Hapa ndo umeanza kunikumbusha kazi zako na marehemu Steven kanumba kupindi Bado nipo home Tz. Umetukumbuka na sisi tuliopo nje ya tanzania zaidi usa 🇺🇸, canada Asia na Europe. Asante sana RAY THE GREATEST. Juwa supports yako nikubwa kwetu pamoja na wote waigizaji hapo TZ. Atuna mashaka na kazi zenu ili mjitaidi kuwekeza sasa kwenye mitandao ya kijamii ili bongo movie hiinuke zaidi na zaidi.
Bongo tunajua sana kuigiza. Lakini vimakosa.vidogo dogo ambavyo vinapelekea kazi inaonekana siyo bora. Mfano muonekano Jordani muonekano wake haendani na nafasi aliyo cheza. All in all , kazi ni nzuri
Kunanini siku hizi Tanzania na kizungu kingi jamani 😢mumesifika mda kwa kujivunia kwenu kwa lugha ya Taifa Mbona sasa tena??? Aaah watengezaji wa filamu zingatieni hili

Nikweri hata mim nirivujikamoyo kuona ameacha
Kazi nzuri sana
Lilian i love your responding Kwa Shemeji ❤❤❤❤ Lord give me a lady like Lilian in my future ❤❤❤❤
bwana Raykigosi hujawi kuniangusha hata Siku moja nakukubali sana aise yani unajuwa hadi unakera❤❤
Kalibu sana kwa kusikia ombi letu nakulifanyia kazi kazi hapo hapo brought
Love you watu wangu kigosi na ndauka long pia na wengine good job ❤❤❤
Good joby Vicente mungo akurinde maichanimuako sema TU zidicha kazi sisi tupo kuajiliyako kua kutazama kazizako
Jaman hii series. Ni nzuri sana❤🎉
Bro nakukubali kwa kazi zako congrats 🎉❤❤
Nice series 👌 👏
Kazi hizi ndo tunaitaji more and more congratulations ❤❤❤❤
Am the first.. 🎉🎉🎉 woow. Ngoma hii Kali saaaanaaa. Brother RAY big up sana❤
Nice work Mr Rey ❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉
Me pia nehaz kikumbuka kazizako pamoja na marehemu Steven kanumba
Ray The Greatest kweli, hongera sana
Mjombaaaaaaaaaa Kiwasheeee Mambeghes
Ni nzuri sana❤❤
Bro umefanya jambo kubwa sana ktuwekea haka kaseries
Bongo tunajua sana kuigiza. Lakini vimakosa.vidogo dogo ambavyo vinapelekea kazi inaonekana siyo bora. Mfano muonekano Jordani muonekano wake haendani na nafasi aliyo cheza. All in all , kazi ni nzuri
bwana Rey kwahizi mv utakuwa unaangalia mwenyewe mbona huwa unatoa nzuli sana nini kimekukuta hadi unatufanyia hivi
Kunanini siku hizi Tanzania na kizungu kingi jamani 😢mumesifika mda kwa kujivunia kwenu kwa lugha ya Taifa Mbona sasa tena??? Aaah watengezaji wa filamu zingatieni hili
Best series ever
Rose ndauka Maua ya kwako❤🥀🥀🌹🌹🥀🌹🌹🌹🥀🥀🎉🎉🎉🎉💯💯💯🌻🌻🌻
Hongereni kwa kazi nzuri sana
Nice move,well labeled
Nawapenda sanaaaaaaa ❤❤❤❤
Napenda sana hii kazi❤❤❤🎉🎉🎉❤❤
Akika wewe ni noma Mr vicent
Ray on top 💯 always
Movie safi sana.... Asante sana mkuu
Ray ananichekesha akiongeleshwa kiingereza
Kwahiyo tunaingia ndani au😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri
Aaa ni kali sana mnoo
King 👑
Jamani mbn sasa tumejuwa nini hatujui doctor Susan kesi yake sawa lakini maana tandi pia ilisha hivyo
Ningetaka ata Mimi nijifunze kuigiza pia nifanyeje nitokelezee ju nko na interest sana
The king 👑 ❤
hapo❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwalimu using'ang'anie mtoto wa mtu abaki shuleni kwa kwako,pls kwa lipi,mzazi wake imembidi kufanya kivyo
Big up sanaa brother
Ray Maluku noma😅
Much love mr rey 🎉🎉
Mkongweeeeeeehh❤❤❤❤
Much love❤❤❤
Kila nikitazama movie zako nakumbuka Steven kanumba 😢
❤❤❤❤❤❤ pamoja sana
Nzuri sana ❤
Good job 👍
Jordan kazi unayo kaka
Naona kama kaka rey anafanana na babutale...
Naona kama Kaka Rey anafanana na babutale
Safi sana
Nakubali
Tunyweree twa ray
Dah 1:31
milioo ya kasukuu
Kama anamuona stvu kanumba
Nice🥰🤗
🎉🎉🎉
Nice work
ᴴᵉʳᵉ ᵃ ⁿᵉʷ ᵐᵉᵐᵇᵉʳ 🇰🇪
Very nice🎉
iko poa sana
Next plz
❤❤❤❤❤SAFI SANA
Hahaaaaa jelaa
❤❤❤👏👏
yani kali kuliko wafanye iweinatoka kwa wakati
🎉🎉🎉🎉🎉
Tandi130
Liliani rudi tumekumiss
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥
😮😮😮
Jana usiku nimeburudika mpaka ku Épisode 15
GOOD
God
❤❤❤
Saf ray
Tand
😂😂😂🇧🇮
😂😂😂😂😂
😂😂😂❤
Kazi nzuri
Much love ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤
🔥🔥
🔥🔥🔥
❤