Awekama mdoli Yule wabwana king 👑, Yebaba... tulioelewa anamuongelea nao naomba Mlike hapa..
Kamkubali King kiba kiaina
Yeah kamkubali kabisa , napenda kuona wasanii wetu wote wa East Africa wakifanya vizuri sana , this make me so proud , you guys are our hero’s Keep Doing Great job. By the way I don’t have Team , I like all good music and hard working Artist .
Tz uko vzur xana huo wmbo
Loved it😘
🔥😂🔥😂
Idea nzuriiii
Mmetishaaaa wanaaaa,,,,,
swahili to the world...
East Africa to the world.....
🇹🇿🇺🇬🇰🇪 Gonga like....
Nic
Kastol Mwalyego Africa to the World wakati wetu sasa machaliiii wa mashariki kuonesha vyetu sisi twaweza kuliko wao
Nataka warembo wa mombasa
I love Susumila. Guy is so talented and underrated. Likes za Susumila mazeee..👍👍👍😋
He should get to mailstream collabos asap...he can go fat
Nyamufrance@gmail.com
Niukweli na like susumila me to
Wakenya wenzangu jameni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aty Wa....
He has a unique voice. I love him 🔥🔥🔥🔥
SUSUMILA X LAVALAVA ,you nailed it,nimewapenda nyote from +254 , NAIROBI, simu yangu imejaza nyimbo zako lavalava......wapi likes kwao
Itaibiwa tutoshane
@@KORWAJONES nini itaibiwa?
Iava. Iava. Hey.
Nkali
Mary Otieno ,vp
Kama unakubali upendo na uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ...gonga like tukisonga 🔥🔥
I support your assumption bestiiii
Poa
Uko fity
Kazuri saaana...sudumila hajawaji toa ngoma kaa hii
itabidi hizi nchi mbili watu wazidi kuoana.
Kama wewe ni Mkenya +254 na umekuja hapa kwa jili ya Susu Mila Gonga like tukisonga......Huu wimbo Lavalava kaufanya kistarabuu.....lakini hii in bifu muanza kumtaja Akothee😂😂😂
Bifu la nini tena kaka
Huyo akimtaja lazima atajibu
@@edwinbulemi257 walai😂😂sijui niaje akuongea ama akuiskia
Prince Newton 😂😂
Lakini kuna ukweli ndani yake.
Si wajua warembo wa kenya skendo chungu nzima 😂
Napenda susumila songs Sana big up susumila kwa nyimbo smart
Sitachoka na nyimbo zake.
we mbona umepanua macho....aaaiii makarao wa Kenya jo😹😹😹
Kama unapendezwa na sauti ya LavaLava..pita na like...i like thiz guy surely🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nampenda sn!
Kali sana... Voice yako iko on point
Chojjo
Lava lava we nona baba
😘
Love from Kenya.....Susumila very talented...LIKES VIPI?
Eeeh warembo WA Mombasa Kumbe tuna market wapi Mombasa ladies gonga like
Mariam naisikiliza huku na smile🇰🇪woyooo.
@@mwanamisaomar346 bhana weee
Mombasa tutabaki kuwa juu daima
@@fardhanamahmoud7313 juuu mawinguni
Mnamarket, mnauza vitunguu au?
bonge la goma alijawai kuchuja 🇹🇿 🇰🇪 💪💪💪💪💥💥
💯
Hya viip wanangu wanaomkubali lavalava mpoooooo ngonga like kama unamkubal lavalava
Haaaaaa +254 mnipe like lava lava kweli uku ni shida uliza otile
Wenye kuchoka maisha ya kuwa single kama mimi tujuwane apa👍👍👍🙈🙈🙈
Exactly tujuane
Tumechoka wengi...i need a hubby as soon as possiblr
Warembo🔥
@@husseinsimba7946 tujuane basi jamani mpenzi
@@kadidejanet3697 😂😂😂 I'm here
wangapi watanzania hapa kwa ajiri ya kaka lavalava!!?? gonga like tuone🇹🇿🇹🇿
Bro Nikona wewe
Susumila bro uko tops ..... Simba wa Kenya..wacha huyu pozee,....we ni moto... Hizi vitu. Ndio tunadai
Nzoo huku🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Warembo tupo ( Nairobi)
💃💃💃💃💃💃 ( Mombasa)
Kama wamkubali #Lava_lava
gonga Like👍
Njoo mama
Deborah uhiko wee?
@@wisperfect8413 wapi
Déborah Pretty konj
U get it
Lavalava nyimbo umeitendea haki na beat kali sana Director uko vizur
Wimbo wangu forevere❤❤❤ ujumb mkubwa kwangu asante san a Jeshi,nani ako hap 2024 nipe like tujuane from Burundi 🇧🇮 t
Kama unakubali wabongo wanapenda kiki gonga like hapa
yan wanangu wote tuweke like zetu apa mana now love bite kauwa bhna kinouma yan 💪💪
Wacha nione wangapi ni wakenya 😂....wamlambezzzz 😂😂😂...piteni na like basi +254
Wamnyo...
😂😂😂wanyonyee💪
😂😂😂
azinaat ahmed wamnyonyez
Wamyonyez
Big love to Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿 😍
🤝
Kama umesikia #Alikiba akitajwa gonga #like twende sawa. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kweri
yeah 2:21
Ulipo mtaj kiba nimeipenda zaidi maana naona love saiv keep it up broooo
Alie sikia jina la KING KIBA gonga like hapa #yebaba
Mke wake mdoll🤣🤣🤣
@@lydiaoriama9737 mdoli maana yake ni mzuri mpole...!! Na hiyo sifa anayo mke wa king, yebaba...!!😂😂😂
Mdoli hana maneno..yule taratibu@modeste kuhani
Yebaba👌
Karembo ketu ka kongowea #yebabamadam
Sauti bora kabisa kwenye industry. Huu wimbo sichoki kuuskiza.
2:21 kama umemsikia Lava lava akimtambua Kiba kama King 👑 nipe 👍 tukiendelea kutafuta warembo wa Mombasa
Kabisa
Yeee baba.
Kama umeona mtoa comment upeo wake wa kufikir ni mdogo
Uslike 😂😂
If you have watched this video more than three Times kama Mimi gonga like
Wow kenya juu.tupo😍
Wow,,am here,,
this is sweet ...hawa warembo wetu wako wapi jameni...proud of our kenyan women
Truth be said. Very few of our local musicians can sing like these two guys. Sauti nzuri na wimbo wa kuutuliza moyo.
hapo kwa vera sidika kutenda otile mumenifurahisha
If you are proud to be Kenyan, gonga like hapa😘😘😘
Kwetu. Wanapenda. Pochi. Kuwa. Makini. Au. Ofisho. Lini
Amina Rashid 🤣🤣🤣inabidi
Eve's Channel nakupenda👅👅👅
shawn trevor lol, nakupenda pia😜
Mzee Mzima 👀👀👀👀👀
Kama umetaza video zaidi ya mara tano kama mimi ama kusikiza mara kadhaa nipe like,, wimbo tamu sana
kil ck naisikilz daaaa hiii ngoma kali
Mtamu kweri kweri
Like ndiyo yiyo.
Nice songe
Nice songs
sauti yako Lava yatishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Naipenda
Gonga like za warembo wa mombasa na nairobi zipite hapa
The only underrated musician from WCB ,ngoma zake hazipewi support na WCB family,hii ngoma Ni 🔥🔥 🔥
Kweli
True. But Lava Lava ako dope
Yeah wanamdharau but ngoma zake has lessons
But ni mkali kuwaliko wale wote
Your comment made me subscribe, like and play this song this whole week. Atleast 500 views from me
Napenda venye amesema
wazuri ni wengi Tanzania
Thank u brother we love u and
u are cute too bro. kama unasikiliza huu wimbo
kila siku kama mimi drop a like!!!!
nashukuru sana bro
Wacha nione wabongoo wangapi wanaompenda Lava🤗🤗 +255
Awe kama mdoli kama wa king... Loving this, from Kenya ✌👏👏
San
Yebaba
@binti kigoma analia na wewe lava lava a
Lava lava l...mungwana saana
Goma karisana rava
Sauti ya SuSumila is so strong and beautiful, great song Lavalava
Haki I love both
Akothe dawa yetu 😂😂 likes za MADAM BOSS
Akothe she is
Hi people of akothe hi love akothe 💝💝💝💝💝💝📲💶💶💶💶💶💶🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂
Wabongo mwapenda kiki, na masinema,.. Ukiona warembo waguse upoteee #2021 wakwetu hawaaminiki # Kenya mombasa
Love you lavalava hebu nipeni like njoo lavalava mie254
Waaah this is a bag first to comment from +254 tupe susumila na lavalava like
Nimekuja hapa kwa ajili ya hiyo sauti ya king kiba yebaba gonga like Kama pia umeskia hiyo
sauti
👌 👏 😍 👍
Wakenya muko wapi?our boss lady akothe ,wapi nduruuuuuu
Wimbo ni Mtamu mpaka nimeishia kuandika kikorea 울부짖음, 용서, 겨울잠~~아름답습니다. 감사합니다.
Haha
Judy Mangi hi
@@mvungigaming hey too
Judy Mangi Amani na upendo kwa kila tendo....
@@mvungigaming ok pamoja
Mr love bite Umetishaa sanaaa Nakubaliii show Kali blessed bro
One of my best music hii iliwezaaa Warembo wa MOMBASA 🔥 🔥
Kazi Safi bro susumila,waambie kwetu kuna maslay queens wengi hakuna mapenzi may be aende Ethiopia
Lava Lava and Susumila (highly underrated) did an excellent song. They know how to sing. LavaLava has such a nice voice. Susu Mila has an authoritative voice, all well mixed and a very well choreographed video with other artists backing and offering support in the video. Well done guys
Kama hii ngoma umeielewa gonga 👍
Waliyo sikia Mke wa king kaitwa mdoli tujuane, Yeah baba 😂😂😂
Yeeee baba
Hahaha
Sultan 001
001 Sultan
001
Commenting live from kilifi hii ngoma ni moto sana
Eeeh bhna hii ngoma ni 🔥🔥
Kama umeskia Akothee anapenda Skendo hit like🤣🤣
hapana
It's really a hit song,pongezi Lava lava naona soko la Mombasa na Kenya kwa ujumla umeliteka kaka..
Hapo kwa bwana king yapendeza sana..king kiba ❤❤❤
Susumila is one of the most talented musician not only from the coast but also East and Central Africa, he's always humbled and down to earth.
Lavalava have worked with almost three kenya artist means roho safi!!my team is looking forward we are working hard to find him kongeni like mnipe moyo 😁
Lifestar Koech 😂😂😂😂😂😂
Warembo wa Mombasa ...tunapenda pochi hHahaa
🎶🎶🎶🎶🔊🔊more fire kijana Wa kwetu Susu ngoma imeweza sio siri..Lavalava utapata mrembo usijali 😂😂😂
🤣🤣🤣
fanyeni hvyo basi hapate jiko🙌🙌🙌
@@ibrahimmseven3340 😂😂😂twafanya tayari ye ndo haoni vizuri mpeni miwani
🙊🙊🙊
@@ibrahimmseven3340 ako ready lava lava ...anahisi baridi sana
Susumila nKupenda bure
My current favourite song now,
Nice song,wangapi wakubali
👇👇
Congtrz susumila boy wa 001
Now this is what we call real music sio zile za ngono tunachezewa eti muziki za Kikenya
Rugse
Ngoma kali, from Mozambique-North. Warembo Mombassa, Nairobi pia ou Kenya yote.
This guy called lava is underrated by most of wasafi record so I argue you let us support this guy since he is capable of her hardwork❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Best song much love from Somalia 🇸🇴
Hit like if you are from East Africa
Am greeting you guys from Johannesburg South Africa 🇿🇦
Nakubali even me am in somali naisikiza mdogo mdogo
Hit ma subscribe button and watch the vides
Do somali in somalia speak swahili??
Ngoma nzuri, na ideas nzuri aseee, hongera
@@hameedmbogo3633 kwan somalia is out of africa....think twice
Warembo wa Kenya wanatulemea nasi ndo wenye pesa, utawaweza kweli LAVA LAVA? 🇰🇪🇰🇪
Susumila to the world another from mtoto wa Pwani
Ya Nini mikiki mikiki kupozeza muda....this hit the brain to the heart ...I mean just love me for who I am and I'll do too...I mean why waste my time if you're not totally genuine and okey with my imperfections
dah! ngoma hatari sana kama unamkubari lavalava gonga like yako hapa twende sawa acha roho mbaya usiforce tufanane
Woow budaa!!hii sasa kali,,more love to my favourite artist susu
Woow nice song
Yebabaa
Awe km mdoli yule wa bwana King🤴🏽yeeh babaah 😂 km unamkubal amina wa king gonga like
lava lava your search is now over, mimi hapa mrembo toka mombasa, kenya
Warembo wa Somalia mpo wapi madada zangu wakina huddah Monroe love from kenya 🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🇸🇴🇰🇪🤩🇰🇪🎼
Nataka Mrembo wa Dar esaalam, Dodoma, Moshi, Arusha sikatai hata ikiwa nitatanga tanga hadi Tanga mpaka kutoke Moshi Mwanza. Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bangi hii😂😂😂😂😂
Ha
Ebwanaee..tia like hapa kama umelielewa hili goma 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
Wabongo mnapenda mkiki😉🙂😍🥰🥹👍🎉
Hii nyimbo iko tops,the story behind the song is super interesting. Lava lava is talented, Susumila blended well
True
When my best Lavalava comes together with my countryman Susumila. Love this🇰🇪
Really
I'M realising that this is a secret proposal song and inatambulisha warembo tofauti tofauti kutoka Kenya na Tanzania. I like it
Kuwa na subra mungu atakupa mwenyee heri na wewe furaha yako ndo uzima wako yalobaki yana munguu bidhnillah atakufanyia wepesiii tatizoo mkiacha tu mnangia mahusianoo mapyaaa apo Kwa apo geuka kama mie fanyaa kaziii zakoo
The strong bond of kenya and Tanzania much love
Susuu yaonekana kibibi ulikuwa ushampenda sana bado yupo kwa memory yako
Kama umeirudia hii nyimbo 2020 gonga like
Mara 7
my you from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉 mombasa ❤❤❤
001 tujua ne
Wabongo mnapenda kiki na masinema susumila hey man ..dope
Kazi nzuri from Our own Mombasa finest....much love from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦..... Shida lavalava huaga support hapeani kwa collabo
Napenda lava lava song for love 💕💕💕
zainabu Zainabu 😂😂
🙄🙄
@@zainabuzainabu8089 znj
@susumila tuko hapa bado mzee uliupiga mwingi sanaa
Kali bro nipe like
Oooh my napeeendaa hii wimbooo sana from bottom 2019 Wasaniii wanatishaaa sana Susumilaaa hii time umegonga kitu brooo Lavalava kweli WCB fooor lifeeee
The best blending comes when a Mombasa artiste does a collabo with a Tanzanian Kiswahili kina wiana,.,.., Wa TZ wajifunze sheng sasa tuchape kiGengetone kimoja Tukiendaga
😂😂😂😂
Alikiba this song reminds me back then song uliimba na queen darlin,"wajua nakupenda "..uliogopa kushika huyo mtoto kabisa😂😂😂